Maombi maombi itavuja hio uchawi na uganga MUNGU wetu ni more more fire
@Sofia-lc2lqАй бұрын
Weeeee warogi wanakimbia uuuuuui.pole msichana wetu. May God protect you and cover you with the blood of Jesus.
@davidkariuki7951Ай бұрын
Justice for the young lady please 🙏🙏 as I continue watching 😮😮😮😮
@gladys5617Ай бұрын
Hawa watu ni wachawi wanatoroka aje
@damariskimeu4930Ай бұрын
Mamaaaa kuja kanairo utafute kazi ya nyumba ujifaidi,,apo hakuna ndoa
@julietnelima3253Ай бұрын
KITOO CHUKUA HUYU WA NYUMBA KUMI AKUE BODYGUARD WENU HAKI AKO NA NGUVU SANA.
@AnneNaswaАй бұрын
Ingekuwa mm namfunga mikono na miguu,,, mnacheza aje na huyu mwanaume,,,hawa watu wanachawi kila mtu kwa village
@annetManyonge-gw7rhАй бұрын
Ukweli gani unataka zaidi ya hapo ,mtu akitaka kufa haoni utakufa mtoto wako atateseka kwa ujinga wako,hawa ni wachawi
@Yuca878Ай бұрын
Aki kila saa nataka kujua ukweli na amejua tayari😢
@annetManyonge-gw7rhАй бұрын
@@Yuca878 mtu amefungwa huwa hajielewi
@mary-hu6buАй бұрын
Noma sana
@BetreceMakunguАй бұрын
Kitoo mungu akubariki sana salamia rikutu
@zenjibar64Ай бұрын
Huyu kijana. na mamaake wote wachawi .
@user-wc1xk7wd5pАй бұрын
Huyu msichana aende kwao! Ukweli gani anatafuta Kwa wachawi?
@damariskimeu4930Ай бұрын
Bora tu tusisikie mzeee wa kijiji ati alipatikana kwa miwa akiwa amekatakatwa
@karanjagladys1827Ай бұрын
Yani mulipeleka vita shagg
@christinemoranga7598Ай бұрын
Dunia inaelekea mwisho walai 😢😢😢😢
@bernicenduku3368Ай бұрын
Wachawi wametoroka 😩😩
@drimbunyaj.k6538Ай бұрын
Achipu maswali? Aki my ribs are broken weh
@sherrykrissАй бұрын
Aky waluhya don't break pple s ribs
@MoruridorineАй бұрын
Huyu kijana ako na kijaa
@pspdep6405Ай бұрын
Kwani huyu bibi hana kwao,utamaliswa kwa hio unaita mboma
@werelawrence4686Ай бұрын
KITOO YOU ARE JUST WASTING OUR TIME.
@user-by4xk2vx5wАй бұрын
Binti rudi kwenyu,usali sana.Achana na wauaji . Ukweli gani unatafuta.
@werelawrence4686Ай бұрын
Kitoo you're poor at solving any conflict .take time to read the constitution of Kenya.
@saudatoto3010Ай бұрын
Msichana ukweli ungine n UPI na massage ziko clear wata kuua hao nimashetan Rudi kwenyu please amahuyu kijana na mamake wanakula
@MuthokasimonKiokoАй бұрын
Kwan huyu mama ana kwao
@perezaglimmuliga4539Ай бұрын
You've kept on saying the same thing since the follow started no solution will the questions be asked all time mara kas kwa kiti mara bibi mseme kile mnataka sasa !!! And you read the sms which was very clear
@user-dj1io8uy5fАй бұрын
Shikeni huyu amaa wanataka kuua
@charitywangeci4846Ай бұрын
Pia huyu mamaboy ni mchawi pia
@floranjeru4704Ай бұрын
Hiiiiii iiiii
@ritahhamisi255Ай бұрын
Useless
@user-ns3so9wv1fАй бұрын
Ata kama unapenda mbwana Usiishi tena kwaiyo Boma Watakutoa kafara watakumaliza😢😢
@joycekambuga6286Ай бұрын
Mama na mtt ni wachawi alafu mamake ni mke wake katika ulimwengu wa roho