Tatizo siyo kuunganika kwa vyama problem ni mfume dume wa chama tawala hata kama ukawa itaungana hakuna kitakachotokea
@StephenMpallange10 сағат бұрын
TLS,na Vyama vya Siasa,na Taasisi za Dini na NGO's viitishe kikao cha pamoja cha Maandalizi ya kudai Katiba Mpya.Yaani iwe ni Nationally Task Force inayowakilisha Tabaka zote za wanajamii za watu wa Tanzania.
@MwakaHappyКүн бұрын
Kenge nyumbu ni babaako na mamaako hajitambuwi kwaasababu unakulabugari wa shikamoo kamaumekosa kuchangiabmada kaavkimya fungal domo. Lako
@deohaule816115 сағат бұрын
Serikali imekaa kiuogaoga ndio maana nguvu kubwa inatumika kueneza hofu mitaani ili wananchi wasi ikosoe serikali. Nchi nzima ikiaandamana katiba mpya itatengenezwa mara moja. Wananchi wakichoka na hali ya vitisho wao wenyewe wataingia mtaani pasipo kuhitaji msukumo wowote ule wa vyama vingi.
@margarethpolepole743821 сағат бұрын
Hamba kitu hapo kwenye Vyama vyote 2 wote wasaka Tonge za ruzuku na Ndumila kuwili hakuna Vyama hapo
@DAVIDJOSEPH-u8r18 сағат бұрын
Ishu siyo kuungana. Zaid wangetupa katiba inayo heshimu maamzi ya wananch. Sheria zinazo jari wana nch nakuwapa. Kipaumbere. .lakn taass. Zitoe semina. Zinahusu seria. Kwawanch. Bure
@peterhassan1372Күн бұрын
Hivi watznashindwa kuelewa nini, tatizo ni sheria za uchaguzi kutofuatwa na Polisi kusaidia upande mmoja. Wananchi waendelee kupigwa tuu hadi wanyoke
@duniakidogo851617 сағат бұрын
Kwa mfumo uliopo si rahisi kupata tume huru au uchaguzi huru. Kumbuka: Usaili wa waajiriwa ktk vyombo vya usalama hufanyika wilayani. Mkuu wa wilaya Ana chama. Unategemea nini? Inachokuona sasa ktk uajiri ni ubaguzi. Ukiruhusu ubaguzi Aina ye yote ujue na chama kipo Kinachofundishwa kwa majeshi unakijua kuhusu siasa za nchi yetu? Yumkini ndio maana askari wanaumiza wapinzani. Tambua kuwa watawala hawapo tayari kwa mabadiliko ya kidemokrasia kwa hiyo kuua kwa ajili ya ushindi ni sawa. Rais ametoa kauli juu ya mauaji hayo? Tusitemee mabadiliko hayo kufanyika mezani kamwe kwa watawala hawa
@MwakaHappyКүн бұрын
Tumehuru na katiba mpya
@deuskamugisha3627Күн бұрын
Nyinyi mlioko nje uwa mnapenda vijembe sana...kwani kama Kuna kitu kinahitajika kwa watanzania mpka vyama vya siasa ndo vipambanie tu?
@GodfreyMwamasoКүн бұрын
Wewe unafikiri CCM wanaweza kubadilisha katiba na kuandika katiba mpya?
@ndogoroedson199Күн бұрын
Keeeeenge! Nan awasubiri kwa hamu hawa nyumbu? Kwendeni huko wajinga watupu ninyi
@yosephatMasanyiwa-oh1rlКүн бұрын
Hivi wewe una elimu Kwa kiwango gn kumzidi lisu na mbowe mbwa wewe
@marieconnect6389Күн бұрын
Siasa jamani dah ni hatari. Roma si wanasema alipotezwa? Kumbe yuko marekani? Hizi siasa zinatosha.
@gasperymisungwi960Күн бұрын
Nahisi ndio umenunua smart phone hivi karibuni 😅
@marieconnect6389Күн бұрын
@@gasperymisungwi960 aisee wanasiasa achana.nao kabisa. Wanajua halafu wanajifanya hawajui. Ilimradi kupenyezea humo mambo yao. Hatari
@MiriamKhalid-z6oКүн бұрын
Smart phone umanza kuitumia Jana ? Unataka SEMA hujui chochote? Na je umeshawahi kuskiliza wimbo wa nei mpya?
@DAVIDJOSEPH-u8r18 сағат бұрын
Ben na Roma siwatu.2tofaut
@margarethpolepole743821 сағат бұрын
Hivyo Vyama vinataka watoto wa maskini tu kuingia mitaani wa kwao wako Ulaya wanasoma hsmpati kitu hapo tuacheni na CCM YETU Ukawa yenu imeishia wapi
@faridsalehmohamed1230Күн бұрын
Hawawezi kuungana sababu Mbowe
@ulomirabiel6980Күн бұрын
Hilo kama umetumwa na hao wanaomuogopa na kumchukia Mbowe limeshakwama. Huwezi kumbeza mtu alieongoza mageuzi kwa mda mrefu hivyo tena kwa gharama kubwa. Anatakiwa kupongezwa!
@SylvesterKameoКүн бұрын
@@ulomirabiel6980Propaganda na chuki zao vinazidi kumjengea heshima na umaarufu. Ogopa mtu aliyekataa kulishwa "kisamvu"!
@marieconnect6389Күн бұрын
@@ulomirabiel6980 sawa kabisa Ila pia anatakiwa kipisha nguvu mpya, air mpya damu mpya, mawazo mapya, na maoni mapya. Yeye awe miezi na mtoa na.mkosoaji pale wanapoteleza
@AbdulmalikFredrickКүн бұрын
Ata mkiunga amtuwezi ccm
@godfrey_89Күн бұрын
Kwani ccm ipo .....saiv ni wapinzani n Dola ...sema hata mkiungana hamuwezi kuishind a dola ..