......muwe na hasira ila msitende dhambi, jua lisichwe uchungu bado hauja watoka..... akitenda kazi iliyo nzuri kwa mikono yake mwenyewe.....02/09/2021
@suzanycharles65604 жыл бұрын
Nafarijika Sana niskilizapo na nionapo video za bwana Ni jabali langu Mungu awapumzishe kw Amani wote waliotangulia mbele za haki ..ntakukumbuka daima dada Victoria kusaga😢😢
@kundaxensimon37672 жыл бұрын
Back to years mpaka leo naipenda sana hii kwaya Mungu awape pumziko la milele waliotangulia mbele ya haki 🙏🏾🙏🏾🥰🥰
@GRACEALLAN-u8z2 ай бұрын
Mlipo nipo 2024 Mungu awakumbuke asiwapungukie ktk maisha yenu
@bonifaceleornad42294 жыл бұрын
Hongereni sana. Hiz ni nyimbo zinazoishi#Mbarikiwe Sana
@raphaelsakafu71464 жыл бұрын
Hapo namuona marehemu dada sesi pia namuona dada yangu kipenzi happy pia namuona shemeji yangu chaula.
@rehemabahati76163 жыл бұрын
Nime wakumbuka sana sana mungu awabariki popote mlipo
@alfamanfere7390 Жыл бұрын
Me kila nikijag tnga lazima ninunue hii cd 💪🏻💪🏻
@neematungaraza34782 жыл бұрын
Intro 0:00-1:14 Akasema Nao 1:14-5:36 Siku Ya Kwanza Ya Juma 5:36-10:28 Basi Uvueni 10:28-14:21 Wewe Bwana 14:21-17:55 Katika Wanadamu17:55-19:53
@franciss.karata94162 жыл бұрын
Basi uvueni uongo mkaseme kweli!!
@simonfundi36092 жыл бұрын
Inapendeza sana Asante
@franciss.karata94166 жыл бұрын
Enzi hazirudi, lakini chakufurahisha YESU Ni yuleyule jana, leo na hata milele
@frankkimoho23874 жыл бұрын
ameen.mbarikiwe
@yairoswai95875 жыл бұрын
Hakika kwaya hii Mungu aibariki na kwa sasa iko vizuri kweli niliona tamasha lao la pasaka mwaka 2019
@tangos97423 жыл бұрын
bado naangalia 9/5/2021❤️🥰
@dicksonmachange81612 жыл бұрын
Mungu ni MWEMA wkt wote
@benjaminmdoe44423 жыл бұрын
Dah umenikumbusha mbali sana
@boscomfundo79534 жыл бұрын
Inanikumbusha mbali sana, siku zangu za mwanzo ktk wokovu
@rehemabahati76163 жыл бұрын
Jamani arbamu ya amenitea yesu ipo mbona ciipati naombani
@clevermngao7565 Жыл бұрын
Miaka mingi sana nakumbuka nilikuwa naenda kusali Makorora kwa ajili ya hii kwaya!! Nilikuwa mdogo sana kipindi hicho!! Ndio Albam ilikuwa imetoka!!
@sindimbakokoriko33064 жыл бұрын
Naombeni ule wimbo wenu wa heri mtu yule astahimiliye majaribu...Nakumbuka mbali sn mliwahi kuja Dsm msasani mwaka 1999 au 2000
@amaninsemwa52113 жыл бұрын
Asante sana.
@tinagrace70107 жыл бұрын
jamani naomba albam yao yote ya hii na ile ya kwaya kuu kkkt tanga Mungu amenihurumia kama unayo
@sellinakapama43753 жыл бұрын
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa natoka Mikanjuni Tanga siku ya jumapili naenda Makorora kwa ajili ya kusali na kuwasikiliza hawa jamaa! Walikuwa moto Sana hii kwaya!
@clevermngao7565 Жыл бұрын
Selina Kapama? Mbona Mke wangu anaitwa pia Selina Kapama!!!
@johnmngano19115 жыл бұрын
Update
@rosemwaijande3391 Жыл бұрын
Nakumbuka nilikuwa sungida ndio nimenunua kanda yao Wapo jamani nimekumbuka mengi saaana