No video

"MUSIBA NIPE BILIONI 6 ZANGU" MEMBE AFUNGUKA MAHAKAMA KUU BAADA YA HUKUMU KUTOKA

  Рет қаралды 97,266

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mahakama Kuu ya Tanzania, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe kiasi cha Sh.Bilioni 6 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vyake vya habari.

Пікірлер: 465
@munaahmed8499
@munaahmed8499 Жыл бұрын
Wangapi tunatizam clip zake baada ya kusikia kifo chake?
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 жыл бұрын
HALELUYA, THIS IS NEW TZ
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Haleluya kweli aisee
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 2 жыл бұрын
Huyo ndio MZEE BENARD KAMILIUS MEMBE THE BOSS
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 2 жыл бұрын
Safi Sana mh. Membe jasusi mbobezi hii iwe ni fundusho kwa mataga wengine.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Yeye hela alizopewa na gaddafi amejengea misikiti hujui kitu musiba yuko poa kabisa kila jambo linapangwa na mungu
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Mzee membe nakukubali sana
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 жыл бұрын
Safi sana membe huyu musiba anajionaga yeye ndiye anayajua maovu yakila mtu anaaibisha watu kwenye vyombo vyahabari sana safi membe umemfunga mdomo
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 2 жыл бұрын
Kila unachokifanya kwenye hii dunia lazma ujue kuna maisha mengine kesho usiangalie una defence ya aina gani .Pole Musiba unavuna ulichokipanda
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Kalale salama! Maana rushwa imeifikisha hapo ilipofikia kesi hiyo kwa Sasa Mungu ameamua na bahari imetulià bado walioshiriki kuifanya hiyo kazi! Uliitafuta haki kwa rushwa Sasa Mungu ameamua na hukufanya kazi kwa uaminifu ni mafisadi mmewafanya watz kuwa masikini! Rushwa mbaya Sana
@imanimussalacky3078
@imanimussalacky3078 Жыл бұрын
Kifo sio adhabu ni njia ya kila mwanadamu
@rachidkidugo1127
@rachidkidugo1127 2 жыл бұрын
Msiba hakuna Kutoa Hera yoyote
@dicksonkilupa6881
@dicksonkilupa6881 2 жыл бұрын
Akate rufaa la sivyo watakamata mali zake kwa kushindwa kumlipa Bernad Membe. MUSIBA ULIJUA KUMSEMEA ! !
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 жыл бұрын
@@dicksonkilupa6881 anaweza pia kwenda jela akishindwa kulipa
@ramathedon4001
@ramathedon4001 2 жыл бұрын
@@johnmwasilu7087 hatake asitake atalipa
@thomasgege1009
@thomasgege1009 2 жыл бұрын
Hongera Membe haka ka cypirian kilikuwa kinajifunia kweli, amepatikana ss amejifunza
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
MAHAKAMA GANI HIYO KUNA MAHAKAMA WEZI WATUPU
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Sisi tunaheshimu Institutions zetu...
@wendinkomba2083
@wendinkomba2083 2 жыл бұрын
Wezi tu hao hakuna mahakama
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
Tulipokuwa tukisema Mahakama za Tanzania ni soko la kuuza na kunua haki mkatukejeli. Sasa yamewakuta na nyie. Tuungane tudai katiba mpya ije kurekebisha uchafu huu.
@ekisuka1
@ekisuka1 Жыл бұрын
Nashauri kwa pigo hili familia ya marehemu Membe iachane na hili, ifute hili deni,
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 2 жыл бұрын
Huyu membe si mtu mzuri hata kidogo nawala siwezi mtu kama huyu
@Papaahansmo
@Papaahansmo 2 жыл бұрын
Pole sana msiba ulijiona MUNGU m2😭😭😭😭
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 2 жыл бұрын
ngoja aisome no!!!
@bernardinaa7565
@bernardinaa7565 2 жыл бұрын
Dawa ni moja, ccm toka madarakani
@privamushi2512
@privamushi2512 Жыл бұрын
Duh kifo bwana kina Siri kubwa sna Leo hii n marejem jamn pumzika kwa amani Mzee wetu
@florameza9529
@florameza9529 2 жыл бұрын
Mbona hukufungua enzi za Mwamba ni wakati wenu mafisadi kujidai
@mtumishimathias7762
@mtumishimathias7762 2 жыл бұрын
Ni mda weo sasa hivi tutakoma
@florameza9529
@florameza9529 2 жыл бұрын
@@mtumishimathias7762 umeonaa kaishiwa anafikiri ndo hela ya kampein kapata maana alisema atakuwa manager wa samia
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 жыл бұрын
Lakin dada ata wewe ukifunguliwa kesi kuthibitsha ufisadi wa membe utaweza au unaropoka tu kila binadamu anapaswa kuheshimiwa utu wake si unarukia tu kumtukana mtu kashifa mbona yeye mwendazake hakutaka kukashifiwa ulikuwa ukijaribu utaona
@florameza9529
@florameza9529 2 жыл бұрын
@@waytvtz2549 jibu unalo
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Hakuna Mwamba mbele ya Mungu.. Mwamba ni Mungu peke yake na ndiyo maana kamtoa roho yake na sasa yupo nae sambamba kumlipa yale yote aliyoyafanya
@medicalamon908
@medicalamon908 Жыл бұрын
Hakuna atakae ishi milele duniani, Hata kama Marehemu alikuwa na makosa au ni mwema tunapaswa kujua kuwa kila mtu atapita njia hii, Tutumie maneno yenye staha.Huu ni msiba RIP Bernad Membe
@aduanobella4671
@aduanobella4671 2 жыл бұрын
Wewe ni mwizi tu
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Kelele zote za Musiba hakuwa na ushahidi... Waliomtuma nao hawakuweza kumpenyezea nyaraka hata moja.. ili athibitishe wizi wa Membe, Je wewe wa mitandaoni hujioni Kama Ni debe tupu?
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
Kuma mako mwiz mwenywe malaaya www
@dorahy1579
@dorahy1579 2 жыл бұрын
Wacha kudanganya watu. Kuna watu wenye kesi za haki wala hazsikilizwi
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
Kama kesi yanani sister? Tunaitaji haki Sawa kwa wote...🤷‍♂️🤷‍♂️
@dorahy1579
@dorahy1579 2 жыл бұрын
@@RamazaniMulongeca kuna kesi nyingi nyingi u wala hazisikilizwi hata wewe unajua. Unajua huyu mzembe ni nani, na ndiyo maana kesi yake imedikilizwa harska harska na hukumu kutolea haraka haraka . Kuna watu wanalilis gaki, wamefukzwa su kusimsmidhwa maxi bila makosawana familia zao wanateseka, West wako jells kwa kuongea makesi ya uongo ns unajua sasa huyu membe aliyeficha pesa Dubai clip zipo unasema haya mambo unaona kwa social media usijufanye hujui. Watu wenye haki hawajasikilizwa Aisha jaji hayupo au kesi zinahahirishwa kila zikifika kotini. Ndugu unajua kwa nini jedi nimesikiliza na kuwmiliwa. Wewe ni wa hii nchi unajua kila kitu
@dorahy1579
@dorahy1579 2 жыл бұрын
Halafu kiisha malipo gani hayo ya kuchafuliwa jina ya $ 4 million. Hiyo pesa watakula na huyo jaji? Yaani ni uongo uongo wa hukumu wakati watu wanafia magerezani kwa kuongea nils hatiya. Hivi vitu mnsbijua lakini mnavumbia macho, mnaziba masikio, watu wamesimamishwa makaziwe bila hatiya, kedi hazisikilizwi, watu wanateseka na familia zao, nyiye watu, siku ya kihama mtasutwa mapesa mtaiacha duniani. Madegree ya ujaji mtaacha yanabembea ukutani mtakutana na shetani anawanhija ba mapesa mumeacha Banks
@yohanaleopoldleopold2572
@yohanaleopoldleopold2572 2 жыл бұрын
Musiba koma
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 2 жыл бұрын
Yani mafisadi wote wanarudisha pesa zao, walikua kimya sasa mwenzao kaingia, fungulia goli hii
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
kabsa yaani ni eid ya mafisad
@umojawawatanzania3813
@umojawawatanzania3813 2 жыл бұрын
Duh!
@amosmahona433
@amosmahona433 Жыл бұрын
Aise!
@f.a6043
@f.a6043 2 жыл бұрын
Haya Musiba mwenyewe yuko wapi na yeye ajibu mashambulizi aisee hii Dunia 🌍 ni ya MUNGU MWENYEWE sio watu kweli sisi Wanadamu tunapita tu tukaeni kwa amani na upendo ndio dawa ya kushinda chuki na vinyongo na hasira na mambo mengine mabaya kama hayo!
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Hii hukumu sio ya Musiba pekee. Pengine wewe ni tajiri. Hii hukumu ni ya Watanzania masikini ambawo ndiyo wengi, wamezibwa midomo. Jaji ana akiri zake timamu kutowa hukumu kama hiyo? Ni nani ana mabilioni kama sio watu kama wakina Rugemalila, Manji. Seith, na viongozi wengi serikalini waliyojitajirisha kwa mali za Watanzania na kusababisha wamachinga wengi mitaani na Panya road, ambao kwa sasa wako huru. VIONGOZI WA NCHI HII ONENI AIBU. Mengi yamesababishwa na uongozi mbaya. Hamutaki tuseme, tukisema Wanasema tuwalipe mabilioni.
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
HATA MEMBE ATAPITA. TENA ATAPITA BILA YA BILIONI ALIZOFANIKIWA KWA HUKUMU ISIYOKUWA YA HAKI. NANI HAJUWI MEMBE ALITAKA KUUNUNUWA URAIS NA KUSHIKWA NA MAMILIONI DODOMA. THE CORRUPT ARE BACK IN FULL SWINGS.
@abdilnas7563
@abdilnas7563 Жыл бұрын
@@gracegrace6200 seems like you knew this beforehand 😶
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 2 жыл бұрын
Musiba ukichangiwa na Wazalendo 2000000 ni sawa shilingi 3000 tu ushalipa iyo pesa hivyo omba msaada usaiidiwe toa namba ya acaunt Ili umlipe huyu Kamanda wa siasa Mzee Membe na pia ikiwezekana muombe radhi huyu Kamanda,kukosa ndio ubinaadamu usione tabu kufanya hivyo maisha yanapita tu haya
@josphjosphmsigwa575
@josphjosphmsigwa575 2 жыл бұрын
Poleniii sanaaaa
@pilgrimonanarrowway2034
@pilgrimonanarrowway2034 2 жыл бұрын
Eenh safi. Upholding the rule of law!
@justinekamala9703
@justinekamala9703 2 жыл бұрын
Nimefurahi sn kwa Mahakama kutenda haki, Musiba alijiifanya Mungu mtu hapa Tanzania binafsi Nilimchukia sn Musiba, Sasa alete kiburi chake tuone
@ummimustafa5330
@ummimustafa5330 2 жыл бұрын
Point of corrections! Wewe ndio unamchukia, sio WATANZANIA!!!
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 2 жыл бұрын
Musiba Alijiona sana Halijua siku zote Mh atakuwepo tu haya Sasa matokeo yake ndiyo hayo
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Жыл бұрын
Musiba kaponzwa na kukosa akili na wajinga wenzie walikuwa wanamshangilia. Alikuwa keshapotea akaongeza speed wajinga walipo mshangilia ndio kabisaa akapamba moto
@djmeza411a58
@djmeza411a58 2 жыл бұрын
Wewe tokahapa mgiga acha kelele
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
Mafisadi tuu hawa wanadhani watu wajinga
@mtangag774
@mtangag774 2 жыл бұрын
kiukwel bwan TANZANIA TUMEPIGWA TYU HAPA NI MAONI YANGU MIMI
@josephgomalo41
@josephgomalo41 2 жыл бұрын
Uko right. Biden aliiba uchaguzi 2020 kukwepa kifungo kutokana na scandals zake na mwanaye .. membe anatumia mahakama za walarushwa kunyamazisha wasema ukweli kuficha ukweli juu ya wizi na ufisadi dhidi ya Watanzania!
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
Good job membe
@iuem5792
@iuem5792 2 жыл бұрын
Ndugu zangu,Mungu pekee ndie akiwa nyuma yako unaweza kuwa na uhakika wa maisha yako.Kamwe usinyanyase watu kwa maneno au kwa vitendo kwasababu kuna mwandamu anakupa kiburi wanadamu wanaondoka na utajuta.Farao aliondoka na kiburi chake,nani ambae hataondoka!!!.Jifunzeni kitu.Huyu baba ameongea kwa hisia sana.
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Hisia gani Sasa? Alichokuwa anaongea musiba alikuwa kweli Kwan sauti zao hazikuvuja? Acheni uhuni Mungu anahukumu yske
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 жыл бұрын
Maskini hawezi kushinda kesi, na atahangaishwa sana. Hata kama inaukweli ndani yake. RIP JPM
@Prince0fald
@Prince0fald 2 жыл бұрын
very good desicion
@aduanobella4671
@aduanobella4671 2 жыл бұрын
Kata rufaa
@josphjosphmsigwa575
@josphjosphmsigwa575 2 жыл бұрын
Joseph
@jamesshao538
@jamesshao538 2 жыл бұрын
Daaah baada ya mwendazake kuondoka imekuwa shida
@deusrobert1343
@deusrobert1343 2 жыл бұрын
Tanzania hatuta fika kwahali hii mafisa ndio Wanaludi ivo utawajuatu najaji pia yumo sio kwa kuraisisha uko billion 6 mchezo et
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
@@deusrobert1343 Watanzania walikua gizani mno na matukio mengi mabaya yalikua yakifichwa huku watu wakiumia
@dianajohn3493
@dianajohn3493 2 жыл бұрын
@@mbwanarajab4756 nyoko
@evancemwita3325
@evancemwita3325 2 жыл бұрын
Tutayaona meng sn mwak huu
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
@@dianajohn3493 Hiyo ndio akili yako sikulaumu, ni matokeo ya malezi uliyopewa
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 жыл бұрын
JAMAN
@revocatusmashimba1347
@revocatusmashimba1347 2 жыл бұрын
Helaza Gadafi mabilion uliyopitanayo yamekushindsha kes et daa
@herbertsamweli859
@herbertsamweli859 2 жыл бұрын
MLIMTUKANA MAGUFULI HAMKUFANYWA CHOCHOTE LEO HII MAJAJIJI WANAWAONEA WATU WADOGO
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@wilsonmikate7570
@wilsonmikate7570 2 жыл бұрын
Acha ushamba msiba alipokuwa ana tukana watu ww ulifrahi malip ni hapa hapa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
@@wilsonmikate7570 anasema hivyo labda waliosemwa na Musiba walikuwemo wazee wako ambao ni mafisadi , pia serekali ya samia ni ya kifiaadi tuu , taifa linarejeshwa nyuma . Miaka 60 ya uhuru bado watoto wa kitanzania wanasoma chini ya miti , na wala taifa halijijui , tupo kuomba misaada .
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
@@wilsonmikate7570 we ni mrundi
@emmanuelgwaay4773
@emmanuelgwaay4773 2 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 Acha ujinga kumtaja Rais wetu! Jiheshimu tafadhali
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 2 жыл бұрын
Mbona akuna anaedumu katika Dunia hii Wala halitusikitishi hilo lakini macho yanaona
@richardmembe2934
@richardmembe2934 2 жыл бұрын
That's the spirit dad
@egidiusthadeo5573
@egidiusthadeo5573 2 жыл бұрын
Kwenye hizo pesa usisaau kulipa kodi
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 2 жыл бұрын
Yule musiba yule ,mpuuzi sana
@cottamanywele9279
@cottamanywele9279 2 жыл бұрын
Hongera jaji kwa kutoa hukumu ilio safi maana huyo musiba almchafua sana mzee muass wa chama tawala berdad camilios membe. Musiba ni jeuri kawatukana sana waass wa nchi hii.
@abdallahrunwa1886
@abdallahrunwa1886 2 жыл бұрын
Cota manywele hayo sasa sii mapenzi bali ni kufuru ya hali utasababisha hata bubu aongee waasisi wa nchi inamaana membe na wenzake ndiyo wameiasisi hayo ni matusi makubwa kwa watanzania ni lipi tutalomkumbuka membe kwa nchi hii huenda ndugu unafukuzia kaaslimia ka hizo bilioni huwo ndiyo kwa watu wanaojua haki hawawezi kufagilia uozo huu unaofanyiwa watanzania wenye mamlaka kukumbatia dhuruma Mwenda Zake alisha tufumbuwa macho nyie endeleeni tu Mungu Anawaona....!
@latifabashiru5598
@latifabashiru5598 2 жыл бұрын
Kwan ww membe utaishi milele, sote tunapita apa acha kuleta dharau kwa mtu alietangulia mbele za haki, kama mlikua wezi msiambiwe maamae zenu. we mwizi tu, yan nchi ishakua yawapiga dili then utashangaa raia humu ndan wanasapot mafisadi, Saiv ikulu imekua kama pahala pawalanguzi tu
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Una uhakika na unachokizungumza??
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
@@minskbelarus7255 endelea kulala
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 жыл бұрын
Mmmmmh Mungu MTU! Hatutamuona Tena huko aliko? Musiba popote ulipo akupe pesa zako. Huyo Mungu MTU NI Nani ? Hatutamuona Tena umempeleka wapi? Mmmmmmmh God have mercy
@hannajoseph645
@hannajoseph645 2 жыл бұрын
Mungu nimkubwaa hapendi kujiinua Mungu niwahaki.
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 2 жыл бұрын
Kuangalia na kusikiliza ujinga wa watu Kama hawa ni aibu na ni ajabu Kweli Kweli hamjajua tu kinachoendelea naomba watz wenzangu tuamke usngzn kwa utaratibu huu naona dalili ya chuki binafsi na kutaka kujiosha kwa watu tusipoangalia hii itaitafuna Taifa.
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 2 жыл бұрын
Chuki binafsi kati ya nani na nani? Na inatutafuna vipi upuuzi wa mtu mmoja kutafuta Fame ndio ugarimu watanzani. Upuuzi
@abdalahmaganga8183
@abdalahmaganga8183 2 жыл бұрын
Kweli hii nchi machizi wapo wengi hivi huyo musiba kama alikuwa hatumwi kuchafua watu kwa nini asiwapeleke mahakamani kudai hicho alichokuwa anatudanganya
@aduanobella4671
@aduanobella4671 2 жыл бұрын
Huyo jaji mwenyewe ajichimbie kaburi lake.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Hujui Sheria kaa kimya.. comments zako zitakuponza. Unadhani bahati mbaya imetokea kwa Jaji utabaki salama?
@f.a6043
@f.a6043 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 kweli inaonekana haelewi sheria inabidi aelimishwe taratibu
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 hahahaha msiba.kwesha
@josephgomalo41
@josephgomalo41 2 жыл бұрын
@@khamisjuma8501 mafisadi mmeshinda au sio?
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
@@josephgomalo41 no more makufuli pay price musiba
@saeedally268
@saeedally268 2 жыл бұрын
Mafisadi oyee wakati wa mwamba jpm yalikuwa kimya
@awadhally1052
@awadhally1052 2 жыл бұрын
Kwel kabisa walikuwa kimy sana hawa sshv wamerud kwa kasi
@kabojamaluku7894
@kabojamaluku7894 2 жыл бұрын
Mafissd oyeeeeeeee
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
Oyeeeeeeeee
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
oyeeee
@Nyamisango
@Nyamisango 2 жыл бұрын
Kila kitu msiba alikisema kuhusu membe kimetokea na wengi wamesibitisha ni kweli. Siiamerudi ccm kama msiba alivyo sema…
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 жыл бұрын
Ushakwisha kamaumeanza kuomba pesa wakati upuuzi wako ulioneka dhwahili hiyo pesa utapewa lakin kamahujaacha unafiki radhima uambiwe hujatukanwa ilaumeambiwa
@stellakaluwa3647
@stellakaluwa3647 2 жыл бұрын
Umemsikia wakili wako aliye dhumiwa aende mahakamani sio wewe unawasemea achahizochini ya kapeti
@ZBC2972
@ZBC2972 Жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa dunian
@RaymondMhallilah-ed3se
@RaymondMhallilah-ed3se Жыл бұрын
Rip
@fahminasser3855
@fahminasser3855 2 жыл бұрын
Safi sana musiba musiba upo wapi leo wewe lipaaaaaaa nyambavu ulijiona upo juu ya sheria musiba eeeh
@revocatusmashimba1347
@revocatusmashimba1347 2 жыл бұрын
Pumbavu
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 2 жыл бұрын
Tena Musiba afilisiwe hadi bucta yake,maana amedhalilisha wengi. Iwe fundisho kwa wengine wenye tabia hiyo hapa nchini kwetu. Bravo Membe💪👍
@happymakoye2329
@happymakoye2329 2 жыл бұрын
Msema Ukweli JPM amekwenda. Sasa wasema ukweli wote mtahukumiwa. Lkn .MUNGU YUPO HAKIMU WA KWELI.
@athumanirugami4230
@athumanirugami4230 2 жыл бұрын
Moyo kichaka.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Msenge huyo...
@jacksonmars7894
@jacksonmars7894 2 жыл бұрын
Wewe naye kakojoe ulale uzee wako unaenda vibaya
@zakariampompo953
@zakariampompo953 Жыл бұрын
Inasikitisha
@ancyb6507
@ancyb6507 2 жыл бұрын
Freedom of speech! Ukiwa na data na justifiable facts just bring them on the table. Ila usikurupuke kureporti vitu huna uhakika au unashinikizwa au kulipa kuchafua watu, be it waziri or mpiga debe. Ila kusema hakuna kuwasema viongozi wa serikali present, past, dead or alive ni kuwanyima watu uhuru wa mawazo. While no one is above the law, but also no one is too special eti asisemwe. Yesu Alisemwa na kushitakiwa kwa uzushi bila hatia yeyote. Kama kiongozi hataki kusemwa kwa mabaya basi awe makini akiwa uongozini kuhakikisha hafanyi Madudu na kutegemea hatasemwa kisa kiongozi wa serikali. Truth hearts, lie is devilish.
@stellakaluwa3647
@stellakaluwa3647 2 жыл бұрын
Ongea kama wewe membe mara mliitumki nchi kwa waaminifu watazania sio wajinga wewe chukua chako nenda maraviongozi wastaafu inahusu na wewe huraishi milele usiwasemee
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Membe hajasema viongozi,iwe wa zamani au wa sasa,wasisemwe.Linalotakiwa ukimshtumu mwananchi na kumchafua bila ya ushahidi wa kutosha basi utakuwa umevunja hio "freedom of speech"
@user-uy2dk2yv2c
@user-uy2dk2yv2c Жыл бұрын
Rubbish
@dawaphilipo7600
@dawaphilipo7600 2 жыл бұрын
Bilioni 6 ha
@ngelelapeter9984
@ngelelapeter9984 2 жыл бұрын
Hiyo ndio zawadi kwa Msiba alijifanya msemaji wa Ikulu, ndo maana Bibilia akaandikwa amelaniwa yeye amtegemeae mwanadamu, msaada wa mwanadam unamwisho. Liwe fundisho kwa watu wengine.
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
woga wako umasikini wako
@ummimustafa5330
@ummimustafa5330 2 жыл бұрын
I cannot imagine Tanzania has started recruiting sectarians.
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
WALIOUSIKA KUWIBA MALI.ZA WAMACHINGA NA WALIOVUNJA VIBANDA VYA WANYONGE TUWAFIKISHE MAHAKAMANI WAWALIPE WANYONGE
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
kabsa
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Akuna kibanda wanazuhia njia tu kariakoo
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 2 жыл бұрын
Watu wanaomba hela zao na Mimi sijui nmwombe Nani jamani
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
Wewe mbona umeiba pessa za gadafi rudisha
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
Atadaiwa na Gaddafi
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
Shemeji yake kikwete Asishinde kesi rais mpezi wao wa zamani
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 2 жыл бұрын
Na wewe chunga kalamu Yako ukiambiwa uthibitishe unaweza thibitisha hayo
@rachelbahahazo6362
@rachelbahahazo6362 2 жыл бұрын
Hahahahh haloooo
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 2 жыл бұрын
Safi sana mahakama. Alipe hizo pesa tu atajua mwenyewe atapata wapi
@hashamadewa6451
@hashamadewa6451 2 жыл бұрын
Aliesema kesi ina miaka 2. Wakati ule tulidanganywa nchi ina uchumi wakati haina hata kiwanda Cha kutengeneza bodaboda
@hashamadewa6451
@hashamadewa6451 2 жыл бұрын
Aliesema kesi ina miaka 2. Wakati ule tulidanganywa nchi ina uchumi wakati haina hata kiwanda Cha kutengeneza bodaboda
@nestoemanuel1768
@nestoemanuel1768 2 жыл бұрын
Bro ! Hata sikuelewi kabisa kwani siku zote ulikwepo wapi mhhh
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 жыл бұрын
Mimi simo bana
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 жыл бұрын
Wewe mwenyewe membe hapo ulipo umeanza siasa tena hahahahaaaa
@muslimmunde5907
@muslimmunde5907 2 жыл бұрын
Huyu muheshimiwa fisad Nazan angekuwepo kipenz cha wazanzibar maalim Seif pia angemshitaki kua alimdhalilisha kwakusema afadhali Mzee Wa ubwabwa kuliko membe" Maana sasa niwakati wao Tutaona mengi.
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
Akuna chawakati wao bro, tunapenda haki zitendeke mahali pote, kama unaushaidi jamaa Ni FISADI mpeleke maakaman pia, 😂😂😂😂
@muslimmunde5907
@muslimmunde5907 2 жыл бұрын
@@RamazaniMulongeca ushahidi kaka ni aliye kuwa mwenyekiti wake wa chama" kumuacha na kumuunga mkono wachama kingine na kusema afadhali mzee wa ubwabwa Unajua maana ya afadhali? Fisadi niyule anaependa apate bure Nawengine waharibikiwe Sasa anataka b6
@nyundomaster1541
@nyundomaster1541 2 жыл бұрын
Nchi na Mali zote ziijazavyo hakika ni Mali ya bwana
@maulidiathumani1295
@maulidiathumani1295 2 жыл бұрын
je na rais anashtakiwa akikosea ? uo ni uongo bn mahakama iko chin ya wtu bn msitudanganye cc membe ana nguvu sana ndomana imekua hv
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Rejea Katiba ya JMT
@songamberetv2219
@songamberetv2219 2 жыл бұрын
Msiba uko uliko naomba unilipe pesa yangu tuanze kilio😂🤣🤣
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 2 жыл бұрын
Hii ndo tz chezea sharubu za Babu wew utaliwa kichwa
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
MAFISADI NA WEZI WALIOIBA TANZANIA MALI ZA WANYONGE MBONA MNAWAACHA
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
Wastaki, wafungulie mastaka makamani msibaki kubwabwaja tu huku mitandaoni...
@ismailwaryoba4420
@ismailwaryoba4420 2 жыл бұрын
@@RamazaniMulongeca we mwenyew unabwabwaja tu mitandaon
@josephgomalo41
@josephgomalo41 2 жыл бұрын
@@RamazaniMulongeca Ni wajibu wako pia kufanya hivyo kama weweni Mtz mzalendo. TUKIACHA KUMZOMEA NA TUKISIMAMA NA MUSIBA TUNAWEZA FUNGUA HIYO KESI ILI KUPATA UKWELI .. KAMA WATANZANIA KWANI JUKUMU LA KUILINDA NA KUITETEA TZ NI LETU WOTE SIO MUSIBA PEKE YAKE. Amka, dai ukweli uipiganie Tz.
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
@@josephgomalo41 TATIZO SIO KUSIMAMA NA #MSIBA, TATIZO HAPO NI KUVUNJA SHERIA, KUNA NJIA NYINGI ZAKUTAFUTA HAKI YAKO BILA KUVUNJA SHERIA BRO, IS MY DUTY TO PROTECT HUMANS RIGHTS. KWANINI ASINGE TAFUTA WANANCHI KAMA WEWE NA MIMI TWENDE KUFUNGUA JARIDA LAMASTAKA MAHAKAMANI? KULIKO KUDHALILISHA UTU WA MTU HADHARANI? Bro, fanya yote uwezayo lakini usivunje sheria, tutahishia kukuonea huruma tu. Kama tunavyo fanya kwa Msiba sasahivi... HATAKAMA UNAVYOSEMA VYOTE NIKWELI, BILA EVIDENCE/USHAIDI HUTOBOI BRO... TUCHUNGE SANA ULIMI WETU🤐 “ACTIONS SPEAKS LOUDER THAN WORDS”
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
@@ismailwaryoba4420 😂😂 As long as sivunji sheria bro, Niko sawa😂😂😂
@mugundajames4335
@mugundajames4335 2 жыл бұрын
Acha wamuoshe mjinga sana msiba
@depaolo3461
@depaolo3461 2 жыл бұрын
Mawakili wote wachaga 😂😂😂 watakomaa mpaka hela itoke?
@JumaMbena-dq6ws
@JumaMbena-dq6ws 10 ай бұрын
Ukiandika ama kutamka maneno ya matusi ama kejeli ama matusi bila kuwa na ushahidi. Alietukanwa,kukashifiwa ama kufanyiwa kejeli akienda mahakamani.inakula kwako chungeni matendo yenu
@hudumayakufunguliwanakuwek1366
@hudumayakufunguliwanakuwek1366 2 жыл бұрын
SOMETIMES THINGS CHANGE HAO HAO WALIOKUA WANATUPILIA MBALI HIZO KESI WAKATI MAGU AKIWA HAI LEO WANASEMA TOFAUTI SASA SISI WANANCHI WA KAWAIDA ITAKUWAJE
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Tz mpya 😎
@muhammadimtesa1199
@muhammadimtesa1199 2 жыл бұрын
Musiba ndg.yangu nenda kamuangukie mzee Membe atakuelewa yeye hanashida ya fedha kikubwa umevunja heshima yake umemvua nguo hadharani kamuombe radhi atakufunga wewe hauna hela hio.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
yakifisad zaid 😎
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
@@aishaalbalushaishabalush8291 hahaha alisema tutamkumbuka kwamema sikwamabaya
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Leo hii umeme usingizi wa milele daah dunia hii
@reubenbegashe2066
@reubenbegashe2066 2 жыл бұрын
Umefanya Kazi Gani? Akupe kiasi chote hicho cha sekeli
@frankmtei3017
@frankmtei3017 2 жыл бұрын
Musiba toa hela za watu haraka sana....
@sasmosmkenge1990
@sasmosmkenge1990 2 жыл бұрын
Alikula hels? Hivi nguvu hii ya kuongea inatoka wspi? Serkali itoe kauri. Vinginevyo hali haitakuwa nzuri .
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Jaji mbingun huend billion 6 alipwe Membe jee km hana inakuajee ama ndo kumkomoa mtu kisa JPM hayup
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 Жыл бұрын
Kwa kutumwaa na kulipwaa Membe ana visibitishoo au na yeye analopokaa2
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 жыл бұрын
Aiseee ila huyu musiba bhana kipindi cha mwendazake alikuwa akijifanya kuzungumza sana, sasa ndo atajua kila kitu kina mwisho wake, alipe sasa.
@mwesblind8990
@mwesblind8990 2 жыл бұрын
Ningekuwa yeye nawategea jini kwenye izo pesa kila anayechukua anakufa😄😄
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
@@mwesblind8990 kabsa maana wanamdhulum kisa tu mafisad yanaongoza inch kwa sasa
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 2 жыл бұрын
Na wale wanamuonea huruma Musiba mchangieni tu kuleta maneno ya kejeli kwenye mitandao haisaidii kubadilisha hukumu
@abdalahmaganga8183
@abdalahmaganga8183 2 жыл бұрын
Safi Sana Kaka
@mossilamanne3350
@mossilamanne3350 2 жыл бұрын
Miungu mtu walikuwa wengi sana tujifunze kuwa binadamu hata awe nani haifai kumtegemea kwa kiwango hicho kuna mipaka yake hongera mzee membe
@aduanobella4671
@aduanobella4671 2 жыл бұрын
Mbwa wewe mzee
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
@@aduanobella4671 Mfuate ukamwambie kama unaweza,halafu matusi hayasaidii ndugu, hii ndio shida yenu umewekewa sehemu ya kuandika maoni we unaandika matusii
@dianajohn3493
@dianajohn3493 2 жыл бұрын
Kuma wew.
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
@@dianajohn3493 njoo nikuoe halafu tuone nani atakayebeba mimba.
@dianajohn3493
@dianajohn3493 2 жыл бұрын
@@binhussain3445 kamuoe mamako umbebeshe hio mimba
@ezeedi871
@ezeedi871 2 жыл бұрын
Mzee inaonesha hana busara kabisa yaan anaanzaje kumsema vibaya rais wetu mpendwa kabisa ambaye alikua akiipenda nchi yake mpaka mzee anakufa kwaajili ya kuijenga Tanzania halafu ye anakuja anaongea ujinga?? Aisee ukitaka tukupe eshima acha kumzungumzia mzee wetu vibaya maana yunamuombea huko aliko apimzike kwa aman kabisa yaan
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Atapumzika kwa amani kama alitenda mema,msijipendekeze kwa Mungu,matendo yake amefuatana naye,hivyo huna haja ya kumdhalilisha huyu mzee
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Angekuwa hana busara angechukua sheria mkononi
@rossemissusomuchmjsungura8890
@rossemissusomuchmjsungura8890 Жыл бұрын
Na yeye leo kaenda ukouko
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Жыл бұрын
Hakujua kuwa Kila mja atauoja umauti
@ombennassary7438
@ombennassary7438 2 жыл бұрын
Analipa lini?
@princeteu973
@princeteu973 2 жыл бұрын
mbona wewe ulimudharisha Magufuli na ushahidi upo
@eliudablaham9176
@eliudablaham9176 2 жыл бұрын
Bado MWIJAKU kushitakiwa maana nayeye uchawa wake nikama musiba
@nijulishenijue1168
@nijulishenijue1168 2 жыл бұрын
sio kila mtu anaweza kupata mlango wa mahakama kuu , watu kibao uku wanabambikiziwa kesi na kuonewa na kuzalilishwa lakini wanaishia kulia tu
@brunokimaro1053
@brunokimaro1053 2 жыл бұрын
Mungu adhihakiwi
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Billion6??? Mama yangu!' Ni kubwa sana aise.
@innocentpeter6409
@innocentpeter6409 2 жыл бұрын
hakunaga faini ya hivyo hukiwa na pesa wewe si wote wanazo na wala pesa si matako kwamba kila mtu anazo ,bila shaka alietoa hukumu hiyo wanajuana vyema sisi makabwela elfu mbili ya kula tu unawaza sembuse b 6 omba upigwe risasi tu ufe kaka
@dorahy1579
@dorahy1579 2 жыл бұрын
Yaani esi ya upuuzi na upendeleo. Amemufanyia mtu fulani. Hiyo 6 billion unataka kutumia kwa campaign kuingia Ikulu
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
Sijaoana kosa hapo, “ukipigwa mawe, usiwarudishie yaokote uanzie msingi wa nyumba” 😂😂😂😂
@saadasuleiman4746
@saadasuleiman4746 2 жыл бұрын
Mmmnh et naomba hela zangu
@dorahy1579
@dorahy1579 2 жыл бұрын
Sasa huyo jaji, serikali, Membe wote wanajuana mambo wanayofanya. Kuna kesi kazi kuhairishwa tu. Sasa Membe anaomba $ 5 million almost. Hata aibu hawana.
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 жыл бұрын
Mi natafuta sehem mahakama inapoelekeza siku ya mwisho kulipa hiyo fidia
@asalitv8810
@asalitv8810 2 жыл бұрын
LIPENI WA MACHINGA FIDIA ZAO LAAANA NYINYI KWENYE MAISHA YETU
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 34 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 46 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН