MUONEKANO WA OFISI ZETU KABLA NA BAADA YA KUFANYIWA MABORESHO

  Рет қаралды 33,289

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 11 ай бұрын
Najisikia raha sana km mwanachama hai naipenda timu yangu nitakufanayo mpaka na zeeka nayoooo! Viongozi asanteni sana💚💚🙏
@SelemanMagambo
@SelemanMagambo 11 ай бұрын
Kama mwananchi umependa maboresho ya makao makuu gonga like yang hapoo❤❤❤❤🎉
@EnockKombolela-f7x
@EnockKombolela-f7x 11 ай бұрын
Hongereni sana viongozi KWA ukarabati
@AntonyNdayanse-n8b
@AntonyNdayanse-n8b 11 ай бұрын
Ewe mwenyezi mungu asante kwa kutupatia rais huyu kijana mwenye maono makubwa na klabu yetu hakika tutafika mbali chin yake heris said🙏🙏
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
🎉🎉🎉yanga asante GSM and rais 🌿 hersi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@calvintheone299
@calvintheone299 11 ай бұрын
Noma sanaaaah
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 11 ай бұрын
Jaamaa anafaa kuwa hata kiongozi mkubwa wa nchi ana vision kubwa sana
@husseinhumbi6373
@husseinhumbi6373 11 ай бұрын
Hongera engine hersi na wenzako kwa kuipa thamani club ya yanga African sports club ongera sn kwa mtazamo wa maendeleo
@fredyalex8909
@fredyalex8909 11 ай бұрын
Raha sana kupata kiongozi ambae ni mtendaji💛💚
@Shebbytvs
@Shebbytvs 10 ай бұрын
Cool documentaries of Young Africans sc. Naomba mungu uhai na uzima kwangu na wanayanga wote na viongoz wake ili tuje kuushuhudia huo uwanja wetu.💛💚💛💚
@ImanueliMwakajinga-ry8ig
@ImanueliMwakajinga-ry8ig 11 ай бұрын
Hii kubwa sana mungu atutunzie injinia💚
@JosephNyambiKilongo-gh7er
@JosephNyambiKilongo-gh7er 11 ай бұрын
Hakika mpira nipesa Asanteni viongoz muungwan nivitendo.
@estherwairaha8339
@estherwairaha8339 11 ай бұрын
Congratulations chama langu,daima mbele nyuma mwiko❤
@timotimo5501
@timotimo5501 11 ай бұрын
Uongozi wa Yanga umeweza hongereni sanaaaaa
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 11 ай бұрын
Tunaomba HERSI ATENGENEZEWE SANAMU JANGWANI❤❤
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 11 ай бұрын
Ahsante MUNGU...ndo faida ya kuwa na viongozi wasomi...Mungu endelea kuwalinda na kuwabariki InshaAllah💚💛
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 11 ай бұрын
ALIHAMUNDULILAH MASHAALAH mungu awalinde muwe na afya njema viongozi wetu tunawapenda SANA
@minazsaid2470
@minazsaid2470 10 ай бұрын
Waoo 🙌🙌 Amazing 🤩
@KassimLukanza-wp6xn
@KassimLukanza-wp6xn 11 ай бұрын
Viongoz wetu mnastahili sana sana hongera
@evancecornel3487
@evancecornel3487 10 ай бұрын
Mmefanya kazi kubwa hongereni sana
@MUSK_HARMONY
@MUSK_HARMONY 11 ай бұрын
The bsst ever football club in rast and central africa
@richardmaxwell3991
@richardmaxwell3991 10 ай бұрын
Engineer Hersi Said akimaliza muda wake tutamlazimisha agombee tena, atake asitake
@mathiasvicent9955
@mathiasvicent9955 10 ай бұрын
Nashukuru sana kwa yanga najiskia fahari kujenga hili jengo heshima kwakoooooo IBRAH najua skumoja utakuwa yanga tu inshallah!!
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Yanga ushindi leo
@khamisrashid9645
@khamisrashid9645 11 ай бұрын
😅nzara wanalakujifunza kwetu😅😅😅😅😅😅
@shadracklyakungi
@shadracklyakungi 11 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉
@KapondaZenaida-g3z
@KapondaZenaida-g3z 11 ай бұрын
Alafu unakuta mtuanauponda uongozi tutauana jamani viongozi wetu wapewe mauayao mwanayanga mwenzangu lipia kadi
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 11 ай бұрын
Imependeza mashallah 💚💛💛
@mipeneangelus693
@mipeneangelus693 11 ай бұрын
Jamani yanga noma
@TwahKibwe-dz6ek
@TwahKibwe-dz6ek 10 ай бұрын
Mambo ni fire
@simangwijac
@simangwijac 11 ай бұрын
Ooh wow 😮
@RahmaAbdulrahman-er2yg
@RahmaAbdulrahman-er2yg 11 ай бұрын
Naipenda yangaaa
@abdallahjuma382
@abdallahjuma382 10 ай бұрын
Home of Champions 🏆🏆🏆🏆
@OvianKindole
@OvianKindole 3 ай бұрын
Asante rais wetu
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@romimwalu
@romimwalu 11 ай бұрын
Kazi nzuri, nasubilia Kwa hamu uwanja wa yanga?❤
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 11 ай бұрын
The Club above All 🎉🎉
@monicalucas3738
@monicalucas3738 11 ай бұрын
Tuwape maua yao uongozi mzima wa yanga na GSM🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MussaRamadhani-em3wb
@MussaRamadhani-em3wb 11 ай бұрын
Binafsi nimefuraishwa kwa uongozi kuhamia nyumbani kwetu paasili tulipozaliwa yanga
@saliieking7279
@saliieking7279 11 ай бұрын
Yanga hii Sasa sifa safi sana
@kamdinindevu5185
@kamdinindevu5185 11 ай бұрын
Nice 🎉🎉
@yohanadwac7497
@yohanadwac7497 11 ай бұрын
Mbona Bango la 1:5 halipo humo ndan..
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 11 ай бұрын
Saşa wewe unataka uchokozi kwa kolo😅
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 11 ай бұрын
Ni aibu sanaa video kama hii jatujaifikishia viewss hata 20k..wananchi wenzangu hii sio poah..mimi mkenya ila naipenda Yanga.daima mbele nyuma mwiko
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 11 ай бұрын
Hatua kama hii ni hatua kubwa ssanakama klabu, inahitaji pongez9
@philipomponeja2457
@philipomponeja2457 11 ай бұрын
💚💛💚💛💚💛💚
@swalehlikongo1512
@swalehlikongo1512 11 ай бұрын
Mashallah
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Yanga
@sebastianlubava1535
@sebastianlubava1535 11 ай бұрын
Yaan ii clip moja ni zaaidi ya hotuba ya kajula 😅😅
@sultanhamis9292
@sultanhamis9292 11 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@swamadujumanne795
@swamadujumanne795 9 ай бұрын
Kua Yanga raha sana
@AlmachNestory
@AlmachNestory 11 ай бұрын
Zitunzwe vyema tusije rudi tulikotoka
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Shadia544
@Shadia544 10 ай бұрын
Wataweza kweli hawapi kushinda nasi hawapi yanga rahaaaa tuuu 😂😂makolo poleni 😂😂😂😂
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 11 ай бұрын
Utasikia boya anasema hama yangaa😅 niende wapi
@hamisikambona8763
@hamisikambona8763 11 ай бұрын
Ila huyu engineer Daaah!! Hapa tumepata kiongozi
@AgnesJoshua-y5j
@AgnesJoshua-y5j 10 ай бұрын
Muonekano sio mzur taa wange wek zakijan
@MdogoTaffah
@MdogoTaffah 11 ай бұрын
💚💚💚💚💛💛🙏
@davidchaula4761
@davidchaula4761 11 ай бұрын
Sasa kisiwe kijiwe cha kahawa cha wazee na watu kuzurura bila shughuli maalum, ishakuwa ofisi rasmi sasa
@silvergold5855
@silvergold5855 10 ай бұрын
Ndo mana yanga ata tukifungwa bado tunafuraha😂
@hamismussa8622
@hamismussa8622 10 ай бұрын
Mafundi walikuwa na kazi kusimamiwa na mtu anaejua yaani ENG
@Nyangindu
@Nyangindu 11 ай бұрын
Hii imendaaaa
@emanuelmiyonjo4484
@emanuelmiyonjo4484 11 ай бұрын
Yanga daima mbele nyum mwiko
@suzyclement3899
@suzyclement3899 11 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@swamadujumanne795
@swamadujumanne795 9 ай бұрын
Injinia ndio kiongoz tuluekua tunamtaka
@IbrahimMohamed-c3c
@IbrahimMohamed-c3c 11 ай бұрын
Maashaallah 🙏🏾
@torettox_1
@torettox_1 10 ай бұрын
Mjenge na parking bana
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 11 ай бұрын
Yani huyu jamaa sio mwekezaji tuy bali ni mtu na nusu
@mohamedhamisi4107
@mohamedhamisi4107 11 ай бұрын
Mtuambie Aziz ki mbn akiendaga kwao anachelewa sana shda nn mana wametolewa zaman kwenye mashndano ni muda wa kutumika clab yake sasa asilete ustaa au mnaogopa kumwambua ukwel
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 11 ай бұрын
Taratibu kaka! Kila sehemu kuna utaratibu wake🙏
@josephinenyangi9484
@josephinenyangi9484 10 ай бұрын
Kwao mbali Hakuna NDEGE ya moja kwa moja anazunguka sana
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Daima mbele nyuma
@danhozza_24
@danhozza_24 10 ай бұрын
🔰🔰🔰
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Manshaallah
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Yanga 3 ushindi leo dhidi ya mashujaa 0
@aminangano3635
@aminangano3635 11 ай бұрын
👏👏👏👍💛💚💛💚🔥🔥🔥
@juniormihengo549
@juniormihengo549 11 ай бұрын
Uyu kiumbe angekuwa kiongozi mkubwa wa soka Tanzania tungecheza kombe la Dunia bila shaka
@mirajiali3926
@mirajiali3926 11 ай бұрын
Makolo watasema nao wao 1992 tayari walishajenga na kuwa na ofisi
@kamanapeter4751
@kamanapeter4751 11 ай бұрын
🤚🤚🤚🤚🤚
@salomemahenge7935
@salomemahenge7935 11 ай бұрын
herisi na makum wake miaka yote yanga tumewapa uwongozi wa kudum
@PaulBenedict-j8s
@PaulBenedict-j8s 11 ай бұрын
👋💗
@daudimichael7338
@daudimichael7338 11 ай бұрын
Bango la 5G liwepo jamani😂
@aishabakari8040
@aishabakari8040 11 ай бұрын
Viongozi wangu naombeni kazi 😒
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 11 ай бұрын
Sema huyu jamaa ni mchapakazi sana
@SamwelKiyanga
@SamwelKiyanga 11 ай бұрын
Shida n nnje
@dova_eyecare
@dova_eyecare 11 ай бұрын
Shida yenu hamuendi na muda mnaouandika
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 11 ай бұрын
usipende kulalama lalama ndugu yangu..yoote khery tuenjoy na Club yetyu
@dastandeogratius
@dastandeogratius 11 ай бұрын
We nae umechangia ht mia hp
@MohamedSalum-fl2om
@MohamedSalum-fl2om 11 ай бұрын
Wewe uliyenda namuda mmefika wap na mudawako acha ubwege
@Eng2460
@Eng2460 11 ай бұрын
hata kadi ya uanachama ukute huna
@MohamedSalum-fl2om
@MohamedSalum-fl2om 11 ай бұрын
@@Eng2460 ungekua nayo using andika upuuuz wako
@jumashedafa
@jumashedafa 11 ай бұрын
Saiv inabid mutate awamu ya pili ya hostel xax
@dengahmediatz3113
@dengahmediatz3113 11 ай бұрын
Ya kuna hostel na gym kwenye flow ya pili na tatu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 11 ай бұрын
Naamia yanga Rasmi
@amanimustapha2089
@amanimustapha2089 11 ай бұрын
Utopolo wana mbwembwe
@assiahassan2361
@assiahassan2361 11 ай бұрын
Maendeleo hayana chama jaribu kuipongeza Yanga kwa hatua waliyofikia
@abuumtoa2336
@abuumtoa2336 11 ай бұрын
Ila nawe una mbwembwe maana hata yasiyokuhusu unayafuatilia
@nyangef.pascal9858
@nyangef.pascal9858 11 ай бұрын
Mna boa maana aepisod zenu hazivsogezi mchezo ni fupi mno katika dakika 12 kitu kipya kinaweza kuwa dakika nne tu
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 11 ай бұрын
KOLO😂😂😂😂😂😂 LINAUMIA😊
@IbrahimMohamed-c3c
@IbrahimMohamed-c3c 11 ай бұрын
💛💚💛💚🇹🇿🦾
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 11 ай бұрын
Kuna ofisi maporomokoni? Ofisi za mpira zipo masaki. Hiyo ni ofisi ya mpira au ya serikali za mtaa?
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 11 ай бұрын
Makoroboi bana Yana shida kweli mtu unaponda Cha mwenzako wakati ww hata hicho kibaya huna hebu tuonyesheni hiy ya kwenu hata hii mbaya tuone madunduka ni madunduka tu
@proisolution7166
@proisolution7166 11 ай бұрын
wewe Mohamed nadhani jina la huyo mtume wako unarihaibisha,akili zako na kuku sawa.Huyo tajiri yenu MO viwanda vyote vipo kwenye tingatinga,bt uliza waliotembea ,watu wanajenga baharini au nawe umejiunga LGBTQ.maana akili zenu wengi zimekuwa hivyo.
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 11 ай бұрын
@@proisolution7166 Tanesco wamegoma kufunga umeme jengo la maporomokoni halina hadhi . Gbltq ni kina kabwili na mama J . Tafakari hiyo jibu unalo
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 11 ай бұрын
Masaki ni residential area, yaani eneo la makazi (maskani)), siyo commercial area. Kwa ujinga huo wa kuabudu Masaki tuhamishe ikulu kutoka Magogoni tupeleke Masaki. Akili yako ikutoshe kwenda msalani!
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 11 ай бұрын
@@sylvestercameo6263shule ya bure hii Asanye
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Yanga
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Yanga
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Yanga
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 11 ай бұрын
Yanga
@athumaninyituki7011
@athumaninyituki7011 11 ай бұрын
Yanga
@proisolution7166
@proisolution7166 11 ай бұрын
WATU WANA TAMADUNI BUNJU NA SIMBA WAPI NA WAPI.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН