Рет қаралды 1,158
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mithali, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Kitabu cha Mithali kinawaalika watu kuishi kwa hekima na kumcha Bwana ili wawe na maisha mazuri.
#BibleProject #Biblia #Mithali
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA