Mungu anafanya kulko tunavyowaza na kuliko tunavyofikiri hakika. Sina la kusema zaidi ya hapa ila JINA LA BWANA YESU LIBARIKIWE NA KUINULIWA MILELE YOTE. MUNGU AKUBARIKI SANAA BABA
@erickkiliba33195 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji ee baba nami naomba unibariki nami nije kukushuhudia madhabahuni pko
@ellykanael79243 ай бұрын
Kupitia ushuhuda hu mzito iv Mungu wang na Baba yang naomba unifute machozi mimi na familia yangu kwa kuwa yote yanawezekana kwako
@justine39432 ай бұрын
Ushuhuda ni wa kwangu kabisa
@gfydfdf88696 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishiwa Mungu utukufu tunamrudishia Mungu wetu tunashukuru kwa ushuda huu, Rohomtakatifu azidi kukupaka mafuta yake Mchungaji umefanyika baraka kwa mataifa mbarimbari, Mchungaji kimario.
@yasintakifyasi-kp9hh6 ай бұрын
asante mungu kwa kumu vika kimaro haki yako weng tuna pona kwa njia yake
@christineissack6 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji Eliona kimaro
@witnesssamwely88123 ай бұрын
Amen mtumishi 😊
@silashemed48496 ай бұрын
Amen,Asante Mch. kwa ushuhuja huo ambao umejaa matumaini, Mungu Anafanya njia pasipo na njia kwa wakati
Mungu wa ajabu barikiwa sana kwa neno la kuvuta machozi
@AnnoyedDove-oo3kk5 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wangu
@amoogaza68253 ай бұрын
Amina😊
@jastinnkya6 ай бұрын
mtumishi MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
@ivetaisack20846 ай бұрын
Nina mdogo wangu name alifiwa mume na kuachwa na watoto wailing wadogo ke mkubwa na me mdogo, watoto wamekua lkn bado anapita kwenye maumivu. EE MUNGU wa mbingune uwaone wajane wotee na yatima wote.
@luciamaganga18726 ай бұрын
Mchungaji umènitia nguvu,,ubarkiwe sana
@simongwandu73926 ай бұрын
Viongozi wa kanisa waache kusema Mungu aliniambi ni uwongo na ni dhambi.
@paulsibu57703 ай бұрын
Wewe ndo muongo kama husikii sauti ya Mungu ni wewe
@WwEe-qc7tc6 ай бұрын
Amina Amina Hakika Maamuzi ya MUNGU huyafanya mwenyewe na hujuwa kinacho tufaa
@felisterkidadula97756 ай бұрын
Ameen ameen. Ee Mungu wa mbingu na nchi na mimi naomba unifute machozi, barikiwa sn mch.
@joycemwanga8436 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji nakuelewaga cn
@stephanosospeter17095 ай бұрын
Ameen
@seciliajohn14566 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mchungaji, nahitaji namba zako unisaidie Ili tuwasiliane , Kuna muda moyo wangu umevunjika sana ila Bado cjakata tamaa. Nahitaji maombi yako,
@RehemaMshiko-op5pr6 ай бұрын
Ushuhuda huu umenifundisha mengi
@amanmaleko30856 ай бұрын
Ushuhuda huu unangu Amina baba mchugaji 🙏
@FelisianaMsacky6 ай бұрын
Ubarikiwe kwa shuhuda ya faraja
@sabinakinunda31272 ай бұрын
Amen.naomba namba ya mawasiliano kwa walio mbali na DSM.
@Esther-vj3ns6 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi kwa mafundisho yako
@grace-rh3vv6 ай бұрын
Ubarikiwe na mungu
@scarionrevelian6 ай бұрын
Mungu mwenyewe
@isayamwaipopo20686 ай бұрын
Amina 🙏🏾
@ivetaisack20846 ай бұрын
Utufute machozi ee bwana Yesu
@estherlemburismollel59016 ай бұрын
Umenitia moyo baba, ubarikiwe sana
@agnesspaul18666 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤Muñgu awe nawe
@LuluKayange-mi1bq6 ай бұрын
Barikiwa sana Baba
@enockjohn72406 ай бұрын
God is real.
@FurahaNgatena6 ай бұрын
Amen nimepona
@LuluKayange-mi1bq6 ай бұрын
Ameeeen Ameeeen
@richardmwashambwa79226 ай бұрын
Amenii
@hopekitomary-bx3hg6 ай бұрын
Amenaaaaaa
@pascalselemani81326 ай бұрын
❤ubarikiwe sana mchungaji
@jasminejocta17346 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe kwa ushuhuda baba naomba upokee cm zangu najua uko busy Sana lakni nahitaji kuongea nawe hata kwa uchache roho yang ipone
@jasminejocta17346 ай бұрын
👋🏻
@beatricemalisa31326 ай бұрын
Kama una nafasi nenda kabisa kanisani mamy
@christinelema58956 ай бұрын
❤❤
@VanisyJonathan5 ай бұрын
Aminaaaaaaaaaaaaa kubwa😅😅😅😅😅
@SurprisedGrapes-by5bw6 ай бұрын
Imeeen.
@mwl.amanilee45756 ай бұрын
Amen
@JanethJohn-m6y6 ай бұрын
AMEN
@grace-rh3vv6 ай бұрын
Amen,,,,Amen
@derickjuma42516 ай бұрын
Ameeeem❤❤❤
@mathaestomih63126 ай бұрын
Haleluyaaaaaaa
@tinamwashilindi68076 ай бұрын
Ansante
@ZawadiMbuligwe6 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙏
@monicakimati46196 ай бұрын
Ilove you 4😂😂😂
@TumainiJacob-sj3jt6 ай бұрын
Mtumishi nahitaji kujoin kwenye mentorship program naomba msaada kila nikitaka kujoin naambiwa group limejaa