Huyu shekhe alinifurahisha sana siku ile kwakweli, allah amuongoze na sisi wote,! Amiin
@faisalyunus4283 Жыл бұрын
Mashaallah shekh said mungu akuzdishie ilmu na akuruzu fahamu uzidi kutuilimisha shukran
@hamisisalimu6908 Жыл бұрын
Mashallah shukran sana ustadh saidi, hiyo ilmu ulio itoa ni kubwa mno, mawahabi hawaja elewa chochote kamwe ndo wanazidi kupoteza maarifa
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
Wajua maana ya Elimu wewe au ndio huo ushabiki???
@IssaFumo-o7j Жыл бұрын
@@abuurayaan3902 Mi nadhani ifike wakati Sasa tuitumie Ile Aya"Lakum Diinukum waliya Diin"Kwa sababu hamjataka kuketi na kuendelea kudadisi na kujifunza,bali mmevishwa misimamo ambayo hata hamjui athari yake.
@tahanyjaffar8321 Жыл бұрын
Ni sharti usome ndio uwe n ilmu sio mawahabi wako kama bendera hawasomiiiii wao wapinga tu
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
@@tahanyjaffar8321 wewe Umeifadhi juzuu ngapi kwanza na kitabu Gani Cha Cha Hadithi Ulicho kihifadhi
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
@@tahanyjaffar8321 Alafu naona umendandia tu Jubu swali unajua maana ya Elimu wewe kilugha na kisheria????
@saidishekalaghe3496 Жыл бұрын
Swadakta Sheikh wangu, Allah akupe Kila Lakheri, Afya Njema, na Umri Mrefu tuzidi kustafidi. Allahumma Aamiin.
@rmdhnhmz5126 ай бұрын
Aamin
@AyoubAbdullrahmanAmir Жыл бұрын
Babdeo hii iko sawa kabisa maana ilikata kata mno...Allhamdullilah.....tumsif Mtume ...
@tahanyjaffar8321 Жыл бұрын
اللهم صل وسلم عليه
@rashidishak3991 Жыл бұрын
بارك الله فيك يا شيخ سعيد اطال الله عمرك ونفعناالله بك ❤❤❤❤
@AmiriMtali-f3s Жыл бұрын
Mashannlha habibi hay ñi Matunda ya mwalim wa mwalim wangu sheighe Muhammad alibiz ,,shukuran aghii
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
يذهب الصوفية للقبور متبركين بمن يزعمون أنهم أولياء ولكن الله تعالى يأمرنا أن نقول : قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَتَّخِذُ وَلِيًّا فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ يُطْعِمُ وَلَا يُطْعَمُ ۗ
@MuhammadOthman-q7c Жыл бұрын
Maa Shaa Allaah Allah akuhifadhi akulinde na akuweke tuzidi kuilimika na kufaidika IN SHAA ALLAAH
@AbdallaMwagora-sm1rj Жыл бұрын
Mashaalah ostaz said jazakallahu kheir,nakushauri hutubazako uzungumze pole pole usiharakishe ukiharakisha tunashindwa kulewa tembo lachelewa kutulewesha ,wengine vichwa vyetu ni vizito,na tembo Kwa Tanzania ni pombe.tumefahamu jazakallahu kheir.
@RamadhaniMwandambo-fx9sb Жыл бұрын
Mashaallah, kuanzia Leo naanza kuhudhuria hadhara za maulidi , na nikipata uwezo ntasomesha nyumbani kwangu Kila mwaka mara Moja.
@rashidswalehmwanjama3404 Жыл бұрын
Masha Allah
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Жыл бұрын
صلى الله عليه وعلى آله وصحبه وسلم
@hemedhamdan Жыл бұрын
Hahahaha, yaani hii dunia ilko na vihoja. Allah atuongoze sote jamii Islaam, Aamiin🤲
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Na motoni utaingia na huyo bwana wako Endelea kufanya haramu
@i_gabbykisalo4280 Жыл бұрын
Masha'Allah...😂Allah akupe unachoitaji amiin
@rehemashee5802 Жыл бұрын
Ma Sha Allah❤
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Kila siku inabidi kutetea maulid kila atae simama lkn bahat mbaya nikua kila anayesema Akimaliz anajikuta hajasem kitu haya mngeyajibu maswali ya Bachu mbele yake yote 19 . Kisha mkauliza sasa msingepata tabu lkn hii itawagharimu kila siku.mfano haitokei mtu kuteteA swala funga zaka n.k kwasababu nisahihi lkn hya maulid inabid uyatetee kila siku kwasababu ni uzushi
@elbattawy2864 Жыл бұрын
Ibada sio tu swala, kufunga na kutoa zaka, Ibada ni nyingi sana, kuhusu khadithi ambayo bachu huitumia kupinga maulid sheikh saidi amempeleka shule vya kutosha kuhusu kula bidaa dhalala wa kula dhalala fi nnar., rudia usikilize tena na tena, bachu hawezi kuona ndani hapo
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Nenda kasome wewe acha ushabiki kwnye dini ya mungu unaona watu wanazungumza ukafikti wanayatoa tu hawana uhakika nayo
@SuleimanMakame-ex2eh Жыл бұрын
Swaddakta somo
@ADAMGORA-t2f Жыл бұрын
Wahab nyinyi mtatseka sna mkiona vip kunywen sum mfee. Tu lakin kama Bado mpo maulid yatasoma mwapaka uchochoron kwen mpka mue mnakwepa njia
@MasoudRashid-h8p7 ай бұрын
Sema WWE kitu ueleweke kwnz
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Жыл бұрын
WALLAAHI ELIMU INARAHA SANA UKIISIKILIZA ALLAAH ALLAAH ALLAAH WALLAAHI TUSOME SANA NA ALLAAH ATUPE FAHAMU
@fadhilimusa9732 Жыл бұрын
Ukiona comment za kupinga niza mawahabi siajabu hata mtume walimpinga.al habiib saidi allah akujaze kheri nyingi wafikishie ujumbe elimu ya fani hawana japokua wanachukia
@AbuuAbdillah-hb8li Жыл бұрын
Wewe ndio upumbavu uliopandikizwa kichwani mwako kwamba mwenye kupinga maulidi kampinga mtume swalallahu aleihi wasallam soma dini ya ALLAH acha ujinga wa kuburuzwa
@fadhilimusa9732 Жыл бұрын
@@AbuuAbdillah-hb8li wewe ndio uache ujinga munaacha kukemea maovu uzinzi ulevi kutosali n.k mwatoa povu na maulid acheni ujinga someni dini ya Allah
@twayibshaykhmuhammad1034 Жыл бұрын
@@AbuuAbdillah-hb8li MASWAHABA NA MASALAF NA MASUUFI wame elewa yakuwa BIDAA ni mbili Sayidina OMAR asema نعمة البدعة BIDAA nzuri na IMAM SHAFII amezigawanya BIDAA nzuuri na mbaya SWALI kwa MAWAHABI ??? Je muna ILIMU kuwashinda hao ??? لا والله na je munamtegemeya nani katika MASWAHABA NA MASALAF yakwamba amekataa BIDAA kugawanwa ???
@subirajuma5678 Жыл бұрын
Mashia nao vipi sielewi mimi wanapinga maulidi au wanakubali
@tariquexplore Жыл бұрын
Muongo sana uyuuu😊
@litimbaify Жыл бұрын
Jazaakallah khayran Bachu umewaweka watu bize na wewe, Allha akuzidishie zaid masufi hawalali na kusoma zaid lakin bado haijatoka hoja juu ya Barazanj na Kufur zilizopo, Sh Said mpaka ujibu hoja kwanza, Tunajua haujaanza wewe kutetea Maulid na haiishi, sis tumeshapita hayo itetee Marazanj kwanza!
@sudisalehe192 Жыл бұрын
Hakuna kitu hapo
@hamisimwalimu73337 ай бұрын
Sheikh we hata huelewi
@hamisimwalimu73337 ай бұрын
Yani nyinyi mawahabi vita vyenu maulidi tu shida mawahabi hamjasoma wallah
@litimbaify7 ай бұрын
@@hamisimwalimu7333 huna hoja bora upite tu si lazima na wewe ucoment kwa elimu gani ulokuwa nayo, usishangae hata juzuu Âma haujamaliza
@isaack1005 ай бұрын
Kila moja siku hiyo aliona bhachu alivo fedheheka.lakini wahabi hawawezi kubali kamwe.kelelw za bhachu barzanji ni mwongo ameahindwa kuthibitisha kwa ata qaul ya ulamaa kwamba MTU akiwa hadith munkar huitwa mwongo?bhachu kimyaaa!!!kkkkkkk
@alisudiramadhan3151 Жыл бұрын
Shukran Akhii mungu akujaze kwa kurekebisha habari itawafikia
@alhilaltvonline Жыл бұрын
Duh... Tuwache ushabiki, tuyasikilize vizuri haya maneno.. Ni Darasa nzito. Allah akuweke habyb na akufunguliye elimu zaidi na zaidi.
@yusufuzuberi9884 Жыл бұрын
Kwaiyo tunywe tembo au
@JamalAbdallah-m1o Жыл бұрын
@@yusufuzuberi9884ww kichwa chako cha panzi kavute bangi tu
@abdulhamidbakar2461 Жыл бұрын
@@yusufuzuberi9884ufaham mdogo rejea usikilze
@alhilaltvonline Жыл бұрын
Huwezi kumlazimisha mtu Kufahamu maana ufahamu pia ni rizki.
@yasiniselemani3917 Жыл бұрын
@@yusufuzuberi9884sikiliza vizuri halafu kuwa na ufahamu uache ushabiki kwenye dini hujui kaa mbele ya mwalimu ufundishwe
@allyfundi6405 Жыл бұрын
Nimetosheka na huyu mtu wallah nilikua narudi rudi sana nyuma kwenye maulidi ila sasa kwenye maulid nitaenda kila mara
@safikapanga6989 Жыл бұрын
❤pqg
@alafasyquran9806 Жыл бұрын
som kijan acha kufuata mkumbo
@tahanyjaffar8321 Жыл бұрын
Masha Allah mkono kwa mkono hadi peponi
@RashidSaid-q9z Жыл бұрын
endelea kupotea tu
@qaseemayoub6758 Жыл бұрын
Maa shaa Allah TabaarakaAllahu❤
@MahmoudAmour-h9u22 күн бұрын
Maashaalha Mungu akuweke
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Mara ya tatu hii video naangalia🤸♀️🤸♀️wewe kama humkubali. Saga. Chupa. Unywe ❤😂😂
@Amina-rr8ve Жыл бұрын
🎉🎉 mimi ndo naanza hapa😂
@uthaymaanashshiraaziyy2413 Жыл бұрын
ماشاء الله جزاك الله خيرا وبعد خير جنة النعيم Allah akuhifadhi Shekhe letu tuzidi kuilimika متعك الله طول عمرك صلوا على سيدنا محمد
@suuahmed71 Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH. Ustadh Said. MUNGU akuzidishie ilimu nnaafi3
@HustonXaviАй бұрын
😂😂😂 mashaallah mashaallah sheikh Allah akujalie mwenend mzur zaid na zaid na akuepush na wat wa baya inshaallah
@ibrahimnoordin3420 Жыл бұрын
Salute.. kwa hii bahri.. Allah akuzidishie ilm ust. Said.
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
وقد بين النبي صلى الله عليه وسلم لأقرب الناس إليه أنه لا يغني عنهم من الله شيئا، كما في الأحاديث الصحيحة ، ومن ذلك ما في الصحيحين أن أبا هريرة رضي الله عنه قال قام رسول الله صلى الله عليه وسلم حين أنزل الله عز وجل (وأنذرعشيرتك الأقربين) قال: " يا معشر قريش أو كلمة نحوها اشتروا أنفسكم لا أغني عنكم من الله شيئا . يا بني عبد مناف لا أغني عنكم من الله شيئا . يا عباس بن عبد المطلب لا أغني عنك من الله شيئا . ويا صفية عمة رسول الله لا أغني عنك من الله شيئا. ويا فاطمة بنت محمد سليني ما شئت من مالي لا أغني عنك من الله شيئا ". والحاصل أن المؤمن الموحد لا يسأل إلا الله، ولا يدعو غيره، ولا يطلب الشفاعة من الشافع في الدنيا، وإنما يسأل ربه أن يجعله أهلا للشفاعة، وأن يأذن للشافع حتى يشفع له .
@salmaali7080 Жыл бұрын
Allah awahifadhi mashekh wetu inshaallah na awape umrr inshaallah
@khadijashee9105 Жыл бұрын
Lazima wakusifu sababu tunajua tzn waongoza kwa usanii huyo said huku kwetu ni msanii
@abdurazaqiamisi146310 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wangu
@KhawibOga Жыл бұрын
Shukrani sheikh wajazaka Allah khairah
@hassanmohamedabdalla4108 Жыл бұрын
يمضي الليل بلا قيام ويمر الاثنين والخميس بلا صيام ويفوتهم الفجر وهم نيام ويحتفلون بالمولد دون برهان ما هكذا كان يفعل خير الأنام
@عبداللهمليلو6 ай бұрын
هذا كلامك أنت استحي من الله يا كذاب وإلا فهم يصومون ويقومون الليالي ويصلون فى المساجد مع الجماعة.... ويحتفلون بنبيهم سيدنا وحبيبنا ومولانا رسول الله صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم.
@BriXGuru Жыл бұрын
Barakallah feek shekh Said
@rashidishak3991 Жыл бұрын
Shukran babdeo tv❤❤
@rashidishak3991 Жыл бұрын
ما شاء الله تبارك الله
@SaumHamza Жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi na hasadi Inshaĺah
@NuruSaid-o8e Жыл бұрын
Allah akuhifadhi us uzidi kuwaelimisha wasiolewa: na akulinde na macho yamahasidi
@saidmansoor8528 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuhifadhi kijana chetu uzid kutupa elm
@Amina-rr8ve Жыл бұрын
Maashallah Allah akuhufadhi akupe umri mrefu wenye manufaa sheikh Said
@ismailhashimu6467 Жыл бұрын
Allahu Akibaru ❤❤❤MashaaAllah
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
WALLAH umetufurahisha habiib BAARAKALLAHU FIIKUM
@rjqaasam4587 Жыл бұрын
Wallwaahi umezungumza kwa uchache Laakin Elimu uliyoitoa ni kubwa saana Habeeb حفظك الله ورعاك
@ahmadSeif860 Жыл бұрын
Maasha allah
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا على هذا الموضوع
@subirajuma5678 Жыл бұрын
Nilipokua mtoto nilisikia sifa za mambrui kuwa na elimu mpaka nikatamani niende nikasome huko. Alhamdullillahi wazee wangu walinipeleka na nikapata nafasi pale al ghanahu ul islamiya kwa sheikh mohamad, na wakati huo sheikh alikua bado yuko hai mwenyezi mungu amrehemu. Basi nilifaidika sana chini ya sheikh. Mwaka wa 2002 kulikua na harakati za mijadala mingi sana baina ya sisi watu wa twariqa na mawahabi. Kulipamba moto sana mpaka nikawa najiuliza kwani mawahabi nikina nani mbona wanasumbua sana waislamu. Wakati mwingine sheikh mohamad alikua akija pale madrasah baada ya kutoka kwenye mdahalo, anaema sana kwa pressure huku akasema mawahabi leo wametusumbua sana ata kama walikuwa kwenye haki lakini hoja zetu zina nguvu kutubana wametubana. Kumbe mawahabi wako kwenye haki, mpaka leo ili swali najiuliza, na twariqa wanalijua hili kua mawahabi wako kwenye haki.
@thefoodshaikh811 Жыл бұрын
Ni kweli Dadangu alienda manazilul abraar kwa ustadh abdulraheem mambrui. Watu wa sunnah wako kwenye haki siku zote. Hawa watu wa twariqa wanataka kutetea bid'aa wakitumia njia zote.
@travellertraveller4505 Жыл бұрын
Maashaallaah❤❤❤
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Sku zote nawaambia shkhe said anakitu cha ziada kapewa na mungu tuache hasadi tchukue elimu kwake
@swalehahmed6579 Жыл бұрын
Kabisa ndugu yangu @abubakarymaulidi5681 hawa mawahabi ni mahasidi na hawataki kufahamu Al Ustadh Muhammad Shariff said Al Beidh alisema kitambo hawa mawahabi hata kwambiya nini hawatakubali hata kama wao wajua wana makosa hii ni tabiya yao ndiyo ukaona wengi wao ilimu yao ni ndogo sana nawale wafuai wao wasojua kitu ndiyo ma mufti wakubwa mpaka kuna mmoja hapo asema tutangiya motoni pamoja na sheikh said yaani akusuduya watu wa maulidi Wallahi sijui ninani alowapa vibali vya kuingiza watu motoni yaani waingiliya kazi ya Allah je haya ndiyo mahaba wanayo dai wampenda mtu au ndiyo Sunna hiyo? Maana mtume hakuambiya watu wewe utaingiya motoni
@uwesundembo5147 Жыл бұрын
Hata elimu yakupiga Gita navinanda nayo nielim
@subirajuma5678 Жыл бұрын
Hizo hoja zako zote zilivunjwa kitambo na sheikh Kassim mafuta alipofanya mdahalo na kina sheikh dede na kazuba kule tz mpaka sheikh dede alitaka kulia jinsi Kassim mafuta alivyowabana sawa sawa.
@davidruhasha9670 Жыл бұрын
Maulidi ni ibada ? Na kama ni ibada mfumo wake ulisahauliwa kwenye kurani na hadithi ? Acheni kuunganisha unganisha ili muhalalishe ni badaaa hiyo haipo katika dini😅😅😅😅
@adamkilembwe. Жыл бұрын
ماشاء الله
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
❤❤❤❤Nakupend hadi naumwa 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
@jumamukoko66626 ай бұрын
May Allah (SWT) protect you
@elmahestro6242 Жыл бұрын
Mashallah Allah akujaze kila la kheri uzidi kuzindua watu kutoka kwa akili za kijahil
@kingofshorts6824 Жыл бұрын
Mashalah sheikh wetu👑 🇰🇪
@KhanMuu-b3k Жыл бұрын
allah akuifadhi mwalimu wangu❤❤❤
@infocontentchannel Жыл бұрын
Hafidhwakallah shaikh
@HassanShamte-f5t5 ай бұрын
Shukran maalim
@khalfanidriss8931 Жыл бұрын
Mashalah Waa,Allah Yaalaamu
@abrahmanifarouckissa5662 Жыл бұрын
Enyi masheh mungu anawanaa Mungu atuongoze
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Asantaaaaaa Sanaa sheikh said walai kusoma Rahaaaaaa sanaaaaaaaa
@AishahMuigu Жыл бұрын
إن كذبا علي ليس ككذب على أحد، من كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار
@KombHaji-dr5pd Жыл бұрын
sahihi kabsa jaxakallahw elim kumbe kias umwambie barabarani angie kwenye kiti
@subirajuma5678 Жыл бұрын
Hapo sijaona barnzanj ikitetewa, bali naona hadithi inayokataza uzushi ikichambuliwa kilugha. Lakini uhongo ndani ya barnzanj wabakia pale pale kua uhongo.
@abdallahhalifa5860 Жыл бұрын
Allah azidi kukubariki elimu Kijana waliokusomesha ni Wazi Allah Aliwatunuku
@fahadbabuy Жыл бұрын
Simple mathematic😂😂😂MAULID HAIJATHIBITI MIONGO YOTE MITATU ALIYOSEMA MTUME (s.a.w) sasa we jichanganye ujifanye mjuwaji🔋😂
@samirharun7993 Жыл бұрын
we bado umelala jitaidi kasome elim ni bahari acha kubaki apo kama maji yalio tuwam na yakatoa harufu mbaya
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Wewe unayo Dalili kuwa Maulid hayakuthibiti alishindwa shekhe lako mpaka kajikojolea kitini
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
@@abubakaromar6101😂cheki huyu alivyo muongo mada ilikua ni kuthibit au. Alafu msiwe mnabebwa na propaganda unatak kusema shekhe aloshika kiti alishika mikojo? Haiingii akilin mkojo unajulikan tu na huwez shika mkojo ilhal wajua ni najsi na unashika kwa misingi ipi na unashika bado hujui km ni mkpjo au maji eti unajiuliza.....huo ni mtego kwa wewe mtazamaj ndo utaropoka mkojo lkn kitwndo cha Shekhe kushika huo si mkojo ungekua mkojo asingeshika tazam vzr
@elbattawy2864 Жыл бұрын
Ile amri iliyotoka katika Quran kumsalia Mtume s.a.w je unaikubali? Je ni dhambi kujua Sira ya bwana mtume s.a.w? chakarika ulete fatwa hapa
@ADAMGORA-t2f Жыл бұрын
Yan kwasasa mawahab mtaisoma namba tu kadrii mnavyotukana ndo maulid yanasomwa zaaid mwaka huu mmetukana barazanji yamesomwa mpka milangon endelen kutukana yatasoma mpka misikitin kwenye
@aljahuur Жыл бұрын
Mashallah barakallah
@zainabusadi6469 Жыл бұрын
الله يحفظك يا شيخ سعيد ❤
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
نحن لا نلزم أحد بشيء وإنما ننصح ونبين السنة ونحذر من البدعة شاء من شاء وأبى من أبى فمن قَبِلَ فالحمد لله ومن عاند فأمره إلى الله "كل نفس بما كسبت رهينة" توحيد الله عقيدتنا....
@zahorokombo6881 Жыл бұрын
ما شاء الله كن حيث أنت 😊
@shilingi-Ahmadi Жыл бұрын
لا تجمجم
@ABUUMARYAMA Жыл бұрын
دع ما يريبك إلى ما لا يريبك
@ABUUMARYAMA Жыл бұрын
كلنا أمرنا إلى الله ،وكل مسلم توحيد الله عقيدته
@swahibually8349 Жыл бұрын
انت جاهل مركب.بل نرجو انتفهموا شيٸا فشيٸا ان شاٸﷲ
@MkindiRama-lp6hy Жыл бұрын
Maashaalah ustadh said
@iddswalehomar1323 Жыл бұрын
Bacho sio wakuenda mamburui kufundishwa niwakumtafuta ustadh said amfundishe
@سعدياقوت-ت2خ Жыл бұрын
Swadakta 😂😂😂😂
@Maalim_Samatta Жыл бұрын
Hakika
@yahayaabdallah-h6b Жыл бұрын
Mashaa allah
@jumahory859 Жыл бұрын
برك الله فيك
@AbdillahHabib-c9z Жыл бұрын
Kweli alifanya kazi kubwa ya kumzulia Mtume S.A.W.
@latifaayoub6126 Жыл бұрын
Somo na nusu ... حمياه .. daaah Allah akuhifadhi ustadh said .. watu wataka kufasiri vitabu kwa ilimu hizi zetu za vyumo jamaaa walotunga walikua waarabu jamaaa
@cassim4027 Жыл бұрын
Sisi wengine bado twataka kujua wanyama waliongea kuingia kwa mimba ya mtume????
@Yasminaslamaslam9 ай бұрын
Kabisa
@elbattawy2864 Жыл бұрын
bachu hawezi kukanyaga tena mombasa sheikh said yuko vizuri sana, Ivi kumbe bachu hajuwi fiqhi kwa kiwango hiki? sasa ndo naelewa madhaifu ya bachu yako katika taaluma
@jumamwarabu9307 Жыл бұрын
MAULIDI YATA ZIDI ::NA NYUMA HAYATA RUDI;;:WAUM IE MAWA HABI:::NA NYINGI ZAO LAWAM
@maulidmaulid210611 ай бұрын
maulid itabaki kuwa uzushi nanidhambi kusherehekea kitu ambacho mtume muhammad swalallahu alayi wasalam akuruhusu kifanyike.ACHENI KUSHEREHEKEA MAULID,ACHENI KUFATA MKUMBO.SHEIKH SAID MUOGOPE ALLAH, KWENYE QURAN AMNA SEHEMU ALLAH AZZA WA JALLA AMERUHUSU MAULID...
@dullahsaleh85073 ай бұрын
Wewe mwenyewe unaitwa maulid halafu unapinga maulid unajua asili ya jina lako au kuna swahaba aliitwa maulid😅😅😅😅 unafuata mkumbo tu... M
@maulidmaulid21063 ай бұрын
@@dullahsaleh8507Kumbuka ata idd amini alikuwa mwanaume pia alikuwa raisi msumbufu lakini jina lake lilikuwa ni DADA.Jina si kigezo laiti ningalikuwa na upeo wa kuchagua jina pindi bado mtoto ningelichagua miongoni mwa majina mazuri ya kiislamu.real muslims follow sunnah of prophet Muhammad peace be upon him and not innovation (bidah), kusherehekea maulid ni uzushi aijathibitika katika sunnah wala QURAN,na itazidi kupingwa mpaka end of the day....
@IsmailiallyIsmaili Жыл бұрын
Mwenyezimung akulinde sheikhe said na watu wabaya
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
MARHABAN HABIIB KAMA HII HAIKATI SAUTI BC AHLAN WASAHLAN
@dodokibbah3513 Жыл бұрын
Leo tunawafunzaa lugha kwanza,maashaAllah😊
@KijukuuMtemi10 ай бұрын
Sisi tuliokua hatuna elimu hatujuwi tushike wapi maana ukasikiliza hoja za maulidi pande zote mbili utaona utaona zote zipo sawa ata hili jambo lakufunga hawa salafi wanatuchanganya wanafunga mwezi 28 ahalu sunna wanafunga mwez 29 mm mpini sijuw nifate wap jamani dahh tusomeni jamani tusiyumbishwe
@abdulaisha41457 ай бұрын
Siku hizi kila sheikh ana wafwasi wake kama machester na arsenal... Subhana Allah
@AliMuhammad-hs8ds Жыл бұрын
Hapa mawahabi hawaelewi kitu waeza pandisha marohani wakiskia maneno haya 😅😅
@mkubwamasoud2776 Жыл бұрын
Kwanza salam tu ameshaweka bida'a halafu mnajitapa kwenye batwil mko wengi sana
@ADAMGORA-t2f Жыл бұрын
Hayo tushayazoea leten mengine nasim ulotumia kuangalia haya mawaidha nayoo bidaa uitupe Yan bidaa unayoo halaf unamtukana mwenzio wahab nyinyi omben mungu awape ufaham wa elim.yan mpka mnatia kinyaa mlivyohamelewagi
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
قال الشيخ أحمد النجمي رحمه الله : عجيبٌ أمر الصوفية يزعمون أنهم يزهدون الناس في الدنيا بالغناء، ويرغبونهم في الآخرة بالغناء، فهل الغناء يكون سبباً في الزهد في الدنيا والرغبة في الآخرة، أم العكس هو الحقيقة؟ أنا لا أشك ولا يشك أحدٌ عقل عن اللهِ ورسوله صلى الله عليه وسلم أن الغناء لا يكون إلا مرغباً في الدنيا مزهداً في الآخرة ومفسداً للأخلاق، مع العلم أنهم إذا قصدوا به الترغيب في الآخرة فهو عبادة، والعبادة إن لم يشرعها رسول الله صلى الله عليه وسلم فهي بدعة محدثة، و لهذا نقول: إن الأناشيدَ بدعةٌ ." المورد العذب الزلال ( ٢٧٤ )
@muftiahmadimahmudulemba1918 Жыл бұрын
ماشاءالله
@abdulkhalfan8586 Жыл бұрын
MAWAHABI UFAHAMU WAO NI MDOGO KAMA BACHU
@solomonadams6337 Жыл бұрын
Watu wa mteeeh😢😂
@saidimkwinzu9106 Жыл бұрын
Naona porojo TU hapa sjaona dalkli ya kutetea maulid Bado sana hamna hoja hapo Tetea kwanza barzanji wapi wanyama walizungumshana siku ya kuingia mimba ya mtume Swalla llaahu alayhi wasallama?
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
Hatuna haja na uzushi. ALLAAH atuweke mbali na uZushi
@saidkipalo4427 Жыл бұрын
Bachu kiukweli na huyu mwamba ni mbingu na ardhi. Bachu ni mtoto mno kielimu na Shekh Said
@musakibwana4596 Жыл бұрын
swadakta
@HijaMussa-v5r Жыл бұрын
Mashallah
@rushu1232 Жыл бұрын
Mawahabi wachaneni uhasadi hamulazimishwi kabisa musome au muhudhurie maulid nasisi tunahuja zetu tuwacheni tutahukumiwa na Allah na amal zetu na nia zetu.
@Jamalhusen7025 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@Alrisaalaturrahmahislamiccente Жыл бұрын
shekh said hayo maneno yote unayozungumza. kama shelh mohd bachu sio mkweli je baada ya kufariki mtume maswahaba wote pamoja na maimamu wanna walikosea kwa kutosoma maulid. kumbuka imam mmoja kati ya maimam wanne alisema mtu akiingia katika usufi asubuhi jioni keshakua mwendawazimu
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
We shekh au mondi
@samirharun7993 Жыл бұрын
Acha zarau huelewi kinachosemwa apo? au ndowale wajinga wendo wazimu
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Wewe huwezi kumjua ni sheikh au mondi. Lkni kamuulize aliyekutana nae uso kwa uso mpaka kajikojolea kitini atakuambia ni nani
@slimanshaz7311 Жыл бұрын
Mpiga piano huyo
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Ajabu ni kuwa wewe na mashekhe wenu wote wakiwahabi hamumwingi kwa elimu afanya wengine wakojoa vitini 😂😂😂
@Amina-rr8ve Жыл бұрын
Wewe ndo sheikh
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Jamaa anajua mashaallah
@JumaDengu-e6d Жыл бұрын
Mawahabi na majaahili sana wallah maulid ntasoma inshaallah mpaka naingia kaburini
@abdulykahera4273 Жыл бұрын
Kaa usome dini acha kusema maneno yako
@halimakassimngare4873 Жыл бұрын
mche mola wako, ulete istighfar huo si ushahid nenda usome dini yako wacha kubabaishwa na fani za kiarabu, maswahaba wote hawqkusoma maulidi kama ingalikua ni dini, wangalifanya maswahaba wa mtume saw....wacha kubabaishwaa na watu wa elimu za shairii yale ambayo hayakua dini wakat ule katu hayawez kua dinii wakat , dini ilikamilika bila maulid wala khitmaa.
@abdiabdu7179 Жыл бұрын
Kichwa hiki bachu hapa ame achwa mbali hata elewa kitu