Viva mwambugusi paza sauti, huyu Mama atatumaliza watanganyika,
@christianjohnmwalugaja8090Күн бұрын
Hapo tunapotaka Mwanukusi. Sasa umekuwa sawa. Hongera.
@malugukushaha676418 сағат бұрын
Mwabukusi umeongea vizuri sana ni kweli hakuna sababu ya kuhatarisha amani kwa jambo ambalo linaweza kutatuliwa kwa mazungumzo na maelewano 100% absolutely.tuje kwenye suala la katiba mpya nini kinakwamisha ili hali huo ndiyo uti wa mgongo wa taifa letu?? na swala hili limechukua miaka nenda rudi na baadhi ya watu wachache wananufaika na cake ya taifa hili kupitia udhaifu wa katiba tulonayo.
@barnaba3037Күн бұрын
Mwabukusi Mungu akuongoze uzidi kujali maslahi ya watanzania wote sio watawala peke yake
@LuganoMwakalinga-p3k20 сағат бұрын
Hili jamaa liko braiti mno na ni msaada mkubwa sana ndani ya taifa, Mungu na azidi kukutunza akubariki mno, na watanzania walio wengi hata walioko serikalini nina amini wanatamani kupata katiba mpya kupitia uongozi wako wa TLS Mungu wa mbingu na nchi ibariki Tanzania tupate mfumo mpya wa utawala.
@SPRF_Tele_Health_StudioКүн бұрын
Just Be Positive Bro Maswi. Mama Samia Legal Aid Campaign iwe ya uwazi na yenye tija kwa watu wote. Kampeni ya Mama Samia uwe mwanzo wa kujenga taifa lenye HAKI. Jina lisiwe kikwazo, tujikosoe, tukosoe, tukosoane na tujifunze, tuelewe na hatimaye tuelewane!
@FloridaAdelinusКүн бұрын
I love you MWABUKUSI. MUNGU AWE UPANDE WAKO.
@clearancenyakanaКүн бұрын
Amani ni matokeo ya mambo makuu 3. 1.Uwajibikaji 2.Haki pasipo ubaguzi 3.Utawala wa Sheria Pasipo mambo haya , kuihubir hiyo Amani midomoni wakati wanyonge kila siku Wananyanyaswa na kuonewa kutokana na mifumo mibovu ya kisheria,rushwa na ufisad wa vigogo wa serikali...ni uongo na utapeli. Tusijifiche ktk kisingizio cha Amani ili kuendelea kuwakandamiza wanyonge. Haiwezekan Sheria ikate upande mmoja Tu.
@janeshija6638Күн бұрын
Mwambukusi Mungu atakusimamia. Hawa viongozi wanahubiri AMANI na AMANI yenyewe haipo. BILA HAKI HAKUNA AMANI. Wa hali ya chini wananyongwa wao wanahubiri AMANI. Tanzania AMANI HAKUNA KUNA UVUMILIVU TU.
@benedictmrisho180017 сағат бұрын
Katiba mpya ( ya umma kushiriki kuitunga na kuipitisha) ndio mafanikio ambayo wanasheria nchi hii kwa umoja wenu mtajivunia. Kama kuna jambo tulikwama kama nchi ni ile katiba mpya. Yeyote aliyeshiriki ajue atakufa kihoro ikiwa ataziona siku zake za mwisho bila hiyo katiba kuwepo. Kama nchi hasa wazee ni kuhakikisha katiba mpya imepatikana ungali hai usijekufa kihoro. Tuepuke kujakufa kihoro.
@odoieriasmonga659116 сағат бұрын
MWABUKUSI NAKUAMINI SANA NAELEWA UTAWALA WA CCM UMEJARIBU MARA KIBAO KUKUPA BAHASHA YA KHAKI ILI UPUNGUZE MAKALI YAKO BUT UMEKATAA PIGA KAZI MWANANGU USIOGOPE TUPO PAMOJA
@RichardMadebe-f1mКүн бұрын
Broo Rais Tls naomba mawasiliano yako nahitaji msaada wa kisheria
@travellahmsafirihiphop5325Күн бұрын
Sawa mheshimiwa naipataje
@philimonmtweve4522Күн бұрын
Tufikishie sauti zetu huko
@AnthonyChaula-d8lКүн бұрын
Mwambukusi unaongea nn ww uchaguzi wa serikali za mtaa umekuwa wa hovyo na si wa haki pia watu wanatekwa wanaumizwa wewe unadeal na ishu gan hakuna kitu hapo
@benedictmrisho180017 сағат бұрын
Nini kifanyike msihangaike ni katiba ya umma tu. Msipoteze mda.
@ChristmasMaheriКүн бұрын
Kila la heri.
@SaidiKitange-us2ejКүн бұрын
Tupo sambamba na nyenye jaman tunahitaji sana katiba mpya. Wanatuonea sana katika Kila jambo serikali ni wababe tuna kosa haki zetu na hakuna pa kushitaki polisi na mahakama zimeshikiriwa vikali na wana CCM na hawana nia ya kushea keki ya taifa imewachagua Watanzania kadhaa ndo hao wanao waungamkono wengine tumebaki kama mbwa tu tukisema tunateketezwa.
@jeanbaraka1008Күн бұрын
Huyu aahaatahaachia urais kashavaa ma pembe, wapi ushaona mkwe kuwa msimamizi wa uchaguzi?
@PIUSSEBASTIANКүн бұрын
Wewe mbona mbowe mkwe wa mtei anasimaia chama Cha chadema na mnapenda acheni chuki nyinyi mbowe mkwe wa mtei ikoje hiyo
@ramadhanchenga460620 сағат бұрын
@@PIUSSEBASTIAN unaongee ujinga mbowe ni serikali
@barnaba3037Күн бұрын
4R changamoto
@ChristmasMaheriКүн бұрын
Tusaidieni tukabili matatizo ya wananchi.Yapo mengi sana.Katiba ya nchi ni imara?
@willardbarongo5076Күн бұрын
Tls mnasimama wapi mnaposikia TAMISEMI wanasimamia uchaguzi na Mchengerwa akiwa mhusika mkuu?
@richardnganya2311Күн бұрын
Katiba ndio sheria mama na siyo TLS
@Teddy-z4iКүн бұрын
Yaan watanzania tukishapata madaraka uwa tunageuka machawa uyu jamaa alikuwa mkali na alikuwa akiingea utazan ni jpm lkn kwa Sasa kaufyata mkia watanzania tujioambanie tuachane na wanasiasa ovyo sanaaa Tanzania tumebaki na nay WAMITEGO tuuuuuuu
@christianjohnmwalugaja8090Күн бұрын
0:40 1:24 9 😢
@sabriabdalla9562Күн бұрын
Mwabukusi Kwisha kazi yake 😊
@KwelihukuwekahuruКүн бұрын
Positive with action on what you agreed otherwise there will be no changes
@josephatkajange8714Күн бұрын
Vikao vinakakiwa lakini no impact Mr Mwabukusi. You are just worsting your time. Angalia watu waliopotezwa hakuna aliyepatikana, sheria kandamizi bado ziko palepale, uhuru wa mahakama na bunge bado kizungumkuti, now mr. Mwabukusi, what are you talking about!
@AnthonyChaula-d8lКүн бұрын
To me is nothing
@johansenerasto5890Күн бұрын
Sjaelewa hapo huyo wa wizara aliposema kwa kutumia jina la mama na jinsi ya kulitangaza! Hapo hakuna uchawa kweli? Pls kka mwabukusi nakusishi km tunavokuamn endelea kuwa na misimamo km ulivokuwa kpnd Cha bandari usije kuingia kwenye mtego wa ccm ukasahau wananchi. Ni maoni yangu lkn
@clemencemkondya8561Күн бұрын
CCM Ndiyo chenye serikali acheni kumshauri ujinga
@GeofreyKalo-ot3weКүн бұрын
🎉@@clemencemkondya8561
@peterdaimon-ug6fdКүн бұрын
Mwabukusi uko vizuri kuna watu wanafikiri kufoka ni popote tu