Yaani wanaumeee unaua mwenzio kwa ajili ya mwanamke tu ambaye kuna siku mnaweza kuachana kama mke akusikilizi simuachane tu ili maisha yaendelee mama pole sana
@MathewNathan-yb2bz29 күн бұрын
Mke anauma ww
@summanelson552310 ай бұрын
Mama jasiri alienda bila kuogopa kuwa na yeye angeuawawa!!! Mama ana hekima sana sana!!!! Mwingine akiambia tu maneno angemvaa huyo mwanamke. Yeye kamuuliza tu kama ni kweli anatembea na mume wake!!! Mungu akutie nguvu mama na akuwezeshe kukabili haya maisha peke yako.
@neema_mollel10 ай бұрын
Pole mama ,umeshuhudia kifo kichungu cha mumeo😢😢😢
@valenakomba768610 ай бұрын
MAMA UMEONGEA VIZURI SANAA. NA NIMEKUPENDA KWA UJASIRI WAKO. MUNGU AENDELEE KUKUTIA NGUVU.❤❤❤
@naomienock34759 ай бұрын
😊
@neema_mollel10 ай бұрын
Ila mama ana ujasiri😢😢😢😢wooiiyeee .mama pole tena
@AkwiliniQawoga10 ай бұрын
Mama anabusara za kutosha.pole mama
@Kabwela77610 ай бұрын
Mama ni jasiri sana ndio wanawake wanatakiwa wawe hivi na ni ana akili sana yuko smart angepiga yowe na kuanza kulia angeuwawa labda Na huyo muuwaji,
@fhugghi410910 ай бұрын
Duuuh mama unaujasiri wa hali ya juu zaidi . Pole sana 😢
@mwanaidimussa10 ай бұрын
Ameshachoka natabia za mume wake, kashakuwa sugu 😢😢
@paulmafuru72839 ай бұрын
Inakatosha tamaa ukioa kuwa na heshima kwa mke ,Kama alishaonywa lkn akusikia basi Mungu amejibu maombi ya mama huyu
@zuenajohn832510 ай бұрын
Mama alichoka Sana na tabia za mume.
@halimasuddy929410 ай бұрын
Innallillah wainnalillah rajiun 😢 MUNGU TUPE MWISHO MWEMA
@LizzyAdrianadriana10 ай бұрын
Mungu nilindie mume wangu
@Bmsecret10 ай бұрын
Mruhusu aoe mke mwingine akihatija usiwe na shida asije akatoka nje ya ndoa
@bintiwayesu222610 ай бұрын
@@Bmsecretsio kweli wapo wameoa wengi na bado vimada kibao nje, Mungu tu aturehemu basi
@Bmsecret10 ай бұрын
@@bintiwayesu2226 mruhusu mume aoe bila hivo Anna nusura utakuwa na mwenza tu
@bintiwayesu222610 ай бұрын
@@Bmsecret sio mm wa kumruhusu au kutomruhusu kiapo chake anakijua mwenyewe hiari yake kukiishi au kukivunja
@Bmsecret10 ай бұрын
@@bintiwayesu2226 uislam hauna Kiapo lazima ana nafasi tatu
@judithminja638610 ай бұрын
Aiseeeee😊
@angellomarcel567710 ай бұрын
Mama Pole sana..But Mama mbona kama anaona Sawa kwa kilichotokea..hii ni kutokana na Kuchoshwa na Tabia za Mume
@alexvenas269910 ай бұрын
Huyo ni mama wa kiiraki huwa wanaujasiri sana
@JohnMahu-f1g7 ай бұрын
Mama pole sna mungu akulinde na akupe faraja
@MosesNyirenda-k8o10 ай бұрын
Unauwa mwanaume mwenzio kwa sababu ya umalaya wa mkeo?utauwa wangapi?
@Sheba465110 ай бұрын
Lazima nicheke 😂😂😂 Acha kutoa roho ya mwanaume mwezio, akileta umalaya fukuza weka mwengine, ila tatizo litakuja ule mgao wenu 50 kwa 50, utajenga na kugawa nyumba ngapi 😂😂😂 Ahh!! Kwa hivyo bora uwa tu.
