Amen, Asanteee sana kwa kuendelea kutufundisha neno la Mungu... Hakika tunaendelea kuimarika
@CaptainLufumbe Жыл бұрын
Tanzania ni Israel 🇮🇱 ya pili mungu ameichagua❤
@livebeyond8213 Жыл бұрын
Napokea maarifa mapya kila ninapolisikia Neno la Kristo na ninabadilishwa.. Ubarikiwe sana baba kwa mafundisho mazuri. 🙏🙏🙏🙏
@nagheshio317410 ай бұрын
Namshukuru Baba kwa mafundisho haya yakutupa maarifa.Niekufuata tangu mwenzi huu auanze.Niko Dodoma Tanzania. Sikama nilivyokua.Nashukuru Mungu Baba.Bwana akubariki.
@saramss7262 Жыл бұрын
AMINAAA AMINAAA sana mtumishi u ASANTEE SANA mtumishi ubarikiwee
@SifaDorcus Жыл бұрын
Asante Baba kwa maarifa haya naku fata kutoka uganda Kampala Mungu aku bariki sana
@afredfodogo785711 ай бұрын
Hakika umekuja kwa wakati wake,kwa sasa tunahitaji mafundisho kama hayo nazaidi Baba Mungu wa Mbinguni azidi kukutumia na akuinue sana asante