Nashukuru mungu,Mimi ni mkenya lakini Niko Saudi Arabia,na mungu amenionekania,kupitia bishop elibariki zumbe,na kuombea mungu abariki familia yake na amfunike na damu yake na amwongezee nguvu nyingi kutoka kwa mungu,maana ametufundisha njia ya kwenda mbinguni
@Mary-z5i1s10 ай бұрын
Amen and amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@loreenmwambinguloreen73732 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana MTUMISHI wa MUNGU kwa kazi njema na unyenyekevu ulio nao....hakika kunae MUNGU ndani yako....🤝🤝
@henagemasulu50514 ай бұрын
Yesu nisaidie nivuke salama@Askofu Elibariki Sumbe
@RhoidaKatongaАй бұрын
Najiungamanisha na madhabahu ya vuka yordani
@agneswilbard90593 жыл бұрын
Amina kubwa mtumishi ubarikiwe nakuelawa
@elizabethsitati78454 жыл бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumishi WA mungu nakupata nikiwa Nairobi mungu Skype nguvu ili uzidi kutuombea Amen
@JosephMbuya-c7y11 ай бұрын
Baba .mungu azidikuku bariki
@janewangui95235 ай бұрын
Saa imefika kwangu nikafuliwe kwa jina la yesu nainuka
@shedrackboniphace77553 жыл бұрын
Amen be blessed Bishop Sumbe
@ann988ann74 жыл бұрын
I believe Bishop you can say aword of healing upon my life n I shall be healed
@carolyneogutu64893 жыл бұрын
Kweli kabisa Mchungaji 🎷🎺🙏🙏
@eunicemukare9952 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@RhoidaKatongaАй бұрын
Sawa imefika ya kufunguliwa kwangu
@tarimowakweli3 жыл бұрын
Mungu akubariki na kukulinda Mtumishi wa Mungu wetu aliye Hai
@perispryns64744 жыл бұрын
Amen mtumish ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏
@carolinetoto870611 ай бұрын
Ameeen 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@cymtvfpctairport91242 жыл бұрын
amen the time has come
@jescatesha98422 жыл бұрын
AMEN 🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@carolinetoto870611 ай бұрын
Ameeen 🙏🏻🙏🏻
@gracegesare53133 жыл бұрын
Thanks for the word of the lord
@mariambui5714 жыл бұрын
Mungu ni mwema nawapata kutoka falme za kiarabu Omani muskati
@marrymalackikongo54254 жыл бұрын
waoooooh mwenyewe nipo Oman nafatilia mno haya mahubiri😭😭😭
@filothiasirizabongo57674 жыл бұрын
@@marrymalackikongo5425 hata mie nipo omani hakika neno la Mungu linanguvu nabalikiwa sana
@patriciankulu29052 жыл бұрын
SIFA KWAKO BABA
@angelenabintu13353 жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@carolinetoto870611 ай бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@ejikuhafusa25842 жыл бұрын
Ameen yesuu
@VictorNdeoya Жыл бұрын
Nisaidie roho mtakatifu niwe kama utakavyo
@judithabuko6006 Жыл бұрын
Ameeeen
@fredymkanza4 жыл бұрын
This one is uploaded yet ... Naisubiria sana..itanisaidia