@goldmansun585910 ай бұрын
@@Sheba4651andika mali zote jina la mama ako, weka safe Mali zote za kwako, kisha ishi, mwanamk akizingua tupa nje, mpe kidogo akajikidhi kimaisha, usikubal akukware kila kitu au hata robo ya nguvu zako unless una uwakika kaweka robo ya hivyo vitu, usiue mwanaume mwenzio, tupa nje hyo kahaba
@rogoyassin510 ай бұрын
Hatar sana 😭
@KwizeLee10 ай бұрын
thank you
@laurentraphael54709 ай бұрын
Hatari sana. Damu ya mtu ni issue
@khasianussamson622710 ай бұрын
Mama Mungu ampe nguvu katika kipindi iki kigumu
@aminaabdalla994910 ай бұрын
wee mungu wanguu mama pole unaujasiri sana wewe superhuman wewendioukonauchungu kuliko yule anaeliakwakelele wewe unalia ndaniyamoyo polesana
@neema_mollel10 ай бұрын
Hii kalii na kuna anaewatch hapa na bado anakaa na mke wa mtu😂😂😂😂
@marrypius576Ай бұрын
😂😂😂😂😊
@anithiajohn920910 ай бұрын
Wanawake pia wanachoka matukio ya kwenye ndoa uyo mam mme wake angekuwa na mapenzi ya dhat leo asingepata ata nguvu za kuongea tujitaid kuwa waamnifu
@JaneyChiggaАй бұрын
Hii ni kweli. Kuna muda mtu unaptia had unafkia mahali likitokea jambo zito kama hili unaona sawa tu. Siri ya mtungi ajuae.......
@Mohaa430910 ай бұрын
Mke wa mtu sumu😢😢😢
@PaulinaReginaldАй бұрын
Nimekupenda bure mama yangu ambae pia ni wajina wangu.pole sana Mungu akutie nguvu.jmn wanaume toshekeni na wake zenu
@AgnessMsacky10 ай бұрын
Mimi naona tunako elekea watu wataheshimu mahusiano y wtu mimi nimeshuhudia mahusiano ukiambiwa acha mahusiano y mke wangu hebu wacha usiendelee kutembea na mke wa mtu jamani musikiage mtu akikuonyA acha kama umefanya kweli watu hawaogopi
@hasaniabdalah614810 ай бұрын
Da!! Mama mungu akuongoze na akupe faraja kwa kuwa wewe ni mama shujaa . Maisha yana mitihani mingi tunapaswa kujifunza mengi kutoka kwa maelezo ya mama huyu .😢 Ila nikirudi kwa walengwa wakuu wanaume hawa 2 . Muuliwa na na muuaji tukianza na muuliwa hayupo ila wawakilishi wake sikieni hili unapo tembea na mke wa mwenzio tambua maumivu mwenzio anayo pitia kwa kuonekana fala asie na lolote mbele ya jamii yake sishabikii jinai ila jiulize ingekuwa ni mkeo ungejisikiaje moyoni ?. 2 na huyu alie ua binafsi
@hasaniabdalah614810 ай бұрын
Na huyu Alie ua binafsi namhurumia kwa tendo ovu la kutokana hasira japo mke auma moyoni na utadhalaulika lakini heri maumivu ya kudhalilishwa usubirie hukumu ya Mungu kwa hyo mbaya wako kuliko kumhukumu wewe maana asaivi japo umeona umemalixa hasira yako lakini utaishi kwa majuto kuliko hata ungemwacha mke au ukamwachia Mungu akuhukumie jambo lako
@paskalinamassawe528310 ай бұрын
Jaman nawafahamu mbona aibu omg rip sadiki
@ADELADamusАй бұрын
Daaa kweli Bibiliya inasema mshahara wahzambi ni mauti pole dd mfiwa
@mwitajoseph831510 ай бұрын
Duhhhhh kiuno kiuno kiuno
@danieljoseph161010 ай бұрын
Huyo marehemu kifo alichokutana nacho ni halali yake! Mke wa mtu kutembea naye sio habari njema hata kwa mungu! Hata kama ulimpenda vipi mme wake akigundua akakufuata nakukuonya! Achana na mke wake na umwombe msamaha!
