UTARATIBU WA KUFUNGA NDOA BOMANI | INTERNATIONAL MARRIAGE CERTIFICATE | VITU UNAPASWA KUA NAVYO

  Рет қаралды 1,712

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Ndoa ya bomani ni ndoa ya kisheria ambayo inatambulika duniani kote endapo utafata utaratibu unaohitajika ipasavyo.
Vitu vya kua navyo kabla ya kufungishwa ndoa, wakati wa kufungishwa ndoa na baada ya kufungishwa ndoa.
Kigali kuna expire baada ya siku 7
Ofisi za Rita zipo kila mkoa, ila Kama wewe ni mkazi wa Dar es salaam basi utaenda ofisi za Rita makao makuu Posta.
www.oda.international

Пікірлер: 25
@MaaneML
@MaaneML 8 ай бұрын
Asante Sana Shena kwa Ukarimu wako. Tuombee tu tuweze nasi kufanikisha kupata wenzi tunaowataka. Mungu akusaidie.
@AnastasiaWanjiku-jm5nk
@AnastasiaWanjiku-jm5nk 11 ай бұрын
Its the same here in kenya nilisikia sio rahisi ina kazi mingi
@Lizzyktd
@Lizzyktd 11 ай бұрын
Ahsante Dada kwa Elimu
@doramkolo1745
@doramkolo1745 11 ай бұрын
Asante sana shena❤
@mwanaidibakari3657
@mwanaidibakari3657 11 ай бұрын
Not na swali ata Kenya taratibu ziko kama zakwenu?
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Sina uhakika kwa Kenya Ila nitafanya uchunguzi
@mwanaidibakari3657
@mwanaidibakari3657 11 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance ln Sha Allah ebu fanya utafiti sababu cna mtu namjua Kenya anaelewa kuhusu haya mambo mm nakufahamu ww tu
@deuskusaga8156
@deuskusaga8156 11 ай бұрын
@JackilineJoeli
@JackilineJoeli 6 ай бұрын
Je naweza kuomba kibali bila yeye kuwepo😊
@hassanally3347
@hassanally3347 Ай бұрын
Vipi lazima wote mwende
@marthamlove1342
@marthamlove1342 11 ай бұрын
Asante kwa Elimu ila vipi kuhusu ndoa za kanisani kibali pia kinatakiwa rita?
@tausijuma2124
@tausijuma2124 4 ай бұрын
Na kama ni muislam anataka kuongeza mke apo inakuaje?
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 11 ай бұрын
Pale Ofisi ya Mkuu wa wilaya ni lazima awafungishe Mkuu wa wilaya mwenyewe au kuna Ofisa maalum kwa kazi hiyo. ??
@Annie_944
@Annie_944 11 ай бұрын
Mnafungishwa na katibu tawala
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 11 ай бұрын
@@Annie_944 okay Asante .
@susanjawa9569
@susanjawa9569 11 ай бұрын
Mimi dada naomba number yako sijui nitaipataje
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
+4367764790884
@aisha8216
@aisha8216 4 ай бұрын
Asante sana..nauliza kama mume ni Mtanzania je anahitaji certificate of no impediment?
@aisha8216
@aisha8216 4 ай бұрын
Mke ni Raia wa Nje
@mwanaidibakari3657
@mwanaidibakari3657 11 ай бұрын
Hakuna kuvalishana Pete katika uislamu jee hii nitaratibu ipi?
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Video inaongelea ndoa ya bomani sio ndoa ya dini
@mwanaidibakari3657
@mwanaidibakari3657 11 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance ss nikihitaji ndoa bila haraka jee nitahitaji hivo vitu umetaja
@mwanaidibakari3657
@mwanaidibakari3657 11 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance samahani kwa maswali maana mm naelekea hapo Nina mzungu tayari
@Sophia-b3k
@Sophia-b3k 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
BILA EURO 30,000 HAWEZI KUNIALIKA | TULIKUTANA LOVOO | TULIPEWA TAARIFA ZA UONGO
15:54
Official Dating Assistance
Рет қаралды 4,9 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 73 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
ANALALA NA WANYAMA | HATAKI NDOA | NIFANYAJE ANIPENDE | ANATAKA MAHUSIANO YA WATU WENGI
33:06
UTARATIBU WA KUPATA CHETI MBADALA
10:40
NECTA ONLINE
Рет қаралды 10 М.
NATAKA MWANAUME PROVIDER
33:08
Official Dating Assistance
Рет қаралды 2,8 М.
SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971
8:28
Bakari Sheghembe
Рет қаралды 7 М.
KIMENUKA!! USALITI NDOA YA PROPHET IPM/NITAUA MTU
39:57
IPM TV
Рет қаралды 12 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН