No video

Muuza Nyama za watu kwenye Butcher biashara kwisha.

  Рет қаралды 247,618

Robert Tv Tanzania

Robert Tv Tanzania

Күн бұрын

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official KZbin channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael:
/ @roberttvtanzania
#RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

Пікірлер: 172
@emmanuelmkuralinda5276
@emmanuelmkuralinda5276 Жыл бұрын
Much.fanya kazi ya Mungu kwa uaminifu na kweli ukilizingatia Neno la Mungu halo unayoyaona ni bado yatatendeka makubwa zaidi.
@estherosore6415
@estherosore6415 Жыл бұрын
Yote yawesekana mbele ya mungu amen 🙏 bless in God
@marthamasue4009
@marthamasue4009 6 жыл бұрын
Wazazi tuwe karibu sana na wtt wetu na tuwaambie madhara ya kupewa vitu na watu wasiowafahamu, ni mbaya. Glory to Jesus Christ
@peteroduori55
@peteroduori55 2 жыл бұрын
Wacha mungu wa mbinguni aitwe mungu, walionichawi madhabahu yao yanomolewe kwa jina la yesu, nisije nikatumika kufanyia wao kazi nipate kuwa huru na kubarikiwa amen
@jesicajessy8695
@jesicajessy8695 6 жыл бұрын
Nani kama YESU,nakushukuru Mfalme wa wafalme
@bdbsbhssbbs9616
@bdbsbhssbbs9616 6 жыл бұрын
Hakuna mlinzi kuzim akiingia Yesu ni nuru na ngome ya yule anaaemwamin
@alisaalis9218
@alisaalis9218 6 жыл бұрын
Ushuhuda huu ni ukweli kabisa, wenye kudharau acha wadharau,yesu ni moto ulao huyu mtoto haezi danganya,mungu zingira watoto wako na damu yako takatifu
@levinaoscar8864
@levinaoscar8864 6 жыл бұрын
Ameni
@phineruge3480
@phineruge3480 5 жыл бұрын
Amina
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 жыл бұрын
Amen
@tusajigwereuben4044
@tusajigwereuben4044 2 жыл бұрын
Aminaaa
@edinashaurishauri5223
@edinashaurishauri5223 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi hakika tunayao matendo ya mungu ya ajabu naomba maombi yako nahitaji Mtoto uzazi wangu umejifunga mungu anitendee na mm nko morogoro
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 3 жыл бұрын
Mungu wangu mtoto wangu wa pekee namfunika kwa damu ya Yesu mwana wa Mungu aliyehai milele amina
@adomatichristopher4052
@adomatichristopher4052 4 жыл бұрын
God is great. Saving souls day and night.
@kamellincitizenkenya129
@kamellincitizenkenya129 6 жыл бұрын
OOH GOD HELP ME , My family and my children cover us with yuor blood
@devybernardlaizer7713
@devybernardlaizer7713 6 жыл бұрын
hallelujah mauti ya yesu haijawahi muacha shetani salama
@saulsagumo3612
@saulsagumo3612 3 жыл бұрын
6
@marymary8313
@marymary8313 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema pastor ubarikiwe sana huyo mtoto ni mdogo sana
@user-il1bv6vs9q
@user-il1bv6vs9q 6 жыл бұрын
Amen Amen Amen that is great to hear from christ God deliver the boy through pix hallelujah God is power Amen Amen
@margaretwambui5714
@margaretwambui5714 2 жыл бұрын
Thanks to Geofrey is delivered
@elizabethmbula2307
@elizabethmbula2307 4 жыл бұрын
Mungu n muweza wa yote azidi kutubariki na kutenda tufanye kazi yake poster Robert mungu akuzidishie neema na baraka
@paulinearunga3152
@paulinearunga3152 6 жыл бұрын
mungu ni mungu amen
@upendoerasto3964
@upendoerasto3964 2 жыл бұрын
haleluya jehova yu hai
@mwinjilisti.wayesu6196
@mwinjilisti.wayesu6196 6 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana".
@raphaelsaitoti3663
@raphaelsaitoti3663 3 жыл бұрын
Ameni yesu nifiche Niko chin ya mwamba
@hannahmwaura7130
@hannahmwaura7130 3 жыл бұрын
wuui Mungu walinde watoto wetu na hali kama hii. Yesu mwema tuhurumie na utulinde sisi wote na maovu yote ya shetani.
@phineruge3480
@phineruge3480 5 жыл бұрын
Bwana Yesu Apewe sifa 🙏🙏🙏
@angelntandu4648
@angelntandu4648 6 жыл бұрын
Imani inaponya
@fatmafa1896
@fatmafa1896 5 жыл бұрын
Amen yesu anawesa kweli
@doramsuya5294
@doramsuya5294 4 жыл бұрын
Mchungaji naomba namba yako
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 2 жыл бұрын
Sote tumshukuru bwana yesu kwa neema hii.
@andreamtasha1350
@andreamtasha1350 5 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Tabora tunakuhitaji Sana Mch Andrew Mutasha
@asiimweanthony9057
@asiimweanthony9057 6 жыл бұрын
Yesu ni mwema wakati wote
@petropanja9814
@petropanja9814 6 жыл бұрын
Asiimwe Anthony kweli mungu nimwems
@esthermukai1196
@esthermukai1196 4 жыл бұрын
Thank you lord Jesus.
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 жыл бұрын
Kwerr yesu ni moto uteketezao,,,,hakuna jina kuuu kama jina la yesu,,,ila wanaozarau ipo ck wataaamin na watakuwa wameshachelewa ,,,
@erlytesafari2547
@erlytesafari2547 2 жыл бұрын
Amène
@rebecca3719
@rebecca3719 Жыл бұрын
Yes ni mwema wakati wote
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 6 жыл бұрын
Ainuliwe Mungu,Atulindaye usiku kucha
@JofreyDamson-nm6ec
@JofreyDamson-nm6ec 3 ай бұрын
Amen
@maryinduti9994
@maryinduti9994 4 жыл бұрын
Yesu unawenza.
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 Жыл бұрын
Bwana Yesu walinde watoto wangu
@marionachieng7415
@marionachieng7415 2 жыл бұрын
Asante mungu
@fauziasitara2509
@fauziasitara2509 6 жыл бұрын
Duhhh asante mungu
@manirambonafidera6866
@manirambonafidera6866 6 жыл бұрын
Mungu nimwema
@zipporahmacharia1874
@zipporahmacharia1874 6 жыл бұрын
Ameeeen
@jaelotieno4750
@jaelotieno4750 6 жыл бұрын
Glory be given back to God
@RobertTvTanzania
@RobertTvTanzania 6 жыл бұрын
AMEN
@pendomwashiuya6405
@pendomwashiuya6405 5 жыл бұрын
Hongela sana mchungaji mgu akusimamie
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Yesu nakushukuru namna gani weee🙏🙏🙏
@sherimhumble6930
@sherimhumble6930 6 жыл бұрын
Jina lako litukuzwe milele( MUNGU muumba mbingu na nchi)
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 2 жыл бұрын
Mungu simama
@martinvavatu5167
@martinvavatu5167 6 жыл бұрын
Ameni mungu mkubwa siku zote daima na milele shetani hana nafasi
@sharinv8864
@sharinv8864 4 жыл бұрын
Pasta naomba uniombee barikiwa sana
@fidyaline214
@fidyaline214 5 жыл бұрын
yesu nifunike kwadamu yakoyesu
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Huu Ni uongo mtupu hakuna ukweli wa mambo humu
@mwinjilisti.wayesu6196
@mwinjilisti.wayesu6196 6 жыл бұрын
Ameen kuu
@lucysingaile9786
@lucysingaile9786 6 жыл бұрын
Yesu ni mkuu kuliko chochote yeye ndo alishuka kuzim akamnyang'anya shetani ufunguo wa mamlaka
@aliadinafabian4543
@aliadinafabian4543 6 жыл бұрын
Ashukuliwe Yesu
@JoyceGeorge-qv4ck
@JoyceGeorge-qv4ck 6 жыл бұрын
glory to God
@lissabeanitha5385
@lissabeanitha5385 6 жыл бұрын
Joyce George
@rahimsaidy7038
@rahimsaidy7038 6 жыл бұрын
Waongo tu
@juliusmgobasa3254
@juliusmgobasa3254 6 жыл бұрын
Lissa Beanitha
@mariemwaidi6103
@mariemwaidi6103 3 жыл бұрын
Mungu ni wema
@ayubuemanuel5152
@ayubuemanuel5152 6 жыл бұрын
Glory to God
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 Жыл бұрын
🙏🙏
@jdjjsj5998
@jdjjsj5998 5 жыл бұрын
Mungu ni mkuu
@rachelatiaboli7289
@rachelatiaboli7289 4 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe,mchukaji ubarikiwe na Christo bwana,naomba namba y'a mchukaji,kwamaombi
@godliveremmanuelmayombya796
@godliveremmanuelmayombya796 4 жыл бұрын
Asante yesu
@wilkisteregesa9013
@wilkisteregesa9013 6 жыл бұрын
Mungu ni mueza
@daudmaligo8172
@daudmaligo8172 6 жыл бұрын
shetani bado anatenda maovu
@williamsipiteck9253
@williamsipiteck9253 6 жыл бұрын
utukufu ni kwa Mungu
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 6 жыл бұрын
William Sipiteck -Amina william♡♡♡
@user-iv7ic7wy6c
@user-iv7ic7wy6c Жыл бұрын
Nimependezwa na maombi hayo
@mageroanna5248
@mageroanna5248 6 жыл бұрын
amina
@fridahndondole3463
@fridahndondole3463 6 жыл бұрын
Magero Anna Wachawi wabaya sana Mungu akubariki mtumishi waMungu,
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 6 жыл бұрын
Amen🙌 glory to almighty man of war
@anthonynapunyi2695
@anthonynapunyi2695 6 жыл бұрын
the title of the movie
@atumatumsuya7644
@atumatumsuya7644 6 жыл бұрын
Amina
@salamsalam4122
@salamsalam4122 5 жыл бұрын
Hubirini neno uwatakase kwa ile kweli neno lako ndio kweli. Yohana 17:17 lakini hapa ni uchawi tu????????????????
@rehemajohnson9012
@rehemajohnson9012 5 жыл бұрын
Amen
@mercykhasiala
@mercykhasiala 6 жыл бұрын
Jesus
@geraldhongani8765
@geraldhongani8765 3 жыл бұрын
Kama unachek 2020
@phineruge3480
@phineruge3480 5 жыл бұрын
Nyie Wachawi Mungu anawaona
@ruthmwangi3199
@ruthmwangi3199 4 жыл бұрын
Shetani.ashidwi.from.saudia.aribia
@maggerbulaag5913
@maggerbulaag5913 6 жыл бұрын
Amina
@estherodhiambo3369
@estherodhiambo3369 6 жыл бұрын
Sifa zote ni zako Maulana.
@belgieboys9867
@belgieboys9867 5 жыл бұрын
laana ya m.mungu iwe juu yenu uchawi upo na wewe mchungaji ni mchawi wa kwanza
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 жыл бұрын
Wewe ni mjinga sana. Wewe ni kipofu. Mungu akurehemu.
@rachelatiaboli7289
@rachelatiaboli7289 4 жыл бұрын
Mungu akuurumiye kabisa kwa Yale umemwambiya mchukaji
@alutemduluh9867
@alutemduluh9867 4 жыл бұрын
Bibi na babaako ni wachawi chupi wewe
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Acha uongo wenu hii Ni kutafuta wateja tu kuzimu ulikuwa unatumia hewa gani mch mbona waumini wako wote Ni wa kuzimu na wachawi?
@dianamichel7564
@dianamichel7564 6 жыл бұрын
Shindwe kabiza shetani
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 5 жыл бұрын
Uongo mtupu. Ipo siku uongo wenu utafichuka. Yuko wapi baba god? Kashafulia.
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 жыл бұрын
Hatungekosa wa kupinga. Katika ulimwengu wa kiroho uko bure kaka
@francissobe3104
@francissobe3104 2 жыл бұрын
B
@kajjalbeellee1722
@kajjalbeellee1722 6 жыл бұрын
Sijui chagusema
@alonmwamba6675
@alonmwamba6675 5 жыл бұрын
Yesu mwanzo mwisho
@nyasirachikoni6356
@nyasirachikoni6356 2 жыл бұрын
Niatal
@kamellincitizenkenya129
@kamellincitizenkenya129 6 жыл бұрын
🙋
@lelanassor862
@lelanassor862 5 жыл бұрын
Hakuna yesu , ilakuna ninaemuamini mimi
@lydiahnyaboke1206
@lydiahnyaboke1206 2 жыл бұрын
Nitakupataje
@hhhghyghgg8640
@hhhghyghgg8640 4 жыл бұрын
Hakika mtumish Mungu azidi kua nawe nimeangalia hii video ya wachawi jamani shetani hana mamlaka kwa jina la yesu
@joykerry9847
@joykerry9847 4 жыл бұрын
wacha mungu abaki kua mungu milele
@patrioticpeoplespartyofrev4675
@patrioticpeoplespartyofrev4675 2 жыл бұрын
Tutaacha kula nyama...unless tumechinja wenyewe
@rehemaabbas5834
@rehemaabbas5834 6 жыл бұрын
jina labwana liimiliwe
@erkigerevas5639
@erkigerevas5639 2 жыл бұрын
mung mwema
@johnkimngok3544
@johnkimngok3544 2 жыл бұрын
ZZ
@mushken65
@mushken65 Жыл бұрын
Nauliza tuu kama hii si porojo tuu ya kutafuta subscribers? Huyu kama ni kweli si angekuwa ndani? 🇰🇪. Kama ni.kweli mungu asifiwe maana tunasikia watanzania Wana penda sana mambo ya ndumba sana na lazima ujichunge nao sana
@Myright888
@Myright888 6 жыл бұрын
Mbona watu wa hapa kanisani historia za ushuhuda wao zinataka kufanana?! Mchungaji anakutana nao wa aina hiyo tu. Duh, Mungu atusaidie sana.
@najimahrupiahgomo2109
@najimahrupiahgomo2109 5 жыл бұрын
Umeona eeeeeeee
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 жыл бұрын
Hazifanani. Wewe sema tu huamini
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 жыл бұрын
Ww kama haumwamin yesu ebu kaa kmya acha kupotosha watu,,, subr ck yakikutokea ww ndo utawatafta wachungaji na usiwaone ,,, ww kaa na shetani wako ss tumo ndani ya yesu
@ruthmwangi3199
@ruthmwangi3199 4 жыл бұрын
Halley AMEN mungu.wa.maanjabu.jena.roko.ritukuswo
@neemamichael6377
@neemamichael6377 3 жыл бұрын
Ameen
@halimasalim5344
@halimasalim5344 3 жыл бұрын
Plz naeza fika kwa muombaji mtu anisaidie
@jonasluck5713
@jonasluck5713 5 жыл бұрын
WACHAWI WANARUDISHA NYUMA SANA.
@kefulinmathias2738
@kefulinmathias2738 4 жыл бұрын
Nikweli mutumishi wamungu
@mariamiti9695
@mariamiti9695 2 жыл бұрын
mwamposa
@lilianberthesa8070
@lilianberthesa8070 4 жыл бұрын
Mmh
@thobiasmadaraka6542
@thobiasmadaraka6542 4 жыл бұрын
S
@hellenraphaelkulaya4075
@hellenraphaelkulaya4075 6 жыл бұрын
Kila kitu kinamwisho
@dxbfd8156
@dxbfd8156 6 жыл бұрын
Wacha ukaitwe mungu
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
Siku hizi wachungany feki ni wengi kama kuna mtu alifanikiwa kumuona yule wa kenya alie mtafut dada na kumwambia aende kanisan kwake akatoe ushuuda kwahiy mim binafsi siwaamin wachungaj wote
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 4 жыл бұрын
Amini majini basi!
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 жыл бұрын
Bure kabisa wewe. Amini waganga.
@user-bv2gt7tl2x
@user-bv2gt7tl2x 4 жыл бұрын
Nipo nyuma yako hawa wezi watup
@tusajigwereuben4044
@tusajigwereuben4044 2 жыл бұрын
Kama huamini si ukae kimya
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 жыл бұрын
Kama unajitaftia laana endelea kuwasema wachungaji,,, nakushaur acha kama haumwamin yesu bc fanya mambo yako acha kuwasema vibaya utakufaa vibaya ww
@khalidmakuba3787
@khalidmakuba3787 5 жыл бұрын
style ya kuongeza wateja kanisani.
@silassteven1009
@silassteven1009 5 жыл бұрын
Kama huelewi Bora ukae kimya khalidi makuba siku yakikupata ndo utaelewa
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 жыл бұрын
Muislamu bure kabisa mfuasi wa Shetani
@cestjolie5574
@cestjolie5574 4 жыл бұрын
Waislam ndo wa2 wa kwanz kwa UBISHI yan.
@failaprince9250
@failaprince9250 10 ай бұрын
Atailo vazi amboho amevaja alivuwe aliunguze
@belgieboys9867
@belgieboys9867 5 жыл бұрын
na huyu kaka ndio kachanganya uongo wa yesu kwa uong0
@kassimjaffar2112
@kassimjaffar2112 5 жыл бұрын
me nakua nashangaa sana yaani kama ni kweli jamaa kamuombea huyo dogo na imekua hivyo sasa hapo huyo yesu (nabii ISSA a. s) kahusikaje? msitake kumshirikisha mtume wa mungu na imani zenu za kishirikina bhana
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 жыл бұрын
Muislamu ni mfuata Shetani
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
mbona km usanii tu!!???? dogo wamempanga hamna kitu hapo
@alutemduluh9867
@alutemduluh9867 4 жыл бұрын
Huna lolote shetani wewe
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
@@alutemduluh9867 shetani babako fala wewe
@amedeusfrancis6645
@amedeusfrancis6645 6 жыл бұрын
kuzimu hujawahi kwenda we we,kuzimu kunalindwa namalaika wenyenguvu ,
@violetkaaya6402
@violetkaaya6402 6 жыл бұрын
kinchokwenda kuzimu ni nafsi
@jesicajessy8695
@jesicajessy8695 6 жыл бұрын
Hakuna malaika wenye nguvu kushinda nguvu za YESU MWANA WA MUNGU ALIE HAI
@misswamunyusiz.gikunju9510
@misswamunyusiz.gikunju9510 6 жыл бұрын
Amedeus Francis kwani umeshaaeda huko ama?
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 жыл бұрын
Malaika wa Shetani(demons) hawashindi malaika wa Mungu na nguvu.
@moramadhan5850
@moramadhan5850 2 жыл бұрын
,
@adomatichristopher4052
@adomatichristopher4052 4 жыл бұрын
Na omba munutunie number ya pastor Robert yangu ni +256776666684 for prayer request.
#live 🔴Bishop Robert  USA Dayton Ohio
1:19:49
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 475
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4,8 МЛН
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIA MWANAMKE NI NANI.  [ 1 ]
45:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 434 М.
VITU VYA  UPAKO NA UHUSIANO WA KUZIMU
54:49
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 1,1 М.
NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:15
Reality of Christ Church
Рет қаралды 48 М.
UTACHEKA MASANJA ALIVYO JIFANYA KAMA MANABII WA SIKU HIZI!!
23:59
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 76 М.
MWANAMKE USITAFUTE DADA WA KAZI MREMBO KULIKO WEWE UTAJUTA "PASTOR MGOGO
27:50
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 136 М.
UCHAWI WA KUKAA UCHI MBELE YA HARUSI...
52:01
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 104 М.
HALI YA KUTISHA INAKUJA KWA KANISA
1:12:34
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 123 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: USHUHUDA WA 'HOUSEGIRL' ALIYEKUJA KUWA PROFESA
7:29
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 769 М.
MASANJA AKIMTAMBULISHA MKEWE UTACHEKA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
6:15
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 99 М.
MCHUNGAJI ANUSULIKA KIFO CHA WACHAWI WALIOTUMWA
37:14
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 76 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4,8 МЛН