JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@christiancalvin218311 ай бұрын
Good inspiration, sio kila tajiri anakubali kukupa access ya maisha yake.. Abarikiwe sana tajiri
@fatmaalnabhani360911 ай бұрын
Mungu atupe na sisi 🤲🤲
@frankvianey243811 ай бұрын
Ameeen
@janeturio74147 ай бұрын
OMG OMG hongera sana umejitengeneza kisawasawa kkkkkkkk ni Mungu tu anapopita kubariki wengine anibarikie na mieeeee nakuonea raha sana bro nikipata nafasi nitakuja kukutembelea hapo kwa Royalty yako. Hallelujah Amen 👏👏👏🎊🎊
@helentelemla562311 ай бұрын
Nitatafuta pesa kwa bidii ili na mimi niwe na vitu vizuri.Mungu nisaidie
@kakawamashariki897811 ай бұрын
Astahilie pongezi apatiwe pongezi zake. Hongera sana kutupatia motisha na hamasa hasa kwa wale wapendao maisha ya viwango.
@loiswahindi335310 ай бұрын
Upo vizuri kaka, nimependa Kwa kuwa muwazi Ki hivyo. Nimejifuza Kwa kiasi kikubwa. Nami nimeshajaribu kuanzisha biashara mara nyingi Bila mafanikio, Sasa naanza Tena. Big up
@chedielimrutu695511 ай бұрын
Hongera sana umeiheshimisha Babati kwakweli umetisha.
@ZainabuMsengec10 ай бұрын
Hii nyumba ipo Babat sehem gan
@enockramadhani70656 ай бұрын
Babati mkoani
@mohamedmahmudali934610 ай бұрын
Maisha ni mtihani tu ukiwa tajir mtihani,ukiwa maskini ni mtihani zaidi tusimameni na Ibada, Kwa Mtu ambaye amehafilika na ulimwengu na akamsahau Mungu ataona mambo makubwa sana haya ,,Mungu humpa amtakae..
@sophiamsangi976316 күн бұрын
Hongera kwa kazi nzuri mno
@NeemaMashauri-s3u11 ай бұрын
Nimekufurajia jinsi ulivyo humble, usiache kutoa zaka.ili Mungu aweke ulinzi Kwa Mali na afya yako.
@ediththom886211 ай бұрын
Mungu nakushukuru kwa hichi kidogo ulichonijalia, na pia nakuomba unijalie my dream house
@johnwillingstone312111 ай бұрын
Halafu muhuni wala hana maringo, yuko so simple hana habari, safi sana
@stevenclaud664811 ай бұрын
Ndoto ya kila anayepambana katka maisha hongera boss
@iddyhassani221911 ай бұрын
Amissi kigundu from uganda uyo nikufuru ss
@R.Dickon10 ай бұрын
Hamis kiggundu ...thamani ya nyumba yake ni $ 30 Mln ... yule ni cent-milionare mwenye networth $800 million
@MonicaTimotheo18 күн бұрын
Watu kama Bilionea Mulokozi ndiyo wanafaa kuwa maraisi Tanzania na Afrika kwa ujumla ili tuwe na maendeleo bora, makubwa na endelevu kwa manufaa ya wananchi wote
@mamachris681111 ай бұрын
Bei ya TV imezidi mafao yangu ya miaka 37 Jamani 🤔🤔🤔🤔🤔
@EdsonMwijage2 ай бұрын
Hongera mungu akuzidishie mara sabini kumbuku waataji.
@phantyrhymes953610 ай бұрын
Nyumba kali sana.Ila cameraman ajiongeze kidogo.
@mrdesigner_202411 ай бұрын
Kwenye pongezi toa pongezi,,na tuombeane Mema....Kuna masikini wengi umu😅,, wengine wanaumia wanajifanya sijui kifo, sijui mautiii,,mara usitutishe,,maneno mengiii😅Hizo zote ni ishara za umaskini na Wivu,,Tutafute hela na si tuishiii😊,, Pongezi sana kwa tajiri asiye na maringo mjini, Mungu akupe maisha marefu,,We call him new Rich in Town 🥰
@veronicamaghembe210210 ай бұрын
Exactly 😅❤
@murmboye10 ай бұрын
good brother, God bless you
@Chettymlambalipsi-lb9km11 ай бұрын
Kuna maisha mazuri zaidi ya haya huko mbinguni pia shukuru Kwa kile ulicho nacho mungu atakuongezea haya yote niya dunia tu na yanapita 😊😊
@davidmwita13911 ай бұрын
Acha izo kuwa inspired tafuta hela
@Chettymlambalipsi-lb9km11 ай бұрын
@@davidmwita139 pesa sio kila kitu Ili uone mbingu unahitaji kuwa na mambo muhimu hapa Duniani Elimu,kula,malazi hayo mengine niya shetani.kula Chuma hicho 😋😋😂😂
@emmanueljoseph381511 ай бұрын
acha hale vyake maana ata uko mbiguni atupajui 🏃🏃
@Chettymlambalipsi-lb9km11 ай бұрын
@@emmanueljoseph3815 utapajua siku ukifa alafu wakati huo unateseka Huku mwili wako ukiwa mweusi tii zaidi ya masinzi Huku ndimi zako zimekutoka saizi ya kifuani
@emmanuellomnyak11 ай бұрын
hilo ni somo tosha kwa wale vimbelembele wa kuonesha vtu vyako kuna watu kama kina MULOKOZI wana hatari sana mkuu MULOKOZI umetisha sana nakubali sana kwa TANZANIA UPO KATIKA WATU.
@flm153011 ай бұрын
Nawaza mbinguni itakuweje af ni uzima wa milele
@mamachris681111 ай бұрын
Umewaza kama Mimi 😂😂😂😂
@PdidSule11 ай бұрын
Kuna maandalizi na huko tujiandae tusikose kite duniani na huko
@aminatanzanya747511 ай бұрын
Haya maisha hayan usaw kabisa kuna watu wanaishi jamn
@francomwacha226210 ай бұрын
Maajabu ya hiyo nyumba yapo zaid kwenye facilities za ndani na mandhari ya nnje ya nyumba ila muundo kwa maana ya muonekano wa nyumba yenyewe naona kama wa kawaida hvi.. ila ni ni inspiration sana kwa wapambanaji 👏 👏
@RoseKaiza-g2j13 күн бұрын
Duh! Tv million 60? Mi naomba anipe hata milion moja tu mtaji wa biashara!
@judithkirenga997711 ай бұрын
God bless 🙏🏻
@nickylyanga213911 ай бұрын
Safi sana ...japo umetunja mwandishi ...hujapitia kwenye paking bana ...any way next time ...jifunze kwa produse Michael USA 😅😅😅😅😂
@kemmymugele35011 ай бұрын
Duuh watu wako na pesa bana😮😮😮
@devisshirima678010 ай бұрын
Ninapata wivu unaonisukuma kupambana zaidi hata kwa hichi nilichonacho. Ninaamini katika Mungu na katika kazi nitafanikiwa na nitafikia kila lengo langu jema ambalo Mungu amekusudia katika maisha yangu. 😊😊
@allenmwambuch368911 ай бұрын
Kuna watu wanaishi na Kuna akina sisi sasa😂😂😂😂😂
@mamachris681111 ай бұрын
Wanaishi duniani,sisi tunakaa duniani 😂😂😂😂
@adelaidabayyo18409 ай бұрын
Afu haringi! Mengine yakinunua IST maji tu hatunywi😂
@sylvestercharles358511 ай бұрын
Kuna watu wana nyumba mpaka wachawi wanaona aibu kwenda kuwanga😁😁😁
@najalinanyambo397111 ай бұрын
Wanaanzaje kwanza kwenda watapotea humo😅😅
@fatmaalnabhani360911 ай бұрын
Si wanafuata mtu anaemhitajia nyumba hawezi kuipata huyo mchawi
@mcback438411 ай бұрын
Serikali ya wachawi hawawezi kuachia wanga waingie hapo bila kutoa visa
@fatmaalnabhani360911 ай бұрын
@@mcback4384 Hiyo mpya sana 😂😂 na visa tena ?
@mamachris681111 ай бұрын
@@mcback4384😂😂😂😂😂😂😂
@gindamaster178411 ай бұрын
Am inspired
@annaniasbyarugaba578811 ай бұрын
Mmmmmm hatar na nusu, sas hapo kati ya Mwijaku na huyu nani mhaya😂😂
@Kulindwa10 ай бұрын
Nyumba ya sh 60m haiwezi kuwa hivi maana ingekuwa nyumba ya kawaida sana...inachekesha
@SHIDDABABA-p1j10 ай бұрын
Huyo Joyce huyo Nina jambo name,,,,🎉
@afyayako105311 ай бұрын
Afu kuna mtu kajenga kisima juu ya nyumba yake akapiga kelele wiki nzima
Kweli utajiri hauzoeleki sa mbona ka tajiri mwenyewe anashangaa mavitu yake makali
@helentelemla562311 ай бұрын
Mwijakuuu njooooo hukuuuu kuna jambo
@minzamuhandagani500221 күн бұрын
Doh, hii video imenifanya nighairi kwenda samaki samaki😂
@redtk297111 ай бұрын
Masikini ni nani? Masikini ni yule anaewazia kifo kumuona mtu ana maisha haya wakati hata yeye anakesha kumuomba mungu ampe maisha kama haya binadamu sisi comedy sana😅
@adelinemanongi599910 ай бұрын
Hii nyumba nzuri
@emmanuelmwangosi940011 ай бұрын
Hongera Mulokozi
@FredMwamgogwa-td6ni11 ай бұрын
Hata halingi yupo simple sana😂😂😂😂😂
@ImaniMwakipesile-r9k11 күн бұрын
Duniani tunaondoka nanguo tu kwendanazo kabulini,eeeeh mungu ivi Mali zinabaki
@ImaniMwakipesile-r9k11 күн бұрын
Ongera binadamu ilitakiwa tuishi ivyo sasa baada yakuishi tunadumu
@queenmilan202411 ай бұрын
msituchoshe bwana na hizi nyumba za kujenga ukuta then mnagawa vyumba na kuweka vioo. Nendeni Mwanza muone yule msichana anaishi Italy amejenga nyumba mpaka utasema mimi mbona mungu ananionea.
@queenmilan202411 ай бұрын
Nendeni mkamuhoji huyo msichana maana ni doctor hapa Italy. ana miaka 35 nadhani amani mimi nataka nizae watoto wa kike
@mcback438411 ай бұрын
@@queenmilan2024interview yake ipo wapi?
@rogerorio91211 ай бұрын
Tuanze kuandaa CV za kuomba kazi ya kuwa CEO wa hiko kiwanda cha Dawa 😅😂
@drazzadrazza416511 ай бұрын
Duh nyumba ya jamaa imenifanga nimuone mwijaku amejenga dampo la kuhifadhia taka🤣🤣🤣🤣 maisha bhana.
@OliverGodwinzakaria11 ай бұрын
😂😂😂
@bablyshah274511 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maisalakaitaba877511 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@queenmilan202411 ай бұрын
Hapa Italy Ana villa kubwa Kwa lake Como.
@Kaizirege11 ай бұрын
@@queenmilan2024we acha masihara 😮
@maribaisack209711 ай бұрын
Dah hongera sana sana
@lpc9929Ай бұрын
Yes
@EmanuelMuna-w2q17 күн бұрын
Wewe David Mulokozi, Sasa wewe jenga uwanja wako wa ndege hapo Babati. Sisi tutakupa kiwanja bure kabisa na watu toka Singida watakuunga mkono kwa kujenga kiwanja kipya cha ndege mjini Singida.
@MagrethMussa-hm3qm10 ай бұрын
Kama hotel furani hivi 🙌
@TysonPhilip-io8bc10 ай бұрын
The boss is dealing with medicine & minerals so don't joke with him 😂😂
@richytarimo465611 ай бұрын
nyumba ya diamondi haifui dafu hapo,,,, jamaa kapambana aisee
@FreeGod36811 ай бұрын
Mbona tajir humble vile kama mtaftaj wa kawaida vile anasema kabisa ngoja kuwashie TV😂😂😂
@nesymichael428611 ай бұрын
Afuuu halingii jamani
@muchunofrank132611 ай бұрын
Vizuri sana, na jambo zuri zaidi amefanya hilo katika mji mdogo wa Babati
@eddechriss266410 ай бұрын
Acheni ujinga wahandishi wa habari wa Tanzania hii sio nyumba ya kifahari bhana mtasababisha majirani waanze kutushambulia tena, kule Zanzibar kwa bakheresa ndio kuna inayostahiri kujadiliwa cha ajabu wala hamkuenda, narudia hii sio nyumba ya inayostahiri kuwa gumzo
@ramadhanishabani80711 ай бұрын
Hio nyumba ndan ndio mbwembwe lkn ninyumba ya garama nafuu tu
@Happy-ef9kf11 ай бұрын
Kajengeee
@shikushyamunissy972310 ай бұрын
kila kitu cha mulokoz ni kama ninavyowaza kasoro ni kwenye viwanda tuu yan
@dorislema246510 ай бұрын
iyo nyumba ukiona kwa nje unaweza usiielewe,,bhana wee uko ndani ni balaa.watu wanaishi pazur jmn
@peektvonline724410 ай бұрын
Tv milioni 60😂😂 duuh bora ninunue zangu hier ya milion mbili
@rasvegas899111 ай бұрын
Hatarii
@annaniasbyarugaba578811 ай бұрын
Mliosema hamnywi pombe mnajenga😂😂 nasubr nyumba zenu😂
@ElishaKiwone11 ай бұрын
Mwamba tunahaki ya kumpa maua yake ameupiga mwingi 👊👊
Wa nje wanaaminika. Mtanzania wapo wachache sana waaminifu wengine atakufilisi mpaka ubaki majengo tu na yeye aanzishe chake.
@byeramwombeki11 ай бұрын
huyu ni mwanaume 💪🏾💪🏾
@KassimHanga-xr7rb11 ай бұрын
Ukiwanazo zitumie maisha mafupi
@margarethpolepole743811 ай бұрын
Baba pesa unayo mungu akubariki sana
@hellenmassawe728411 ай бұрын
Yaniii mwandishi wa habarii umenifuraisha umejikuta umelemewa na maswali
@SophiaTafuna11 ай бұрын
Hivi huyu kaka ndugu yake na Alen?
@naomipieter462711 ай бұрын
Tusaidieni sisi wajane tunawaomba😢
@josephatjordan215011 ай бұрын
😂
@nwntz11 ай бұрын
One point i take brother give me 5yrs
@queenmilan202411 ай бұрын
Yani Huyu dada ni Mdogo ila hapa Milano ni doctor Ana pesa nyingi
@gloriamsaki910911 ай бұрын
Hongera
@dicksonlaurean161410 ай бұрын
Mulokozi,umeupiga mwingi ,owamawe,omukama akubele
@ZubedaJamuhuri10 ай бұрын
Camera man sijamuelewa hatembez Camera anamchukua muhusika tu
@michaelsamson966311 ай бұрын
Bei ya Tv inanitisha
@gonsalvamswaga647110 ай бұрын
Tutafute hela sijui wapi na sisi
@danieljoseph161010 ай бұрын
Pesa zinazojenga nyumba kama hi, sio hizi tunazo tafuta! Elewa na uamini! Sio hizi tunazotafuta!
@AkibuMzamilu9 ай бұрын
Kaka ni kweli pesa za kujenga sio hizi tunazo tafuta ,kwasasaivi bila kujiunga na mtandao bado hujawa mtu ban
@sabinaluyego440811 ай бұрын
MUNGU AWABARIKI WANAUME WOTE ambao wakifanikiwa wanawaza kuwatengenezea familia zao furaha na si kuwapa machungu Kwa kuwaza kuongeza wanawake
@gwajimagwajima11 ай бұрын
Umejuwaje kama hana😮
@michaelsamson966311 ай бұрын
Anaesema binadam tuko sawa uyo nichizi
@claudiajames200311 ай бұрын
Ukifikiria kuwa mwisho wa life kama hili ni kifo unachoka kabisaaa
@Nadhifasaid-165411 ай бұрын
Yaan wewe umewaza kama mimi maana tunatakiwa tujiandalie na maisha ya Duniani na maisha ya akhera
@lujuomjanja286611 ай бұрын
kweli kabisa yaani haina lolote ni makazi tu na utakuta hata yeye mwenyewe izo sehemu mwisho wake ni kuwaonyesha watu tu wakija lakini yeye hazitumii kazi sana kwa kweli
@johnzege20911 ай бұрын
Masikini ndio mawazo yake haya, kwani umeambiwa ukiwa na Hela ndio Moja kwa Moja una dhambi? Baki na umasikini wako
@mbanga675911 ай бұрын
Kafa huyu sindiyo walikuaga na ugomvi mange kimambi alikufa gafla km ndo yeyey lakini
@MakaveryMwanyika11 ай бұрын
@@johnzege209hakika kaka maskinii hufikilia kushndwa tu
@MAPETEE11 ай бұрын
Mwajika VP kibanda chako kipo 😂
@Aminmwansile-we8vn11 ай бұрын
Nyumba kama hii zinapatikana ulaya na marekani alafu zinamilikiwa na watu matajiri wa Dunia kama wakina billget na benzos nk
@onlinemateustv192510 ай бұрын
Weee mmh
@asalitv881011 ай бұрын
Hapa hakuna camera man mmepigwa
@Hapygideon11 ай бұрын
Masikini mwijaku 😂😂😂😂😂
@mamachris681111 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@atuganilemsomba302811 ай бұрын
Kweli utajiri hauzoeleki
@saidibanda834711 ай бұрын
Watu wanaishi
@adaboychibu165911 ай бұрын
Na wanaishia vile vile!
@subiradaud71111 ай бұрын
Nakuaminia shem hiyo ndio ilikua ndoto yako
@GraceKija14 күн бұрын
Lkn unakufa tuu
@salcle970211 ай бұрын
Jengeni nyumba kwa mapana zaidi kama huyu jamaa siyo kukimbilia viwanja vya 15 kwa 30.
@veronicamaghembe210210 ай бұрын
😂😂
@ramadhanishabani80711 ай бұрын
Ss ulileta waandsh wann 17:11
@chidiomari.6511 ай бұрын
Msiokua na Hela usiseme unaenda kulala SEMA naenda kuegesha kama gari tu unaegesha popote