Hongereni sana Taasisi kwa udahili mkubwa kiasi hicho. La muhimu tu ni kujireflect na kujirekebisha mikopo uweze kugawanywa kwa haki hata kama ni laki tano tano kila mtu apate Kuliko aina ya utapeli wa sasa unasikia kuna aliepata kingi sana na wengine kidogo sana,na wengine kukosa kabisa.
@khadijayusuph26344 ай бұрын
Kumbe"! Asante kwa maelekezo
@JamilaLuge2 ай бұрын
Shure ya mbutu mkwajuni 1:05
@PrincessFatuma-v2bАй бұрын
Mkoa dodoma 1:32
@FatumaMpangile-j7cАй бұрын
Vikumbulu secondary school
@AnnastaziaMalunde4 ай бұрын
Cbg ni kozi ipi
@jameslutema645524 күн бұрын
Mkoa wa pwani
@AbdilahiMriri2 ай бұрын
Hawa jamaa sijui wakoje tuliwahi kusema mara kadhaa namna ya kuwatendea haki wadahiwa ambapo pesa ikitosha inaenda kugawanywa kama ni laki tanotano kila mtoto anapewa flat rate kungekuwa hakuna upendeleo. Kwa sasa ukichunguza kidogo tu utakuta dhulma ni nyingi zisizokuwa na ulazima.