Muhimu/Ni upi wajibu wako kwa yanayo endelea Palestina?||Kassim Mafuta.

  Рет қаралды 7,065

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@abdullasali4773
@abdullasali4773 3 жыл бұрын
Mashallah Tabaarakallah!! Ni hivi ndivyo wana Sunnah/Salafiyyun tunatakiwa kuishi, akifanya mwezako jambo zuri na jema unaonyesha kukubali na kumuunga mkono, na pale ambapo atakosea ndio kuelekezana kwa hekima na maneno mazuri, Tukishikamana wana sunnah na kuacha kupigana mapande kwa baadhi ya Ikhtilafu ambazo ni za utofauti tu wa ufahamu basi athari ya Sunnah itaenea ulimwenguni Biidhnillah. Allah awahifadhi walimu wetu na mashekh wetu wote. Amin Amin #Al Akhy Muhammad Bhachu & Shk Kassim Mafuta (Allah awahifadhi wote)
@abdulazizmsonde985
@abdulazizmsonde985 3 жыл бұрын
Allah awahifadhi masheikh
@awadhhadi446
@awadhhadi446 3 жыл бұрын
Kweli kabisa shekhe allah akuhifadhi fii dunia wal akhela
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 3 жыл бұрын
Allah ukupe umri mrefu uzidi kutuilimisha Sheikh wetu mpendwa...
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 3 жыл бұрын
Jazakallah kheri nilikuwa sijabielewa ila darsanzuri nimeelewa
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIrKe2p_gZ6mhrM
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 жыл бұрын
Allahumma Amin ya Rabb 🤲
@yashamsiameir1483
@yashamsiameir1483 3 жыл бұрын
Sheikh abuu ismail wa mwanza.
@seanmurray6516
@seanmurray6516 3 жыл бұрын
Mimi bado nasikitishwa Na washenzi wachache ambao sasa wana ongezeka kila siku katika kukiharibu kiswahili kila siku. Ukiangalia hapo juu Ya nayoJILI PARESTINA. Wakati kiukweli iwe “Yaleyanayojiri Palestin” hivi ni Lini uchafuzi huu wa lugha utaacha.
@saiditara7235
@saiditara7235 3 жыл бұрын
حفظ الله دعاة السلف ورحمة على من سلف منهم
@abuubakar1385
@abuubakar1385 3 жыл бұрын
Allah atawapa wepesi
@hudaasaalim1333
@hudaasaalim1333 3 жыл бұрын
Hio pic ni dome of the rock. Sio masjid aqswa. Masjid aqswa huo pembezonu kidogo
@muhsinali1417
@muhsinali1417 3 жыл бұрын
Al aqsa ni ile ya rangi ya green kama black hivi
@abdallahsalum7301
@abdallahsalum7301 3 жыл бұрын
Ndio ile mbona jana watu walioneshwa wamo ndani
@hidayabakar7026
@hidayabakar7026 3 жыл бұрын
Hiyo saudiya nae ni myahudi mshezi ilembaya
@eddielkindy
@eddielkindy 3 жыл бұрын
Walio wengi huipost dome of the rock ilhali wanaikusudia Masjid Al Aqswa.
@abdallahsalum7301
@abdallahsalum7301 3 жыл бұрын
Huijui lakini ndio hio
@mwanzomwisho1217
@mwanzomwisho1217 3 жыл бұрын
@@abdallahsalum7301 wewe ndio huijui, hiyo sio Masjid Aqswa, Masjid Aqswa kna tungi jeusi. Hiyo ni jumba la wayahudi, wanapotosha watu kwa makusudi.
@abdallahsalum7301
@abdallahsalum7301 3 жыл бұрын
@@mwanzomwisho1217 unajipotosha wewe mwenyewe ulendio msikiti kwani jana hujaona waislamu wanangiya ndani nawengine wapo nje mbona hichikitu sichabishani kipo wazi
@abdallahsalum7301
@abdallahsalum7301 3 жыл бұрын
Ndio ulemsiti nahiyo alama yamwezi pia ipo kwenye mnara
@abdallahsalum7301
@abdallahsalum7301 3 жыл бұрын
Saudi wasaudi walienda kupigsna jihadi au nn saudia mbona hawajaenda kukombowa masjid aksar
@luca06org12
@luca06org12 3 жыл бұрын
Kushamaliza kuporaja tafta ma apple ule uko
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 3 жыл бұрын
Damu ya muislamu ni Bora kuliko Kaaba .....tusiwasahau Kwa dua
@timemussa8748
@timemussa8748 3 жыл бұрын
Assalamu alaikum, mbona nyinyi waislamu wa leo munataka kuugawa uislamu mapa nde, kwani Mtume s.a.w hajawahi kusema kama yy ni sallafi, shia, sunni wala kuwa yy ni ibadhi. Ila leo tumeanza kupeana majina na Salafi kujiona kuwa wao peke yao ndio wataenda peponi na wengine wote wataenda motoni eti wanafuata bidaà. Je lakujiuliza wameshachukua ahadi kwa Allah kuwa pepo ya kwao na kila wanachokifanya ni sahihi kwao
@timemussa8748
@timemussa8748 3 жыл бұрын
Lakini tujue uislamu unataka tushikamane katika njia ya Allah, kwahiyo kuwa nani atatawala si tatizo kwani mtume s.a.w kasema mnusuru ndugu yako muislamu, kwa hiyo ni haki kwetu kuwatetea na kuwaombea dua ndugu zetu wapalestina. Lakini hawa salafi hutafuta kila sababu ili kuwapinga baadhi ya waislamu kwa kutoa hoja zisizo za msingi na kujiona kuwa wao ni sahihi hata katika mambo ya haki
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 3 жыл бұрын
@@timemussa8748 mambo ya salafi yametokea wapi ndugu...... salafiya ndio njia sahiih ndugi yngu muislamu. ...kushikamana na sunnah...bila kuongeza wala kupunguza
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 3 жыл бұрын
@@timemussa8748 hta kma kapatia au kakosea hakuna haja kuihukumu salafiya
@sadikkibiki6227
@sadikkibiki6227 3 жыл бұрын
Hii sio baitul maqdis
@abdallahsalum7301
@abdallahsalum7301 3 жыл бұрын
Huijui wala tv hungali acha ubishi huo utachekwa
@omarbyz8695
@omarbyz8695 3 жыл бұрын
Jaman mbona hapana coment mungu? Umma tunenda wape????😂😂😂🙆‍♂️
@omarbyz8695
@omarbyz8695 3 жыл бұрын
Kwani watu wakiwa wanakujua hua hupewi coment nyingieeeee
@wachujahabari3022
@wachujahabari3022 3 жыл бұрын
Mbon uo mskit mnapendaxn kutumia picha zake wakati sio masjil aqswa?
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 3 жыл бұрын
Ni masjdi gan hyo
@wachujahabari3022
@wachujahabari3022 3 жыл бұрын
Ilo ni jengo la wayahudi ilo lenye rangi ya dhahabu sio masjid aqswa السلفي ابو طلحة
@abdallahsalum7301
@abdallahsalum7301 3 жыл бұрын
Ndio hata tv hamungali hata alama yamwezi ipoju acheni ubishi huo tusiwe wapumbavu kissi hichi
@aliyahmed8954
@aliyahmed8954 3 жыл бұрын
Kasim ongea pwent ww hata tv huangalii hizo hawari unazipata wapi?
@shabanihamisi1146
@shabanihamisi1146 3 жыл бұрын
Wewe utakuwa una upungufu wa uelewa si bure yani ayat zotee hizo na tarikhi inayoelezewa bado unataka tukupe habari za bbc na cnn mimi nakushauri usomeeeeeeew zaidi na allah atakufahamisha inshallah,maaana kwenye uislam hakuna ujanja zaidi ya kujibiidisha kwenye elimu tu.
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 жыл бұрын
Sheikh anayo firasha upeo ambao Allah aliompa ni zaidi ya BBC na cnn
WACHENI UONGO MAULIDI SIO KUMSIFU MTUME || Muhammad Bachu || 19 October 2024
45:57
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 9 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
TANBIIH MUHIMU KUHUSU KUNDI LA HAMAS
20:14
Ma'ahad Sheikhil Isla'am Ibn Taymiyyah Pongwe
Рет қаралды 3,7 М.
RADDI KWA WANAOTAKA KUBORESHA MAULIDI BILA DALILI || Muhammad Bachu.
40:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 8 М.
KADHIA YA PALESTINA-SHEIKH ABUL FADHIL QAASIM-ALLAH AMUHIFADHI
31:35
Ufafanuzi Mzuri Kuhusu Kuweka Tv Nyumbani || Sheikh Kasim Mafuta
6:15
Alhilaly Media Pro
Рет қаралды 11 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН