Je nikweli Sheikh Nassor Bachu Aliwahi kuwa SHIA??Ukweli ni huu.

  Рет қаралды 47,398

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
ALLAH amtilie nuru kaburini mwake sheikh wetu wa ki sunnah , na amlipe pepo ya juu kabisa amiin
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 жыл бұрын
Allah Amrehem Sheikh Nassor Bachu, Allahumma Amin ya Rabb 🤲
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Amin
@ibugharib389
@ibugharib389 3 жыл бұрын
MASHAALLAH, hakuna binadamu asiyekuwa na kasoro lakini ALHAMDULLILAH amejitahidi Allah alivyomuwezesha tumejifunza mengi ALHAMDULLILAH alichokosea Allah amsamehe
@sabihamakami3720
@sabihamakami3720 3 жыл бұрын
Allah akurehemu shekhe nassor bachu 😪😪😪😪
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 3 жыл бұрын
ALLAH amuhifadhi amrehemu sheikh wetu.
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Allah amrehem shekhe wetu kipenz salafi wa Zanzibar
@ramadanismail3052
@ramadanismail3052 Жыл бұрын
Ameen Yarab
@hamicpina1151
@hamicpina1151 10 ай бұрын
Xio xalafi Sunna
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 2 ай бұрын
​@@hamicpina1151ni salafi sheikh nassor
@hamicpina1151
@hamicpina1151 2 ай бұрын
@@ALIKHAMIS-un4fv sio salafi mjomba maana hakuwa na mambo yakubishana yeye ilikuwa anatowa daawa na sifa ya salafi ni kushindana mambo ya hoja weeee adi kazi ya mtume kzi ya kumtangazia ALLAH kwa wasio mjuwa na kulingania wasiomuabudu ALLAH kwa salafi haipo wao mambo ya hoja tuuu kwa shekh nassoro hakuwa mtu wa ivi yeye ni daawa tuu na kuufundisha umma misingi ya dini bx
@omysule7118
@omysule7118 Жыл бұрын
Alhamdulillah. Allah akusamehe makosa yako na akulipe kila la kher, sheikh wangu mpendwa namba 1. Tuunashkuru pia kwa kutuachia dhahabu ambae ni mwanao
@salimmbwana6926
@salimmbwana6926 Жыл бұрын
Allah amrehemu na amsamehe sheikh wetu .
@tigersterling5417
@tigersterling5417 3 жыл бұрын
Ya Rabbi murehemu sheikh wetu na wanachooni wetu wote.
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Amin
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Amin
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 11 ай бұрын
Amin
@maseledotto8490
@maseledotto8490 3 жыл бұрын
Allah amjaalie kila la kheir huko akhera alipo
@kombomakame7547
@kombomakame7547 Жыл бұрын
Allahumma ghufirlahu warhamhu filnannah
@suhel5209
@suhel5209 3 жыл бұрын
Allah akuweke salama ulipo ustadh al marhum Bachu.
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 жыл бұрын
Mungu amrehemu Sheikh wetu
@chulululicious6061
@chulululicious6061 2 жыл бұрын
Tulipoteza sheikh mkubwa sanaa ..nmejifunza mingi sheikh wangu ..Allah akurehemu sheikha nassor bachu
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 3 жыл бұрын
Sijaona kama sheikh nassor bachu east Africa...eee mola mrahamu sheikh wetu
@salmaalisalim2462
@salmaalisalim2462 2 жыл бұрын
MashaaAllah alikuwa shujaa sheikh nassor Allah amrahamu
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 3 жыл бұрын
Yoyote anaemuabudu asiekua Mwenyezi Mungu mmoja Subhanahu Wataala atakua si muislam, na yoyote anaemshirikisha Mwenyezi Mungu Subhanahu Wataala na yoyote katika ibada zake, dua zake na ufalme wake huyo pia atakua sio muislam
@jardiniddy3205
@jardiniddy3205 3 жыл бұрын
Allah amrehemu .Allahuma thabit'hu bi qauli tthabit
@mohammedsalim7051
@mohammedsalim7051 3 жыл бұрын
ALLAH AMREHEMU SHEIKH NASOR BUCH
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Allah amraham sheikh bachu
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Amiin mzee mwenye busara zake ila huyo mtoto kisunzi😄😄
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
@@rehemasalim4590 umeonaee yani anabusara japo tulikua wadogo akifariki ila clip zake zipo kwa sasa KZbin tunamfatilia
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
@@omaar5693 😀😀😀😀
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 жыл бұрын
Hakuna alieweza kuwazungumza vizuri mashia km shekh qasim allah amuhifadhi
@vitalcool9266
@vitalcool9266 3 жыл бұрын
Sababu wewe ndivyo ulivyokaririshwa
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 жыл бұрын
@@vitalcool9266 hapna huo ndo ukweli hao wengine wote KAZI Yao ni matusi tu
@habibuchipeka7934
@habibuchipeka7934 3 жыл бұрын
We nawe una matatizo
@khalidmussa3769
@khalidmussa3769 3 жыл бұрын
Wewe umeanza kusikika mada za mashia kwa qasimu lkn kuna kina sheikh Saalim barahiyani wamezungumzia sana kuhusu mashia
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 жыл бұрын
@@khalidmussa3769 barahiyan nae ni shekh 🤣
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Hata MI nisha fundishwa na nina hakika wengi tumesha kaa mbele ya ma ustadh wa bid'a. Ila kwa kudra za Allah akatufunulia elimu zaidi yaku tofautisha Kati ya hawa washirikana na watu wa Sunna
@wailusebea3511
@wailusebea3511 2 жыл бұрын
Allh amrehemu shkh nasoro bacho na amsamehe
@husseinfunga3272
@husseinfunga3272 2 жыл бұрын
Aamin
@bizuwena623
@bizuwena623 3 жыл бұрын
ALLAH AKULIPE KHERI KILA ULIPOPATIA.NA AKUSAMEHE ULIPOKOSEA KWA JUHDI YAKO.
@husseinfunga3272
@husseinfunga3272 2 жыл бұрын
Aaamin
@kitosio
@kitosio 2 ай бұрын
Mtumaji. ALLAH AKULIPE KILA KHERI
@abdillahbakar9850
@abdillahbakar9850 3 жыл бұрын
Allah amrehemu akhera aliko
@husseinfunga3272
@husseinfunga3272 2 жыл бұрын
Rahmahullah Sheikhe Nasoro Bachu
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 жыл бұрын
Allahumma Amin ya Rabb 🤲
@idrisaaly3557
@idrisaaly3557 3 жыл бұрын
Kaka usichoke kurusha video za sheik wetu marehem Nassor bachu Allah akulipe kila la kheri na nichukue na fursa hii kumuombea dua sheik Nassor bachu Allah amlaze mahali pema peponi (amin)
@ayubumagumu4386
@ayubumagumu4386 3 жыл бұрын
Allah amrehemu sheikh
@jumaomar7602
@jumaomar7602 2 жыл бұрын
Alla akurehemu akusamehe dhambi zako
@aliabdallah452
@aliabdallah452 3 жыл бұрын
Allah amsamehe na ampe rehma zake , lakini weka mpaka mwisho ili tufaidike
@safinahighschool2179
@safinahighschool2179 3 жыл бұрын
Mungu amrahamu shekhe Nassor na amjaalie kizazi chake kuwa katika kundi la wafuasi (Shia) wa Mtume s.a.w na ahlulbayt na swahaba zao wema. Amin
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Nyinyi mashia ni makafiri
@abdulazizi2475
@abdulazizi2475 Жыл бұрын
Kumbe kikundi loh!!!!
@khamismachu9612
@khamismachu9612 3 жыл бұрын
Mashaallah mungu amrehem
@NoorAli-vj4gn
@NoorAli-vj4gn 3 жыл бұрын
Ameen
@maseledotto8490
@maseledotto8490 3 жыл бұрын
Amiin
@eaduruus8896
@eaduruus8896 3 жыл бұрын
Assalamu Alaikum. Sheikh Muhammad, tunaomba utuwekee duruus za Tamaamul Minnah zilizofundishwa na Sheikh Bachu Allah amrehemu, ili tuweze kustafidi kielimu, baarakallahu feekum.
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 3 жыл бұрын
Shukran
@adamtawete5865
@adamtawete5865 2 жыл бұрын
Allahmdullilah ala manhaj Sarafi
@allysalimsalim4965
@allysalimsalim4965 3 жыл бұрын
Huyu sheikh Allah angempa pumzi paka SAS hv kwa uwezo wa Allah tungefaidika Sana ila Allah ndo mjuzi zaid ya hilo
@abdallahomarabdallah4244
@abdallahomarabdallah4244 2 жыл бұрын
Allah anafanya mambo yake kwa mipango alimuondoa Nassor Bachu akamleta Muhammad Nassor Bachu nae huyo amefuata nyenendo za baba yake Allah amuhifadhi na amueke anapo stahiki sheikh Bachu.
@suleimanjuma4443
@suleimanjuma4443 3 жыл бұрын
Assalamu Alaikum. sheikh naomba uiweke yote na sheikh ukipata nafas hebu tuelezee na kusihana madhehebu ya salafii.Allah amrehemu sheikh wetu nassor bachu
@hannanshekale5574
@hannanshekale5574 3 жыл бұрын
Ni babako huyu sheikh muhammad
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 3 жыл бұрын
Nani ana mzushia ushia shekhe wetu
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Shia ni muslamu au ni nani.naomba ijibu?allah atulinde waisalmu wite duniani atupe mwisho mwema.
@rashidyusuphmwatebela8802
@rashidyusuphmwatebela8802 3 жыл бұрын
Shia so muuslamu, Wao hawamuamini ALLAH ambaye tunamuamini sisi, ALLAH ambaye Mtume wake wa mwisho Ni Muhammad na khalifa baada ya Mtume huyu Ni Abubakar. Bali wao wanaamini maimamu wao 12, wanasifa za kiungu, na Kujua ghaibu n.k Hakika kwa hayo na mengi, wao so waislamu. Bali wanadai ya kuwa ni waislamu ...na madai pasina uhakika si lolote so chochote
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 3 жыл бұрын
Yoyote anaemuabudu asiekua Mwenyezi Mungu mmoja Subhanahu Wataala si muislam, na yoyote anemshirikishwa Mwenyezi Mungu Subhanahu Wataala na yoyote katika ibada zake, dua zake na ufalme wake huyo sio muislam
@khamisissa252
@khamisissa252 3 жыл бұрын
@@rashidyusuphmwatebela8802 sahih.
@sittacharlesmaendeleo778
@sittacharlesmaendeleo778 Жыл бұрын
Shia ni kafiri
@sultannassor4868
@sultannassor4868 3 жыл бұрын
Tunahitaji muendelezo
@meekman654
@meekman654 3 жыл бұрын
Tupeni muendelezo
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 Жыл бұрын
Kwani nikulize wewe Muhammad bin bachu Una sumbuka naninii? Pia ikiwa ushaudhihirishiaa UMMA kwamba hii ndio batili na ipi ndio HAKKI usibabike na hao wanao watoa watu na kuwakufurisha watu. #Usibabike#
@bilalihaji8431
@bilalihaji8431 3 жыл бұрын
Hajanikinaisha kabsa yannnnnn
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 6 ай бұрын
ushia ndio ukweli
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 9 ай бұрын
Mashia ni waislam halisi
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 9 ай бұрын
Mashia ni waislam halisi wa nyumbani kwa mtume
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Nguruwe za mashia ni makafiri wa waazi
@abdillahbakar9850
@abdillahbakar9850 3 жыл бұрын
Shekh muhammad bachu nakuuliza nasikia chichi amebadilika amekua shia hivi ni kweli
@khaliddaud5352
@khaliddaud5352 3 жыл бұрын
Acha kupotosha waitu wee hujui chochote unasababusha waislam kuuwana huna ilmui
@bilalihaji8431
@bilalihaji8431 3 жыл бұрын
Inshaallwaa...ushia utashinda....hahaha
@saddammasha332
@saddammasha332 3 жыл бұрын
Khanithi mkubwa
@hemedsaidi9388
@hemedsaidi9388 9 ай бұрын
Bachu kafiri huyu anayetukana masheikh
Muhammad Bachu JE NI KWELI NABII MUSSA ALI ONGEZEWA SIKU KWA KUPIGA MSWAKI??
30:14
Mawaidha mazito sana haya || Sheikh Nassor Bachu
31:22
Jiongezee Maarifa
Рет қаралды 22 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 16 МЛН
CHANZO CHA MAJADIDA KUMTOWA MUHAMMAD BACHU KWENYE MANHAJ YA AHLU-SUNNA WAL-JAMAA.
36:22
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 683 М.
Siku ya malipo||Sheikh Nassor Bachu 1988.
59:56
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 16 М.
1 FAIDA ZA SWAUM SH NASSOR BACHU
42:47
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 42 М.
SHK NASSOR BACHU: MAAJABU YA QISA CHA VIJANA WA PANGONI WALIOTAKASWA NA ALLAH
46:56
Uzito wa Fadhila za Sadaka hii ya Ajabu. Sh. Nassor A. Bachu
30:00
OBA Online tv
Рет қаралды 52 М.
KUIPA MGONGO DUNIA 2/4 - SHEIKH NASSOR BACHU
46:06
MUZDALIFAH
Рет қаралды 51 М.
Fitna ya dunia || Sheikh Nassor Bachu
13:59
Mawaidha Ya Dini Ya Kiislamu
Рет қаралды 4,6 М.
Sheikh Naasor BACHU - MAMBO YOTE NI YA MWENYEZIMGU
1:00:01
shining noor
Рет қаралды 138 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44