@@mcback4384 kwani wote wapo watu wa kila aina usidhani ni wote
@rammyabasi29212 жыл бұрын
Umeua kakaa , huna kazi mbovu, proud to be Tanzanian
@ashakasikile26982 жыл бұрын
🎉❤kwel
@napendamziki14002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n32pmamrrpafZ9k Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@baloz8974 Жыл бұрын
Kweli kila 1 mungu kampa taaluma yake ili tuweze kusaidiana katika hii dunia.
@mohamedsheikh66182 жыл бұрын
Inapendeza lakini la kukumbuka ni kujikubali, kuitwa mjinga na kukubali kuwa mjinga ni upeo wa maarifa na werevu, mjinga ni yule anaekataa kuwa yeye sio mjinga, ujinga maana yake ni kukosa kulijua jambo fulani hiyo ni sifa ya kila mtu, hakuna anaejua yote, zaidi ya hivyo kumbuka kuwa thamani nakutambulika kwa msomi ni uwepo wa wasiosoma, thamani ya utajiri na kutambulika kwake kunategemea uwepo wa masikini joti umewazindua wapumbavu labda watajielewa maisha sio shule tu
@qrrrqtqt99762 жыл бұрын
Kabsaa
@napendamziki14002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n32pmamrrpafZ9k Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@mengecitytotheworld2 жыл бұрын
Tuna omba part 2 na 3 uncle joti 🤣🤣😂😂 yani nimecheka Kweli na mume chagua location kali kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌noma sana 😁😁😁😁
@baloz8974 Жыл бұрын
Ndio itakuwa poa Joti soma comments hapa tunataka part 2
@enocksanga86062 жыл бұрын
Tujitahidi sana kwenye maisha haya, usimdharau awae yoyoteee kisa tu Umemzidii kielimu, kimaisha, hata kama uwe na Masters 10... By the way Tunaishi na watu hizi Pesa siza kujivunia nazo huja na kuondoka...
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Sana
@lareineminah13532 жыл бұрын
Kweli kbs
@swalehbakari26672 жыл бұрын
Kabisa kuna watu udharau ambao awaja soma
@kalamuyangu12 жыл бұрын
Naam! Muhimu kuondoa dharau
@ladyt14712 жыл бұрын
Kweli kabisa
@davisdavid31312 жыл бұрын
"Wewe mdogo, Elimu Ndogo na Ubongo mdogo" 😆
@jamesnackor24852 жыл бұрын
Tungekuwa wasomi wote samaki angetuvulia nani ? Mungu ana kusudi kumwekea kila mtu mipaka yake na kipaji chake .kila MTU ni wa muhimu kwenye hii dunia
@biommy67002 жыл бұрын
Ushasema kaka
@safiaothman51752 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@Yourshaban2 жыл бұрын
Elim ni pana sana ata kuvua samaki kunaelim yake kila mtu ni msomi kwa elim yake #maudhui safi
@maulidimassanga41832 жыл бұрын
Nikweli lakini dharau zisizid mipak kama mnafahamu hili kika mtu na nafasi yake
@gastongowi6722 жыл бұрын
Mtu akipata elim kumzid mwingine huwa anaona maisha kayapatia qmbae elim yake ni ndogo anamwona Hana maana. Wanasahau elim ni sehem tu katika maisha Ila ujuz na elim Bora ujuzi
@innocentmushi46752 жыл бұрын
Kila Mtu Amuheshimu Mtu kwenye kaz yake ni hayooo Tu 🤣🤣🤣🤣
Naanza kuiangalia hii kabla sijamaliza nilijua tu Huyu msomi na dharau zake lazima atoswe majini 😂😂😂😂
@kareemnanteveja37312 жыл бұрын
Daah, Brother Joti wallah huna mpinzani kwenye Comedy 😂😂😂😂
@yearm6692 жыл бұрын
I'm from 🇳🇬 I love Swahili, I love you Joti, make me out of stress😄😄😄
@patrickcosmas76122 жыл бұрын
Ur Welcome
@ramadhanbrayan31582 жыл бұрын
Wellcom
@sunherybabie14722 жыл бұрын
Uuyyyyyyylyyy.
@morricedevice64902 жыл бұрын
Nigeria ya nyoko uko Tz
@yearm6692 жыл бұрын
@@morricedevice6490 roho mbaya tu🤣🤣🤣🤣
@melkisedekkaijage27772 жыл бұрын
Joti hongera kwa kupanua wigo wa maudhui kwenye kazi yako. Ile riwaya pendwa ndio ni nzuri lakini pia stms inaboa hasa kwa kuiangalia tukiwa na familia na watoto
@naseebyusuph97982 жыл бұрын
Sheeeenzi... kulala gani huko hadi unajamba... 😂😂😂🙌🙌🙌
@pashtosiyasitv45922 жыл бұрын
😏😏😏😏
@suleimanmuhammed13472 жыл бұрын
Naona hio ngalawa imekwa nanga hapo hapo nyote hamjui kuogelea kama mwajua toweni nanga hio musonge mbele
@iraddieuofficial10482 жыл бұрын
From Rwanda we love u Joti
@djgthehotstepper2 жыл бұрын
😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mambo ya pwani haya usidharau mtu yeyote siku zote
@christinemangaza63032 жыл бұрын
My favorite comedy joti much love ❤️ from USA 🇺🇸
@LouLou-vu4ld2 жыл бұрын
Check me in whatsapp
@cathbethmkenda39302 жыл бұрын
Hello
@christinemangaza63032 жыл бұрын
@@cathbethmkenda3930 heyy
@amour55352 жыл бұрын
Hello
@christinemangaza63032 жыл бұрын
@@amour5535 Heyy
@abdulazizsharif29842 жыл бұрын
Best one all the time Mr.Joti watching from Abu Dhabi
@smartboytz47242 жыл бұрын
Kabisa
@blackpanther48252 жыл бұрын
Tupeane michongo kaka
@abdulazizsharif29842 жыл бұрын
@@blackpanther4825 sure
@napendamziki14002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n32pmamrrpafZ9k Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@DUBZENTERTAINMENT2 жыл бұрын
Best of all time 💯💯
@lilianalmas59112 жыл бұрын
Asante sana the best comedian Kwa kutunyoshea wasomi.🤣🤣🤣🤣🤣 Wanadharau sana watu ambao hawajasoma
@lucykapinga3692 жыл бұрын
kabixa
@NUH23 Жыл бұрын
Jajaja recuerdo hace tiempo lo ví ....que cómico tan magnífico joty y equipo💞😘🇦🇷🇹🇿😂😂😂
@gadyetheboss87382 жыл бұрын
Usitukane mamba kabla hujavuka mto dadeeeki 😀😀😂😂😂
@husnaameen93092 жыл бұрын
Umenifundisha jambo zuri sana na jamii imekuelewa hongera na mungu atakupa muendelezo zaidi inshaAllah 🥰,hii tumecheka na funzo pia
Dah broo kaz nzur sana unatufunza ving sana no one intelegence is better than other,hakuna elimu au ujuzi uliobora kuliko mwingine wote n bora ,big up
@silverstar442 жыл бұрын
Napenda sana joti ukiigiza hivi😂
@azizahmwimbe85482 жыл бұрын
🤣🤣😆😆msomi kula jeuri yako joti🔥🔥
@ahmedsdk67362 жыл бұрын
Nan aliejua kinachoenda kutokea baada ya kuona Mwanzo… TUHESHIMIANE WALA TUSICHUKULIANE POA
@hamisimtemi38032 жыл бұрын
kwahyo Joti ukaamua uubinue kabsa mtumbwi ili akili zimsogee mwenzio daah..umeua sana mwisho
@nelsonbisi64992 жыл бұрын
Big up bro 💪🇹🇿 Keep it up 💯
@Notorias2 жыл бұрын
Ngoma ndo tuchekeni wadau joti 💯💯💯
@malakimoses61152 жыл бұрын
Msomi kazi unayo kweli 😂😂😂😂 joti ww ni hatari kazi nzuri nimecheka Sana 😂😂😂 mpaka mbavu zinauma aise
@alexpalangyo55012 жыл бұрын
Ukijifanya unajuwa wenzako wanajuwa zaidiyakoo... 😂😂 sio comedy tyu na mafunzo yapo ... like nyingi kwa joti
@dashuu52952 жыл бұрын
Hii ni hadithi ya kiswahili: mvuvi na msomi🤣🤣
@mudasolutions28322 жыл бұрын
Msomi am glad knows how to swim, good lesson intended
@marcowawaghufa81972 жыл бұрын
Nani amegundua mtumbwi hautembei upo palepale Haaahaaaa kazi nzuri
@alawiali34752 жыл бұрын
Mimi pia nimegundua
@mlewazitotv2 жыл бұрын
Hapana ulikuwa unaenda sema iyo sin ilikuwa ngumu sana behind sin mtaiyona tulitumia masaa mengi kucheza
@jacobalenbonomali63632 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣creativity levels
@pashtosiyasitv45922 жыл бұрын
😭😭😭😭
@Elizakilisipinilikolika19969 ай бұрын
usizarau kazi ya mwezio kisa ww umesoma na una kazi nzuli tukiwa wote tumesoma nani angemsaidia mwezie wote tumeumbwa na mungu nakira moja mungu amempa anacho sitali asante sana mungu❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ALIMOHD-bk9lr2 жыл бұрын
Best flexible comedy ever
@napendamziki14002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n32pmamrrpafZ9k Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@user-xi1pi4zr3b2 жыл бұрын
Joti never disappoints! 😂😂
@davidcurtis85562 жыл бұрын
Hana akili hata kidogo nilikuwa namsubiria tu atasema nini eti unajua kuogelea?
@jambo37512 жыл бұрын
@@davidcurtis8556 Alijua hapo kwenye kuogelea ndipo atakapompata😅
@napendamziki14002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n32pmamrrpafZ9k Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@felixkato62832 жыл бұрын
Dah! HONGERA SANA
@faizamohamed69932 жыл бұрын
😂😂😂 msomi amewezwa ndio watu waache madharau
@loganpoul2 жыл бұрын
Faiza angalia dp yangu halafu unipe jibu
@officialjclever98792 жыл бұрын
Ukijisikia kuniuliza na Mimi napata hamu ya kukuuliza joti bhana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@agnesbasistian92482 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Joti unaua wewe kwani umevuta cha Njombe 😝
@swilutz7396 Жыл бұрын
ulasi 😂😂😂
@agnesbasistian9248 Жыл бұрын
@@swilutz7396 😁😁😁
@sullehtz93272 жыл бұрын
Always you kill it big broo ✊
@napendamziki14002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n32pmamrrpafZ9k Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@briankarua21312 жыл бұрын
Joti msanii wangu siku zote , nikiwa home na mpaka sasa nikiwa London,, 👊👊👊👊, unawakiisha vyema sana.
@yotehapatv77052 жыл бұрын
Broo
@azielkhalid73422 жыл бұрын
Proud with you from 🇷🇺
@jovinmakene15722 жыл бұрын
Hami kama Hami😂😂🙌
@rehemadaudi43902 жыл бұрын
Safi Sana Kila. Mtu aheshimu kazi ya. Mwenzake
@robinhorobson88572 жыл бұрын
Nakubali amiiiiiii hio ndio ilikuwa twatakaaa 🙌💯🔥🔥🔥
@mandalorian_4.112 жыл бұрын
Hili jambo, ikiwa umeshawah kumkosea mtu kwa elimu yake, pesa zako au cheo chako! basi ujue yakikurudia kama hivyo mpemba hana kesi.... ilikua ajali tu na ataachiwa Tujifunze kuheshimiana ili uhasama utuishe 🙏
@abigakatikiro99632 жыл бұрын
Mafunzo mazuri Sana joti❤️😆😆😆
@eveliuselizeus69022 жыл бұрын
Hii ndio maana halisi ya husimdharau mja yoyote aloumbwa na Mungu....sote tunaishi kwa kutegemeana kwenye haya maisha
@stevewanga9572 жыл бұрын
wAtching from Doha🇶🇦🇶🇦 ...huaga hauniangushi
@afrocushitic2 жыл бұрын
Darasa la nne😂😂😂😂😂😂😂
@Lumegilemukata2 жыл бұрын
Kweli wasomi ndivyo walivyoo😂😂😂
@madpusher20362 жыл бұрын
Na mimi usomi uo sinaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
@RioIpo2 жыл бұрын
Huo Mtumbwi mbona upo nangani bado hahahaha Joti umetupigaaa leo
@mustaphagairo22662 жыл бұрын
Ha haaqq
@benedictolugaila84422 жыл бұрын
Mm shekhe nimeishia la nne 😁😁😁
@lovenoor9882 жыл бұрын
Nakukubali Mr Joti 💯
@japhetlust50502 жыл бұрын
Jot kwnye mtumbwi tumepingwa humetiwa nanga 🙌🙌 ilakaz dhuri sana
@husseinmaingo71162 жыл бұрын
Yaan we jot wew. Kabla sijaifungua nimamza tu kucheka. Na
@2ksubschallegewith0video962 жыл бұрын
I love you are genuine in your videos with informative videos thank you for your contribution to build Africa
@napendamziki14002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n32pmamrrpafZ9k Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@lightness97562 жыл бұрын
seriously mr Jot you're so talented...hahahaha its day of swimming
@napendamziki14002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n32pmamrrpafZ9k Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@lightness97562 жыл бұрын
@@napendamziki1400 I see great job
@emmanuellutaremwa3912 жыл бұрын
Usitukane mamba kabla hujavuka mto😂😂😂
@izzymonterey58112 жыл бұрын
Hichi ni kisa kilichotokea zama za Wacha Mungu miaka iliopita aliye muislamu kma ashawahi kukiskia atakielewa zaidi
@starlonejadamskp82242 жыл бұрын
Never disappoint jotiiii 💌💌
@johnguzura2262 жыл бұрын
Joti na misuzi😂
@semalythefirst3722 жыл бұрын
Yes master comedy wasom sometimes wanajikutu miungu wadogo hiyo ndio daw Yao
@semalythefirst3722 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜😜🤘
@mucci_AI2 жыл бұрын
Daah hii investment aisee 🔥
@appolonation Жыл бұрын
Love from 🇷🇼 joti 🔥🔥🔥😂
@muvunyinshimiyimana02 жыл бұрын
I knew it gonna happen 😂😂😂😂
@pashtosiyasitv45922 жыл бұрын
😁😁😁
@abbasmadebe13292 жыл бұрын
Jaman mmeshindwa kutoa hata hiyo kamba ya nanga, bongo bhana