Maasha allah shekh bachu Allah akulipe kutokana na kusudio lako. ILA SHEKH KOSA MOJA NA WWE UMEKOSEA. Unge muuliza shekh anakusudia malaika wapi hao anao waagiza kabla huja hukumu. ikiwa ni malaika hao viumbe vitukufu bas mhukumu kuingilia mamlaka ya Allah na ikiwa si hao bas ni maneno yasio na msingi ni ya kucheka tu na kutupa kando kama walivyo cheka mashekh hapo.
@MuslimIbrahim-qf4nn4 күн бұрын
Nipo GOMA DRC nakufata sana sheikh mashallah Tabarakalla
@AhmedMohamed-mw3ev8 күн бұрын
Shukran Muhammad kwa elimu mm nakuelewa vizuri sana Allah akulinde na kila shari pamoja na mashekh wengine anapo Kosea mtu muweke sawa haijalishi yy nani hii ni dini
@khalifa_kuchi8 күн бұрын
Wallah hatotokea sheikh mwengine kw kipind hichi ambae ataweza kuongea ukwel km unavyoongea ww juu ya ukwel ktk dini haijalishi ni serekal au ni mufti, na hao w2 wa twarika sio km hawayaon haya ila wamekaa kimya na hawataongea llte hata km wanayakini kua muongeaj amekosea na anaxhoongea ni shirki yaan hii dini imekua mtihan wallah mtu anaujua ukwel ila anaufich eti tu kua aloongea ni miongon mwa w2 wa manhaji yao yaan allah atawalipa ambacho wanastahiki InshaAllah...
@abdallahmgaya75217 күн бұрын
SIO KILA MZEE ANAUFAHAMU WA DINI
@abdallahmgaya75217 күн бұрын
alaika wote Yafughaluuna ma yughmaluuna na Allah
@KitasaWaaction-gm9zr4 күн бұрын
Usiseme hivyo anaeleta ni Allah unaapa vp hatotokea kwani umepata ujumbe kwamba Allah hatoleta mwengine?
@KishkitvAhmad8 күн бұрын
Sheikh Muhammad nassor bachu wallahi wa billahi mimi nakupenda kwa jili ya Allah. Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor bachu uhibuka fi Allahi.
@conhecmintokujuwa8 күн бұрын
Uko umkowa gani
@OmarAli-pd5xw8 күн бұрын
MaashaAllah wewe ndiye sheikh msema kweli katika zama zetu Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe Amin.
Alhamdulillah Ujumbe Umefika . Allah akuhifadhi wewe na sisi biidhinillah. Hawa masheikh ni mitihana sana wallahi lakini Hakki itasimama biidhnillah. Shukran al akh sheikh Muhammad.
UJUMBE umefika Sheikh wangu WAMESIKIA WENYE KUNUNA WANUNE ILA Allah kasikia pia.Hauna dhima Tena kwahilo. Jazaqahau khaira ..Allah akuhifadhi.
@SheikhHassanMussa8 күн бұрын
Sheikh Muhammad Bachu Namuomba Allah Akupe Umri Mrefu Wenye Manufaa Mawe Pia Azidi Kukutumia Katika Dini
@MohammedBakari-pn9yg8 күн бұрын
Sheikh muhammad bachu ALLAH azidi kukupa elimu yanye manufaa kubwa zaidi ALLAH akueushe na husda na kijicho na ALLAH akupe dunia na akhera na akuepushe na moto 👏
@jamalsaid74758 күн бұрын
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
@othmanali74088 күн бұрын
Amin
@RamadhaniShembilu-l1e8 күн бұрын
Subhaanallaah wallahi hawawatu wanashida sana asee yani kilasiku vituko ,wakisemwa wakiwekwasawa wanaleta kibri wanahisi wanajua sanaaaa
@SefoOmarSaide8 күн бұрын
ALLAH awateuwe wengui mfano wako. Malipo ya sio na kifani yawe Ju yako sheikh.
@AbuuAhmed-d4n8 күн бұрын
Allah akuhifadhi shk mohamad bachu kutubainishia haq Bila ya kupepesa jicho hiyo ni hatari sana Allah akuhifadhi watu na baadhi ya mashekh wanafanya Istihidhai ktk dini ya Allah Allah awaongoze na sisi pia
Chawa wa ccm hao, njaa zinawafanya wamkufuru Allah ili kumfurahisha binadamu. Allah akuweke na akusimamie kwenye kuisimamisha dini yake sheikh Bachu
@AdamAlzubedi8 күн бұрын
Kabisa
@OmaryHunte-o5c6 күн бұрын
ACHA ujinga hakuna shekhe maskini mwenye njaa wewe ndo una njaa kwani mashekhe walikuomba hela au chakula chako
@OmaryHunte-o5c6 күн бұрын
@@MbongoinToronto hahahahaha Mimi so yatima au useme kilema ndo unipe pesa zako alhamdulillah nguvu alizo nipa Allah na akili vinanitosha hela zako kula mwenyewe.
@MbongoinToronto6 күн бұрын
@@OmaryHunte-o5c Hii dini ni ya Allah sio kitu cha kuchezea ndugu na Kama wewe hauoni tatizo hawa masheikh wanapokosea basi jitafakari na wewe akhii. Usilete ushabiki wako wa kutetea batil
@OmaryHunte-o5c6 күн бұрын
@@MbongoinToronto dini Haina kitu kinaitwa ushabiki ushabiki upo kwenye mipira michezo mwingine ya kidunia .usichanganye mipira na michezo mwingine ya kidunia na dini
@mohammedi88508 күн бұрын
MASHAALLAH SHEIKH BACHU.. ALLAH AKUPE NGUVU NA AKUSIMAMIE
@muhamadkhalid49768 күн бұрын
Aamin
@jamalsaid74755 күн бұрын
@@mohammedi8850 Ameen JazakaAllaahu'khayran
@Saloumy19918 күн бұрын
Maashallah sheikh nimekuelewa vizuri sana Alhamdulillah
@jamalsaid74758 күн бұрын
Alhamdulillah
@MussaSeif5G8 күн бұрын
Alhamdulillah. Shikh ujumbe ushafikisha. Jukum lak ushaliondoa kwa Allah kukosoa watu wakikosea
@IssaLuhindi8 күн бұрын
Allah Akuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu. Nilishawahi kusema huko nyuma, chunguzeni sana vikao vya wazee wetu hawa Masheikh wa DSM, kwenye kila kikao huwa kuna mashindano ya kuwa ni nani atakayetoa jambo jipya imma la kuwachekesha watu au la kuwashangaza watu almuradi aonekane yeye ndio mtu wa hikma nyingi alafu watu wanafurahi na hata mara nyingine kumtuza kwa pesa- chunguzeni sana hili jambo. Huku kutaka kuonekana kwa style hii ndiko kunakopelekea matamshi ya ajabu kwenye mijumuiko ya dini. Allah Atuongoze sisi pamoja na wazee wetu, maana ndio washakuwa wazee wetu tena!
@abdouibnmninara70008 күн бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajiuun anatoa Amri kwa Malaika yeye kiumbe dhaifu "kuishi kwingi kuona mengi"
@AbuuLuqman-oz1td8 күн бұрын
Sheikh Mohammed bacho nakupenda sana kwa ajili ya allaah namuomba allaah akuhifadhi azid kukupa umri urefu wenye manufaa na akulinde kutka na mahasidi na vijicho AMIIIN 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏
@selasboy39668 күн бұрын
Maashallah umepiga mshono wa masufi shekh...
@awathislammwalile45378 күн бұрын
sio masufi hii ni kufru kotekote haijalishi bali wale mashekhe wapo wanaangalia matumbo yao
@MagariUsed8 күн бұрын
Kweli wazee wetu sasa wanapoelekea daaaaaah!!!!! Bachu Allah Akulipe
@jamalsaid74758 күн бұрын
@@MagariUsed Ameen JazakaAllaahu'khayran
@yassinsaid-b7v8 күн бұрын
Achukie mwenye kuchukia lakini darsa ya sheikh muhammad bachu ni ilimu tupu ..acha ushabiki kando... muhammad bachu anatusomesha mambo mingi kupitia rudud ..Allah akulipe mema kwa juhudi hizi
@ramadhanisalumu26678 күн бұрын
M/MUNGU Akufanyie wepesi bachu na huo ndio uislam unavyotaka ttuwe wa kweli na tukumbushane kwaiyo sio vibaya kuwakumbusha haijalishi umri Hauna kosa na kosa sio lako
@SaliminhizzaHizza8 күн бұрын
Allah akulipe sheikh Muhammad na akupe mwisho uliokua mwema
@jamalsaid74758 күн бұрын
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
@hamisisaidi95255 күн бұрын
AMEEN
@Saloumy19918 күн бұрын
Mashallah sheikh alla akuoe afya njema,,,,,napenda vile ukirekebisha makosa unatumia vitabu tu na wala sio akili yako
@AlbanSaifullah-w1y7 күн бұрын
❤❤❤ sheikh wng muhammad bachu Allah azidi kukuhifadhi Ahsante kwa faida ❤❤❤
Nashangaa sana kitu kimoja mbona hakuna. Shekhe ata mmoja katika hao unawaowazungumzia anayeyajadili maisha yako . na imani yako
@Hemedi-m9m5 күн бұрын
wewe nawe kwenda zako fala wewe huna unalo juwa
@OmaryHunte-o5c5 күн бұрын
@Hemedi-m9m ورد الله الذين كفروا بغيظهم لم ينالوا خيرا وكفى الله المؤمنين القتال وكان الله قويا عزيزا
@sheikhabuusakakin32438 күн бұрын
وفقكم الله شيخنا إلى مايحبه ويرضاه اللهم أمين
@SwaahibLota7 күн бұрын
Allaah akubaariki
@RashidMohamed-f9s8 күн бұрын
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh Sheikh Mohammad bachu samahani sana tunaomba usifunge download kwa sababu sisi wengine tunasoma kupitia hizi darsa zako jazakallah kheyr
@mirajimsigiti73178 күн бұрын
Tunaweza sasa kudownload AKHY,mambo yamerudi KAMA kawa
@RashidMohamed-f9s8 күн бұрын
@mirajimsigiti7317 shukran sana
@mfalmenajjash21288 күн бұрын
Halafu kunamjinga mmoja anakuja anamlaumu Muhammad bachu kwa ruddud kilasiku raddi tu raddi tu ujinga ndo kama huu vipi mwenye elimu anyamaze wallah Muhammad bachu Allah atakulipa mema yako kwahili na jengine insha Allah
@jamalsaid74758 күн бұрын
Ameen JazakaAllaahu'khayran Simba wa Afrika Mashariki na kati (Sh Muhammad Nassor Bachu)
@jamalsaid74758 күн бұрын
Alhamdulillah
@AbdulRama-u7d8 күн бұрын
Allaah akubaarik Aaamiin
@iddimohamed2547 күн бұрын
Watu wa twarika wamepotea Allah awaongoze...
@seifsaid99058 күн бұрын
MASHAALLAH ILA HII MADA ANGEZUNGUMZA SHEKH ABDU ROGO AU ABUU ISMAIL PANGECHIMBIKA KWA HAO MUNAFIKINA
@jumasaidi31618 күн бұрын
Allah akuhifadh
@Zsdaughter7 күн бұрын
Jazajakallahu khair Sheikh.
@unknowna84428 күн бұрын
Hawa masheikh wa bakwata ni shida
@IsmailiSeif-y4r7 күн бұрын
❤❤❤❤sheikh wangu muhammad Bachu ❤
@ABDULHAMIIDMUSSA-pt3is8 күн бұрын
جزاك الله خيرا و أحسن الله إليك.
@saadaAbdalla13718 күн бұрын
Ahsante kwenye upande wa kuombewa dua na malaika umetupa faida kubwa Allah akulipe kheri
@spartachize1228 күн бұрын
Anchokiongea shekhe wetu apa, hauhitaji akili kubwa sana kumuelewa, yaani amenyoosha maelezo kabisa ila wale wenzetu njaa inawasumbua na uoga wa kuambiana ukweli😢😢
@KhamisDaud-nz3rc7 күн бұрын
Jazaakallah khayra
@SuleimanAlly-c9p8 күн бұрын
Yaani dah tunaelekea wapi ss jmn ,subhanallah yaani mtu anathubutu kuongea hivo
@davidruhasha96708 күн бұрын
UCHAWA HADI WANAVUKA MIPAKA YA ALLAH, ALAFU MASHEIKH MBACHEEEEEEKA
@daudymlauletv84898 күн бұрын
Sheikh umenyooka huna baya mwenyezi mungu akulinde na akupe mwisho mwema njaa zinasababisha watu wamuone rais kama mungu naye rais badala ya kuwaonya anafrahi TU mtihani huo
@MachanoabdullaBakari198 күн бұрын
Lawama hatutomuelekezea rais kwa kiwango kikubwa. Man twajua hana kiwango cha kutengemewa kwa kiasi kikubwa ktk Taaaluma ya Dini. Yawezekana akawa hajui asa! Ila masheikh ndo tuwaelekee ktk hili. Hongera akhiy ❤.
@sheikhabuusakakin32438 күн бұрын
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
@mootelahamongus6338 күн бұрын
Halafu Hawahawa ndio wakikosolewa hata kwa mambo yasiyo na ikhtilafi, hawatakagi kukubali kuwa wamekosea hata siku Moja. #Inasikitisha Sana Kuona Wanaoupaka Sifa Mbaya Uislamu ndiyo Waislamu Wenyewe. Bakwata Badilikeni.
@JaylanAbdallah7 күн бұрын
Muhamadi bacho Allah akuifazi
@SalimHamad-qy5ki7 күн бұрын
Alhamdulilah
@pavillioncry52418 күн бұрын
Tumuombe allah amchukue huyu mzee Ili aende akaone ni nani mwenye mamlaka ya kiwaagiza malaika wa allah
@kasimubangu18758 күн бұрын
Hapana huyu ni wakumuombea tu Allah amuongoze sazingine huwa nikujisahau tu
@NahimanaAssumani5 күн бұрын
Allah atuongoze kwahuruma wake
@khalifa_kuchi8 күн бұрын
Jmn mengine tuwen makin tusijaongee tu wallah imekua too much tena w2 tumekua hatuong llte ila kw mungu ni kuzito, wallah angalien me naamin ostdh haji upepo,ostdh mziwanda, mufti, ostdh diwan, osdtdh said wa kenya, kina masheikh shahran, ostdh msellem bin ali sheikh farid na masalafii majadida wote hili hamulion au mwahis sio kosa kias ambacho kwenu halina umuhim musisahau kua na nyny yote mutaulizw na mutahukumiwa pia wallah kweny ukwel shikamaneni muutete ukwel na muondoe batwili, hlf endeleen na raddi kw lengo la kufundisha ila sio kubomoa na kuharibiana ktk dini fahamun ipo sk mutaulizw na mutahukumiw dunian tunapita tu...🙏😢😭
@NasriSaidi-s4h8 күн бұрын
Tukinyamaza mjinga atajuaje kusema hivyo ni kosa
@HabibMohd-l3h8 күн бұрын
Masha Allah
@mayasahamisi12338 күн бұрын
Tulisha ambiwa katika kitabu namungu ...hao wanataka duniaa
@suleimanhamad23968 күн бұрын
Shekh bachu mm ukiwa unasafisha mazingira usiwe una tabasam uwe mkal kwel kweli kama marehm bachu
@shafiiluunje50438 күн бұрын
Shukrani sheikh
@Saloumy19918 күн бұрын
kulikalia kimya jambo la makosa pia ji makosa,,,,ila mtu akirekebisha huonekana ndio mkosa zaidi
@MustafaAli-w4x4s6 күн бұрын
Sw lakini asitumie njiahii ya uzalilishaji shekh lzm atumie hekma anawazalilisha wadini,akiamua kuelimisha awatafute kwanjia ya priva nasio kujionyesha kwenye mtanda hakuna mtume wala swahalo alowahi kuwaelimishawatu kwanjiahii, huyu amekosa hekma na busara, wapo wamesoma kulikoyeye lkn hawana ujingakamahuu. tumia hekma katika kuelimisha shekh,maanaww huelimishi wewe unawakosoa.
@abdallayunnus34757 күн бұрын
Mashaallah
@saidsaidoo97236 күн бұрын
Mashallah
@OmarAlly-iz8ot8 күн бұрын
Viras kama hawa ndio hupandikizwa kwenye vichwa vya watu, sasa nilini wataelewa Dini safi na Dini ambayo ni Muzayyaf? Mashekhe wakubwa ujinga wao kwenye mambo muhimu ya ki iimaan ndio kama huu ,hao wachini unadhani watakuaje? Wallaahi namuombea Dua sana Shekhe wangu Shekh Nassor Abdalla Bachu, Allaah amsamehe makosa yake, na amtengenezee kizazi alicho kiacha, na amuingize Janna ya Firdaus........... Kwani yeye ndio sbb yamimi kuacha upumbavu, ujinga, uzuka, na uzushi wa kisufi. Alhamdu lillaah kwa kunitoa kwenye wazushi na kuniweka kwenye mwangaza wa Elimu sahihi na Sunnah.
@mbwanahussen29507 күн бұрын
Shekhe wakumbushe mashekhe wa dunia na ss wanafunzi tusomeshe
@sheikhabuusakakin32438 күн бұрын
أسأل الله أن يرفع درجتك
@KhamisDaud-nz3rc7 күн бұрын
Allahumma aamiin
@MustafaAli-w4x4s6 күн бұрын
yaani kaziyenu kukashifianatu ibada zinawashinda ujingatu mlokuwanao upuuzimtupu
@Captainome8 күн бұрын
Njaa mbaya shekh wangu hawa watu wanaagalia matumbo yao,kisha mkirekebishwa mwasema mawahabi hawana adabu kwa mashekh wakubwa. Mnajichekea chekea.mtadhalilika mpaka kuingia kaburini kwenu makhurafi mijisufuuu.
@Khatib-xp6fp8 күн бұрын
Ila lazima tufaahamu
@mohagurey22148 күн бұрын
Msikosoe mashehe wetu
@Captainome8 күн бұрын
@mohagurey2214 hapo amesema maneno ya sawa
@mohagurey22148 күн бұрын
@@Captainome kabisa
@Captainome8 күн бұрын
@mohagurey2214 mikhurafii tu hawa mashekh njaa tupu.anatoa amri kwa malaika kama.nani yeye hata kama wanataka poshooo wapime maneno yao,kisha uje umskie mtu kama.mziwanda au haji manara akiwasifia tumelelewana na hawa wazeee brother nisiwe mnafiki nawachukuia watu wanaovuka mipaka ya Allah.
@HannatKhamis-k7c8 күн бұрын
Bachu ni mwanachuoni aliezama kwenye elimu sijawahi kumuona kuongea isipokuwa kwa kitabu
@jamalsaid74758 күн бұрын
Swadaqta Alhamdulillah
@Bantu-u9m8 күн бұрын
Hapo pembeni kushoto yopo ,aliye ona tatizo- anatikisa kichwa namna ya kukataa.
@makamebakari71068 күн бұрын
hilo jongooo lisha zoe kukufuru sio mara yakwanza tena kukiwa na mikusanyiko ya viongozi wa kubwa. hao ni walinganiaj wanao walingania watu kuelekea katika milango ya moto nawatao wafuata wataingia nao. Allah atuifadhi.
@AbuuNusaiba8 күн бұрын
Allah akbar
@Zanzibar00018 күн бұрын
Wale mabwana wanajulikana kama wasaka tonge wote wale waongo wale md wa kupiga pesa sass hv utasikia dua utakuja kusikia Halal badri isomwe mwisho watakwanga hadharani
@khalifa_kuchi8 күн бұрын
Na wallah watatokea w2 watatetea hichi k2 kisa kimeongelea na masheikh zao wkt hii ni shirki ya wazi jmn hii dini sio katiba tufahamu ipo sk tutahukumiwa tusiangalie kula ya sk chaxhe tu, binaadam hamuna k2 leo yupo hai kesho marehemu
@KhalfanMakota8 күн бұрын
Issue yeye ni nani mpk aamrurishe malaika yaan kusomeshwa nje ya nchi na nyerere ndo iwe sabab kuwaamrisha malaika
@KassimSaary-q5r8 күн бұрын
Mzee unafkiri mama hajasoma, WW mzee unaona Dili bahasha inafwata, umri Huo, Na Hio group inacheka bila waswas, upungufu wa elimu bachu somesha shamba geng
@AbdulIssa-o7e8 күн бұрын
Kubali hakki hata ikija kwa adui wako
@husseinmongolare34177 күн бұрын
Shukran ❤
@OmarAlly-iz8ot8 күн бұрын
Laa hawla walaa quwwata illaa billaah!!! Mara nyingi husema, masufi ndio waharibifu wa Dini hii, wengine huona haiwezekani, kuna mawalii, mashekhe wakubwaaaaa😂😂😂😂😂 Ukiwa sufi lazima uwe mwepesi kwenye Dini yako, au uwe mnafiki, mpumbavu, chizi.............. Hapo ndio utaungwa mkono na masufi wenzio. Na haiwezekani uwe sufi, khalafu hapohapo uwe mtetezi wa haqqi, abadan. Khalafu masufi hawana khofu ya Allaah hata kidogo, yani jambo kubwa kama hili eti wanacheka na kukwekweteka mbavu, wasanii wakubwa hawa. Khalafu musitarajie vile vinafiki vidogovidogo kina upepo vitasema lolote, labda kutetea, hilo wanaweza, na diwani wao😢😢😢! Masufi kubwa ni kuhakikisha tonge inakwenda kinywani, hapo hawana Dini, hawana aibu, hawana utu, wakati tonge inakwenda kinywani, chochote watakifanya, na watakitetea, ndiomana nasema; Zama hizi kuna Mashekhe ni muhimu sana kuwepo hai, ndio kama huyu Shekh Muhammad Bachu, Allaah amhifadhi, na amlinde na kila shari, na amzidishie maarifa na ujasiri wa kuyafikisha maarifa hayo sehemu husika.
@KhalfanMakota8 күн бұрын
Mm nilivyoiona tu juzi nilijua jongo kaaribu mambo na hapo mustawa wng ni ibdaiya😂😂😂
@RamadhaniShembilu-l1e8 күн бұрын
TATIZO LA HAWAWATU WAKISHAPEWA VIELAKIDOTU WANASAHAU HATA MIPAKA YA ALLAH, HUYOMTUMWENYEWE MNAE MUOMBEA NI DHAALIM KUPITILIZA NA HIO SEREKARIYAKEPIA PIA ALLAH HAYUPO RADHI NAYO,LEO MALAIKA WAMUOMBEE MMH KWAKIP, EHU NYIEMASHEKHE IZONJAAZENU ZISEMEENI.MUOGOPENI ALLAH
@ShabaniJumbe8 күн бұрын
Utakua unaupungufu kichani kwako ww
@abuuaidh65008 күн бұрын
Nidhalim Maana anaidhulum Hadi nafsi yake . N a hao Masheikh njaa wanazidi kumpalilia dhulma.
@samirrubeya23797 күн бұрын
Misufi ni watu wa kejeli na dhihaka kwa dini ya Allah.
@selasboy39668 күн бұрын
Usufi ni ujinga , utaahila na unafiki ktk dini fatilieni mtajua tu
@saidhalfan34528 күн бұрын
Una amrisha mema na kukataza mabaya, kumbuka maagizo ya Luquman kwa mwanawe
@nnajahtv8 күн бұрын
Hawa wanao Hara nimfano wao maana watu wanazungumzia ryknul iiman mwengine anasema sijui kasm mafuta, oh ufahamua wajo mmbivu Masufi wote akili zao zina fanana kama walivyo sema wanazuoni
@MswahiliIdd8 күн бұрын
Kitaeleweka
@saidomarkiroboto82298 күн бұрын
Huo....ni upuzi shekhe wangu
@jumamohamed31688 күн бұрын
Upuuzi au wapi hapo na anayetoa maagizo kwa malaika au anaye kosoa juu ya aliyekosea ili watu wengine wajue kuwa kitendo cha mwanadamu kukusudia kutoa maagizo kwa malaika sio jambo sahihi yaani ni makosa makubwa .
@pavillioncry52418 күн бұрын
Misufi ni mapunda wa mashia( imam shafiii)
@allyjuma96698 күн бұрын
Al khamdulilah kuwa ninashika manhaji salafi kweli masufi hawana akili
@hajisimaikhatib90028 күн бұрын
Hawa mashekh hamna kitu alipo mama si uwislamu ni democracy maskini duwa hiyo hata juu ya vichwa vyao havifiki.
@ImanSaid-q4i8 күн бұрын
😂
@HassanHassan-si2rt8 күн бұрын
Uko vizur, Ila utakua vizur zaidi pale utakapo muogopa ALLAH zaidi kuliko usalama wa taifa katika daawa zako, Usiwaogope hao hawawezi kukufanya lolote ila ALLAH aridhie. Nakama utabaki kuwaogopa basi daawa yako haitokua ya Moja kwa Moja kwakua kunamambo hautoyabainisha kwa umma kisa kuwaogopa usalama wa taifa, (Daawa ni chungu sana Nakwakua ww umeamua kua mtu wa daawa basi usimuogope mtuu,) Fikisha kama ilivyo pokewa. ,{kimsingi upo vizuri sana na ALLAH AKUHIFADHI}
@SheheMachili8 күн бұрын
Busara inaitajik shekh Musa anatumw Kwa firaun na Allah kamwambia lakin kamwambie Kwa hekm umpe maneno mazur
@HassanHassan-si2rt8 күн бұрын
@SheheMachili Huoni kama ni busara na muft + walid nao wametumia busara kutomkosoa mzee jongo hapo hapo, Nani katika sisi ajuae kua baada ya hapo walimkosoa au laa, Pengine nao walitumia hekima kwa mzee jongo , Je nawao wasilaumiwee? Jamaa uislamu ni Quran na Sunnah nje na hapo hio sio dini. Ninachomaanisha hapo mm nikwamba hata daawa ifikishwe kama ilivyo kuja bila kujali cheo wala wadhifa wa mtu, Mtume s.w andetizama wadhifa kwa wale mabwana wakubwa wa makka basi hii dini isingesimama, Aliki alifikisha kama alivyopokea ndio maana akapigwa vikali na usalama wa taifa wa kipindi Kila ila hakusita kuifikisha daawa. Usitie hekima katika kulinda MAOVU.
@abuuaidh65008 күн бұрын
Busara kwenye kusema kweli ni kusema lililo la haki Mfano. Mwanamke haifai kuwa kiongozi hekma ni kusema haifai mwanamke kuwa kiongozi . Na hapo Allah hawezi kumrizia huyu Maana amekanusha .
@HassanHassan-si2rt8 күн бұрын
@abuuaidh6500 Sure, Sema sasa masheikh hawawezi kusema hivyo kwakua wanawaogopa usalama wa taifa, Nawatu wasio julikana, Badala yake wanaanza kumsifia nakusema kua apewe MITANO mingine. Khatar tupu kwa masheikh wetu
@KhamisDaud-nz3rc7 күн бұрын
Hili jambo alilolisema hapa ni jambo kubwa mno wale wanaoogopa usalama wa taifa hawawez kuinua midomo hapa mana kukosoa hapo ni kama umemkosoa raisi kwani hao wote hapo ni watu wake na hapo walipo wanatetea posho zao