Рет қаралды 966
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ezekieli 34-48, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Akiwa mmojawapo wa Waisraeli waliokuwa uhamishoni nchini Babeli, Ezekieli anaonyesha Israeli ilistahili hukumu hiyo, na pia kwamba haki ya Mungu inatoa tumaini la baadaye.
#BibleProject #Biblia #Ezekieli
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA