No video

MUNGU YU PAMOJA NASI | DADY PRODUCTIONS

  Рет қаралды 59,923

DADY PRODUCTIONS

DADY PRODUCTIONS

Күн бұрын

⚡Filtered Trends for This Video
Niguse Bwana
Kwaya Mpya
Kwaya Mpya 2023
Kwaya Katoliki Tanzania
Kwaya Katoliki Tanzania Mix
Kwaya Katoliki Tanzania 2022
Kwaya Katoliki Tanzania 2023
Kwaya Katoliki
Yesu Nakupenda
Ni Mungu Amefanya Yote
Kwaya Katoliki Kenya
Kwaya ya Mt Kizito Makuburi
Hamkujua Kwaya ya Mt Kizito Makuburi
Katoliki Kwaya
Catholic Songs Tanzania
Catholic Church Songs
RC Kwaya
Nyimbo za Romani Katoliki
Nyimbo Katoliki Tanzania
Kama Mbaya Mbaya
Neno Litasimama
Maisha Yangu
Nguvu Ya Sala
Muumba Wa Vyote
Rose Muhando Kama Mbaya Mbaya
Tusonge Mbele
Tusonge Mbele Song
Tu Watu Wake
I recommend Jesus
Zabron Singers New Songs
Nyimbo za Katoliki Tanzania
Ndipo Niliposema
Nitume Mimi Bwana
Neema ya Mungu
Nimekuja Kufanya Mapenzi Yako
Yesu Natamani Uwe Wangu Siku Zote
Nimekuja Kuyafanya Mapenzi Yako
Ndipo Niliposema Tazama Nimekuja
Tazama Nimekuja Kuyafanya Mapenzi Yako
Ndipo Niliposema Tazama Nimekuja Kuyafanya Mapenzi Yako
Matoleo Yetu Bernard Mukasa
Kwaya ya Mtakatifu Augustino kutoka Kigango cha Goziba - Parokia ya Bumbire, Jimbo katoliki la Bukoba wanakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu unaoitwa "MUNGU YU PAMAOJA NASI" utunzi wake Marco Lulu. Wimbo huu umerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS
Kwa mawasiliano na Kwaya hii tumia namba zifuatazo +255 762 581 553 au +255 766 796 067
Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS
_Sound Engineer: Dady Rutta
_Video Shot & Directed By Dady Rutta
For more videos please watch
• BWANA AMETAMALAKI...
• UPENDO WA MUNGU K...
• NIMEMUONA BWANA (...
• TWAJA KUKUSHUKURU...
• MBEBA MIUJIZA [OF...
Contact DADY Productions for booking
dadyrutta88@gmail.com
+255 745 260 131
#KwayaKatolikiTanzania #DadyProductions

Пікірлер: 52
@evalasiakisunga5262
@evalasiakisunga5262 10 ай бұрын
Barikiwaaa sana waimbaji wenzangu hakika kusifu kunawapasa wanyofu wamoyo❤❤🙏
@fillemonzakayo8774
@fillemonzakayo8774 6 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu umebeba ujumbe nzuri sanaa
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 5 ай бұрын
Asante sana
@witnessjames4625
@witnessjames4625 Жыл бұрын
Mungu anatupenda sana ss wanadamu lakini ss ndio atufany aliyo mapenzi yake
@kariukidaniel1457
@kariukidaniel1457 3 ай бұрын
Can't get enough of this beautiful composition just keep on keeping on
@carolinenyokabi7443
@carolinenyokabi7443 10 ай бұрын
This song is a killer.
@festuslangat1568
@festuslangat1568 26 күн бұрын
ni huyo Mungu anayeonekana kwetu sisi, ni huyo Mungu anayetawala vitu vyote, anayeketi mahali patakatifu sana, apewe sifa milele na ata milele🥺imeweza🤝🏾wimbo tamu Sana🫂♥️
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 13 күн бұрын
Asante sana
@patrickfabian8378
@patrickfabian8378 6 ай бұрын
ubunifu wa hali ya juu sana. Mbarikiwe sana
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 6 ай бұрын
Asante sana patrick👍👍
@EmanuelPaulo-nd8me
@EmanuelPaulo-nd8me 6 ай бұрын
Kazi nzuri
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 6 ай бұрын
Asantee
@kings31kingasia35
@kings31kingasia35 Жыл бұрын
Kazi fiti sana 🙏
@NgoleOtunatusngole-lb3wr
@NgoleOtunatusngole-lb3wr 11 ай бұрын
Wimbotamu
@elphasopiyo8054
@elphasopiyo8054 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤kazi safi
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 5 ай бұрын
Asante sanaa
@dokctv_dokccatholic
@dokctv_dokccatholic Жыл бұрын
wimbo mzuri
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 Жыл бұрын
Asante sana
@paschalduyi9323
@paschalduyi9323 Жыл бұрын
Du duuu ... Aisee mko vzuri saaaan mtafka mbali saaan ... YO BABA YO..
@kevinsimiyuwatela
@kevinsimiyuwatela Жыл бұрын
Kazi safi hakika yupo nasi
@wambuathomas5850
@wambuathomas5850 11 ай бұрын
Nafrahia wimbo huo kweli mungu yu nasi anatukumbatia.Hongereni sana .Mtupe wimbo mwingine mtamu kama huo
@transfigur
@transfigur 10 ай бұрын
?
@MariamPius-ce3eq
@MariamPius-ce3eq 3 ай бұрын
❤nawapend sasan
@FelisterLucas-jn7rf
@FelisterLucas-jn7rf Жыл бұрын
Hongereni kazi nzur hongera Dady pro
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 Жыл бұрын
Asante sana
@katunziaugustino2701
@katunziaugustino2701 10 ай бұрын
Wimbo mtamu sana. Umejaa ubunifu Wa hali ya juu. Naomba muziki wake
@user-xt5vi5gn3o
@user-xt5vi5gn3o 8 ай бұрын
Nabarikiwa sana nikisikiza huu utume wenu mbarakiwe sana.
@mithamobenard7860
@mithamobenard7860 11 ай бұрын
Very attractive song,kweli yupamoja nasi, pongesi
@kariukidaniel1457
@kariukidaniel1457 3 ай бұрын
Kongoleni Kwa muziki tamu
@patriccharles9510
@patriccharles9510 Жыл бұрын
High quality high creativity
@rogerskipleting1901
@rogerskipleting1901 Жыл бұрын
Kwwli mungu you pamoja nasi ❤❤❤❤ hongera
@user-hd2zq3ff3h
@user-hd2zq3ff3h Жыл бұрын
Wimbo mtamu mno,Mungu awe pamoja nasi wote,hongera
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 11 ай бұрын
Asante sana nawe pia
@user-dg1zx6xq2i
@user-dg1zx6xq2i 7 ай бұрын
Hongera sana kazi nzuri🎉
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 7 ай бұрын
Asante sana
@joshuasarutwe4354
@joshuasarutwe4354 10 ай бұрын
Safi sanaaaaa
@neemachonya8083
@neemachonya8083 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@imeldaseneda6593
@imeldaseneda6593 Жыл бұрын
❤❤ hakika Mungu yupo Kati yetu anatukumbatia 🙏🙏
@neemanicolaus
@neemanicolaus Жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 Жыл бұрын
Asante sana
@alansixbert4653
@alansixbert4653 Жыл бұрын
Dady hukosei😊😊😊
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 11 ай бұрын
Asante Kaka😊
@sosteneskikoza1655
@sosteneskikoza1655 Жыл бұрын
Amina
@josephalex2887
@josephalex2887 Жыл бұрын
Hongereni sana kwaya hii kwa kutuinjilisha. wimbo huu mzuuri mmenigusa sana duh mungu awabariki katika utume wenu
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 Жыл бұрын
Asante sana
@williamcosmas1986
@williamcosmas1986 Жыл бұрын
Too wonderful
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 Жыл бұрын
Thank you
@vicentndagiwe4430
@vicentndagiwe4430 Жыл бұрын
Pongezi kwenu Wana agostino
@neygeofrey9741
@neygeofrey9741 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@azairweaurelia8097
@azairweaurelia8097 Жыл бұрын
Blessings upon you all! Great creativity ! Dady hongera sana!
@dadyproductions7905
@dadyproductions7905 Жыл бұрын
Asante sana
NDIPO NILIPOSEMA | DADY PRODUCTIONS
6:24
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 50 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 21 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 13 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
TUSONGE MBELE | 2023👉2024💥🎉💫
8:30
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 214 М.
YESU NAKUPENDA
5:26
Kwaya ya Mt. Cecilia Muriet
Рет қаралды 583 М.
MUNGU WANIPENDA{OFFICIAL MUSIC VIDEO - 2024
5:33
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 12 М.
HUYO NI MUNGU
4:16
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 353 М.
MAISHA NI BARAKA ||  MTUNZI :  EPHRAIM KASHUSHA || SOLOIST : DESPINA MDENDE
5:24
Kwaya Ya Mtakatifu Cecilia Kanisa Kuu Morogoro
Рет қаралды 15 М.
ZAWADI YA UFUFUKO
4:50
Trizah Matu
Рет қаралды 88 М.
TWAJA KUKUSHUKURU [OFFICIAL MUSIC VIDEO]
8:40
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 22 М.
MKAZAE MATUNDA MEMA | Ray Ufunguo | (Official Video)
9:11
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
Рет қаралды 607 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 21 МЛН