Ufafanuzi Mzuri Kuhusu Kuweka Tv Nyumbani || Sheikh Kasim Mafuta

  Рет қаралды 11,386

Alhilaly Media Pro

Alhilaly Media Pro

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@twalibmavumba
@twalibmavumba Жыл бұрын
Jazakallahu lkheiy. Allah atujaalie tuwe wenye kutekeleza amini
@ZaharaabubakarNambwambwa
@ZaharaabubakarNambwambwa 11 ай бұрын
Jazakkah llah khaira khaira shekh Allah akuripe kher
@HakizimanaSelemani-wg3ze
@HakizimanaSelemani-wg3ze 3 ай бұрын
ALLAH akulipe sheikh QASIM MAFUTA hakika umesema kweli Wasiokua na upana wa kuelewa bas wao wataongea matus Ila ALLAH awasameh na pia awaongoze
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Shekh wetu acha wa mtukane hawajui kama azungumza haki??!! Halaf hao watakuja namazito siku ya kuyyamah . Halaf hayo yapenda tv naukiwachunguza hawasali kabisa
@HakizimanaSelemani-wg3ze
@HakizimanaSelemani-wg3ze 3 ай бұрын
@@YusuphSadiki nimtihani kaka yangu ALLAH atupe mwisho mwema
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
@@HakizimanaSelemani-wg3ze Allah ndo wa kuombwa msaada katika Yale wanayoyaeleza allahumah amiin
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 Жыл бұрын
حفظك الله ورعاك الله يا شيخنا ابو الفضل
@AthumanBakar-l3l
@AthumanBakar-l3l Ай бұрын
Alhamdulillah
@saidimpako5186
@saidimpako5186 11 ай бұрын
Anataka tuishi zama za giza daah bado waisilamu tunasafasi ndefu sana
@adamkamaze9888
@adamkamaze9888 6 ай бұрын
Sheikh yupo sawa tu. Tv zinatumika kumong'onyoa maadili ya kiislamu. Kama unataka kuyatuza basi uwe unafatilia mambo ya kheri tu kitu ambacho hakuna anayefanya.
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Shekh kazungumza kheri wanye maradh razima waumie na ndio ilivyo haki
@AthumanBakar-l3l
@AthumanBakar-l3l Ай бұрын
Kirin Malkin Nabisco vyenu
@abuumuslim3601
@abuumuslim3601 Жыл бұрын
حفظك الله ورعاك يا شيخنا أبو الفظل قاسم مفوتا
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
Wallah UMESEMA KWELI KABISA ila wanaokubeza wao ndiyo failure Siyo wewe.95percent TV IMEUA UISLAM
@dahlainismail6837
@dahlainismail6837 11 ай бұрын
Shkh mtapeli tv utaki cm unataka na clip unaangalia ujitambui ulamah usuhi
@oss_oss151
@oss_oss151 3 ай бұрын
ni kweli kabisa akhy
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Umemuelewa kweli shekh ?? Au ndio ujinga hebu muwe mnasikiliza vizuri ndo unasema akh
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
با رك لله فيك
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Жыл бұрын
Umeelewa dini vibaya na umewaelewa vibaya maulamaa wacha kupotosha watu mpuuzi
@mjedamjeda4734
@mjedamjeda4734 Жыл бұрын
Ni vizur kuzuia ulimi wako kaka kuliko ulicho kisema
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Жыл бұрын
@@mjedamjeda4734 siwezi kuziwia ulimi wangu kwa hawa wanaofadhiliwa na wajinga bila kujijua na wanauchafua uislam saana tu
@NzeyimanaIliassa
@NzeyimanaIliassa 6 ай бұрын
Mtama wewe mwenyewe wenda hujuwi ata kutawadha wala hujuwi ata nguzo za swala kisha unatukana ma sheikh. Asili ya mwendawazimu huwa anaona watu wazima wenye akili timamu ndo wendawazimu yeye ni mzima zingatia maneno haya wewe safiihun
@ababakryally8827
@ababakryally8827 3 ай бұрын
Hana kitu mbabaishaji huyuu
@HakizimanaSelemani-wg3ze
@HakizimanaSelemani-wg3ze 3 ай бұрын
Vip mzee baba unaelim yoyote ile juu ya haya ambayo anayoyazungumzia? Au unabwabwaja tu Kama unaelim tupe tuongoke Pila we yani unaongea kitu ambacho huna elim nacho
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
Tena mbaya zaidi Leo watu wazima Kazi Simba yanga
@ibnuomar1770
@ibnuomar1770 3 ай бұрын
Huyu kwake ameeka TV halafu clip zke nyngne eti zimekuja kueleza sababu maalum za qassim mafuta kueka TV kwake.. 😂😂. Yaan yy kueka kwake TV kuna sabb maalum
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Unaushahidi Gani wewe au na wewe nimchunguzaji?wachamungu wanajulikana tu
@AthumanBakar-l3l
@AthumanBakar-l3l Ай бұрын
Lawmaking Nabisco yasema
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 Жыл бұрын
Primitive communalism perspective.
@IsmailMasule
@IsmailMasule Жыл бұрын
Ivi wakat anasoma shule ya msingi alikuaga wa ngapi darasan tumechoshwa na mafelia
@abuumuslim3601
@abuumuslim3601 Жыл бұрын
hii chanel ya kihizby
@abasspazia
@abasspazia Жыл бұрын
Naam salafiya jadida kama anavyowapotosha jadida duktur uchwala khamisi imamu mpumbavu yule
@abasspazia
@abasspazia Жыл бұрын
Nyie masalafiya jadida simushaingia peponi .kuliko sie masalafiyu.bado hatujaingia kwa jinsi muelewavyo majadida na munavyofundishwa na hao wajinga.kama mjinga khamisi imamu
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db Жыл бұрын
WAISLAMU wacheni kutukanana kwasababu ya khilaaf za wanazuoni سباب المسلم فسوق وقتاله كفر Kumtukana muislamu ni ufaasiq na kupigana naye ni ukafiri Tuchunge ndimi zetu
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Watakuja kuulizwa mbele ya Allah na wanaotaka matv namashabiki ya mipira tu hata huku kwetu twa waona tu
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Huyu sheikh ana kichaa sana.Tumkamate apelekwe milembe hospitali ya vichaa
@maftahyahya7709
@maftahyahya7709 Жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh Kwanza naomba nikupe pole kwa kutotambua nafasi ya masheikhy wa Sunnah kama Kasimu Mafuta kwenye jamii yetu, maana wengi wenye kupinga dawah ya sunnah hawana hoja za kielimu zaid ya kutoa matusi Pili, Sheikhy hajasema TV haraam bali kasema hazifai kutokana na madhara yake kwenye familia zetu na akaonesha kutambua faida zake lakin akahitimish kwa kuonesha faida ni ndogo kuliko faida. Tatu , Binafsi nashauri wasiomfaham vizuri Sheikhy Kasimu Mafuta dawah zake wanaenda na uvumi wa maneno yenye chuki binafsi na kuona maneno yake mabaya lakini yakitafakuliwa vizuri utaona Sheikhh hana lake zaidi ya kunusu Uislam
@ibrahimfarouq8339
@ibrahimfarouq8339 Жыл бұрын
@@maftahyahya7709Wa’alaykums salaam warahmatullaahi wabarakatuh kabisa akhy mimi nimebadilika kutoka kumchukia enzi zile za Aboud Rogo hadi kumpenda Shaykh wetu Kassim Mafuta (Allaah amuhifadhi)
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 Жыл бұрын
Uko sahihi kabisa ndug ang wengi hawamjui shekhe vzr na wanazuoni wengi hukataza jambo kama halina manufaaa kwa umma
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 10 ай бұрын
Ukweli usemwe japo unauma nimekuelewa shekh
@HakizimanaSelemani-wg3ze
@HakizimanaSelemani-wg3ze 3 ай бұрын
​@@maftahyahya7709umesema kweli ndugu ALLAH akulipe juu ya hilo
@amerwelder7786
@amerwelder7786 Жыл бұрын
Maalim tunaomba dalili inayosema television haifai kuangalia
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 Жыл бұрын
Hahaahaa wataka dalili???Naomba utusaidie wewe amer wapi maulidi yana dalili????
@HakizimanaSelemani-wg3ze
@HakizimanaSelemani-wg3ze 3 ай бұрын
Labda hukumuelewa vizuri Rudi usikilize utaelewa tu
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 3 ай бұрын
Hajasema kuwa shekh ni Haram Bali kasema inamanufaa kidogo na inamadhara mengi na wanaotetea tv mashabiki
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 Жыл бұрын
Shekhe wewe hutumii simu? Jee! Unatumia simu ya aina gani? Maana hizo nyengine ni zaidi ya TV. Unatetea uhalali wa redio, Jee! Kwenye redio hakutangazwi mipira na kupigwa mziki? Tena mziki wa kwenye redio ni balaa.
@HakizimanaSelemani-wg3ze
@HakizimanaSelemani-wg3ze 3 ай бұрын
Nahisi hukumuelewa Ebu rudi usikie vizuri na kwaumakini Ukiwa na kichwa chakuelewa bas utamuelewa
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
ADHABU YA ZINAA (1) | Sheikh Qassim mafuta حفظه الله تعالى
8:41
Abuu Azhari Online Tv
Рет қаралды 14 М.
Muhimu/Ni upi wajibu wako kwa yanayo endelea Palestina?||Kassim Mafuta.
38:37
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 7 М.
RADD UPOTEVU WA KISHKI, DR. SULLE, ABDUL ROGO |SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA
1:10:34
EWE MWANAFUNZI JIEPUSHE NA FITNA ZA MASHEIKH
9:29
Alhilaly Media Pro
Рет қаралды 537
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН