Dah!! Music umetulia sana zamani music inakua ipo poa sana sio sasa miaka ya NYEGEZI ujinga mtupu najivunia kipindi cha music yenye ujumbe..... like here wahenga
@jacksontesha7997Ай бұрын
Mwenyezi Mungu atubariki na kutulinda katika yeye atutiae nguvu.....Leo November, 4 mwaka 2024 nipo hapa kusikiliza na kuangalia moja ya nyimbo bora niliyowai kuisikia nikiwa bado mtoto mdogo wa darasa la tatu.
@NasryFerari-fe1nq9 ай бұрын
2024 tuonane apa
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Muumin ndo msanii wa dance wa juu kabsa
@chemstry40910 ай бұрын
Your right dude....👍👍
@bakariabdallah24122 жыл бұрын
Yaan walivyo dansi hata kiziwi anaelewa vizuri,aisee kweli muziki zamani bhana
@maxmaizer46314 жыл бұрын
Ebanaaaa acha kabisaa nimeziweka kwny frash bas naitesa bufa naona majilan kwny dirisha anatikasa vichwa wanataman kuja niuliza nimetoa wap huu ndio mziki sio kerere sijui amaboko peleka uko fujo. Tu zile mziki uwapa dadeki🤣🤣
@Eliza-p9s2 ай бұрын
Daah hii nyimbo nakumbuka nimeanza kuisikia tangu niko darasa la pili tangu kipindi hicho naipenda hadi leo nina miaka34 ❤❤❤❤❤❤nyimbo za zamani zilikuwa dhahabu sana siyo ujinga wa sasa unaimbwa ovyoovyo tu
@nortegalimos17912 жыл бұрын
Nzuri sana, sichoki kusikiliza 2022, bado mpo?
@wazirially80052 жыл бұрын
Pamoja pamoja san
@sajjidmbaramwezi69673 жыл бұрын
Dar jamaaaaa alikuwa niatali sanaaaaaaaa
@LeonardJames-ee6nl7 ай бұрын
Mwinjuma, Badi Bakule, Khadija kimobiteli, Amina Ngaluma, Aisha Baraka, Alichoki, walikua watu na nusu kwenye hiyo miaka.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elemonsanga89966 ай бұрын
Ongezea banza stone
@richwchrstofer14404 жыл бұрын
Nyimbo nzuli Sana nimenjoii
@NoriegagodwinMsuya-qj9ds Жыл бұрын
Nakumbuka tajiri wa kwanza kununia tv kijijini kwetu alikua anaitwa rashidi alikua anapenda hizi Ngoma za muumini
@nyandajr3 ай бұрын
Mwinjuma wewe ni mtani wangu ♥️ msukuma nakuombea mema
@danielmhezi54425 жыл бұрын
daaa tungo zenye akili hiki ni kipaji hakika huwezi kutengeneza tungo nzuri kama hii ikiwa sio Atlanta yako hongera muumin
@revocatussebastian56984 жыл бұрын
Sana brooo
@bestonmfikwa85104 жыл бұрын
Ambae anaitazama hii ngoma 2020 gonga like twende sawa
@mathiaszakaria70522 жыл бұрын
Nakumbuka Sana mwaka 2002 ndo mara ya Kwanza nmeiona hii video, Asante Mungu kwa uzima huu
@mathiaszakaria70522 жыл бұрын
@Mussa Info hahhh mi nlikuwa na 12
@enockabumba75132 жыл бұрын
Amina
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
@@mathiaszakaria7052mm nilikua na miaka 20
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
Imasko kulasin disco kila j moss na j pili unapigwa sinza na kwa macheni lazima urindimeee
@masudikayanda639111 ай бұрын
Hii nyimbo ya kitambo sana kama sijakosea ilikua 2003 au 2004 nilikua darasa la 3
@neno25154 жыл бұрын
Love so much Mwijuma All songs
@asiamchingama94824 жыл бұрын
2020 duh noma sana nimekumbuka enzi nasoma, baba alikua anazipenda sana nyimbo za huyu jamaa
@nasramashaalahhassan4544 жыл бұрын
Ebwanaee kitu haichuji iyo sauti zimetulia sana
@ashuraissa77622 жыл бұрын
Hakunaga kama mwinjuma rudi kaka tumekumiss
@mwananyamalaz44272 жыл бұрын
Unyama sanaana tunda tam tam jamni muumini pamoza Sana mwanangu hongera sana+61 🙌 2022
@samsonbinkulwa733 Жыл бұрын
Hatari
@bakariabdallah24122 жыл бұрын
Hatarii Sana enzi hizoo
@kaisarimkuu36855 жыл бұрын
Mwinjuma ndiye mwanamuziki wa dansi mwenye uwezo wa juu zaidi kiutunzi na arrangement ya muziki
@mwanaidmohamed5653 Жыл бұрын
Mwinjma rudi humu
@pendoelisha54113 жыл бұрын
Nyimbo nzur sana
@samsonbinkulwa7332 жыл бұрын
Hakika Nakuelewa Sana Mkubwa Mwijuma Mwuumini
@mashakanyachangura58674 жыл бұрын
Jina lako litakaa xn dunia unaweza
@shaibuemmanuel1913 жыл бұрын
Mwumini Rudii basi hii Radha Tunaimisi kwenye Soko la Music
@qotajaymaestro1090 Жыл бұрын
Wapi likes zenu hapa 2023
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Mwinjuma na Christian Bela ndo wasanii w dancer wnajua kutunga Melody kma zote
@shubebunyesi5424 жыл бұрын
Old is gold kitambo niko school ndani ya mbegani
@jamalishabani95845 жыл бұрын
Muumini vituhivi viko wapi sasa hivi kaka nakukukubali sana kaka hongera kwa vitu vizur ambazo ukivisikiza unapata hisia zambalisa
@asmashabani91295 жыл бұрын
Nakukubali sana ila nimenda deblali nilitaka kuingiza nyimbo zako zote naambiwa hamna
@witnessmsuya10585 жыл бұрын
Hongera sana sana kaka uko vizuri uko wapi jamani tuletee tena vitu vizuri jamani
@abdullmashine48934 жыл бұрын
Kk dah
@emanuelantoniemanuel77884 жыл бұрын
nakumbuka mbali jaman
@stellahdickson34714 жыл бұрын
Enzi hizo baba!!!
@sulleimansaid65154 жыл бұрын
Kaka ckuiz unafer wap njoo utupe raha
@stevenjumanne84445 жыл бұрын
Namkubali Sana huyu jamaa!!
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Zilipendwaa❤️❤️
@iddyCharles68 ай бұрын
Tunaomjua mumini mwinjuma saluti kwake
@sangomamourice35394 ай бұрын
Hakika ubora mkubwa mno asante kwa zawadi ya maisha
@hashimumussa74403 жыл бұрын
2021 mko wap vile
@jamesobiri15834 жыл бұрын
Huyu Jima hodari sana kwa mipigo ya penzi
@kharidngimba91824 ай бұрын
August 2024 gonga like hapa🎉🎉
@jerrjamary26495 жыл бұрын
Dah uhu ndio music bhana
@priscaungani9853 жыл бұрын
Uko wapi Muumini?
@annapaula21524 жыл бұрын
We kaka unanikumbusha enzi zileeee!!
@omaoman39963 жыл бұрын
Sichoki kuziliza 2021 bado yamoto
@JohnLongino-jy2vl3 ай бұрын
D mwamba alikuwa ana imbasana sjui alienda wap
@haythamalhaj3453 жыл бұрын
Mwijuma muumin ktk ubora wake km Ronaldo na mpira mguuni 2021
@wazirially80052 жыл бұрын
Tusaidie kidgo wahenga jina la wimbo unaitwaje
@sharifaashir41314 жыл бұрын
love tunda #2020
@athumansaid42683 жыл бұрын
Kweli mambo ayarudi
@mohamedymsumbwa6193 Жыл бұрын
anaesikiza hii ngoma 21/3/2023 gonga like twende sawa
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Mi naitzama 16/6/2023
@sebastiansalamba31311 ай бұрын
Niko kalole ,kisiju pwani Tunda Hassan kiwinga
@muddymtumbi9425Ай бұрын
3/11/24 am here wonderful song
@chekanazaher98125 жыл бұрын
Nakumbuka zamani mwinyijuma tulikukubali sana
@AhmadiBakali-q4j Жыл бұрын
Zaman ulikuepo
@silaswafula98843 жыл бұрын
Nakubali kwe mwinyi juma ni kocha wa dunia mama yangu
Kama kawa tunaendelea kusikiliza na kuangalia nyimbo zet za enz
@ledoktery564319 күн бұрын
2024 nan yupo?
@hashimmziray74162 ай бұрын
October 2024 jitokezeni tuko pamoja
@zakarialupindo821411 ай бұрын
Nilikuwa naenda kwenye ukumbi wa ghala kijijini kwetu tunalipia shilingi mia kwa ajili ya kuangalia albamu nzima ya double M sound kipindi hicho nipo darasa la sita kama sikosei.