Uyu kijana anaamini kuwa Mungu yupo na Yesu yupo ila anachuki na Mungu wawachungaji wa dini maana ukimsikiliza ktk maisha yake alisha wai kuwa kiongozi wa dini tena dini kubwa akafanyiwa umafya ktk iyo dini na chuo cha dini.....ivyo anawavuruga wachungaji kuwa Mungu wao ni binafsi saaana na uwo ndio ukweli.....amesema kuwa kuna gamboshi watu waende wakajifunze uchawi je gamboshi inaonekana kwa macho jibu apana....amesema kuwa walikuwepo wazee wazamani ambao yeye au baba yake akuwaona ikiwemo vita ya majimaji mwaka 1905.....iyo ni jibu kuwa anaamini pia Yesu yupo maana ata hao wazee wa zamani kina milambo na kinjeketile gwale tuna wasikia kwa kusoma vitabu na ivyo vitabu viliandikwa na watu so ata BIBLIA iliandikwa na watu pia issue viongozi wa dini wanapaswa kumwomba radhi ili arudi kwenye njia.....akitowa nyongo yake atakuwa mtumishi mzuri sanaaa....lkn pia anaamini ktk ibada za utatu yaani jua..nyota..na mwezi...ukweli nikwamba anafahamu kuwa ivyo vyote viliumbwa na MUNGU au kwa jina analo tambua yeye lkn yuko mkuu wa yote.....NAMPENDA SAAAANA KIJANA MWENZANGU UYU LKN VIONGOZI WA DINI WALIO MLEA WALIMKOSEA SAAANA....ok dini sio mpango wa Mungu bali ni mpango wa mwanandamu.....AHSANYE KWA USOMAJI WAKO UBARIKIWE SAANAA
@SILIVERYSixbeth-s3x11 күн бұрын
Wanadamu waoga ndio waliomtengeneza mungu kihisia Na kiukweli wametengeza kizazi cha mafala .
@BillySmart-n3y11 күн бұрын
SHUKRANI SANAA BROTHER JOSEPH MURINDOKO UMENIELEWESHA KWAKILA NENO NIMEKUELEWA NDUGU YANGU... ONGERA KWAELIMU ULIO NAYO 🌍🌍🌍
@VilanovaSimion11 күн бұрын
Nakubari sana Elimu ya kigeni imetuharibu sana Turudie asili yetu wa Africa
@JosefNgulinzila11 күн бұрын
Mpaka laha kua mwafrika!!!!!! Miambaaaa!!!
@LushidulaJidamawi11 күн бұрын
Jaamaa anajitambuwa
@MetoIgotyou11 күн бұрын
Kaka unawashambulia utawaua kaka😂😂😂😂
@karolymabula8632Күн бұрын
Siku nikipata elimu ya kkuelewa ntafaidi sana maisha ya hapa Duniani😂
@danctheyoung11 күн бұрын
Mwalimu me nakukubali sana
@ZachariaChacha-k4n5 күн бұрын
Very fact hapo kwenye kiapo
@barrynzeyimana627010 күн бұрын
Mungu ni neno ambalo halijatungwa na Wazungu. Ni JINA LA kwetu. Kwahio sisi hatukulitumia baada ya mzungu kuja
@ayoublupande300711 күн бұрын
Anaongea vyema kuhusu Mila zetu kuhusu kuziacha hata mm huwa inaniumiza sana maana tungelikuwa nazo tungefika mbali mno Ila tatzo la huyu jamaa kuhusu uwepo wa Mungu hapo namkataa Mungu yupo ndug yng usikurupuke kufuata watu walo andika saikoloji utaumia😅
Mlindoko tafadhali naomba uwe unasema yote tuachie Mungu wetu, yapo mazr meng unasema ila kwa upande wa Mungu skkbali
@BashilyElias11 күн бұрын
Kwel kabsa mkuuu
@ProfesorJulius-j6t11 күн бұрын
I really understand you clearly 😎😎😎😎😎😎 tell manamba's the truth 👍👍👍
@NoelNjementi11 күн бұрын
Nawakubali wacowa.waerewa niwajinga sn
@JacksonKimario-ig8dl11 күн бұрын
Wachokonozi nawaskiza sana ila mnaachia sana clip nyingi nashindwa niskize ipi niache ipi nyingine zinamwagika
@Manunhya11 күн бұрын
Njoo nikuchinjie mbizi ter 1
@RebekaMpaki9 күн бұрын
Wewe ni kichaaa unahitajika kuombewa
@deusisindwa6167 күн бұрын
❤❤❤❤💪💪💪wachokonoz
@maitali44486 күн бұрын
Huyu amekuwa kichaaa kachanganyikiwaaaaaaa
@LushidulaJidamawi11 күн бұрын
Namuelewa saana huyu jaamaa
@BlandinaLukole11 күн бұрын
Hapo mmebugi, kwamba Mungu hayupo poleni sana tena sana. Mungu awasamehe
@magrethprosper339711 күн бұрын
😂
@josephineatieno848611 күн бұрын
@@magrethprosper3397 sasa wewe cheka tu tuambie kwann hiyo mikono yako ulowekea hii emoj ina makuchaa?? Tuambie kwann unakunya na kwann unaona tuambie
@rizikiminga301011 күн бұрын
Sasa kwani wewe ulimuona wapi, uyo mungu naye utuoneshe
@masumbukosiyougomvi790010 күн бұрын
@@BlandinaLukole ukomo wa uelewa wa mtu, jambo likitendeka nje ya uelewa wa mtu asiyeelewa mengi huzana MUNGU ama shetani, Kumbe ni upeo tu wa uelewa. MUNGU gan anaepokea zaka na sadaka harafu halipi watumishi wake
@GwandajaGidamejod-w6f3 күн бұрын
Tukipotea kwa kusema mungu hayupo mlimdoko utatuombea msamahaha? Jibu hapana sasa kubali mila wengine mungu kwanini mila ukubali mungu ukatae na ww uko kwenye drama
@aminitu376611 күн бұрын
Happo utakaa mwenyewe kamaa Mungu hayupo
@josephineatieno848611 күн бұрын
Ushauri muache bangi hawa ni ma athiest kama ma athiest wengin kwa suala la Mungu kila mtu abaki hivo hivo maana sisi binadamu ndo tunaoneana, tunarogana, yaani mambo kibao wangapi mnaamini katik Mungu sijasema dini nimesema Mungu maana watu mkiwa na Maisha magumu ndo mnakuwa na akili hizi
Wachokono,zi wana magonjwa ya akili huku sio kusoma wala sio uelewa maana hata wao pia wanatumia uelewa wa watu tena wa zamani waliochanganyikiw na Maisha
@josephineatieno848611 күн бұрын
Mnazingua sasa sasa kwann binadamu ana moyo, bllod vessells hata mfumo wa kuongeza binadam nyie mnaompinga mungu kuepo hamuon ka mnazingua,
@LushidulaJidamawi11 күн бұрын
Kweli mungu hayupo
@josephineatieno848611 күн бұрын
@LushidulaJidamawi wewe umechanganyikiwa na hawa sasa kama Mungu hayupo kwann binadamu hawezi kuishi bila kula?? Na system zote hiz za mwili zinavofany kazi hauoni kama kuna mtu ndo kazitengeneza?? Kwani huo ubongo ulonao we unafikir kwann imewekwa kwenye skull ngumu???au bas ukisema hayupo alivotuumba akaumba na vyakula ili tuishi sasa wewe naomba kuanzia leo ule cement tuon sasa maana huyo huyo Mungu ndo kaumba ndizi,viaz na vingin ili ule usurvive
@allychengula35119 күн бұрын
Et Mungu hayupo mhhh hapo mnatakiwa kufikiri upya juu ya asili,
@fadhilhassan93077 күн бұрын
Ama kweli binadamu ni kiumbe wa ajabu sana ingawa haya yooooote ukiwa na akili unakuwa hupati shida kwa sababu unajua kwanini yupo hivi.
@SaidMwarandu-fd8gh4 күн бұрын
siku moja atueleze chimbuko la mwanadamu ni nini km hakuna mungu
@AdamMazongo11 күн бұрын
Oy true story
@guyslainkoko754811 күн бұрын
Ninaitaji tu fuzwe kuji connecté.
@godchila80139 күн бұрын
Yesyes
@aristotemohamedmz59797 күн бұрын
Unasema uongo
@StephanoKissiwa11 күн бұрын
Tutajuwa yaliyo kizani
@ChifuiJuma11 күн бұрын
Exactly,, story za mungu na shetani n ujinga uliokomaa
@emmanuelmbuliimo705511 күн бұрын
Nani alitegeneza ulimwengu
@BarakaSimon-xy9mp11 күн бұрын
Ndiyo ulivyoaminishwa kama ulimwengu umetengenezwaa.. Mbona hujiulizili mungu katokana na nini?
@Ariseagainmedia11 күн бұрын
@@ChifuiJuma sio ujinga Mungu yupo shetani yupo wote ni Roho humwinda mwanadamu ila siku zote Mungu hushinda maana shetani ni kiumbe aliyeasi!
@emmanuelmbuliimo705511 күн бұрын
@BarakaSimon-xy9mp Mungu hana mwanzo
@Ariseagainmedia11 күн бұрын
Ndug fahamu hili,,Maana, hekima ya kidunia ni upumbavu mbele ya Mungu. Kwani Maandiko Matakatifu yasema: “Mungu huwanasa wenye hekima katika ujanja wao.”
@Anoldjacob1211 күн бұрын
@@Ariseagainmedia maandiko matakatifu ya king james?? 🙌🙌 Mimi huwa najiuliza ko inamaana enzi za kina musa, nuhu sijui kina ibrahim kuna mtu alikua anaandika notes ya yale walio kua wanayafanya?? au wenzet walitoa wap izo story??
@Ariseagainmedia11 күн бұрын
@Anoldjacob12 2 Petro 1:20-21.inasema Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
@Anoldjacob1211 күн бұрын
@Motivational-7life sawa najarib kukuelewa sasa uyo roho mtakatifu yuko wapi siku izi?? kwann asinene na wewe?? unaishia kutegemea story za watu?? Kwann uishi maisha ya watu wa kale, kwani ao watu wao walisona biblia ipi?? Kama hawakusoma ko mungu ameacha kuwafunulia watu??
@Ariseagainmedia11 күн бұрын
@@Anoldjacob12 Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.
@Ariseagainmedia11 күн бұрын
@@Anoldjacob12 Yohana 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
@emmanuelmbuliimo705511 күн бұрын
Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema. Wachokonozi acheni upumbavu wakudanganya watu
@nanyangahustler430511 күн бұрын
Nini maana ya mungu??????
@eusebiusnzowa39889 күн бұрын
Zaburi imeandikwa na nani amka utajinyea Shangazi
@emmanuelmbuliimo705511 күн бұрын
Vitu vingine upo sahihi lakini kuhusu uwepo wa Mungu umefeli bro
@nanyangahustler430511 күн бұрын
Nini maana ya mungu??????
@emmanuelmbuliimo705511 күн бұрын
@@nanyangahustler4305 Mungu Ni yule aliyeumba au kiufupi muumbaji wa dunia na vyote viijazavyo
@GbpAud_King11 күн бұрын
Haka kababa kenye kipara kanaonekana ni Chadema... Mada inaenda vizur analeta ishu za siasa
@NyandwiExavery11 күн бұрын
Nukuu za mlindoko ni za masadukayo yeye siyo wa Kwanza na wao walijuwa binadamu hafi ukweli kwamba mwili unakufa ndiyo unaweza funza vyotevyote vile ila uhai unaenda kwa mwenye nao
@StephanoKissiwa11 күн бұрын
Unauhakika
@BenjaminKayaya10 күн бұрын
una uhakika gan toa fact
@hamishassan67849 күн бұрын
eti matambiko, unatambika kwa nani na ili iweje ujinga kweli sio maana yake kuwa mtu hajaenda shule au ndio mochwari na hao ndio waliotoka huko mochwari wakiwa hawana hoja
@fristonactary137110 күн бұрын
Hii ntaview Inatuchelewesha,Nyie mnapost Vipande,wakat Bongo 5 wamepost Full,So Tunarudia....Tuendelee na Mada Mpya
@NurdinSindano11 күн бұрын
Niko sambasamba na nyie
@MaishanaDavid-ej1ic11 күн бұрын
Ngoja siku unakata roho utajua kama Mungu ni character au kitu gan,, mwanadamu akishiba ugali akiwa na afya njema anajihisi anajitosheleza kwa kila kitu,, ila majanga yakimshika wendawazimu unaruka anakumbuka yeye Ni Nani hasa, Kuna Mungu aliyekuumba na amekuweka kwa kusudi siku atakayoona kamaliza nawewe anakufuta, Kulikuwepo na mjinga kama wewe anaitwa Nebkaneza alihisi kamaliza hii Dunia alikua na Mali na mamlaka chochote alichokuwa anakitaka alikipata ontime but one day alijikweza akadhiliwa akatubu ufalme wake ukapotezwa na enzi yake hata alipo jua yupo aliye juu anayetawala
@lennoxbaya11 күн бұрын
Habari nebkadineza ni story za jaba hizoo
@MaishanaDavid-ej1ic10 күн бұрын
@lennoxbaya ngoja janga lingine linakuja mwaka 2025 baya kuliko korona tuone kama malimwengu na meditation zenu zitawaokoa..
@BenjaminKayaya10 күн бұрын
je,na wew huyo unaemuamin unahic atakuokoa
@BenjaminKayaya10 күн бұрын
kwani wanao amin yupo wakiumwa hawafi
@MaishanaDavid-ej1ic10 күн бұрын
@BenjaminKayaya utapata majibu soon, hii amani na utuliv ulionayo ni sababu Kuna watu wa nasali na kuomba.. We unajiona uko salama kama vile hakuna Mungu. But Mungu yupo na ndo kakupa hio akili na hivo vidole unavotype ujinga,, We unadhan ulijiumba mwenyewe au? Kuna Mungu aliweka kila kitu kwenye system akapangilia mfumo wa Mwanadamu. We unaona unakula na kunya hujiulizi hata hiko chakula kinamengenywa vipi tumboni kwako Nani aliweka huo mfumo ndani YAKO? kakuweka apa duniani kwa kusudi flan ni jukumu lako kulitafuta kusudi la Mungu juu ya maisha ako na ulitimize.. Ila kama unataka kujitia ujinga kujifanya huna Habari na Mungu oneday utakuja kukutana naye.
@demask34238 күн бұрын
Kama shetani hayupo kwanini mtu mwenye pepo likikemewa anapona?
@RahimJr-s5l10 күн бұрын
Wachokonozi watengenezewe kipind katika redio yenu kama madindotcom na cosmasi maduli
@lupekevevo945611 күн бұрын
OYA IVII TRA NI NINI? NAOMBA HIYO MUIWEKE WAZI
@TitusBangu11 күн бұрын
Respect mlindoko
@salimramadhani523711 күн бұрын
kwan hawa wachokonozi ni wanasaikolojia au wanafilosofia,?? mbona cwapat
@WTC49211 күн бұрын
Hawa jamaa Hawaeleweki
@BenjaminKayaya10 күн бұрын
vyote
@BarakaSimon-xy9mp11 күн бұрын
Ukombozi wa Africa unakaribia
@godchila80139 күн бұрын
Apo kwenye master na kumaster mmmh usizini,usiibe,usiongope,usitamani,,hatujamadter wazee being honest 😂😂
@MSELAWAYESU-ld1ohКүн бұрын
Tafuteni kipindi cha tv
@TheAlman11 күн бұрын
Cul
@NoelSenge11 күн бұрын
Hilo neno "Gay" halikua na maana hiyo. Usifuatilie mambo kijuu juu.
@mbezzoprince946211 күн бұрын
Tuambie maana yake
@NoelSenge11 күн бұрын
@mbezzoprince9462 Traditional meaning: Historically, gay meant happy, joyful, or carefree. This usage is less common today but can still be found in older literature and expressions. So kwenye huo wimbo wa Christmas hicho ndio walimaanisha.
@fadhilhassan93077 күн бұрын
Me ukisema hakuna mungu ntakuona wajinga wa mwisho kwa sabababu ulimwengu tunaojua na tusiojua wote unajieleza kuwa mungu yupo na mtu kama huyu huwa namuona anaongea asilolijua ukweli kusoma ni muhimu sana.
@chabeztv315611 күн бұрын
Mpumbavu tu ndiye anayeweza sema kuwa hakuna Mungu issue ya kutambua kuwa Mungu yupo siyo mpaka uwe na elimu au degree moja Yani ukishazaliwa tu Dunia inatosha kutambua kuwa Mungu yupo
@magrethprosper339711 күн бұрын
😂
@EmilyTembo-k7e11 күн бұрын
Kwa kupinga umepatia ila maelezo sio umekosa Ungetowa hata tumifanofano kidogo
@jameskapange30311 күн бұрын
Yupi sasa
@nanyangahustler430511 күн бұрын
Kwani nini maana ya mungu ....? Kwa unavyoelewa wewe
@abdulomari493211 күн бұрын
Unatakamfano gani mkuu@@EmilyTembo-k7e
@RutinikiGosbert10 күн бұрын
Kwenye kiapo uyu jamaa nimekuelewa mfano marais wa Tz wanawapa kuilinda katiba na washika biblia ila wakimaliza kuapa wanavunja sheria za katiba ile ile kwahiyo haina maana ya ivyo viapo upo sawa apo
@hamishassan67849 күн бұрын
Yaani kila ninapo angalia clip zenu sioni hoja ya ninyi kupinga uwepo wa mungu badala yake nakutana na maneno tu hakuna mungu lakini hoja za kukataa uwepo wake ni nini? eti ndio vile mnajiita wasomi ambao mlipelekwa wenyewe mnapo paita mwochori, sasa hivi mmetokaje mochwari kwa maneno matupu bila hoja? wekeni hoja mezani, kwanini mungu hayupo?
@emmanuelmbuliimo705511 күн бұрын
Zaburi 19:1 Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake. Wachokonozi akili ndogo sana 😢😢😢
@josephineatieno848611 күн бұрын
@@emmanuelmbuliimo7055 sure yaani na hapa watasema tunatumia biblia ilioandikwa na Mtu sure nakuhakikishia na wenyewe wanatumia vitabu vya ma athiest
@BrianBranino11 күн бұрын
We're sick and tired of your bullshit game To die and go to heaven in a Jesus' name We know and we understand Almighty God is a living man You fool some people sometimes, yeah But you can't fool all the people all the time 'Cause now we see the light We gonna stand up for our right.... bob Marley get up stand up...
@josephineatieno848611 күн бұрын
Nyie wachokonozi kwa suala la Mungu penyewe mnazingua kwa mfano leo hii artifial interlligence ije itambue kuwa hajatengenezwa na binadam function zote za mwili kweli hamwoni kama kuna mtu behind mbona hatukojoi mdomoni?? mbon hatunyi kwa mdomo??
@Anoldjacob1211 күн бұрын
Na ni nani alimuumba mungu??
@josephineatieno848611 күн бұрын
@Anoldjacob12 siku nikikutana na Mungu ndo ntajua labda nikifa ndo ntamwona sijafa bado
@mbezzoprince946211 күн бұрын
Huo niulewa wa chini
@Anoldjacob1211 күн бұрын
Tengeneza invisible enemy alafu watengenezee invisible hero, uu ndo mchezo wa kuwacontrol wajinga, ebu tujiulize ko mungu na mwanae yesu na mitume wote, waliishi ulaya tu??
@ChristopherK411 күн бұрын
Sasa unabisha nini uliwai kusikia Kuna nabiii mweusi?