MUHIMU KWA WOTE: RITA YARAHISISHA USAJILI VYETI vya KUZALIWA, MAONESHO ya SABASABA..

  Рет қаралды 3,913

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

MUHIMU KWA WOTE: RITA YARAHISISHA USAJILI VYETI vya KUZALIWA, MAONESHO ya SABASABA..
WAKALA Wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA,) wameendelea kuwahudumia wananchi kwa kuwasajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa kwa gharama ya shilingi elfu kumi kwa kila mwombaji kupitia maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandshi wa habari katika maonesho hayo Afisa Mawasiliano kutoka RITA Jafari Malema amesema kuwa, katika maonesho hayo ya kimataifa wamejipanga kutoa huduma mbalimbali zinazotelewa na wakala hiyo ikiwemo kutoa elimu kwa Umma pamoja na kutoa msaada wa kisheria wa namna ya kuandika na kuhifadhi Wosia sambamba na masuala ya ndoa na talaka na kubwa zaidi ni kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa wananchi ambao hawakuwahi kusajiliwa.
Amesema, wamejipanga katika kuhakikisha wananchi wote watakaojitokeza wakati huu wa maonesho wanapata vyeti vya kuzaliwa kwa wakati.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 1
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 11 ай бұрын
cheti cha kuzaliwa,cheti cha kufa,cheti cha kupumua.hii yote ni ubepari.nimeshazaliwa je natakiwa nithibitishe kuwa nimezaliwa?
Mercy Mawia  😭😭💔 Bye bye  ooiiii See What happened...
9:44
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 10 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 33 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 33 МЛН
AMANI KARUME AFICHUA SIRI YAKE NA HAYATI MWINYI
7:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 26 М.
Urahisi wa kupata kitambulisho cha Taifa huu hapa
2:11
Daily News Digital
Рет қаралды 9 М.
JINSI YAKUHAKIKI CHETI CHA KUZALIWA BIRTH CERTIFICATE
19:27
DMG info2
Рет қаралды 7 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 33 МЛН