mi nauelewa sana siachi kuuskiliza yan mistar imetulia na muimbaji ametulia nataman kumuona nimpongeze kwa wimbo huu kwakwel nampenda sana bi fatma kassimu
@rehemamwinyihamisi38883 жыл бұрын
Hii ni nzuri kinoma naipenda sanaaaaaaa❤❤❤❤
@zainakidile38262 жыл бұрын
Mashaallah yaani unazidi kuwa mpya kila kukicha big up 💃
@fauziaabdillahi376 Жыл бұрын
Waofungia mwaka wa 2023 na hii nyimbo ganga like hapa tujuane
@beatricekipinge55606 ай бұрын
yan after yrs nimeumis huu wimbo leo
@GervasiMwacha-l1h7 ай бұрын
Unabagua watu wakati hujui hayo matendo.
@collinsmalika73493 жыл бұрын
Kuna mwana dada moja huyo mnene ako sawa ya leta raha kweli.
@abdillahzuberi54811 күн бұрын
Hizi ndizo tunaita taarab baada kupita twaarab acha na hzi taalabu za sasaaaaa
@AishaIssa-l4q10 ай бұрын
Kama bado unaupenda huu mwimbo gonga like Leo /24/2 2024 tujuwane nipo mbande za lraq❤❤❤
@TamarChirwa3 ай бұрын
Mbagala moja hiyo tupo pamoja msela wangu sisi watu wa pwani tunajuana sana oyoooooooooooooooo
@moudboss89813 жыл бұрын
Namuona Marehem jomon Mungu ampe Kauli thabiti
@sahalesaidi88223 жыл бұрын
Marehem niyupi apo
@moudboss89813 жыл бұрын
@@sahalesaidi8822 aliyesimama kushoto wa kwanza aliyevaa gauni jeupe refu lenye maua myekundu,zambalau,kijani na meusi
@zuchuu66593 жыл бұрын
@@moudboss8981 ww ajafa uyo dada anakaa mbagala mama shamimu
@moudboss89813 жыл бұрын
@@zuchuu6659 Basi labda Dida alikosea kutangaza na hakuwa anafahamu vizuri
@moudboss89813 жыл бұрын
@@zuchuu6659 Tuulizie vizuri Mana tunamiss Uwepo wao wote
@ba.terror681910 ай бұрын
2024 nipee likey🎉❤
@irenekatumwa9668 Жыл бұрын
Najiliwaza leo tarehe 10/1/2024
@GervasiMwacha-l1h8 ай бұрын
Mmoja ametimia mwengine bali Rahman😊
@saurasoso15432 жыл бұрын
Naipenda sana hii nyimbo huwa sichoki kuisikikiza♥️
@athumanwaziri48963 жыл бұрын
Daaaa huu wimbo umenifanya nikumbuke mambo mengi sana mzee Yusuf kwakweli ulikuwa bingwa wa kutunga
@HappyCassettePlayer-tm8vg10 ай бұрын
I love taarabu sana jamani kama mtu kanikera huwa nasikiliza taarabu
@helixvince6699Ай бұрын
Hii nyimbo hatari! Mtunzi abarikiwe sana🙏
@GervasiMwacha-l1h8 ай бұрын
Mkamilifu hakuna. Naipenda sana hii nyimbo
@ammonkalama7689 ай бұрын
Mie nipo hapa ikiwa ni tarehe 21-3-2024.
@AllyselemanShija6 ай бұрын
Wooooyo wooooyo wooooyo
@chididekomwelanduga67893 жыл бұрын
Hapa mzee ulifanya Nazi sio mchezo na fatma kasim kautendea haki wimbo
@SalamaJoseph-in2il9 ай бұрын
nyimbo tamu sana 2024
@pala89172 жыл бұрын
Marehemu hapo Ni yupi
@davidzacharia23733 жыл бұрын
Daaah hii taarab mm nilikua msela na mgumu mtu wa hip hop... Ila hizi tungo bhana awa watu wanastahili tunzo bhana
@dizochitela20152 жыл бұрын
Duuu kweli yakale dhaabu
@aminamzee6295 Жыл бұрын
Tuache utani mzee yusufu bingwa wakutunga napenda Sana taarabu zake 🙏
@maharachangwa Жыл бұрын
Uhu utam ni hatare
@abdijabbarhussein20688 ай бұрын
For seriously hi wimbo niliskia kwa usb yngu Kwa mix hadi nilitafuta full song since 2017 sijachoka kuiskia fatma kasim hii. Umemaliza
@afrakanaswahilitv55203 жыл бұрын
Pongezi kwa wimbo mtamu. Asante sana.
@Salamatoboke9 ай бұрын
28 march 2024 bado naipenda sana hii song kama imetoka jana