Рет қаралды 446
THE LIGHT BEARERS (tz) UK TOUR 2016
Kumbukumbu makini sana toka waimbaji wa The Light Bearers TZ, tokea Dar es Salaam, Tanzania, kipindi wakiwa katika utume kupitia muziki wa injili. Wimbo huu wa Mungu Kimbilio ni moja ya nyimbo katika albamu yao ya video kwa jina la MZABIBU WA KWELI ya mwaka 2016 wakiwa nchini Uingereza.