wow nimependa huu wimbo kitu kipya sauti na vinanda vimeboreshwa imara sana,video classic pongezi mno. yawenzio yaka pinda yako yakawa dole!
@wardahsaid4672 жыл бұрын
🔥🔥🔥Hawa Thabiti 👌penda sana hii nyimbo meme🥰
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Pampee sana
@aseliboaz3 жыл бұрын
Mwenye nafasi kwa Mola ni mwenye kumuabudu.
@SharifaomaryAdam5 ай бұрын
unatisha sana dadaa
@martinswai80313 жыл бұрын
Mi napenda kanavyojishaua tu😂
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Mashallah sauti nzuri
@zenajuma64 Жыл бұрын
Maashallah kweli mtt wa nyoka ni nyoka. Hongera sana
@Binja46 ай бұрын
Umebalikiwa saut
@AMINAHADIA-hl1to2 ай бұрын
Ni mrembo sana❤❤❤❤
@AMINAHADIA-hl1to2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Mashallah my toto sauti nzuri nyimbo nzuri
@SadikiMalungula11 ай бұрын
Baba mkwe huna baya nakuja kuchukua mke wangu sasa 😂😂😂😂😂😂
@BENJAMINIMNDEME-i8l3 жыл бұрын
Hawa hongera Sana Nakubali Sana tangu dar prime
@MohamedSarahani-gk6jx Жыл бұрын
Pendaaa sanaa hiyo nyimboo inaujumbee mzuri
@mgenishaban79664 жыл бұрын
Nzr Sana hongera Hawa umekuwa mkubwa
@ambwenemwamwimbe1535 жыл бұрын
Duh!! Wimbo mzuri mom hongera sanaaa kwa kipaj chako,, nimekumbuka ulivokuwa ukiimba shule,,
@sanura92695 жыл бұрын
Hawa thabit mashallah ❤️ mkombozi Thabit Abdul kazi nzuri babaaa 💪
@combowauraiddi80854 жыл бұрын
hongera kwauzri2
@norbertkomba35035 жыл бұрын
nyimbooo nzuriii sanaaa endeleaaa kupambanaaa tutazid kusapotii kaziii zakooo HAWA
@veshbamdogo48965 жыл бұрын
napenda sana kazi yako Thabit tamu sana
@mohamedmod51584 жыл бұрын
Sauti
@simbas57015 жыл бұрын
Dunia umbo duara kiumbe kua mpole patamu apooo😋😋😍😍😍😍
@sureladykiba56085 жыл бұрын
Chiiiiiii hatabaki kua juu mawinguni MashaaAllah nice song nimeipenda hadi raha😘😘😘😘
@thurayyathurayya10074 жыл бұрын
Mambo yako yakapinda yawrnzio yakawa👍💋
@afrednasson56645 жыл бұрын
salut sana dada hawa karibu posho city dom is hood
@asmahabibu55884 жыл бұрын
atal san wajn wang
@Kibitiyetu15 жыл бұрын
Good Location Good Camera Good Director 🔥🔥🔥Seen Mapiinduzi ya Taarabu
@zaujianasibu61483 жыл бұрын
Mashallah
@sanura92695 жыл бұрын
Akayafanya maringo iko vzur haiba akairingia shepuu...akikupa hiki mola mwenzako anacho kile maneno ya hekima 👍
@ramadhanihabibu3035 жыл бұрын
Marmar Zubery mmmmh
@ramadhanihabibu3035 жыл бұрын
Sf
@ramadhanihabibu3035 жыл бұрын
Marmar Zu
@faidhachrischris52104 жыл бұрын
Mwene u wimbo naomb antmie pleas
@faizadulla86635 жыл бұрын
Mashallah sauti, wimbo, mwiimbaji no 🔥🔥🔥👌👌👌
@zaujianasibu61483 жыл бұрын
Muumba hajamaliza
@merinsianaleopold15725 жыл бұрын
Unajua mdogo wangu Mungu akufungulie milango ya kheri kwenye kipaji chako
@MohamedSaid-xw6xg4 жыл бұрын
Uko vizuri hawa
@abrablack5 жыл бұрын
Thabiti upo vizuri kwenye uandishi wa mashairi. Yaani nyimbo zako hazichoshi kuzisikiliza. La pili waimbaji ulionao ni kiboko, kuanzia sauti na mionekano. Hongera pia umekuza. Hawa Thabit moto wa kuotea mbali. 4/5/2019
@zaitunimrisho10625 жыл бұрын
Uwiiii,tikisa nyonga hiyo si mchezo mpo vizuri sana hongereni
@irenejeremiah19524 жыл бұрын
Good mambo ni moto nakubali sana ❤❤
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Team kuvimba
@omaryahmed51974 жыл бұрын
We mtoto weee utaniuaaaaaa ,,,aweza kukulemaza kwa hali yyte ile ilimrad akupe mtihanii,uuuuuuw ndo kaxhaumba mola
@asmahabibu55884 жыл бұрын
tam san pg kellee
@omaryahmed51974 жыл бұрын
@@asmahabibu5588 woyooooo
@shakiramwenye16835 жыл бұрын
Thabit hatar, kitu murua hongera sanaaa
@proudafricatv5 жыл бұрын
mashallah sauti tamu viwango vya levo zaidi ya zile ninazo zijua
@charlessamwel47365 жыл бұрын
usijione timamu yapo yalokupunguka usikae kuhukumu mlimwengu kabla hayakukuta maneno kuntuu hatareeee mpo juu wakali waooo
@kiparabwengo52934 жыл бұрын
Hatareeeeee my jisongi km roooteee
@taturamadan75805 жыл бұрын
Hatareeeeeee cjui km kutakuwa na neno hapo najonea tabu mie kwa hilo jisong
@umulkherymatambo8613 жыл бұрын
Aku na nyimbo mbaya kwake thabiti
@swaumsalim12865 жыл бұрын
wallah sauti nzur mashaallah da hawa taarabu imekukubali kweli yaan kuliko bongo flev
@martinswai80313 жыл бұрын
Kwani alishawahi kufanya bongo fleva?
@salmakayanda81265 жыл бұрын
Mashallah sauti tamu sana kazi nzur sana Hawa
@hadijasilima41155 жыл бұрын
Mashaallah nyimbo nzur na muimbaji kaimba haswaa
@swaumsalim12865 жыл бұрын
mashaallah da hawa
@zaimlawa93005 жыл бұрын
Nakukubali sabit upo kileleniiiiiii
@thabitabdultvonline47505 жыл бұрын
Asante sana
@thabitabdultvonline47505 жыл бұрын
Nashukuru sana
@aishatanzania11944 жыл бұрын
Baba thabit hawa anatumia jina gn Instagram
@pendomalulu61303 жыл бұрын
Nice
@thurayyathurayya10074 жыл бұрын
Usinishike mie🌹
@deuslewis955 жыл бұрын
Kazi nzur mdogo wangu
@asiahmariam39425 жыл бұрын
Ipo vyema sana
@kmarxbaver43035 жыл бұрын
Kiumbe kuwa mpolee dunia umbo lke duara nimeielewa hiyo
@zainbaubashiryzainabubashi40605 жыл бұрын
pambe 2
@thurayyathurayya10074 жыл бұрын
Mola nazake Shani 🙌👍❤️
@shamila22135 жыл бұрын
Kweli yani usikingie shepu mja bado ujakamilika
@fatumauyu64674 жыл бұрын
Asante. Sana.
@mwanamisaomar3465 жыл бұрын
Maneno kunthuu..thanthee mwaya😘🇰🇪
@queenmsemwa29534 жыл бұрын
Safi
@husnakitto4375 жыл бұрын
Nimeeelewa
@nasrashabani39615 жыл бұрын
Safi saaana mamaaa
@batulisimba46085 жыл бұрын
hawa upo vzur
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@salamawaziri33765 жыл бұрын
Kihindi Movi
@aishanasibu83995 жыл бұрын
Nice songi
@xuismgonda42125 жыл бұрын
Super gud
@dullahwizy28555 жыл бұрын
Nice
@jumandilu50575 жыл бұрын
upo vizuli mama
@robbytabani73594 жыл бұрын
Okkk
@dominickjohn67564 жыл бұрын
Mmmh father 😂😂😂
@ngemabohero28535 жыл бұрын
mashaallah.
@zainbaubashiryzainabubashi40605 жыл бұрын
pambe shoga
@katelesimba90555 жыл бұрын
God god
@zawadiathumaniasantkwasomo78794 жыл бұрын
.nzuli
@buyongwekasuka75404 жыл бұрын
👌👌👌👌👌👌👌👌👌
@suregirlmadharau65535 жыл бұрын
mbn nkidownload aitak jamn ....
@rispaatieno42055 жыл бұрын
Mimi nilijaribuu Karibu mwezi mzima hadi nikafaulu, tumia Google