Very Sure, Mungu ni mwaminifu akiahidi atatenda, mara nyingi sisi wanadamu tunakosa uaminifu, lakini Mungu ni mwaminifu kwetu. Very nice piece, God bless you all, to continue giving us the powerful message Every Sabbath.
@lydiasamweli69292 жыл бұрын
Kkk
@lydiasamweli69292 жыл бұрын
Kkkkkkk
@lydiasamweli69292 жыл бұрын
Kkk
@lydiasamweli69292 жыл бұрын
Kkk
@lydiasamweli69292 жыл бұрын
Kkkkkkk
@joselineapoma87303 жыл бұрын
Nilithani nitakuwa wa Kwanza kwa comment, Hi Victor and praise God all, Amen Amen Amen shalom
@ElderAbima3 жыл бұрын
I thought Mimi ndio wa kwanza kuview this song, Happy Sabbath saints of the Most High
@Pratnumzsimba3 жыл бұрын
Dungu zangu watanzania like kwa msanii music🔥🔥🔥🇹🇿
@babymooshka3 жыл бұрын
Mlivalisha Twins zangu kofia wakatoa juu hawapendi😂😂😂wasumbuvu since day 1
@viga18023 жыл бұрын
Happy sabbath just waiting
@manassehmudanyi80263 жыл бұрын
Nimejazwa kwa maana yeye ni mwaminifu kwangu
@manassehmudanyi80263 жыл бұрын
Nimejazwa kwasababu yeye ni mwaminifu hutenda kwa njia na uwezo wake
@emilyjoshua80932 жыл бұрын
Be blessed 🙏 g
@barakajohn5723 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana....... Mungu awabariki.
@gracezoe3 жыл бұрын
Waiting oh!
@irambonaericwamakamba66593 жыл бұрын
Kbx ni mwaminifu love form Burundi
@mtumishibrianonsembe83583 жыл бұрын
Msanii music group hakika kazi mfanyayo mwishoni mwa safari ya duniani taji zawangoja, JOASH BRO great job
@brayanjalas3 жыл бұрын
Watching from Suba
@luketarus27693 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu.You look smart men
@MsaniiRecordsEastAfrica3 жыл бұрын
Ahsante
@reubensuredba22723 жыл бұрын
Amen yeye ni mwaminifu
@polycarpgikenyi4514Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤hakika Mungu ni ngao yangu
@seitofm63353 жыл бұрын
BLESSINGS KANG'INA WAS HERE
@adventistkenyatv3 жыл бұрын
Msanii Music Group Men's Edition 👍
@joshuamayaka75753 жыл бұрын
Am blessed
@gracelynfortlightamooti67632 жыл бұрын
Mungu Yupo nitafanikiwa
@brianokinyi1153 жыл бұрын
Heri hii male choir kuliko combination together with ladies.
@ludovickmoshiseke46133 жыл бұрын
Kwakwerii Magumu hulahisishwa na Mungu pekee maana yeye nimwaminifuu
@kevinobaramusic3 жыл бұрын
The AMO good job keep it up , have a blessed Sabbath
@serendeseth12523 жыл бұрын
Wow nice one mm simsabato but napenda kusikiza hizi song.zao nice song
@mosesnickson1343 жыл бұрын
Ameen barikiwa saaana
@berylnina3 жыл бұрын
Men's edition 💕💕
@KAWASTUDIOSAFRICA3 жыл бұрын
Gentlemen edition imeweza sana
@alicengene Жыл бұрын
I'm in uganda but everyday I listen to msanii songs I feel touched
@zawadisamson59223 жыл бұрын
Mungu azidi kuwatunza ili nizidi kubarikiwa na nyimbo zenu....Hakika MUNGU ni muaminifu🙏🏾
@japhetmasai99542 жыл бұрын
Npafuraia nyumbo za sabbath happy mungu awainue zaidi na zaidi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dicksonmarko79263 жыл бұрын
you are always on peak
@lozythurr19453 жыл бұрын
Wao freinds God bless all ✌️👍
@joakimomenda87113 жыл бұрын
Its time......happy preparation day wapendwa
@celinamgundoi84203 жыл бұрын
Nawapendaga sana nyie watumishi wa mungu yaan mungu awamwagie mibaraka tele🙏🙏🙏
@aidahnabbanja91353 жыл бұрын
Watching from uganda
@everlineodhiambo12573 жыл бұрын
amina Mungu ni mwaminifu asanteni
@fridamukankusi42810 ай бұрын
Kweli Mungu ni mwaminifu, Mungu baba azidi kuwabaliki
@mariahokarimariahokari29683 жыл бұрын
Happy Sabbath 💞💞💞💞 top fun ✋✋ Kasarani ndani 🙏🙏🙏
@doktab3 жыл бұрын
My favourite... Hii iko level tofauti sana Kudos!!!!!!!!!!!!!
@joemsanii15433 жыл бұрын
Thanks collegue
@barakamusongya573 жыл бұрын
Amen and Amen nyimbo nzuri sana na dress muna dress up very smart
@lydiachepkosgei23983 жыл бұрын
Mungu kweli ni mwaminifu God bless you guys msalimie lilian aki nimemumiss
@GisichTheDesigner3 жыл бұрын
Kwa gum na cellotape tuko waiting...@arasa bazenga baba pale nyuma akitufungia ukurasa😅
@suleshmacs12863 жыл бұрын
Wimbo mzuri huo, barikiweni zaidi na zaidi
@marymwangale60393 жыл бұрын
Comment before Thanks so much God bless 🙏🙏🙏
@awycko213 жыл бұрын
wazee wa mtaa, mmewacha wamama wapi. hahaha!!! Kweli Mungu ni mwaminifu, Happy Sabbath
@noreenmeja72503 жыл бұрын
So true Bros.... Mungu wetu ni mwaminifu sanaaaa, hakika akihaidi anatenda. That's our God.
@veronicamakokha49923 жыл бұрын
My fellow ministers yes u lazima arudi
@elmasroj97123 жыл бұрын
Jamanii janani nawapenda ila wewe kaka unayesolo unasolo vibaya siyo siri
@doreenasha21743 жыл бұрын
Eiiishhh this is dope, happy sabbath
@DJKezz3 жыл бұрын
Eishhhhhh!!!! this one is straight lit...cant wait to hear it
@francinemilika38813 жыл бұрын
Mungu atatenda
@ombachiayienda91303 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwaminifu kwetu
@Msmwasi3 жыл бұрын
Hakika akiahidi, atatenda🙏
@allankiprotich71193 жыл бұрын
Akihadi atakutendea hakika anatenda He is forever faithfull..
@korirsammy11753 жыл бұрын
Hawa wazee vilevile wameweza.Ian Mbugua shd see
@richardbushayija82403 жыл бұрын
Munsi wetu upewe sofa,kwa jina la Yesu Kristo.
@manuelateka01453 жыл бұрын
Safii sana brothers Ni mwaminifu kweli🙏🙏
@evanswanjala13173 жыл бұрын
Kweli kabisa mungu ni mwaminifu sababu Ninyi msaani Music God bless you all
@PenesaMonda3 жыл бұрын
Wababa edition 🔥🔥🔥
@orukde50623 жыл бұрын
Aminaaaa
@melixwonder70513 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu,nina ushuhuda kwake..kweli I'm a beneficiary of God's grace
@GisichTheDesigner3 жыл бұрын
Am back again....hii naangalia hata count down😅24
@muginieliya43253 жыл бұрын
Wimbo Mzuri sana,,,, Barikweni sana💞💞
@thruumylens3 жыл бұрын
Wow am blessed 🙏
@monicahnyaata77852 жыл бұрын
The song made me cry because of what am going through ,but i know mungu atanitendea na atakua mwaminifu kwangu 😰amen God bless msanii records in Jesus name
@MsaniiRecordsEastAfrica2 жыл бұрын
It shall be well mama. Amen
@barakamusongya573 жыл бұрын
Very smart utukufu Wa mwenyezi mungu
@MsaniiRecordsEastAfrica3 жыл бұрын
Amina
@mwitamedia73933 жыл бұрын
Amen hakika Mungu wetu ni mwaminifu
@mpisemoyesuclement15398 ай бұрын
Hi nyimbo ni ya mzuri sana
@mkenyadaima14343 жыл бұрын
You should be releasing songs everyday.....am addicted to your songs aki......#mwambie #vumilia #safari ya wanaisraeli #tutamwimbia #
@dianagesare3 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu.amen amen
@gkienge2 жыл бұрын
Aksanti saana, mungu ni mwema alleluia alleluia alleluia ohooo
@africayetutv3293 жыл бұрын
Hii ndio style nzuri ya uimbaji yaani mmenigusa sana keep it up, MUNGU awabariki
@robertkeno9853 жыл бұрын
Wow , this is amazing 😘i can't wait 🙏,abagaka edition ,
@jeniphermghoi3 жыл бұрын
Napenda hii choir mwanifanya mpaka natamani kuruka pande iyo ingine 😅nawalove sanaa
@rabbattjacob86333 жыл бұрын
may the lord be with you all im rabbatt from israel but for now im in zambia musanil is my best ever
@danielndambuki23073 жыл бұрын
Powerful Song
@zama684channel93 жыл бұрын
True
@jacobmichael18963 жыл бұрын
Huyu mfupi kuliko wote nilijua lazima atakuwa sauti ya nne
@jeremiahkimori80663 жыл бұрын
Ghai,,,cjuagi Ka Njane anaeza akaimba...Very nice dressings.nmependa ujumbe sana
@sisterslove16512 жыл бұрын
indeed ni mwaminifu,,,akiahidi atatenda anatenda,,,this songs is my favorite
@judymoraa48493 жыл бұрын
Hii napenda
@elisaniyokwizigirwa92063 жыл бұрын
God bless
@marynonay84623 жыл бұрын
Eeh hawa ndugu zetu wanaimba vizuri sana.mungu awainue daima.
@mteulehumblej68203 жыл бұрын
Nice 👍👍👍.Atatenda
@priscillaholuoch7299 Жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu. Great song. Congratulations Joash and team
@nicksonomari48173 жыл бұрын
Good song...good msg...hair styling tu haimtangazi Mungu...hope tubadilishwe na injili yetu kwanza kabla haijabadisha wengine....asante na Mungu atubariki wote
@philysmokaya95912 жыл бұрын
Hakika mungu n mwaminifu kwa kila jambo........nice 🎵 🎶
@ibrahimcharles85293 жыл бұрын
Nimekubali huu mziki sio powa
@florencemawere23383 жыл бұрын
Leo nimeguswa vilivyo na huu wimbo. Jamani sina la kuwapatia bali Mungu awatuze na pia apate sifa zote na utukufu!😘😘
@denniswriter95323 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwaminifu ujumbe mtamu saana. Be blessed
@bobonjoroge78103 жыл бұрын
Happy sabbath brethren
@jacquelineidyanko43533 жыл бұрын
Kwa hakika Mungu ni mwaminifu kwa kila nyakati...Mbarikiwe wapendwa wa Mungu🙏
@patriciakiio36133 жыл бұрын
Akiahidi atatenda anatenda.Amen
@winniekere36523 жыл бұрын
Wow ,wow ,wow!!!!!wonderful
@muyatwalibala30493 жыл бұрын
Beautiful,, watching from Zambia
@eunicemuthumbi8993 жыл бұрын
This kind of music keeps me hoping all will be well,I need just to wait a little for God's Blessings.
@joanmachuma9576 Жыл бұрын
Huu wimbo unabariki sana
@phancybrandon46493 жыл бұрын
For sure, God is faithful. The far we tunashukuru
@mariemerimuluka80963 жыл бұрын
Beautiful
@gahamanyidorah85403 жыл бұрын
Aminaaaa nikweri mungu ni mwaminifu
@zinogalgreater86043 жыл бұрын
Hallelujah Joe Msanii 👍
@murekatetegermaine65592 жыл бұрын
Ooohh mubarikiwe kabisa mungu ni mwaminifu asante sana.