@husseinkonz519210 ай бұрын
Mke wa mtu sumu ndio hii sasa
@bahatielias644310 ай бұрын
Kabisa mwanangu, mke wa mtu mheshimu sana
@patrickrueben558510 ай бұрын
Tatizo ni kujifanya weye ni mtombaji mzuri kuliko mwnye mke, faide ndo hyo alioipata akati alishakuonya......
@almujibusalum-b8eАй бұрын
Hata kama siyokwastail hiyo😢
@GoodluckAmos10 ай бұрын
Mama amehojiwa hadi akajichanganya jmn et nina miaka 20 kwenye ndoa, mtoto wetu wa kwanza ana miaka 25.. Wewe mama ni jasiri, leo inatakiwa iwe siku yako special. Maneno ya hekima mno dah Ubarikiwe sana
@steveanthon552310 ай бұрын
Walizaa nje ya ndoa baadae wakafunga ndoa, hakujichanganya amesema ukweli wake
@jescajulius80239 ай бұрын
Cha ajabu kipi,alimzaa kabla ya ndoa yao
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
Kwenye ndoa ya kanisan anamanisha itakuwa
@Hurbertchiristopher28 күн бұрын
Wewe ndo hujaelewa ndugu mama Yuko sawa amesema kwenye ndoa nimiaka 20 kwahio hio mitano walikuwa wanaishi kinyumba ndoa haikuepo so mtoto wakwanza amezaliwa ndoa ikiwa haijafungwa Yuko sahihi mama wakimbulu
@yama_virginhairthequeen106510 ай бұрын
Duh mama jasiri
@natafutamatatizo438210 ай бұрын
POLISI WA MAMA SAMIA OYEEE👀👀👀!
@sophialucasmilambo27832 ай бұрын
Jamaniiii funia imeisha nyie wanawake na wanaume wamechoka sana kitabia na kiroho aiseeeee duh,,🙏🙏🙏🙏
@godlovemwakalinga10 ай бұрын
Wambulu ama wairaq wanaakili na ujasiri nyie msiwadharau wala kuwaita makaya ama kuwafanya chombo cha starehe mjini Mama hongera Kwa ujasiri na kauli zenye mashiko.
@ShakiraAthumani9 ай бұрын
Pole,sana
@MwajumaYameeАй бұрын
Mama nijasir. Sanapole sana mungu awe mwema jaman
@smallscaleminingsupplies967010 ай бұрын
Nyie wabongo mnadhani kila kijiji Tz hii kuna polisi, kuna maeneo police wapo mbali sana tembeeni hii nchi kubwa sana
@yama_virginhairthequeen106510 ай бұрын
Indeed
@upendotarimo29659 ай бұрын
Kweli
@Commentsplus10 ай бұрын
Wenyeviti walio wengi wanakula wake za watu. Kuua sio sawa ila maumivu ya kuchukuliwa mke sikia kwa magazeti tu........ Tupinge ukatili wa aina zote wakuana na kuchukuliana wake.. Pande zote Story zimeniumaaa
@teedullah5708Ай бұрын
Pole Maa mungu akupe subra
@stanleymhozi759010 ай бұрын
Pole my dunia inatisha sana sk hizi
@sanoureyaliwadoakaroyo169610 ай бұрын
Watu Wengi Wanamuona Uyuu Maama Kma Ana Roho Ngumu Ila Watu Wanashindwa Kuelewa Kuwa Uyuu Mama Amepokea Kesi Ngapi Za Mumewe Kutokuwa Mwaminivu Kwenye Ndoa Yake Uwenda Uyuu Mama Alichoka KUchitiwa Ndio Maana Unamuona Kma Hana Majuto Kwenye Msiba Huu Wa Mumewe Kwa Kesi Ya Kijinga Kma Hiii Hili Hali Alisha Mkanya Mume Wake Juu Ya Mke wa Mtu Ila Mume Alijifanya Mwamba Mnataka Uyuu Mama Atoe Machozi Ama Alie Mbele Ya Camera Sasa Ata Akilia Mbele Ya Camera Machozi Yake Yatabadilisha Nn Ili hali Tayari Mumewe Ameuwawa
@ireneshao795010 ай бұрын
Point na moyo wa mwanamke ukichoka acha kabisa
@sixmundleonard213510 ай бұрын
Iyo ndyo dawa unajikuta mwamba kwa mke wa m2
@SefrozaMafuru10 ай бұрын
Kweli kabisa
@bintiwayesu222610 ай бұрын
kabisa huyu mama anampenda sana mume we ila anaonekana alivumilia sana kuchitiwa mpaka akasema bora liende too bad, dhambi ikikomaa huzaa mauti
@bahatishabani139210 ай бұрын
Hana roho ngumu ni jasiri tu
@MariamuJuma-t8zАй бұрын
Mimbona cjawahi kuchepuka tokaniolewe ninamiaka 7 nahuastamani kulala na mwanaume yoyote zaidi ya mumewangu ❤️
@MathewNathan-yb2bz29 күн бұрын
Hongera
@MwanahamisiBwanga4 ай бұрын
Rohooo inanimate jamanii uwiiiiii pole mama anguu daaaa
@ManaseMoleli10 ай бұрын
Mama una ujasiri Mungu akusaidie tuweni waaminifu kwenye ndoa zetu
@ChristinaWallasch10 ай бұрын
Hiyo ni wivu ya maendeleo, mpaka pikipiki,amemuonea baba wa watu, Kuna watu wako hivyo, Sasa ataishi Tena na huyo nwanamke, ni kwamba watafia jela,
@danielpeter808510 ай бұрын
Uyu mama mshamba sana!! Asa kwann kabla ya kwenda angepiga yowe aende na vijana!!! Amezingua uyuuuu
@josephlorri43110 ай бұрын
Mshamba ni wewe, hivi angejuaje kwamba angekuta mazingira hayo? Hayajakukuta, hiyo hali ni ngumu mnoo. Huyo mama bado hajaelewa kilichotokea,maumivu atayapata baadaye
@bahatielias644310 ай бұрын
Usizin wewe harafu alaumiwe mkeo jinga kabisa, mjiepushe na wake za watu
@BabyMadoshi9 ай бұрын
Kwanza huna roho ngumu sana ww mama kumbe taarifa ulikuwa nayo kwann usitoi taarifa kituo cha police kabla ujaenda uko daaaaah😢
@FatmaHalfan-w3l10 ай бұрын
Ila uyu mama anahatari je wangemzuru alafu kumbe ilikua usiku daah hao watu wa manyara noma sana
@ariphkimani379010 ай бұрын
Watu wa manyara na singinda wanajua sana pande za Dunia,mashariki,magharibi,kaskazini,kusini
@mohamedhamad237410 ай бұрын
😂😂😂
@humphreymwihambi43309 ай бұрын
Na wagogo pia. Ni hatari kwa kujua directions
@AishaPindaАй бұрын
😂😂😂😂
@loner_wolf10 ай бұрын
Wewe mwandishi kiswahili shida , mama anasema tukio la kwanza lilikuwa linaonekana la kweli lkn serikali yakijiji hawakulitatuwa kwa haki , ndio maana likatokea hili la pili . according to nilivyomuelewa. Usikimbilie tu swali jingine ksbla haujaelewa jibu ulilopewa juu ya lakwanza.
@Boniphaceshayo510 ай бұрын
Uyu mama alijiamini nini kwenda mwenye na niusiku itakua aliwatuma ndo wakamwita akatoe malipo itakua uyo mama anajua kila kitu mwanzo mwisho eti mzoga 😢
@ZubedaHussein-it7nf10 ай бұрын
Ata mm nmewaza km weww ushujaa wakwenda mwenyew Tena usiku ata asishirikishe jeshi la police uyu mama apana
@Boniphaceshayo510 ай бұрын
@@ZubedaHussein-it7nf kuna kitu ndani yake usikute na yeye aliusika kikamilifu
@awadhrajabu140310 ай бұрын
Ujasiri Wake Umemuokoa Uyu Mama
@aminathaabubakarmasoud56510 ай бұрын
Sana
@judithminja638610 ай бұрын
Baba alikufa kwa maumivu makali sanaaa
@carolinemariki402910 ай бұрын
Mhh huyu mama ni kasoro sana Kwa kweli
@fidelismwakanyamale678710 ай бұрын
Mama anaongea kwa ujasiri alicho nifuraisha ni kauli yake ya kuwa kilicho mpata yuko tayari kwa jambo lolote litakalo mpata mbele
@ScolaMasanja-fg7hi10 ай бұрын
mama mujasli sanaa n zaid yajeshi upewe ulinzi
@bintiwayesu222610 ай бұрын
sidhani km ni ujasiri tu ni pamoja na usugu wa machungu mengi, pamoja na yote haikufaa kumuua baba wa watu kakosa ndio lkn kuuawa ni ukatili mkubwa
@hopesefue906810 ай бұрын
Yaani uwii nitembee na wauaji fimbo ,panga ,nilidhani huko mbele angekimbia maana kama si nae kuuwawa basi angebakwa ,huu ni ujasiri mkubwa aisee
@faithjonathan38452 ай бұрын
Unayempenda akiwa kwenye matatizo huwezi kuogopa kabisa
@AdellaTemu-e8qАй бұрын
Asee kwakwely hat me nmewaza ivyo jmn😢
@jessicamwasandube94410 ай бұрын
Daah 😭😭amekufa Kwa maumivu makali mno,pole sana dada,mwisho wa dunia umefika jamani
@shukranitv29719 ай бұрын
Pole sna mama ww mhmm
@jenipherjackson382610 ай бұрын
sk zingine ndugu zangu watanzania ujasiri wa hivi tusije tukarudia kuufanya tena ujue ata uyu mama tungekua tunaomboleza misiba miwili sasa wangemuua je😮😳😳😳😳so sud
@Sharefa-v6n10 ай бұрын
Ni kweli yaan alvyomuuliza una nifaham angesema tu ndio wangemuua ila yey alimjib hapana skufaham, daaa maskin
@jenipherjackson382610 ай бұрын
@@Sharefa-v6n Hana uzalendo wa kitz uyu mumama🙄🥺🙌
@muddywatown10 ай бұрын
Yani huyu nae alikua anauwawa
@ubongosahihi10 ай бұрын
Ni kwa Neema tu za Mungu 😢😢
@jovanafidelis28029 ай бұрын
Alipaswa afatwe na watu nyuma yake
@AishaDauban29 күн бұрын
Ila wanaume daah . Hayatoshekag aya mambuz ata umpe matako kaz bure tu . Mungu atunusur
@lukomanomaliki54429 ай бұрын
Binadamu tuna mioyo ya ajabu sana.Kuna haja gani ya kumuua mwanaume mwenzako kwa sababu ya mwanamke aliyekubali kuvua chupi mwenyewe kwa hiari yake? Ukijua kuwa mtu anakuchapia bora kumuachia tu huyo mwanamke,ubaki na amani yako.
@paulmafuru72839 ай бұрын
Shida inakujaga mtu anakuchukulia mke alafu anakuonyeshea na dharau tena akiwa ana ka kitengo ndo kabisaaaa so watu tujifunze
@EddahBure-te7ft9 ай бұрын
Yani huyu mama anavyosimulia mm uku nasisimkwaa, haki me nisingeenda uo usiku anichinje na mm weeeh huku mama ni malaika sio binadam 😢
@DominicaMushi-z2n10 ай бұрын
Tsjiri wimbo
@jamilamfumike10 ай бұрын
Wanawake tutulie kwenye ndoa zetu jamani mwanaume bora umuibie pesa kuliko kuiba tamu yake uwiiiii tusifanye ivo jamani
@ntiliyothomas2259 ай бұрын
😂😂😂
@hadijauledi699510 ай бұрын
Ila ww mama unaroho ngumu daaah sasa huyo muuwaji angekugeukia na ww mmmmm😭😭
@furahasmart151610 ай бұрын
hv wanaume mnaumiga sanaaa mkifumania?mbona nyie mnachirt sanaa
@josephjohn211410 ай бұрын
Daa boda na na huyo mama hawakutumia mbinu za kivita kwenda eneo la tukio na wahalifu .....walienda bila tahadhari hata wao wangeweza kudhurika.
@trophywilson721110 ай бұрын
Imagjne na Mungu tu moyoni
@mwanaidimussa10 ай бұрын
Yaaan , mungu anawapenda
@aminathaabubakarmasoud56510 ай бұрын
Sana
@amushemustafaАй бұрын
Jamani
@IshipalemyPasko10 ай бұрын
Ila usimuite mzoga mume wako so pw mamang
@linnetmbotto72129 ай бұрын
Alikuwa ashamchoka, mwanaume asiyemuaminifu moyoni hayupo hata kumuonea huruma.
@jescajulius80239 ай бұрын
Ujasiri
@benjaminchakwe981510 ай бұрын
MUWAGE MNAACHA UMALAYA NA TAMAA
@mjukuuhotelitv773610 ай бұрын
Mke wa mtu sumu hivi hamuelewagi nini
@mmarycalvin639510 ай бұрын
Maswali mengine hayana maana. Mtu Ana machungu una muuliza ataishije kweliiii hata msiba haujaishaaa ? Au ulikuwa umeishaaa ??? Mboreshe kidogo kuhoji.
@VeronicaPaul-l8m10 ай бұрын
Sema tu mama siku yake haijafika maana muuaji akishajulikana anahakikishaga amemuua aliyemtambua. Ujasiri wa huyu mother umetisha aisee hakujali kuwa ni usiku, angeweza kubakwa hata kuuwawa kabisa na waliomuua mumewe.
@syliviakente946010 ай бұрын
Muuaji hakuwa smart , amemua kishamba mno.mno yote hayo ni.laana tu
@habisnasalum-nz4zo10 ай бұрын
Limwanaume lilikua halisikii likiulizwa linamuambia huyu mama ndio
@ritapiusnicolaus706810 ай бұрын
Pole sana mama
@dignakanje450810 ай бұрын
Jamani hio Tanzania imekidhiri mauaji yasiyonalazima.Yte hya nimapenzi uko tayari ukose amani ukose kuishi nawtoto wako yte ujinga nakujifanya hmjali Sheria hmjali kuwa Kuna Kuna maisha baada yhpo.Nivi nikitu Gani kikubwa kitakachokufanya umfanye binadamu mwenzio kma nyama.Embu uchukulie kwako.Unamuua binadu mwenzio kikatili hivyo.
@PaulinaReginaldАй бұрын
Ee Mungu walofanya hivo wafe kifo kibaya cha aibu
@mussaissa6796Ай бұрын
NYEGE HAZIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA, SISI NI KUSUBIRI NA KUONA TU.
@joshuamollel699310 ай бұрын
Huyu mama anajuana na hao watu kama hajuani?? Mbona alipigiwa simu na asimtafte mwenyekiti aende nae?? Kwanza ana roho ngumu sana yupo na hao watu hyu maeleze yake sio ya kweli kabisa sheria imwangalie vizuri hyu mama
@ireneshao795010 ай бұрын
Elimu hakuna ila sidhan km Kuna njama na huyu mama ni jasiri mno aisee
@josephlorri43110 ай бұрын
Hakuna njama yoyote,huyo mama ni mkweli hasa.. ameonyesha ujasiri mapema ili kuwapa imani watoto wake kwamba wako mikono salama,lakini kutuma ujumbe kwa shemeji zake wasifikirie kumrithi.. huwa wanafundwa kabla ya ndoa.. UJASIRI
@lukomanomaliki54429 ай бұрын
Na wanawake wa Kiiraqw nao wamezidi kuwa maji mara moja. Ukienda Manyara kuna vijiji au mitaa unaweza ukagonga wanawake wote,wahuni hadi wake za watu.
@sadikingitu10 ай бұрын
Wajina mapenzi yamemuua 😢
@ukhtyrehemaabdy28303 ай бұрын
Namba ya polis IPO bure ungepiga cm Askar wawe karibu kwa kuwa manyara ni ndogo
@frenkfarm113910 ай бұрын
huyuuu mama duuu inaonyesha anaroho ya kisasi ndani duuuuu huo ujasili unatoka wapi
@tumainichanya326810 ай бұрын
Itoshe kusema uzinzi ni zambi yenye raana ,iwe ni mume wa mtu au mtu yoyote ,asilimia nyingi binadam anaeitumia hii starehe ya uzinzi usalama wake ni mdogo Sana,shetani asitujaze ujasili wa kuiishi zambi hii, jamani uzinzi ni kizuizi Cha amani na usalama Kwa yeyote mwenye kuitenda zambi hii
@josenyambeo358710 ай бұрын
Mm nina mashaka na huyu mama sana
@swahilibongomoviestz10 ай бұрын
Mama achunguzwe
@bahatielias644310 ай бұрын
Achunguzwe Nini Sasa hapo
@Godbless-o6c10 ай бұрын
Huyu mama kuna kitu anajua
@Commentsplus10 ай бұрын
Mama haliii mumewe kafa kwa sababu inaonekana alikua alishamchoka mumewe hata mission usikute na yeye yumo ................................................... . Hakupiga simu hata Police #Wazee wa #Cuba
@Happy-ef9kf3 ай бұрын
Yani mtu kama ww ndo nilikuwa nakutafuta apo nimekuelewa
@nurdinsalum704110 ай бұрын
Mke wa mtu sumu ila hii imezidi 😢 pole sana.
@MaryFlorence-t3mАй бұрын
Manyara sehemu gn
@mropetv703410 ай бұрын
mama jasili ila aisee mke anauma weweee
@LizzyAdrianadriana10 ай бұрын
Mama ana ujasiri huyu duh jaman na alkuwa anampenda mme wake
@mwanaidimussa10 ай бұрын
Ampende nn , msaliti
@twiseghekisilu884510 ай бұрын
@@mwanaidimussamwanamke lakini huna akili Sasa usaliti ndo auawe!wewe umekamilika??
@hadijajuma3773Ай бұрын
Baba Tyale😢😢😢
@mwanaidimussa10 ай бұрын
Mnamlaumu huyu mama bure ,, mwanaume unamwambia nimesikiaa unatembea na mtu fulani anakutukana na kipigo juuuu,,,, ety leo amepata alichokitakaaa nianzeee lia liaaa ,siweziiii jmn ntamuombea tu aende salama
Watu wanatamah jmn mtu unamke unaenda kuangaika na wanawake zawatu wakazigan tanaume wa tz hacheni tamaha ridhikini na wake zenu na wanawake ridhiken na wanaume zenu kwa ujumla mturie uriopo kwenye ndoa
@amanimanase879810 ай бұрын
Duuh Mungu tusaidie na tuepushie majaribu kama haya
@Rachelnsanzu10 ай бұрын
Manyara napo jamani
@yukundapeter820010 ай бұрын
Rombo kijana mmoja alimwambia mke wake,mpigie hawara yako mwambie aje mimi cpo.Mke skafanya hivyo hawara akaja akaingia ndani akijua atajivinjari na mke wa mtu,hawara akashambuliwa na mapanga akafia palepale tena mbele ndani.Mnaitwa tu mnaenda km kuku.