MVUTANO ZBAR: DKT. MWINYI vs MAKAMU WA KWANZA / TUNAKUSANYWA KUOMBA AMANI BILA HAKI / UCHAGUZI UJAO

  Рет қаралды 16,750

MAKTABA MEDIA

MAKTABA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер
@HassanMchoro
@HassanMchoro 24 күн бұрын
Omo yupo sahihi ❤❤❤
@mussahassan1779
@mussahassan1779 23 күн бұрын
Dr Hussen bila ya haki amani haipo unachotakiwa kuhubili haki ndio ukweli uwejuu tusipotoshe ukweli Omoo upo sahihi
@MohamedAbdalla-tq8qo
@MohamedAbdalla-tq8qo 24 күн бұрын
Hakuwez kua na aman bla haki
@msellemseif3102
@msellemseif3102 15 күн бұрын
Mh Dr Othman masoud othman.. Maneno nyundo🎉🎉🎉❤❤❤
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 22 күн бұрын
Doctor Mwinyi tufanyeni uchaguzi huru na wa haki ili amani ipatikane tafadhali musitume vikosi vyenu kupiga na kuua watu ili mukae madarakani Atakaye shinda kwa haki na apewe aongoze kwa amani na furaha ❤❤
@AllyHamran
@AllyHamran 24 күн бұрын
Uchaguzi sio sababu ya mizozo bali dhulma katika chaguzi ndio sababu.
@msellemseif3102
@msellemseif3102 23 күн бұрын
Mh. Dr othman Othman masoud othman. 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ramzsule7678
@ramzsule7678 24 күн бұрын
Omo upo sahihi nchii hakuna haki
@tanzanite9944
@tanzanite9944 23 күн бұрын
Kama hakuna haki Zanzibar basi hamia Sudan 🇸🇩 ndio kuna haki
@MohdSuleiman-k1o
@MohdSuleiman-k1o 23 күн бұрын
​@@tanzanite9944Ww unasema nin kichogo uliekua huipend nch yako
@AmeJuma-l2f
@AmeJuma-l2f 22 күн бұрын
Hkuna Haki kweli Zanzibar ww itakua huna akil vizur mana huwez kutofautisha kati ya Haki na Amani , huko sudan Hkuna Amani sio Haki​@@tanzanite9944
@KhalidiBakar
@KhalidiBakar 19 күн бұрын
Sisi sio wakimbizi na Zanzibar inatutosha
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 23 күн бұрын
Omo nakupenda sanaaa tupe elimu kaka❤❤❤❤❤❤❤
@mohammedlaabry5799
@mohammedlaabry5799 23 күн бұрын
Huyu naye mwinyi dua bila yahaki haipokelewi atuache na huo ujinga munatakiwa mutende haki mwenye kustahili kupiga kura apige na wewe ukishindwa ukubali kuondoka usilazimishe tume ikutangaze
@ahmadsureboy7623
@ahmadsureboy7623 21 күн бұрын
Kusema tu, kutukeleza aaaah, tushawazoeya mnahubiri Amani lkn haki haipo nyoko, Mungu atulinde lkn mh! Pazima wazee wakura mia mtu mmoja
@RashidiHassani-in9rb
@RashidiHassani-in9rb 24 күн бұрын
Kama mnasemakweli vile ilamnasubiri huowakati ufike ili muuewatu ilimbaki madarakani
@HajiMohammed-w2w
@HajiMohammed-w2w 23 күн бұрын
Alisema pia Peter Tosh kwamba " There is no peace, where there is no eaqual rights and justice"Mr OMO ubarikiwe sana kiongozi.
@ZANAMBER
@ZANAMBER 24 күн бұрын
Duuh sawa kwanza haki iwepo
@VuaiHaji-v1v
@VuaiHaji-v1v 23 күн бұрын
Othman you are very good
@DadialiDadi
@DadialiDadi 21 күн бұрын
Jani afaa weee chogoo mambo hayaa hayakuhusuuu weww wapemba wamefanyajee kiaz weww😮😊😊
@omarsaid7153
@omarsaid7153 22 күн бұрын
Mh.Othman 🤸‍♂️😊
@DohaQatar-w4t
@DohaQatar-w4t 24 күн бұрын
Wauwaji wakubwa mara kanisani kutowa milion mia upo chini ya tanganyika huwezi fanya la maana mibanda tuu unajenga huwez jenga viwanda watu wakapata kazi kubabaisha tuu kw mibanda njaa kali wew x mzanzibar hawezi kwenda kanisani kutowa milion mia akaacha watu hawana maji shida tupu kwa kweli urud kwenu ulichowarisisha tanganyika kimetosha
@MuhammedAliOmar-c9u
@MuhammedAliOmar-c9u 22 күн бұрын
Huko makanisani ndio kunako wapiga kura wa CCM waliotoka Tanganyika maana hakuna Mzanzibari Mkiristo.
@msellemseif3102
@msellemseif3102 23 күн бұрын
🎉🎉🎉Omo🎉🎉🎉🎉🎉
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 22 күн бұрын
Safi Sanna omo muache huyo ahubiri amani aone muhali kuisema haki
@hamidmussa838
@hamidmussa838 22 күн бұрын
Haki iko Mwenyezi Mungu peke yake.
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 24 күн бұрын
Mwenyezi MUNGU akusimamie Baba, umeongea ukweli, kheli na baraka za MUNGU ziwe nawe.
@issashariffhaj
@issashariffhaj 24 күн бұрын
Dua hazisaiidi bila uadilifu ,wapeni watu vitambulisho wapigie Kura Kwa uwazi,uchaguzi uwe huru atakae shinda apewe basi
@msellemseif3102
@msellemseif3102 23 күн бұрын
Kama Uchaguzi ni chanzo cha mifarakano mbona Marekani hawaja farakana?
@abdulatifismail4747
@abdulatifismail4747 24 күн бұрын
Nyinyi ccm ndio munaharibu amani chaguzi zote mnashindwa lakini mnatumia nguvu kubaki kwenye madaraka acheni izo dhulma lakini iyo zulma yenu haidumu milele
@BinshakbuHemed-gb2zi
@BinshakbuHemed-gb2zi 24 күн бұрын
Mwenye. Umebungi. Ila. Omo. Yupo. Sahihi. Hakikwaza. Ndioitaleta. Amani. Siomani. Kabla. Yahaki
@Zivago12
@Zivago12 20 күн бұрын
Naona kama Mwinyi anatufanya mazuzu wazanzibari.
@omarsaid7153
@omarsaid7153 22 күн бұрын
Futa origami wa kura siku 2 , haki itatamalaki na Amani itatawala. Vinginevyo acha kutudanganya Mwinyi.
@AbdallahKhamis-y4i
@AbdallahKhamis-y4i 23 күн бұрын
HAYO MAMBO MUNGE ONGEA SEHEM ZINGINE SIO MISKITINI😢😢😢😢
@kassim1262
@kassim1262 22 күн бұрын
Mskitini ndio sehemu hasa ykuongea w2 wtendeane haki maana hata mitume imeletwa kuja kutangaza haki co amani hata mungu anataka tufanyiane yahaki
@kassim1262
@kassim1262 22 күн бұрын
Mskitini ndio sehemu hasa ykuongea w2 wtendeane haki maana hata mitume imeletwa kuja kutangaza haki co amani hata mungu anataka tufanyiane yahaki
@AbdallahKhamis-y4i
@AbdallahKhamis-y4i 22 күн бұрын
@kassim1262 au sio
@abbymkombozi4382
@abbymkombozi4382 22 күн бұрын
Hakuna haki kwalipi , tuache kubeza kilazuri tulilojaaliwa, neema hii tusiibeze hasa viongoz mnadhima kubwa yakusisitiza amani, muache tamaa muwe wakweli chokochoko mbaya,
@AmarOmar-vh9pd
@AmarOmar-vh9pd 24 күн бұрын
Amani ni kuacha uchaguzi wamapema tu
@kagetaabdallah3712
@kagetaabdallah3712 23 күн бұрын
Tumeona uchaguzi wa serekali za mitaa ccm aikutenda haki wamezurumu nchi nzima alafu mnataka Aman ipi iyo amani. Omo amesema kweli kabisa kwanza haki ndio msingi mkubwa
@Zivago12
@Zivago12 20 күн бұрын
Amani haipo, tunavumilia tu
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 22 күн бұрын
Allah anayajua yaliyojificha vifuani mwetu
@AbuuSaad-e3i
@AbuuSaad-e3i 24 күн бұрын
Rais mwinyi allah akubarik ktk kazi yako umeongea vzr sana
@aminimushi6945
@aminimushi6945 24 күн бұрын
Amani bila Haki mnadanganyana-Haki kwanza.
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 24 күн бұрын
Mwambie HAKI kwanza, fanyeni mpango HAKI itawale kwanza.
@w4058
@w4058 23 күн бұрын
Wewe nawe unafirigiswa bichwa lako kaongea haki hapo au nyie ndio machawa ucharwa pumbavu nini unajuwa fika toka vyama vingi CCM haijashindapo kwa nini unavhugua njia ya batil na njia ya haki ipo
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 23 күн бұрын
Maneno mazuri yasiyo na maana. Weka Haki uombe Amani. Mungu si Athumani kwamba Hana akili.
@abdultour1647
@abdultour1647 23 күн бұрын
Abdallah bin Saaluli nakukumbusha pia muheshimiwa zuma pia inaleta mfarakana pia haki itendeke kwa kila mtu kusiwe na ugovi IshaAllah
@JammalMuhammad
@JammalMuhammad 24 күн бұрын
DHULMA TU, UMEINGIA MADARAKANI HUKUCHAGULIWA. Kwani HEBU IAMBIE TUME YAKO YA KURA, WAFANYE HAKII
@MurshidMussa
@MurshidMussa 23 күн бұрын
Mbona husemi kama na wewe unakula dhulma na kwa kila mwezi unalipwa mshahara usio wà haki
@DadialiDadi
@DadialiDadi 21 күн бұрын
Weww murshid jituuu la baraaa nyamazaa kimyaa huyu hanaa tamaa engekuaa na tamaa asengeuchaa uwanasheriaaaa mkuuuu wa serekali alikua anapata pesaa zaid ya hapo huyoo haongeli watuu wapigane anaongeaa point ya haki tuuuu jitu la bara chogooo weww
@حسنسعيدفرحان
@حسنسعيدفرحان 22 күн бұрын
Atakayetawalishwa Ndio huyo huyo tutamsikiliza na kumtii Hali ya Kuwa amekuwa kiongozi wetu maadam Yeye haamrishi maovu haamrishi kumuasi Allah
@omarabdallah9576
@omarabdallah9576 23 күн бұрын
Huyu anahubiri amani lkn kashindwa hata kuyatekeleza yale tulioyo aminishwa na kukubalishwa na almarhum maalim seif Allah amraham, amani anatamkiya mdomoni tu lkn moyoni haipo kabisa miaka minne ni kipimo tosha kwa matukio tofauti tofauti, amani iko kwa wananchi wenyewe na ndio tunaodumisha lkn ajabu nyinyi mnao hubiri kila ushao ndio mnao itelekeza
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 23 күн бұрын
Mwinyi anaongea kama kweli Wana nia yakutaka hakki Maneno mazr vitendo vyakifirauni
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 24 күн бұрын
Zawadi kubwa kwa mwanaadamu ni haki. Na kiongozi bora ni yule muadilifu kwa maana anaefanya haki ndivyo vitabu vinavyosema. Sasa wewe unakazania kuhubiri amani wakati unasahau amani haipatikani kama haki haijafanyika.
@AyoubKhatib-p4k
@AyoubKhatib-p4k 20 күн бұрын
Siasa siasa siasa kila mwenye akili ni shehe
@lukakyauke9716
@lukakyauke9716 23 күн бұрын
Haki haki Zawadi kubwa kwa mwanadamu ni Amani Lkn sio amani tu Zawadi kubwa kwa mwanadamu ni Amani na Haki
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 24 күн бұрын
Chaguzi sio sababu ya mfarakano Nia zenu ovu mnazozitanguliza ktk chaguzi na sio jengine Bali ni kulazimisha ushindi kwenu ndio sababu ya mifarakano.kuweni wakweli kuweni na hofu ya mungu mukubali kushindwa
@AllyMuhidini-q9i
@AllyMuhidini-q9i 22 күн бұрын
Tunataka zanzibar yetu muungano umesababisha maisha magumu kwn kama si muungano usengekua marasi na viongozi wazanzibar wanazarauliwa.kwa sababu tu muengereza kawakqbidhi watanganyika ardh ya wazee wetu wa kiajemi na wakiarabu.
@tanzanite9944
@tanzanite9944 23 күн бұрын
Kila Uchaguzi Zanzibar Wapemba ndio wanaoleta Vurugu na Machafuko. Ikiwezekana Wapemba wapangiwe siku yao pekee ya kupiga Kura ili wa kuanzisha Vurugu waweze kudhibitiwa wakiwa peke yao.
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 23 күн бұрын
Sema wapewe kisiwa chao choko sana wewe
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 23 күн бұрын
We mtanganyika usi tuingilie mambo y zanzbr uyo kuku wenu ata rudi kwao tanganyika son tu
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 23 күн бұрын
Mamako katiwa na mpemba ndio ukazaliwa wewe,huamini nenda kamuulize mamako
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 22 күн бұрын
@@MasnamussaPp we huna lolote msenge tuu
@KhalidiBakar
@KhalidiBakar 19 күн бұрын
Watanganyika wahovyo uwo mji munaoringia wa dar Salam unaendeshwa na wapemba kibiashara na waarabu acheni ufyoko vichogo hamuna akili limeni uko
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 23 күн бұрын
Jee unakumbuka uliingia vipi? Basi chukuwa hatua kuepusha hali kama ile isitokee tena.
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 23 күн бұрын
Tumuombe Mwenyezi Mungu huku mazingira ya kupiga Kura mabovu. Watu 800k ushindwe kuweka system ya IT kupiga Kura lakini uweke majeshi chungu mzima posho, usafiri. Haingii akilini kwa mwenye kutafakari. Mnyime Elimu umtawale.
@MaulidSharif
@MaulidSharif 23 күн бұрын
Aman na njaa unazungumza uongo msikitini dah hii hatara hakuna amani bila ya haki machafuko madogo kuua watu
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 22 күн бұрын
HUYU MAKAMO WA RAIS NI MNAFIKI HAIPEDI NCHIYAKA ANA FIKIRIA KUPATA URAIS LAKINI WAPEMBA NITAMIA YAO TULIKUWA NAO MWAKA 1970 KARIAKO MSIMBAZI WAKAFUNGUWA CHAMA CHA MADEREVA TAX HARUHUSIWI MTU KUJIUGA ISIPOKUWA MPEMBA
@yohanaantony5774
@yohanaantony5774 24 күн бұрын
Hv misikitin ni sehem ya kuongelea Mambo ya siasa
@kassim1262
@kassim1262 22 күн бұрын
Kuwataka w2 wfanye ylio yahaki co siasa bali niwjibu kuongeleaamani ndio siasa haki co siasa niwjibu binaadamu hasa muislamu kusimamia nakutenda haki sw shekhe
@RehemaZakwani-bf9jw
@RehemaZakwani-bf9jw 23 күн бұрын
Maneno ya makamo wa kwanza ndio sahihi kabisa Haki kwanza ndio muhimu
@alisaleh283
@alisaleh283 23 күн бұрын
Ccm ni waongo mbona cku ya uchaguzi zanzibar mnapeleka jeshi la police kila kona
@tanzanite9944
@tanzanite9944 23 күн бұрын
Hawa wasije kuwa kama Kenya Ruto na Rigadhi Gachagua. Nchi moja na Kiti kimoja cha Urais eti Rais na Makamu wake wanagombea kiti kimoja cha Urais. Dunia nzima hakuna sehemu Rais aliyepi Madarakani na Makamu wake aliyeko Madarakani wote wanagombea kiti 1 cha Urais, Yaani mmoja wao anataka kumwangusha mwenzake.🥹🫢
@AslihanKhamis
@AslihanKhamis 24 күн бұрын
Allah sw habadilishi wanayoyataka watu mpaka wao wabadilishe yaliyo nafsini mwao. Ikiwa yaliyo nafsini mwenu hamjabadilisha mnataka kuuwa watu kisa madaraka Allah sw atabakia na msimamo wake
@MaulidSharif
@MaulidSharif 23 күн бұрын
Babuu zanzibar hawakutak na ndio maana mnaua watu kukaa madarakani
@ZimamMbaruk
@ZimamMbaruk 22 күн бұрын
Mnataka amani lakini hakuna haki, hio ni sawa kweli?
@godfreymjuni3420
@godfreymjuni3420 23 күн бұрын
Aman bila haki kauna Aman . Na tume huru bila bila huuni
@adamjuma9672
@adamjuma9672 23 күн бұрын
Aloo uyu asa ajua maana hapa tu kamankushindana basi Aloo uyu Omo kashashinda
@yunus-or3ny
@yunus-or3ny 23 күн бұрын
yoyote asiyefuata sheria Za Allah wala hananiya yakuifata huyo ni mzulumaji wala Haitaki Amani duniani na Akhera
@hassanbravo7412
@hassanbravo7412 21 күн бұрын
Tukio la uchaguzi ndio mnaliona kubwa??? Je vp kuhusu kuuwa watu kubaka na kuwafanya watu vilema, je haya c makubwa kiupande wenu?
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 24 күн бұрын
Usiibe kura. Na kumbuka watu waliokufa wakati unaingia madarakani
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 23 күн бұрын
Amani kwanza bila amani hakuna haki wala sheria inayowezwa kupatikana kunapokua na vita na mapigano
@saidsheha-wn4qw
@saidsheha-wn4qw 23 күн бұрын
Mbona wewe unaongea kama mlevi. Kwanza haki iwepo badae amani ndo itafuata.
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 23 күн бұрын
Sasa mbona rais wetu husemi hakii
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 23 күн бұрын
Wizi wakuku wanahukumiwa jee waliomdhulumu maalim sefu nawale walio uliwa wakati wauchaguzi hukumuyao ikoapi. Eeeee. Uongozi boratu nikaokote nazi
@nassorally-xi6zh
@nassorally-xi6zh 23 күн бұрын
Marrekani Kuna haki ndo sababu
@MussaSeif5G
@MussaSeif5G 23 күн бұрын
Haqi ndo msingi wa aman. Kam hakun haqi aman haipaikn
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 23 күн бұрын
Haki na wajibu huzaa AMANI , kuhubiri amani bila ya kuzingatia mambo ya msingi ni sawa na kisu kilichofutaa ( kukosa fact )
@MurshidMussa
@MurshidMussa 23 күн бұрын
Wewe OTHMAN ni laaanatu llah na wote wanao kuunga mkono kutaka kutulish sisi tulio chini hatuna pakushika
@nassorally-xi6zh
@nassorally-xi6zh 23 күн бұрын
Haki kwanza
@kombojuma312
@kombojuma312 24 күн бұрын
He maajabu haya number mwataka amani lakini ukikaribia huo uchaguzi hauko huru mnabadilika hata imani zinawatoka haya yetu macho
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 23 күн бұрын
Haki itangulie amani ifuate
@w4058
@w4058 23 күн бұрын
Ndio hapo wanafiki huwa hawaitamki haki
@kwisa4899
@kwisa4899 23 күн бұрын
Swali kwanini watu wanapenda madaraka ya kisiasa ,ilibidi viongozi wakabiliane na sheria kali za nchi mpaka kila mmoja aiogope siasa
@HarithSalim-l1x
@HarithSalim-l1x 24 күн бұрын
Kwanza ni Haki
@w4058
@w4058 23 күн бұрын
Kwasababu CCM hamfanyi haki wewe tozobi mpumbavu mmoja
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 24 күн бұрын
Haki kwanza. Amani itakuja tu.
@w4058
@w4058 23 күн бұрын
Usisemwe tuwache ushabiki sema kweli hakuna haki inotendeka unajuwa fika kama CCM hawafanyi haki au wawe ndio katika wanafaidika na CCM uchaguzi sio mfarakano usitake kututeka akili
@MurshidMussa
@MurshidMussa 23 күн бұрын
Ibilisi alikua bora kwa mungu half akageuka sasa na wew OTHMAN ni ibili upo kwenye serekali unalipwa half unageuk unatak tuuliwe sisi muangalie lile Domo lake baya Domo zito halijuwi hata kuongea
@allynassoro8448
@allynassoro8448 24 күн бұрын
Mwiny.huna maneno pumba
@JumaHamad-i3f
@JumaHamad-i3f 23 күн бұрын
Mm nasema Allah ndo anachagua kiongozi hata ukiona amewekwa huyo ndo mungu amepanga ikiwa ni haki au batwil sasa iwezo wa Allah nani anaweza
@MohdMkubwa-v8k
@MohdMkubwa-v8k 23 күн бұрын
wewe wacha zako izo basi ngoja imagine mimi nikuone na vuruahi la pesa halafu nije nikupokonye ikisha utulie useme mungu ndio amepanga kwa sababu kila linalo tokea ni yeye allah
@kassidpandu866
@kassidpandu866 24 күн бұрын
siasa Misikitini vp kiongozi
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 23 күн бұрын
Uwongo mtupu
@HarithSalim-l1x
@HarithSalim-l1x 24 күн бұрын
Kwanza ni haki
@omarbinjaa2801
@omarbinjaa2801 24 күн бұрын
Allah ndio anawatawalisha viongoz ktk Ardhi na haiwi amani ya nchi ila ni kuwatii viongozi na watawala
@ramzsule7678
@ramzsule7678 24 күн бұрын
Huo ni uwongo viongozi Hawa tulionao sio wa kuwatii ni kujikinga na shari zao
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 24 күн бұрын
Hiyo ni FIKRA ya KANISA, HAKI ndio msingi wa utawala wa ALLAH
@saido.bakari2877
@saido.bakari2877 24 күн бұрын
Salaaalaaa
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 23 күн бұрын
Hawa civiongozi wakuwatii kabisa wameingia madarakani kwa zulma au umesahauu
@omarkapula588
@omarkapula588 24 күн бұрын
Sasa kwanza amani si ndo ufunguo wa kila kitu tuwe na amani halafu tutafute haki
@mohdseif2459
@mohdseif2459 23 күн бұрын
Sasa kma iyo haki haipo amani itakuepo chukulia mfano ww opokonywe tonge mdomoni amani itakuepo apo
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf 23 күн бұрын
Wewe mwehu asaaa anayo sema Omo ndo sahihi
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 22 күн бұрын
Wewe umefanya nini na wakati upo humo humo serikali ya CCM.hata kuwachimbia kisima kule pemba katika jimbo lako umekwenda kujenga au porojo Tu la kutaka kuwatowa kafara hao wasiojielewa kwa maslahi yako mwehu wewe
@seifkhatib9731
@seifkhatib9731 24 күн бұрын
Kuna msema kwel na muongo tushamjuwa
@SuolFat
@SuolFat 24 күн бұрын
Kwanza ondoa faina na uchaguzi wa siku mbili
@zarihaSalum
@zarihaSalum 24 күн бұрын
Kwanza nichekeee
@zarihaSalum
@zarihaSalum 24 күн бұрын
Omo yuko sahihii
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 24 күн бұрын
MAFUNZO YA ABDULLAH BIN UBAY BIN SALUT Abdullah bin Ubayy bin Salut alikuwa anaswali Msikitini zama za Mtume Muhammad (pbuh).
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 24 күн бұрын
Kwakuwa,nchi,nyengine,kunamachafuko,Tena,wewe,ufanye,unalolitaka
@MaulidSharif
@MaulidSharif 23 күн бұрын
Mnafiki ww
@harithwhite589
@harithwhite589 22 күн бұрын
Omo si muelewa unasema hakuna amani bila ya haki,jee ilikuwaje tukaishi kwa amani tangu mwinyi akae madarakani na ilihali hakuna haki, Haki anayoizungumza omo usifikiri anazungumzia haki kiujumla bali haki ya kutetea kura akifikiri anakwenda kuibiwa kura zake, Mwinyi is our hero tena usimwite kiongozi wetu dhaaalim kwasababu hujui anayotutendea katika nchi hii halafu mnajifanya pemba mna haki miliki ya kura zote na kuwaza hivyo sio kuwaza kidemokrasia
@AslihanKhamis
@AslihanKhamis 24 күн бұрын
Waarabu wapemba wanakuelewa
@Adonkamotci
@Adonkamotci 23 күн бұрын
Ndugu zanguni shetani Nimtu Kwaiyo yapaswa Tuwe makini sana Usi chukuE Usha URi wamtu yoyote AnaE Taka kuri Tumbukiza Taifa letu kwenye macha fuko Tuiri nde Amani yetu wezetu wana juta wana shindwa kufanya chochote Tu pendane wa TanzaniA Tu Ache Una fiki sio kitu kizuri Amani kitu kizuri sana 💞💞💞💞🇹🇿🇹🇿
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf 23 күн бұрын
Amani muhimu lkn na haki muhimu
@w4058
@w4058 23 күн бұрын
Muwongo wewe
@KhamisKhamis-r7s
@KhamisKhamis-r7s 23 күн бұрын
Rais mwinyi badilisha katiba hiyo uwatowe serekalini wasikuzinguwe
@AbdallahRassa
@AbdallahRassa 23 күн бұрын
Unajua wananch tuache ushabiki amani ni muhimu kuliko viongozi kama Sasa wapo pamoja mbona maisha yanaenda tuache chuki kuweni wa Moja haya maisha hata aongoze nani hakuna kitakacho badilika Tena Bora uchaguzi Bora hata usinge kuwepo
@MussaSeif5G
@MussaSeif5G 23 күн бұрын
Sio ushabik. Haki muhim Au ww ni kibarak wao?
@Ayub-b9h
@Ayub-b9h 24 күн бұрын
Huyuu omo anaonekana anadhamira mbay sana
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 24 күн бұрын
Hakuna mwenye dhamira mbaya bali watu wamechoka kudhulumiwa na kuuliwa kisa uchaguzi. Kwanini kusiwe na haki. Ww umemuona mwinyi lini akisemea neno haki. Kwa sbb ni wazi hawafanyi haki na usipo fanya haki kwa wote hakuna usawa na uwadilifu amani pia itakuwa haipo masononeko katika myoyo ya watu ndio yatakayokuepo. Unadhani mwinyi kaingia madarakani kwa haki au dhulma.? Ww huoni hino. Watu wamechoka. Kwani ukiwa mtu humtaki lazima alazimshe kupendwa sio aondoke tu.
@ZANAMBER
@ZANAMBER 24 күн бұрын
Ayubu kama omo kazamiria mabaya nyinyi kazamiria nini kungangania uchaguzi wa siku 2
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 23 күн бұрын
Wizi wa kura na wauwaji nyinyi
NONDO ZA AFISA MDHAMINI IKULU PEMBA ND SHUWEKHA "KWA MAAFISA WA TEHAMA ( IT )"
3:11
OFISI YA RAIS IKULU PEMBA
Рет қаралды 1,4 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
BALOZI KARUME || WANALETA WAGENI KUIFISIDI ZANZIBAR
4:10
Marhaba TV
Рет қаралды 29 М.
TUSIHUSISHE MISKITI NA SIASA || Muhammad Bachu.
1:03:46
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 28 М.
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 96 М.
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН