TRAFFIC ALIYEFUKUZWA KAZI AMLILIA RAIS NA IGP "NIPUNGUZIWE ADHABU, WEMA ULINIPONZA, MKE KANIKIMBIA"

  Рет қаралды 334,100

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 2 300
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 2 жыл бұрын
Anaye amini kama Mimi ninavyo amini huyu Askari kasamehewa na ndoto zake zitatimia wasipomsamehe binadamu Mungu ashamsamehe.like twende sawa
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 2 жыл бұрын
Hapa namkumbuka baba JPM aliwahi kusema 5,000 ni yakupigia kiwi na sio rushwa Lala salama Mzee wangu MAGUFULI 🙏🙏🙏
@winfridagama5832
@winfridagama5832 2 жыл бұрын
Binadamu wengine wanaroho mbaya Sana,Ahsante Basi kanywe maji ya kunywa,Bora ungeniacha na kiu yake
@felisterlusha8064
@felisterlusha8064 2 жыл бұрын
Poleee sanaa kwa maisha unayopitia na changamoto uliyopitia Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika maisha yako usichoke kumwomba Mungu kiukweli inauma sanaaa
@mwendaibrahim8107
@mwendaibrahim8107 2 жыл бұрын
Mungu ni mwenye huruma sana ,,na amesikia kilio chako ,,atakupa kicheko iv soon in Jesus Name🙏🙏🙏
@ashafroholdt7697
@ashafroholdt7697 2 жыл бұрын
M/mungu atakusaidia mama Samia, IGP na waziri wa mambo ya ndani watakusamehee. Ukisamehewa usije kumwamini tena mtu, pole sana kaka
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
Ttb kzbin.info/www/bejne/fn3Up5urbdudb5o
@kwilasacharles1747
@kwilasacharles1747 2 жыл бұрын
Pole sana bro ni changamoto zitaisha,mtangulize Mungu kwa kila jambo yeye ni muweza wa yote
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 жыл бұрын
Pole ya nini hao jamaa ni wasumbufu sana.
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 2 жыл бұрын
Nimejisikia uchungu pole mwanangu ubinadamu kazi tafuta biashara labda mungu amekuepusha usilazimishe mweleze Mungu yy atakuonesha njia
@danielmwembe8078
@danielmwembe8078 2 жыл бұрын
ni kweli ushauliwako ni mzuli usilazimishe mungu Anamakusudiyake amekuandalia nini mungu hakosei na wala hachelewi
@kupelakupelaa2580
@kupelakupelaa2580 2 жыл бұрын
ni kweli mungu aliyetuuumba anatujua vizuri sana inawezekana kakuepusha na tatizo kubwa zaidi ya hilo na inawezekana kuna sehemu yako ipo sahihi zaidi siyo lazima ufanye kazi ya polisi tu kikubwa muombe allah akupe mbadala wa kazi ya polisi
@FurahaPetro-ly8jc
@FurahaPetro-ly8jc 9 күн бұрын
Umeongea vyema afanyie kazi ushauli
@ezekielmsemwa8194
@ezekielmsemwa8194 2 жыл бұрын
Pole Sana Kaka. Mwenye enzi Mungu akusikie kilio cha moyo wako. Nimevaa uhalisia naumia sana
@user-ve4hk6qt6s
@user-ve4hk6qt6s 16 күн бұрын
kitendo alicho fanya huyu alie mrekodi sio uungwana, bila shaka huyu alikuwa amemdhamiria. but mwanaadamu hukosea na ndio kawaid yake. pole broo mungu akufungulie milango mema zaid y rizki
@daudmabulamashenene1854
@daudmabulamashenene1854 2 жыл бұрын
Pole sana mkuu naamini viongozi wamekusikia watakufikilia, ila endelelea kumwomba Mungu hilo litaisha tu! na utarudishwa kazini.
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
Tyi kzbin.info/www/bejne/fn3Up5urbdudb5o
@mustafaally7718
@mustafaally7718 2 жыл бұрын
Aliyekupiga picha akikuona Leo sijui Kama atabaki hai Mana amesababisha wadogo zako wamekosa elimu baba yko mgonjwa
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 жыл бұрын
@@mustafaally7718 kwaiyo ajitoe uhai?
@mustafaally7718
@mustafaally7718 2 жыл бұрын
@@sir_ENOCKMACHA amtafute amuombe radhi kwa Mana anamuharibia future kwa Jambo dogo san
@hijjafakky1381
@hijjafakky1381 2 жыл бұрын
Huyu harud Kazin na akirud bc nabii Issa bin maryam ( YESU) atarud ulimwengun😁😁😁😁
@trayoversion
@trayoversion 2 жыл бұрын
Kazi sio lazima uaskari sisi wengine tulikua huko tukatoka na maisha yanaenda vizuri tu /maisha popote ndugu usikate tamaa
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
Gyh kzbin.info/www/bejne/fn3Up5urbdudb5o
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
Itabidi mkutane ili aweze kuamini hilo
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" unajua ukishazoea kulipwa mshahara,halafu alikuwa ni askari anaona akija kufanya mbishe zingine itakuwa Nouma!!!!!! Kwahyo afande kutana nae umpe maujanja
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 mbaya zaidi inaonekana katokea zile familiya zinazoamini mafanikio yanatokana na kuajiliwa.kumbe unaweza kujiajili kwa muda wa miaka 10 ukapata hela ambayo ungepata kwa miaka 30.ebu msaidie kama ukionana naye.
@rehemajuma2202
@rehemajuma2202 2 жыл бұрын
Changamoto ni mtaji ....yaani wema ulimponza masikini,yaani wamemuhaeibia maisha na kwao yeye sasa ndo ilikuwa akionekana msaada.dah! Inauma sn
@ashaally6993
@ashaally6993 2 жыл бұрын
Huyo alierekodi mjinga sana kumuharibia mwenzio maisha umepata faida gani? Inshaallah m.mungu atakusimamia kaka
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 жыл бұрын
Kikubwa tumuombee kwa mwenyeezi mungu ampe moyo wa subra kwa uwezo wa Allah atarudi kazini aliyemrekodi mjinga sana wapo wengi wanafanya hivyo halafu wanachukuwa pesa nyingi hao waliojifanya hawana furaha ndio wakwanza kuchukuwa pesa ndefu wamsamehe
@ashaally6993
@ashaally6993 2 жыл бұрын
@@user-fs7xc2bb5d inshaallah mungu atamfanyia wepesi🙏yani hata sikuweza kuangalia mpaka mwisho imeniuma sana kwakweli😢
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 5 ай бұрын
Sio mjinga Bali ametusaidia kwa wapenda rushwa na bado mkome, huwa raia huwa tukipata majanga na tukiletwa police badala ya kutenda haki, mnataka rushwa tena kwa razima
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 2 ай бұрын
Sio Shaka wewe polisi
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 22 күн бұрын
Fikiri kabla hujachangia comment yako.​@@ashaally6993
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 19 күн бұрын
Pole Sana Mungu akusimamie utarudi tu kwa uwezo wa Mungu 🙏🙏
@fextomaturo3674
@fextomaturo3674 6 ай бұрын
Daah Yan. Nimejisikia vibaya sanaa pole sanaa mwanangu
@hajraissa775
@hajraissa775 2 жыл бұрын
Jaman asamehewe Tu wengi wanachukua rushwa wampe adhabu nyingine
@annamosha968
@annamosha968 2 жыл бұрын
Kwakweli wengi kama sio wote wanachukua rushwa jamani mtoto wa watu elfu Tano tu mumfukuze kazi jamani!!!
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 2 жыл бұрын
wanaochukuwa rushwa hasa hawaguswi ni bora asamehewe tu
@rosendile8235
@rosendile8235 2 жыл бұрын
Kwakweli rushwa wanachukuwa wengi sana ni hivi amekamatwa live 🙆🏾‍♀️
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 2 жыл бұрын
Wamuonee huruma huyu kijana wengi wanakula maela ya watu wananukia rushwa kuanzia familia zao mpk wenyew
@lovenoor988
@lovenoor988 2 жыл бұрын
Hii ndio dunia na hao ndio binadamu Umeniliza ndugu😭💔 Mungu akufanyie wepesi wakurudishe kazini 🤲
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 2 жыл бұрын
Hata mm nimejisikia vibaya sana wamsamehe arudishe kazini
@husseinyappi9330
@husseinyappi9330 2 жыл бұрын
Mpunguze Tamaa na uwonevu
@Saidkhel
@Saidkhel 2 жыл бұрын
@@husseinyappi9330 siyo tamaa bro some time hawa jamaa wanatusaidia sisi lkn watz roho mbaya tumeumbiwa police anakukamata huna lesen fain mahakaman ni laki 2 yeye anakuchaj buku 5 unamuona kakuonea
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
@@Saidkhel yaan mm pia imenisikitisha binaadam hawana wema kwakweli wakikaziwa wanawaona maaskar wanaroho mbaya
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 17 күн бұрын
Amina🎎🙏
@nasmahamisi5721
@nasmahamisi5721 2 жыл бұрын
Ikitokea Allah amekujaalia umerudishwa kazini usirudie kosa ,tunakuombea kwa Allah usamehewe ,pole saana
@athumanmuharami2571
@athumanmuharami2571 2 жыл бұрын
Mungu akufungulie milango yako ya ridhki
@husseindumwala3431
@husseindumwala3431 2 жыл бұрын
inshaaaalah
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 жыл бұрын
Vijan wa leo akili zip mikundun mwao ww miak 20 ushapat kaz af unachezea wat wana 35 hatahawajui lin wataajiliwa mpuuz tu mtoto mdog kaz miak 2 ashaanz tamaa za rushwa inaonekan ndio tabia yake
@himidijenga535
@himidijenga535 2 жыл бұрын
Pole Sana ila naamini Mama yetu Samia ni mtu mwema inshallah ataiyona hii taarfa na atakusamehe utarudi kwenye kazi.
@MwinyiAlly-iu4rw
@MwinyiAlly-iu4rw 2 күн бұрын
Pole kaka ww leo wao kesho mungu atakusaidia ushinde
@yuah9614
@yuah9614 2 жыл бұрын
Sijawahi kuguswa na habari za mtu kufukuzwa kazi lakini hii imenitoa machozi mungu atajalia kaka utarudi kazini amina
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 17 күн бұрын
Amina🙏🎎
@mayombotz
@mayombotz 2 жыл бұрын
Kama haijakukuta mitihani huwezi elewa anachozungumzia. Allah akusimamie brother
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 2 жыл бұрын
Kwa hakika umenena.
@douglasmichael7494
@douglasmichael7494 2 жыл бұрын
In deed
@greenfoodfashion262
@greenfoodfashion262 2 жыл бұрын
Kafanya dhuruma, kama kusamehe ya nn kupokea asant
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 жыл бұрын
@@greenfoodfashion262 😀
@husseinmaula5914
@husseinmaula5914 2 жыл бұрын
Hakuna Cha kujadili hapa huyu jamaaa Sheria za jeshi kama zinaruhusu mawili apunguziwe azabu au arudishwe kazini naamini Kuna waliopewa zamana ya kuongoza watu wanafanya makosa makubwa kuliko afande ally .
@salamakombo3257
@salamakombo3257 2 жыл бұрын
Nimependa comment
@telemlasamweli7262
@telemlasamweli7262 2 жыл бұрын
Huyu kijana asamehewe jamani Mana kwanza anajieleza ukweli kabisa na pia inaonyesha Ni kijana anae jitambua Sana pole Sana mungu akusimamie
@annamosha968
@annamosha968 2 жыл бұрын
Point bro🙏
@barbarasara4033
@barbarasara4033 2 жыл бұрын
Tutawasamehe wangapi? Kila siku tunalalamika rushwa ni Adui hatari sana wanatakiwa watu wapate fundisho. Kuna watu wanakufa mahospitalini kwa sababu ya Rushwa kuna watu wanakosa haki zao kwa sababu ya Rushwa
@yasinomary2147
@yasinomary2147 2 жыл бұрын
Asante kaka Hussein kwa maono mazuri,coment yako ni nzuri sana.ukweli huyu bwa mdogo yawezekana naye ana makosa yake kama mwanadamu lakin afande igp najua anasoma comments hizi,pia Mama yetu kiongozi wetu!mkuu wa nchi.Rais wetu tunayempenda Mheshimiwa Rais Samiah Hassan Suluhu-tunamuomba amsamehe kijana huyu, maana sasa ameshajifunza kutokana na makosa,pia Mama atakumbuka kipindi cha Rais magufuli waliwahi kuwasamehe wale polisi waliochukua rushwa mil900 kule Geita wakasindikiza madini.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@fatmaothman5730
@fatmaothman5730 Жыл бұрын
Dha!pole sna kaka angu,ln Sha Allah mungu atashusha rehma zake.Amiin kufanya kosa sio kosa kosa ni kurudia kosa.
@daudmtange8005
@daudmtange8005 2 жыл бұрын
Oyaaa hom boy uyoo dem hakua riziki yako pambanaa mwambaa usijali wakati mwengine matatizo yanakuja ili kukuondolea watuu wasiofaa ktk maisha yako pambanaa babuu acha na uyoo dem kum# tuu we Askari utayashindwaje maisha ya kitaa mungu yupoo maisha yatasongaa Jah bless mwambaa
@wernermwanjala5680
@wernermwanjala5680 2 жыл бұрын
Pole sana kaka, Mungu ni mwema. Utavuka salama. Mungu akupe nguvu na usije kupata moyo wa kisasi. Kila Jambo Lina kusudi ya kukufikisha mahala.
@bedhalafaeli5202
@bedhalafaeli5202 2 жыл бұрын
.
@khadijalambo2138
@khadijalambo2138 2 жыл бұрын
Nimelia sana tena sana,mungu wa mbiguni namuweka kijana huyu katika mikono yako.Hakuna mkamilifu ispokuwa wewe mungu.Nakuomba wewe mungu ukawaguse viongozi wetu wakubwa wakamsamehe kijana huyu.😭😭😭
@zawdyswety5343
@zawdyswety5343 2 жыл бұрын
N M N .zb. .; ,= . , . N. .,b
@zawdyswety5343
@zawdyswety5343 2 жыл бұрын
Bc Z
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 2 жыл бұрын
Amina Tunamuombea sana ndugu yetu arudi kazini,si tu kwa kosa naamini kabsa aliyerekodi ni maksudi ilifanywa walimtafuta ili wamharibie maisha kijana huyu Mungu wa mbinguni atasimama kijana atarudi kazini🙏🙏
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 2 жыл бұрын
Amina Tunamuombea sana ndugu yetu arudi kazini,si tu kwa kosa naamini kabsa aliyerekodi ni maksudi ilifanywa walimtafuta ili wamharibie maisha kijana huyu Mungu wa mbinguni atasimama kijana atarudi kazini🙏🙏
@amirymusa7563
@amirymusa7563 Жыл бұрын
Hawa sio watu wanatutesa barabaran Yan nawachukia Sana Bora hata alivyo fukuzwa madereva sisi tunajua mateso yahao watu Nisha pigwa fine zakubambikiwa nyingi sanaaa Yan bora
@glorynguma3593
@glorynguma3593 2 жыл бұрын
Dah nimeumia sanaa God plzz help this young boy he is broken 😭😭
@AgustaZaile
@AgustaZaile 5 күн бұрын
Mwamba yupo real sana Mungu amsaidie
@MichaelWilliamsNyirenda
@MichaelWilliamsNyirenda 8 күн бұрын
Kaka nakuombea Mungu wakupe mlango wa 2 wamafanikio pole sana bro
@alexvenas2699
@alexvenas2699 2 жыл бұрын
Mama yetu kipenzi Cha wengi Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,Samia suluhu Hassan wewe ni mama mwenye huruma namuombea msamaha huyu askari kweli kakosa umesamehe wengi sana hata huyu kija waweza kusamehe,Afande IGP msamehe huyu kijana ni kweli amekiri kosa msamehe afande.
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 жыл бұрын
Tatizo Tanzania mumezidi rusha
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 жыл бұрын
Wanatakiwa kufanya kazi kihari .Alafu mimi nashanga sana Tz police au askali ndio dhamani ya rahia na rahia hawatakiwe kuwaogopa police wala Askari wanatakiwa kua marafiki .lakini cha kushangaza huwa naona hata mtu akishikwa wanambana hata hawampe rahia nafasi ya kujieleza which is not right Just don't like Tz police
@annamosha968
@annamosha968 2 жыл бұрын
Sana tu asamehewe mbona kakiri kosa???? 5000 JAMANIIIII KUFUKUZWA KAZI? NOOO
@rehemaluciansanga5009
@rehemaluciansanga5009 2 жыл бұрын
@@annamosha968 pole sana Igp msamehe sana jamani
@saidihussein6718
@saidihussein6718 2 жыл бұрын
Kipenz chako ww
@dorahy1579
@dorahy1579 2 жыл бұрын
Mbona wakubwa wanaiba mapesa mengi tu. Serikali nzima waizi, lakini pia wanaleta wawekezajimpaka wanatakakuiba nchi nzima ya Tanzania.
@abdullyjadu7723
@abdullyjadu7723 3 ай бұрын
Kabx ujinga mtupu
@allysinge7096
@allysinge7096 2 жыл бұрын
HAWAKUMFANYIA FAIR, KAMA KWR ICHO KITENDO ALICHOFANYA ADHABU YAKE NI KUFUKUZWA KAZI, BASI ASKARI WOTE INABIDI WAACHISHWE KAZI, MAANA HAKUNA TRAFFIC AMBAE HACHUKUI RUSHWA TANZANIA
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
kweli kabisa
@annamosha968
@annamosha968 2 жыл бұрын
YEEEEEEEES 💪💪💪💪
@ashanoti5383
@ashanoti5383 2 жыл бұрын
Yan hapo umenena eti!!!! Yan tunakutana na matatizo yakuombwa rushwa mpaka unataman kumloga Askari!! Ijekuwa hiyo ya maji duh!!!
@rosendile8235
@rosendile8235 2 жыл бұрын
Kweli kama rushwa ni ugonjwa mkubwa nchini hata siyo Police tu hata Idara zingine za Serikali 😏😏
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 2 жыл бұрын
Wengine wasubiri arobaini yao
@bensongodfrey
@bensongodfrey 6 күн бұрын
Daaaaa pole san mtu wangu inauma san ila mungu ni mwma kila wakati yake
@EvelynePaul-x9y
@EvelynePaul-x9y 10 күн бұрын
Mungu akutetee urudi kazini jifunze kutomwamini MTU yoyote
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
So sad! but the world is full of opportunities, try your best, Our Lord is always good shall never let you down,,,,,,,,,!!!
@dulahstar5875
@dulahstar5875 2 жыл бұрын
Mm simuonei uruma wakuda Sana Tena Sana shenzi kabisa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@dulahstar5875 inawezekana ulikuwa unakinzana na Sheria,,,
@lawrentmwilongo6072
@lawrentmwilongo6072 2 жыл бұрын
pole sana bro, umeomba msamaha Mungu asaidie urudi kazini.
@salcle9702
@salcle9702 2 жыл бұрын
usilie coz mungu anamakusi yake kukuondoa hapo utafanikiwa kwa njia nyingine.wanawake wapo wengi utapata mwingine don't panic brother
@yasinisalum4217
@yasinisalum4217 2 жыл бұрын
Hheeehhh
@user-bm4pv2jw2e
@user-bm4pv2jw2e 2 ай бұрын
Pole sana ,hao ndo wamefanya ila ipo siku watakukumbuka,wema siku zote huza uwovu,kuna shemeji yangu nae alipata changamoto km hiyo jp mazingira ya kazi ndo tofaut
@davisnkoba2683
@davisnkoba2683 2 жыл бұрын
Duuuu pole Sana dogo ,kusema kweli maongezi yanaonesha unaongea unamaanisha ,naamini kama kiongozi ama viongozi watakusikia na kukupunguzia adhabu . Amina utasimamia kweli yako na kuwa mfano kwa wengine . Mungu akutetee .
@theonestrenatus954
@theonestrenatus954 2 жыл бұрын
He deserve second chance...
@claudia1500
@claudia1500 2 жыл бұрын
Yes everybody deserve second chance
@annamosha968
@annamosha968 2 жыл бұрын
Yes
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Kabisa mijizi mikubwa imekumbatiwa huyu kafukuzwa kazi
@robbynyamriba251
@robbynyamriba251 2 жыл бұрын
Wema ni akiba...ulifanya wema bro ipo cku Mungu atakulipa kwa wema ulioufanya.huyo aliyerekodi hiyo clip ajihakikishie kuwa yeye hajawahi kukosea...kinyume na hapo Mungu atashughulika nae
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 жыл бұрын
Kumbe kupokea rushwa ni wema ee,🤣🤣🤣
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 жыл бұрын
Kumbe kupokea rushwa ni wema ee,🤣🤣🤣
@robbynyamriba251
@robbynyamriba251 2 жыл бұрын
@@greysonmheni5176 mpaka umri huo umeshapokea na kutoa rushwa ngapi?msijisahaulishe sana mkajiona nyie ndio mna haki sana,sio kila pesa anayopokea mtu ni rushwa,tukianza kurekodi haya matukio hakuna mfanyakazi wa seriakali atakaebaki salama,ni kiasi cha kumsamehe tu na maisha mengine yaendelee,watu wanapewa rushwa wanafanya matukio makubwa ya kutisha sembuse huyu aliyepewa efu 5?
@robbynyamriba251
@robbynyamriba251 2 жыл бұрын
@@greysonmheni5176 hata chizi anachekesha ikiwa hatokei kwenye familia yako....na msiba ni mwepesi ukiwa kwa jirani yako...yakikufika ndo utajua kwanini walisema mjini shule
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 2 жыл бұрын
@@greysonmheni5176 ni wema ndio kamtendea lkn ao wenye gari ni washezi Laki 9 kwa elf 5 ni sawa na Ahsate tu Ingekuwa imefika ata laki moja iyo tuiita rushwa Elf 5 basi watu wote tungekuwa atuna kazi
@muhigwasiniibagiye6587
@muhigwasiniibagiye6587 2 жыл бұрын
Pole sana Bwana mdogo. Kiukweli ulikosea kutokana na uungwana wako wa kumsaidia huyo dereva. Mungu Mkubwa huyo aliyechukua video na kuisambaza siku yake pia itafika,unayoyapitia yote yatamsibu,kwani kiendacho kwa duara hurudi kwa duara. Mungu Akubariki na Akufungulie milango mingine uendelee vema na maisha yako. Usimuamini mtu tena, mziki unaopitia mnene.
@tatumwakitwange8369
@tatumwakitwange8369 2 жыл бұрын
Pole sana mungu akusaidie
@joanngatulile4687
@joanngatulile4687 2 жыл бұрын
Yaani binadamu sisi wabaya sana mtu umemueleza shida yako kya unauguliwa afu kweli unamsnitch kwa kusambaza video kweli jamani?😭😭😭Mungu atamlipa huko aliko,pole kakangu ni changamoto haswa mtaani pagumu kweli lakn naimani Wakuu watakuskia na Mungu atafanya njia tena Insha’Allah🙏🙏🙏pole mwaya
@eliaikammary7525
@eliaikammary7525 2 жыл бұрын
Msaidieni,wangapi wanachukua nyingi tuu hawafukuzwi,ni balaa tuu msaidieni jmn,atajirekebisha
@tumsifujoachim5877
@tumsifujoachim5877 2 жыл бұрын
Kama kumsaidia why asingemuacha na kumuonya?
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 2 жыл бұрын
Huyo aliyemrikodi cjui kapata faida gani,maana mwenziwe kishamuharibia maisha.kuna watu wanafanya makosa makubwa duniani kuliko yy. Pole afande ila ucje kupokea au kumpa mtu rushwa tena katika maisha yako. Ila muombe Allah (SWT) atakusamehe na atakujalia kazi nyengine.
@AdamOman-n2s
@AdamOman-n2s 10 күн бұрын
Pole sana bro mamaetu samia kashakusikia atakusadia inshallaah
@afragafiseki8745
@afragafiseki8745 2 жыл бұрын
Pole xana kijana nakujua vizuri xana niliona umepotea ghafla pole xana Ila Mungu yupo utaludishwa tu wakusamehe tu kwakweli
@agneskabalika800
@agneskabalika800 2 жыл бұрын
Baba yetu mzee Sirro na mama yetu mpendwa mama Samia mtoto akijisaidia kiganjani hatukati mkono .kijana anajuta amejifunza tunaomba asamehewe Mungu awabariki
@emanuelhagai8484
@emanuelhagai8484 Жыл бұрын
Duh! Huruma imekupoza
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 24 күн бұрын
Hawa tragic kweli wakuwaonea huruma kweli Hawa kenge miungu watu wa barabarani!
@davidjohn115
@davidjohn115 2 жыл бұрын
Uyu n mwanangu kabisa Tena n mwanangu sn aiseee jaman mungu akupganie najua magum unayo yapitia m2angu Ally skana nimetoa choz baada ya kujua chanzo mungu n mwema 🙏🙏🙏
@mainasam4278
@mainasam4278 2 жыл бұрын
Hebu tupe number yake
@user-xd9lm3kj3p
@user-xd9lm3kj3p 5 ай бұрын
Mungu akutangulie kaka.
@leilayathumani2295
@leilayathumani2295 18 күн бұрын
Naomba Ata namba Yake huyu kaks
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 17 күн бұрын
Amina 🎎🙏
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Pole Sana usihuzunike Sana, mungu anakuanda kukupa kazi nyingine nzuri na yenye mafanikio, tatizo lichukuwe liwe fulsa.
@glorymbata9195
@glorymbata9195 2 жыл бұрын
Huyu mtangazaji hampi muda ajieleze vizuri
@mohamedkinega6521
@mohamedkinega6521 2 жыл бұрын
Pole sana dogo wema umekuponza cha msingi jipambanie maisha yako kwani umri bado mdogo,huyu dereva na mwenzie wala sio waungwana sijui sasa wanajisikiaje walivyosikia umeachishwa kazi.pambana kutafuta kazi hata hiyo kazi ya boda inaweza ikakuweka sehemu nzuri pia na maisha yakakuendea vizuri tu
@LabiKongwa-wo1yy
@LabiKongwa-wo1yy 18 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akufungulie njia rafiki yangu asamehewe tu maana bibilia inasema sameheni mara sabini
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 2 жыл бұрын
Dah ndo dunia unamsaidia mtu mwisho wa siku akuangamiza, pole sana aise
@editchakoma1113
@editchakoma1113 Жыл бұрын
We are failing to arrest and chase people who are corrupted at high level, please feel sorry for him
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Poole Kaka tunajifunza kutokana na makosa, Mungu atakujalia utapata KAZI nyingine,
@veronicajohn7270
@veronicajohn7270 2 жыл бұрын
jamani nyuma yake kuna watu walikua wanamtengemea ,,wakuu mumsameheni mrudishe kazini awezi pokea rushwa ya 5000 wenda nikweli alipewa ya maji
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
😂🤣😂🤣🤣😂🤣😂Mnachezea kazi hamjui huku mtaani kugumu raia tukiongea hamuamini😂🤣🤣
@daudiemmanuel451
@daudiemmanuel451 6 күн бұрын
😂😂😂😂 kugumu kweli
@paschalmmari111
@paschalmmari111 16 күн бұрын
Mungu ameruhusu hilo likutokee ili akunyenyekeze, ili akufundishe kumtumaini Yeye. Mtafute YESU kwa bidii akuonyeshe kusudi lake juu ya maisha yako
@yusuphissa9613
@yusuphissa9613 2 жыл бұрын
Kwanza alifanya tukio la kumrecod sio muungwana kikubwa sisi wamiliki wa vyombo vya moto baadhi yetu sio wastaarabu ,Allah atalipa tu kwa hicho walicho kufanyia ikiwa pia wewe ni mkweli
@yahayamaulana1561
@yahayamaulana1561 2 жыл бұрын
Ulicho comment in utumbo kumbenawewe unasadiki wizi bwegeww
@emmymodu2706
@emmymodu2706 2 жыл бұрын
Kabisa, wamiliki wa hilo gari sio wastaarabu kabisa, waende wakamuombee jamani ila hao watu wLiompnza askari Mungu anawaona tu
@emmymodu2706
@emmymodu2706 2 жыл бұрын
@@yahayamaulana1561 hivi wewe kuwa na huruma, kumpa mtu sha 5000.utafikiri umempa millioni, huyu nikija mie na huruma jamani, kutoa fedha kwa askari miti cha kawaida mno, elfu tano tu.
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 2 жыл бұрын
Nmm namuombea alie mlikodi apatwe nambaya zaidi yke
@nasraabasi6521
@nasraabasi6521 2 жыл бұрын
Yaan alichomfanyia kiukweli si ungwana wangapi wanapokea rushwa tena kiasi kikubwa yaan inauma sana
@chrisekonga9092
@chrisekonga9092 2 жыл бұрын
Umekosea Mdogo wangu ila utakuwa umejifunza kwa wakati mwingine, Kazini kurudi ni ngumu. Weka Saikolojia yako kufanya Mambo mengine wakati unatafuta fursa nyingine. Mafanikio sio lazima uwe polisi bro, fungua Macho
@pascalamosi5860
@pascalamosi5860 2 жыл бұрын
Kabisa ndugu yangu
@theprincejr1417
@theprincejr1417 5 ай бұрын
Dahh 🙏utarudi kaz bro...4/2024
@shangalimasafaris3106
@shangalimasafaris3106 2 жыл бұрын
This guy he look very innocent be strong and God will stand with you you have to know everything happen for reason
@mbogomohamed6376
@mbogomohamed6376 12 күн бұрын
Mimi nazani huyo jamaa anadaiwa gari yake IPO kwenye mfumo mbona rahisi kumpata
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Duh! Pole sana ndugu yetu, ila mkiwa site mna nyodo sana nyie.
@fariedmachinga2408
@fariedmachinga2408 2 жыл бұрын
Kabisa
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 жыл бұрын
Sio nyodo Ni kazi
@magerechales9018
@magerechales9018 2 жыл бұрын
Yan wakikamatka sasa wanakuwa wabariidi namna hyo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Sana yn
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 жыл бұрын
Pole ya kinafiki
@seinabelimi2296
@seinabelimi2296 2 жыл бұрын
unamsaidia mtu alf anakuliza😭😭😭 nimeumia sana kwa kweli dunia watu wabaya sanaa😭😭
@muddykishoma4452
@muddykishoma4452 Жыл бұрын
Tunaowasaidia ndio wanatuangamiza
@magdalenaobeth9605
@magdalenaobeth9605 2 жыл бұрын
Rais wetu Ana moyo wa huruma Sana atakurudisha kazini Ila huyo mwanamke wako usimrudie Tena pia naamini hutapokea rushwa Tena
@modestaseverine4082
@modestaseverine4082 2 жыл бұрын
pole mdogo wangu mwanamke anae kupenda utamjua apo tu ktk changamoto na mungu atakusaidia utalud ktk ajira usijar kbs
@westonymwasanduki1423
@westonymwasanduki1423 2 жыл бұрын
Atubu dhambi kwanza sio kusema alikuwa asamsadia wakati alichukua rushwa,kusaidia gani unachukua rushwa!?
@Saidkhel
@Saidkhel 2 жыл бұрын
@@westonymwasanduki1423 waijua rushwa bro
@fextomaturo3674
@fextomaturo3674 6 ай бұрын
Daaah pole sanaaa dogo mungu akujalie urudi kwenye kaz yako mungu msaidie tyu hawa wanawake ndo walivyo tyu anakupenda ukiwa nacho
@Shalomstudiotz
@Shalomstudiotz 16 күн бұрын
Mungu wetu halali wala hanzinzii nakuhakikishi kwa jina la YESU KAZI UTAPATA wasipokurudisha kazi ya police utapata kazi nyingne nzuri sana tembea na hili neno MUNGU hawaachi wanaomtegemea
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 2 жыл бұрын
Tatizo kamanda kuna wakati ktk mazungumzo yako utanguliza maisha magumu unataka kurudi kazini.. Na wakati mwingine unaongea kuhusu uzalendo wako wa dhati wa kulitumikia jeshi la police.. Binafsi ningekushauri endelea kupambana na maisha ya mtaaa kaka usikate tamaaa,, ramani ya maisha yako ipo mikononi mwa Mungu!! Bado una nafasi ya kufanya makubwa kwani hujafika hata miaka 25,, Na naomba kwenye nafsi yako usijute kupoteza kazi kwa sababu unakosa hela bali juta kwa sababu unakosa kusudi la kulitumikia taifa lako!!! kumbuka: Pesa inatafutwa kwa namna nyingi sana , sio hadi kuajiliwa tu!!
@yusocomedy367tanzania9
@yusocomedy367tanzania9 2 жыл бұрын
Kweli ndugu yangu point kubwa xan piga anaweza akarudishwa akawa anataka kulipiza vizazi nasisi madereva kikubwa eb tupambane2 funika kombe hilo
@naifaabraham468
@naifaabraham468 Жыл бұрын
Mungu akufanyiye wepesi ilikuwa hiyo kazi riziki yako imeisha ila SS kuwa makini sana na SS binadamu ni wabaya Sana
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Жыл бұрын
Kuna kazi nyingi2 c mpaka uajiliwe
@abdullyjadu7723
@abdullyjadu7723 3 ай бұрын
Safi sana
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 2 жыл бұрын
Pole sna mtu mzima karibu sana kwenye maisha ya uraiyani mbana uraiyani kuzuri tuu ila usikate tamaa ipo siku utakua mtu mkubwa tu
@judithmichael7656
@judithmichael7656 2 жыл бұрын
Duuh pole sana kaka Mungu mwema atafanya njia endelea kuomba Mungu atakukumbuka tu
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 16 күн бұрын
Pole sana mtoto Wang utashida kwa uwezo wake mungu naamini huruma yako itakurudisha kazin zidi kumuomba mungu
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
Jamanii pole sana kaka, nakuonbea sana Mungu awawezeshe wenye mamlaka wakusikie kilio chako na sisi tulioguswa ili usamehewe baba wajina wa baba angu! Mungu naomba umsaidie huyu kijana!
@lidyajoseph1752
@lidyajoseph1752 2 жыл бұрын
Mama Samia Suluhu Hasan na mheshimiwa Siro muangalien Hy kijana kwa jicho la tofauti, ni kweli amefanya kosa lkn tafadhali msaidien angalieni amepoteza mke mtoto amenyang'anywa ni maumivu makali sana, wakati mwingine sisi madereva tunachangia kuwapa rushwa hawa watu kwa kutokutii sheria, mama Muangalien mwanao, Siro muangalien kijana wako, asanten sana
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 2 жыл бұрын
shida watanzania wengi uelewa wenu ni mdogo ndiyo maana watafiti wanasema
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@nsajigwamwakalonge5702 Kwani wewe mboswana
@eliasmwita3863
@eliasmwita3863 2 жыл бұрын
Pole saana na changamoto bwana mdogo, Kweli inaumiza naomba usamehewe na urudi kazini lkn pia ujue namna ya kuishi na watu maana maisha ya mtaani umeyaona, Mungu akufanyie wepesi urudishwe kzn pole saana😭😭😭😭
@monalisaally4387
@monalisaally4387 2 жыл бұрын
Wallaah nimelia kaka najua kiatu unacho kivaa maumivu yake Allah akutangulie
@aliaden5512
@aliaden5512 2 жыл бұрын
Unamlilia jambazi
@monalisaally4387
@monalisaally4387 2 жыл бұрын
@@aliaden5512 ameshaomba msamaha au ujasikia vizuri?
@hopekrish5433
@hopekrish5433 2 жыл бұрын
Jambazi alimuuwa babaako
@sknapoleonshoo3145
@sknapoleonshoo3145 2 жыл бұрын
Haise watanzania tuache roho mbaya. Kama afande amekuonea huruma badala ya kulipa 30000 ukampa elfu 5000 na akakuachia uende bila kukuandikia kosa kwenye leseni yako , kosa lake liko wap? Ungepigwa faini ungesema maskali wana roho mbaya. Ndio maana Mimi Nina watwanga faini bila kumtizama mtu yoyote usoni . Sasa umepata nini au umefaidika nini baada ya yeye kufukuzwa kazini? Huku fikilia kuwa na yeye anategemewa? Tuache roho mbaya... Huo ni umasikini WA roho.
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 жыл бұрын
Sometimes raia ni wasenge sanaa
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 жыл бұрын
Sometimes raia ni wasenge sanaa
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 2 жыл бұрын
Wanalohoo mbaya sana
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 жыл бұрын
@@asumaathuman6094 sanaaa,,mtu unasaidiwa halafu una nuharibia mwenzio
@deborahjoseph838
@deborahjoseph838 2 жыл бұрын
Umeonaeeh ila angekubaliana na hali mbona mimi mume wangu alifukuzwa tukaanza kufunga barafu hadi leo maisha yanaenda
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 8 күн бұрын
Angalia sasa mpaka mwanamke kamkimbia huwa nasema kuwa mwanamke siyo ndugu yako hata kidogo jamaa kaachishwa tu kazi mama katokomea mwanamke pesa tu siyo shida
@redemptorbbombo402
@redemptorbbombo402 2 жыл бұрын
Dah! Kijana umenitoa machozi. Mwenyezi mungu akuwekee wepesi usamehewe.
@evancekessy592
@evancekessy592 2 жыл бұрын
sometimes nasisi wenye magari tuna wapa changamoto askari..mara ngap watu wanakosea ..adhabu ifikiriwe tena kwa kweli..maana maisha yanachangamoto sanaa,, yaliyomo yamo kwa kila mtu upande wake hata wakubwa hukosea pia
@hellenyyusuph3790
@hellenyyusuph3790 2 жыл бұрын
Nimesikitaka sana jamani anayeomba msamaha asemehewa amejifunza kisa chake kimenisikitisha
@saimoningasa5754
@saimoningasa5754 2 жыл бұрын
Tatizo polisi wanajionaga miungu watu Ila asamehewe2 tushawazoea
@iuem5792
@iuem5792 2 жыл бұрын
Watu hawaelewi nini anamaanisha huyu kijana.Huyu kijana inaonyesha ndoto yake ilikuwa kulitumikia Taifa kwa kazi ya police,,Hivyo nafsi yake imepata jeraha na inalia ndani.Ana wito wa kipolice na anateseka kwakuwa yuko nje ya wito wake.Namtabiria kurudi kazini maana hicho ndicho kitu alichoitiwa.Kufanya makosa kwenye site yako ni jambo la kawaida kwakuwa wewe ni mwanadamu,Aliemrekodi kamhukumu.Hata Rais anafanya makosa ndio maana analindwa kwa sheria yakutokuhukumiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa kazini
@thadeomukwe3774
@thadeomukwe3774 2 жыл бұрын
Mungu akupe amani ya moyo wako bro na akupe unachokitaka
@petrooverton6643
@petrooverton6643 2 жыл бұрын
unamaanisha na huyu nae alindwe kwa sheria ? siyo sawa wawo wameona ana makosa so sheria imefanya kazi na sheria imetungwa kwasababu yupo alie kosea kama huyu na hata ivo amekuwa mwalimu kwa wengine hajakatwa miguu wala mikono na macho anayo ataishitu kama wengine siyo lazima afanye kazi police wapo wamesomea udakitari saizi ni mafundi mtaana
@emmanuelpeter5686
@emmanuelpeter5686 2 жыл бұрын
Pole dogo misukosuko kazini hua ipo, ila sasa mbona wao wanachukua pesa ndefu sasa?
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
Kutumikia taifa kwarushwa au
@missarepafra3973
@missarepafra3973 Жыл бұрын
@@petrooverton6643 wengine hawajawahi kukiri km huyu alivyofanya. Kisheria sawa lkn kiutu angepewa chance kutokana na kujuta na huku bado akitamani kulitumikia taifa anaweza kuwa mfano na mwalimu mzuri kwa askari wengine hususani vijana wanaoanza maisha. Naikumbuka hekima ya hayati Mrema ambae alikuwa anawasamehe majambazi walikubali kusalinisha silaha na kuacha kazi hiyo mbaya. Hajaua, hajaiba, hajadhulumu wala hajaomba rushwa bali mazingira ya takrima yamemuweka matatani. Adhabu aliyoipata sidhani km atamani kuipata tena hivyo aweza kuwa "kifaa" kizuri cha kazi hiyo hiyo.
@samwelmosh-fu7vu
@samwelmosh-fu7vu 14 күн бұрын
Pole sana kaka ila Mimi nakumbuka niliandikiwa kosa la uongo baada ya kukataa kutoa rushwa inaniumaga sana kila nikikutana na traffic pole machozi ya maraiya
@naomikalinga3042
@naomikalinga3042 2 жыл бұрын
Pole Sana mkuu hakika asikari wenye moyo km wewe hasa kwa kujua shida ya mwenzio Ni wachache daa mungu akusimamie urudi kazini igp muonye kijana mpe nafasi tena
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 2 жыл бұрын
Dahhh!!! Inauma sana lkn inaweza kuwa ni kisasi au chuki kwa pengine alikosana na mkubwa akamfanyia huo umafia. Askari wanakera sana sometimes wanatubambikizia makosa kwa makusudi lkn sometimes ndio marafiki zetu maana kiukweli vyombo haviwezi kukosa kosa. Pole sana ndugu lkn kubwa pamoja na changamoto zote kubali kazi yoyote ila usijekujiingiza katika matendo maovu. Yote ni maisha na kesho yako ni kubwa sana.
@peninacharles9757
@peninacharles9757 2 жыл бұрын
Haiumi wala nin,
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 2 жыл бұрын
@@peninacharles9757 Kwa sababu hayakukufika ww haiumi ila ingekufika ww ungeona machungu yake siwez kukulaumu kusema haiumi coz hayakukufika ww
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 2 жыл бұрын
Nimemuonea huruma😣
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 жыл бұрын
Hili ni tatizo la kutokuongezewa msharaha wakati maisha yamepanda saana rushwa haiwezi kwisha hata ck moja. Polic/Trafic Hospital Imagination Office za serekali Walimu/ Vyuoni. . . . . . . . . .ASAMEHEWE. mtoa rushwa mbona hajakamatwa. Usikute kuna kubwa Mungu amekuepushia...tafuta biashara ufanye siyo lazima kuajiria mzee baba.
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 2 жыл бұрын
Adhabu aliyopowa ni ndogo ashkuru mungu mim sikuwa hakimu
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 2 жыл бұрын
Utapata kazi nzuri tu ayo ni majalibu katika maisha mungu nimwema
@SekundaMmassy
@SekundaMmassy 6 күн бұрын
Pole sana mungu anasikia kilio chako usiogope kaka unaniumiza sana mtegemee mungu tuu ubinadam kazi
@yohanakomando4942
@yohanakomando4942 2 жыл бұрын
Kuna viongozi wanakula mabilioni hawa shikwi lakini elfutano mtu anafukuzwa kiukweli kuiona pepo
@mussakhamis2377
@mussakhamis2377 2 жыл бұрын
Sasa una uhakika km iyo ndio elfu 5 yk ya mwanzo
@annamosha968
@annamosha968 2 жыл бұрын
Eti jamani mtoto mdogo
@daluckyFinancialServices
@daluckyFinancialServices 2 жыл бұрын
Huyu jamaa aliyerecodi hii clip jamaa akakosa kazi mwambieni tu ndugu yangu dunia hii ni ndogo sanaa ukumbuke kuwa ni dunia ni duara leo kwake kesho kwako au kwa ndugu yako au kwa watoto wako ila kama kweli alikufanyia wema huo na deni lote la 900,000 akakuacha uende na ukamredi ukapost Mungu atakulipa.
@shabanikorongo9743
@shabanikorongo9743 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa yapokuwa jamaa wanazinguwa barabarani lakini akutakiwa kufanya hivyo mimi naamini kama mtu amekuaidia alafu ukamuharia kazi Mungu atamuadhibu tu na yeye kuliko hivyo AU isiwe ndio uyo aliyemchukuwa mke wake ndio karekodi klip
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 6 ай бұрын
Mzee hao ni Takukulu mzee
@veveveve9652
@veveveve9652 2 жыл бұрын
Jamani tunamuombea msamaha tunaomba jeshi la police limpe nafasi ingine,tena naamini huyu ndio atakuwa mfano mzuri atafanya kazi kwa uweledi tunaomba mumsamehe
@marysadiki1887
@marysadiki1887 2 жыл бұрын
Nafasi ya nini
@raphaelfransis3278
@raphaelfransis3278 2 жыл бұрын
Ww hujui2
@andrecorte3681
@andrecorte3681 Жыл бұрын
Pole sana bwana mdogo.mungu atakusaidia umefanya wema lakini umekuponza umesema ukweli wako. Tunaiyomba serikal ikusamehe.
@TeuagangTv
@TeuagangTv 16 күн бұрын
aseee pole sna kaka mungu akusimamie ila usichoke kumuomba mungu kama una swali swali sana na kama una sali sali sanaa amina
@aishahasan7722
@aishahasan7722 2 жыл бұрын
Polesn...Ila hupasw kuskitika sn maana mungu akikutoa Sehem 1 hukupeleka Sehem nyingine,, uskate tamaa🙏..huenda kunarixk yko Sehem nyingine ingeweza kukuinua naukawa namaisha mazur Zaid..kwamfano ungepata kaz yaulinz uarabun b's mshahala wake ungeisahau hiyo kaz ya utrafik, usipende kung'ang'ania pa1 rizk IPO Sehem nyingine toka mguu ulitoka unabarkazake but polesn
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
Tubkzbin.info/www/bejne/fn3Up5urbdudb5o
@shanikazaula59
@shanikazaula59 2 жыл бұрын
Poleni sanamwanangu kwa sereka kubwa kiasi hicho ila ukuona giza nene mbele jua kumepambazuka.mi nakushauri usirudi nyuma we mi mwanaume mpaka hapo ulipofikia uko vizuri.hiyo ni historia imepita.kwa sasa shika mambo mawili omba sana mungu akufungulie njia nyingine pili kuwa muadirifu hapo ulipo.kwa ujasiri juu wa kuomba msamaha hadharani fungu lako bado lipo tena kubwa..wazazi wape moyo kwani daraja lao l imekatika .
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 2 жыл бұрын
Usijali wewe bado kijana sana Kwanza hizo kazi za majeshi ni za kitumwa unamnyenyekea hata mjinga tu sababu ya cheo, njoo uraiani ujenge maisha yako bila hofu , karibu ktk ulimwengu wa biashara mwana Mdogo
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 жыл бұрын
Amenishangaza balaa kulia lia kurudishwa kazini hajui biasjara zinalipa mara dufu ukikaza
@angelsvoicessingerstanzania
@angelsvoicessingerstanzania 2 жыл бұрын
Kama maelezo haya ni sahihi, huyo aliyeshoot video hana ubinadam mtu amekusanehe ukaona wewe mwenyewe umshukuru kwa 5 then unamshtaki? Au una msambaza ktk video . Mheshimiwa Rais ni mama akiona haya maelezo ataina cha kufanya mama yetu ni mwenye maamuzi sahihi daima Mungu amoe maisha marefu mama yetu mama Samia we love you from our heart.
@damaschosen
@damaschosen 20 күн бұрын
Ukiona unarecodiwa ujue unakosa haiwezekani umsaidie mtu harafu akurecodi
@rehemasaidi9433
@rehemasaidi9433 Күн бұрын
Jaman nimelia pole kaka mungu atakusaidie
@miriamgaydon8643
@miriamgaydon8643 2 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu ni mwema atakubariki🙏🙏🙏🙏
@josephguerino7416
@josephguerino7416 2 жыл бұрын
Hadi unaona raia wamesimama nyuma ya Askari na vile raia huwa wanachukia Askari inaeleza tosha kuwa watu wamekuwa na moyo wa huruma na wanamhurumia huyu ndugu yangu. Mungu akapate kusikia maombi yetu sisi na ndugu yetu aweze kurudi kazini! Mungu akapate kumsimamia, sote tunakosea. Amen
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 2 жыл бұрын
Usiamini sana utrafki pengine wewe ni tajiri mkubwa ongeza bidii tafuta njia nyingine na umtumainie MUNGU Never Give uP♦️
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Exactly!! The world is full of opportunities,,,!!
@johnbosconagalau1586
@johnbosconagalau1586 2 жыл бұрын
Jeshi la polisi tunaomba watazame upya adhabu hii, wapo wengi wanaharibu sana kuliko huyu kijana, Hawa ndio wanakata tamaa wanaingia kwenye makundi maovu, amejifunza huyu asamehewe jamani.
@saitotisimon8203
@saitotisimon8203 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@MajimbiTz
@MajimbiTz 6 күн бұрын
Soo sad 😭😭😭
@modestalois2535
@modestalois2535 16 күн бұрын
Pole Kijana,japo Polisi ni wabaya sana lakini kwa uwezo wa Mungu utarudi kazini
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 786 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 72 МЛН
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 6 М.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН