MWAKINYO ATANGAZA HALI YA HATARI AMTAKA HARMONIZE ULINGONI| AAPA KUMFANYA VIBAYA | AMNANGA KIDUKU

  Рет қаралды 55,040

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 294
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 5 ай бұрын
Hii nchi bn naona wengi wanamchukia huyu jamaa,but amini usiamini,he is the best Boxer kuwah kutokea ktk nchi yetu
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 5 ай бұрын
The best kwako
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 5 ай бұрын
@@yusuphmtuga4951 najua tu wivu unakusumbua,hvy ucjal ni jambo la kawaida kwa cc bnaadamu
@Fathma-vt8lx
@Fathma-vt8lx 5 ай бұрын
Kweli
@daudinyello4033
@daudinyello4033 5 ай бұрын
@@yusuphmtuga4951 kinyooooooooo....hakuna kama MWAKINYO acha ubishi
@sleyumngolo
@sleyumngolo 5 ай бұрын
​@@yusuphmtuga4951ata kwako pia utake usitake
@AugustinoNgereja-n6c
@AugustinoNgereja-n6c 5 ай бұрын
Binafsi ninakuelewaga sana kaka. Unachokitaka kwa watanzania wakuheshimu na waijue thamani yako. Binafsi wewe ndio bondia namba moja kwa TANZANIA hakuna anayekufikia kwa Sasa. #hassanmwakinyochampez❤
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 5 ай бұрын
Allah akusameh Hakik umetelwz ibada ni kubwa mno mbel ya Allah
@jamalibella9707
@jamalibella9707 5 ай бұрын
Hajielewi
@MariaJacob-w5v
@MariaJacob-w5v 5 ай бұрын
I'm sorry ibada hairuhusiwi kutolewa mfano? Naomba nielimishwe.
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 5 ай бұрын
@@MariaJacob-w5v ibada ni maombi kat ya mola na mja wake
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 5 ай бұрын
@@MariaJacob-w5v sasa ni makosa binadam kusem yey ni bora kulik ibad yan anajitukuza Allah amsameh InshaaAllah kwan Ibada ni yake Allah mola wa viumbe wot
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 5 ай бұрын
@@jamalibella9707 tumuombe InshaAllah Allah atamsameh hakun mkamilifu
@Starlighttz538
@Starlighttz538 5 ай бұрын
Na kukubali sana mwambaaa mwakinyoo Na akifika Beii Mkandeee Akandike
@hamzaamry6251
@hamzaamry6251 5 ай бұрын
Huyu ndie boxer bora aliepo hapa tz team mwakinyo 💪
@allyharoub-rl6rb
@allyharoub-rl6rb 5 ай бұрын
The Best boxer eveer
@mariamharuna-co4it
@mariamharuna-co4it 5 ай бұрын
Mwakinyo yuko vizuri hamonaizi bangitu nakukubalisana hassani Allah akuongoze inshallah hamonaiz hakuwez twaha pia hakuwez ukovizuri
@NgabireJapfet
@NgabireJapfet 5 ай бұрын
Tumekubali mwakinyo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@stanslausjohn8791
@stanslausjohn8791 5 ай бұрын
Boxer number moja Tanzania
@mariamharuna-co4it
@mariamharuna-co4it 5 ай бұрын
Usisikilize maneno yawatu hassani ukovizuri nasubili pambanolako inshallah Allah akufanyiewepesi
@rayamohammed339
@rayamohammed339 5 ай бұрын
Mmakonde mjinga yule anasema eti anahisi mungu angekuwa mwanamke
@JosephDaudi-f3x
@JosephDaudi-f3x 5 ай бұрын
Respect Sanaa broo for that word
@speciallvoice8091
@speciallvoice8091 5 ай бұрын
Uyu jamaa Yuko Smart sana naweza kudiliki uyu ndo bondia Bora kwa Sasa hapa Tz watu wanao fikir kua bondia apigane tu kiolela
@SalimFeruz
@SalimFeruz 5 ай бұрын
Ukimpiga nje ya ulingo utaadhibiwa , ajiunge na afuate utaratibu, awe bondia, ndipo upigane naye, #Hassan Mwakinyo busara ikutangulie, mrumeeeeee
@Mwanajah
@Mwanajah 5 ай бұрын
Kiukweli hakufanya vizuri. Huyo hamo.amuache mwakiyo wetu kama katumwa na ashindwe usimkosee adabu mwakinyo
@RamaNgari-b1d
@RamaNgari-b1d 5 ай бұрын
Mwakinyo ni mmoja tu tz🙌
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 5 ай бұрын
Ata Mimi sikupenda vile hatupasw kuish kwa visa ilihali sisi wote ni Ndugu.
@SefuHussen-nh9lt
@SefuHussen-nh9lt 5 ай бұрын
Team mwakinyo mkande uyo mmakonde
@lucasmaziku5565
@lucasmaziku5565 5 ай бұрын
Mwakinyo utani wetu wa Makonde usiulete ulingoni, ukirusha ngumi za seriously tutakuloga
@amirilizo6706
@amirilizo6706 5 ай бұрын
Kuronga Tena itakuwa vita kati ka mdigo n mmakonde au Tanga. N mtwara
@dstaroficial
@dstaroficial 5 ай бұрын
Kwanza mfundishe kiduku
@saidshabani7740
@saidshabani7740 5 ай бұрын
Full content, champion 🔥🔥💪
@Don_wa_kitaa
@Don_wa_kitaa 5 ай бұрын
MKUBALIE #KIDUKU
@DogoLakeOfficial
@DogoLakeOfficial 5 ай бұрын
Hakuna chuki kwa hamo anataka kujua kwamba boxing alie ingia kwamba ipo jee wewe kaka mupe na fasi sio kusema wewe ni kifo ama yeye ety ni kifoo mupe muda watu tuone Tanzania tupo na watu wa boxing mpka wa Sani ❤😂❤❤❤
@Jayfocuss-nf6ww
@Jayfocuss-nf6ww 5 ай бұрын
Hapana wa tz Atumchukii mwakinyo lakini kama mpiginaji mkubwa watu wanakuja kukuzalau inatakiwa uwafinye wafinyikeee ndo upate Eshima
@iranangole7007
@iranangole7007 5 ай бұрын
Wew Kuna twaha kiduku Anakutaka Sana Lakn Auzungumzii kitu Pumbavu
@samsonkingdom-xc8cg
@samsonkingdom-xc8cg 5 ай бұрын
Boxer mwenye hekima na busara🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ITIKACLASSICWEAR-sb5kr
@ITIKACLASSICWEAR-sb5kr 5 ай бұрын
Bro malizana basi na twaha kiduku basi. 🤣🤣
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 5 ай бұрын
MWAKINYO ACHANA NAE....MPE WADOGO ZAKO,,NGUMI SIO VYUMA NGUMI NI SCIENCE,,NDIO MANA BRUCE LEE,DON YEN, JACK CHAI SIO WATU WAVYUMA NI WATU WA SCIENCE TU YANI TIMING..
@FarajaMakucha
@FarajaMakucha 5 ай бұрын
Wewe si mpiganaji wew boya tu ujuw kupigana maneno meng ufanic Amna wew mcheza mduara tu
@mambas264
@mambas264 5 ай бұрын
Usiongee sana. Kama unapigana kapigane
@IsackBaritirel
@IsackBaritirel 5 ай бұрын
Mwakinyo naomba huy mmakonde ni mbage tu achana nae anataka akufie tu
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 5 ай бұрын
Kama konde anataka kupigana nawewe,basi aiombe baraza lamichezo nchi ni awe mdhamana wa hilo Bambano.laa sivyo atakuvunjia cv yako
@PeterMkonyi-cc2bt
@PeterMkonyi-cc2bt 5 ай бұрын
Hii kitu haitakiwi maneno mob itaisha utamu mnatupotezea muda wa ngumi kwa kubishana kuna mtu anatakiwa aelekezwe kuwa huku siko abaki na kwake
@raphaeldominiko
@raphaeldominiko 5 ай бұрын
Kaka We pgana Nae t Ajifunze Hana Adabu huyo mtoto Tena Omba serikarin pga Nakuuwa
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 5 ай бұрын
Mbona kwa kiduku aujajimaliza ivo ? Mm nakuwa wa mwisho kuwaamn star's wa bongo huenda n kiki
@SaidiAbdallah-nd2wm
@SaidiAbdallah-nd2wm 5 ай бұрын
Mwakinyooooo
@lyrics_forum
@lyrics_forum 5 ай бұрын
Mwakinyo kumbe na wewe ni Mvuta Bangi tu, Harmonize zile ni Bangi pale akili hamna kazi yake kiki tu hamna la Maana.
@allykayanda6930
@allykayanda6930 5 ай бұрын
Anaharibu keria na sifa zawatu,natamani atandikwe mbwa yule
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 5 ай бұрын
Acha maneno hayo yeye ameeleza hisia zake sasa bangi ikowapi
@MATESO-sk7hu
@MATESO-sk7hu 4 ай бұрын
Kaka una wabaya wengi sana wee ni m2 wabusala adi magufuli anakujua😮❤
@FaridaOngala
@FaridaOngala 5 ай бұрын
Nakupenda mwakinyo mpige uyo mshamba wa kimakonde 😂😂😂
@DomexDuwe
@DomexDuwe 5 ай бұрын
Harmo mziki umemshinda akaon aruke na mwakinyo ... mwakinyo myoe naniliiii😂😂😂 ashike adabuuu
@HoseaChanga
@HoseaChanga 5 ай бұрын
Tunaomba mwakinyo kondeboy akandwe akatibiwe mtwara😂😂😂
@JumaMigezo
@JumaMigezo 5 ай бұрын
Mbona kiduku hujamfungulia mlango 😂😂
@Saidyomarybakary
@Saidyomarybakary 5 ай бұрын
Kafunguliw milango mara tu mwakinyo alipomaliz pambano lake la ubingwa Zanzibar na wameshindw kuweka pesa mapromota wake
@sadickkasaba8069
@sadickkasaba8069 5 ай бұрын
Anamuogopa kiduku
@Saidyomarybakary
@Saidyomarybakary 5 ай бұрын
@@sadickkasaba8069 waliweka pesa mezan akakataa kupigan ngumi ni biashar ngumi ni ajira sio maneno matupu kama taarabu bro
@ayubuyesaya6603
@ayubuyesaya6603 5 ай бұрын
Hizo kiki TU,ndo wasanii wa kibongo ,,,,,brz ajee akufate TU mlango umemwachia.
@MinesesjoaoMwani
@MinesesjoaoMwani 4 ай бұрын
MMakonde Noma sana
@khamissymtonele6418
@khamissymtonele6418 5 ай бұрын
Kamkande tu ili atie adabu mjinga yule
@ShellaMaundu
@ShellaMaundu 5 ай бұрын
Mmakonde chizi yule anapenda sana kiki ,muziki umemshinda anataka kucheza ...Piga kabisa mvuta bangi huyooo
@shafiigama
@shafiigama 5 ай бұрын
Tafuta mshauri au msemaji aww anacongea kwa ajiri yako ww uwe pemben usikitikisa kichwa kwa ishara ya kukubali kinachosemwa Hassani kinacho kufanya unakosa mvuto ni speech tu bac kwingine kite unastahili
@SeifMuhammed-il3si
@SeifMuhammed-il3si 4 ай бұрын
Unajua mwakinyo ww ni Mt ambae unajielewa Sana hayo mazungumzo yako t bas kwa mwenye akil lazm ya mfeel yule mgonjwa
@GabrielBarikish
@GabrielBarikish 4 ай бұрын
Kijana yangu ni siter tz
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 5 ай бұрын
Mbona ulimrukia acha ushamba we mwoga
@allybobsaith
@allybobsaith 5 ай бұрын
Msituzingue, manajuana nyie😊😊😊😊😊
@Marwadismas
@Marwadismas 5 ай бұрын
Haaa kumbe ww ndo ulimuanza boy jamaa alikuwa anatariii zake
@daudinyello4033
@daudinyello4033 5 ай бұрын
YULE MMAKONDE NI FALA SANA
@evdsam7286
@evdsam7286 5 ай бұрын
Uanze na Twaha kwanza bondia mwenzio ndio uje kwa harmonize, mbona unamchenga Twaha
@tyivbra
@tyivbra 5 ай бұрын
Huyo harmonize kataka yy mwenyew
@dstaroficial
@dstaroficial 5 ай бұрын
Nikwel anachungulia iv kwel kama nibobondia anataka kupigana na hamonize huyu kwel hamna kitu
@IssaMoo-f8o
@IssaMoo-f8o 5 ай бұрын
anzaa na kidukuu kwanza kidukuuu kwanza😮
@AbdusidMohammed-hi5ib
@AbdusidMohammed-hi5ib 5 ай бұрын
Wew muoga kama unataka hashima pesa nyingi zanini
@GiboMomade-k4x
@GiboMomade-k4x 5 ай бұрын
Shida uyu muongeyaji sana😂
@markovuruga86
@markovuruga86 5 ай бұрын
Champion boy..... mwakinyo
@SalumuMandemla
@SalumuMandemla 5 ай бұрын
Tume kujua una fanyia promo pambano lako.
@Marwadismas
@Marwadismas 5 ай бұрын
Duh ww mmakonde huwez mpiga unajua nae amehaso kitaaa ehh mpk kutoboa duh naisubr mmakonde akunyoshe ww boxer wap
@JoelmwizalubimustaMusta
@JoelmwizalubimustaMusta 5 ай бұрын
Piga kabisa mbwa uyooo anazarau sana
@YuniaPoul
@YuniaPoul 4 ай бұрын
Tunasubili tareee kaka
@leonardyona1462
@leonardyona1462 5 ай бұрын
Ameshaanza kuogopa huyu, atakataa pambano kwamba hajafika bei 😀😀😀
@MussaMelolo
@MussaMelolo 4 ай бұрын
Kweli kabix broo iyo ni sarau aixee mpe bonge la ngumi haache wenge aixeee
@wamburakigumbo3703
@wamburakigumbo3703 5 ай бұрын
Hawezi
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 5 ай бұрын
Nyie sasafi konde kapiga chawa wenu bado uyo bosi wenu domo a.k.a mond 😂😂😂😂😂
@sammasika3627
@sammasika3627 5 ай бұрын
Yule mvuta bangi
@Khalid123_5
@Khalid123_5 5 ай бұрын
Acha nikuchanue bangi is not part of the exercise u can smoke and still train asf👀
@sadickkasaba8069
@sadickkasaba8069 5 ай бұрын
Hyu mwenyewe mvuta bangi
@fredykaitani595
@fredykaitani595 5 ай бұрын
Amna k2 apo mikwala 2 kenge ww jichanganye kama autasema umesahau viatu vyako kwenye ndege..
@HerriThabiti-qd5rr
@HerriThabiti-qd5rr 5 ай бұрын
Namimi nasema mpige mpaka uji atafuniwe
@rajogemzanaki3030
@rajogemzanaki3030 3 ай бұрын
Pole mwanangu uyo jamaa ni mshamba ata kuvua nguo akiambia ni ustaa anavua bange tatizo
@Thatsbarnacving
@Thatsbarnacving 5 ай бұрын
Muulizeni babalevo ata waambia😂😂😂
@godfreymwandoje6851
@godfreymwandoje6851 5 ай бұрын
Inatakiwa uue kabisa
@vincentndonye7989
@vincentndonye7989 5 ай бұрын
Mwakinyo utakinywa vibaya mno....
@yasini5794
@yasini5794 5 ай бұрын
Ulirusha ngumu bhana acha uongo
@edwinanyitike5503
@edwinanyitike5503 5 ай бұрын
we nae linafiki tu
@immanuelcharles2699
@immanuelcharles2699 5 ай бұрын
hatutaki maneno yenu,, piganeni tuprove ni nani bingwa.
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 5 ай бұрын
Wote kuma hao kistuli ftkinyooo kamwe hawawez zima nyimb za Simba la masimba dangote haujui#raha, commasava ndo abar ya mjini now
@fredykaitani595
@fredykaitani595 5 ай бұрын
Kwel ww chichi na kuma pia..
@babalao3250
@babalao3250 5 ай бұрын
We pia uneona
@eliudkimani8977
@eliudkimani8977 5 ай бұрын
Kama Mimi hapa iliniuma Sana mpaka nahisi kumdai yeye ulingoni haniwezi pia🇰🇪
@mansooranam831
@mansooranam831 5 ай бұрын
Muuwe tu
@kapondadr5840
@kapondadr5840 5 ай бұрын
Champions 🔥🔥🔥
@EmmanuelMupunga
@EmmanuelMupunga 5 ай бұрын
Nakukubali sana ustarabu wako haukurupukii jambo
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 5 ай бұрын
Chimanogo Tena 😂😂😂😂😂
@RichardHenjewele-gs8rk
@RichardHenjewele-gs8rk 5 ай бұрын
😊😊😊
@jastinmkandala5620
@jastinmkandala5620 5 ай бұрын
Imeisha hio
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 5 ай бұрын
Sign the contract big boy 😊😊
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 5 ай бұрын
Eti nilikuwa bauwexo wakupigana ba wote wale msenge nini kwani boxing hautumii nguvu ?? Wew haumuez mudi msenge wew akikukamata unaweza ukamwea
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 5 ай бұрын
Mbona unatumia hasira kujibu na matusi juu,tumia akili ww ni mtu mzima matusi ya nini ?
@sports007tv4
@sports007tv4 5 ай бұрын
Huna unachojua unaongea tu kwenye boxing kuna bondia na bodybuilding unatakiwa kuelewa sawa
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 5 ай бұрын
@@emmanuelbernard9552😂😂😂
@FabianAlex-y8c
@FabianAlex-y8c 5 ай бұрын
Duu tuwe tujitaidi kutumia kauli nzuli au kama huwe kaakimya
@steveanthon5523
@steveanthon5523 5 ай бұрын
Huyo moody amewahi kuwa mpiganaji wa kick boxer mzuri sana, ameshinda mashindano mengi sana ya mkoa wa Dar, mpaka leo yupo fit sana, huo mwili ameamuwa kuuongezea ili awe na muonekano wa kupata kazi, ila ukiruhusu aoneshe uwezo wake jamaa yupo vzr sana, ukitaka uijuwe historia yake vizuri nenda manzese uliza moody mnyama, ngumi anazijuwa mpaka anakela, huyo mwakinyo watamzeesha namateke kama ya Van dame, hayupo kizembe anajuwa ngumi haswaa!!
@Harmontwo255
@Harmontwo255 5 ай бұрын
#mwakinyo
@NordineIssa
@NordineIssa 5 ай бұрын
Wew mbona ulikuwa ulingon, kwanini ulishuka ukamfuata
@HussenNgulube
@HussenNgulube 4 ай бұрын
Kka ww ni thaman kwetu achana nae unatuheshimisha watanga nakukubali sana
@RechaelEasily
@RechaelEasily 4 ай бұрын
Ninavo mkubali harmonize Yani mm nakuloga weww ndio akupige mpaka uvae pempasi alafu mm nakuchukia bila ata sababu
@VeronicaIsinika
@VeronicaIsinika 5 ай бұрын
Kandahar chili lile
@HajiAlly-sk5zb
@HajiAlly-sk5zb 5 ай бұрын
Ila ndugu yangu aikua na haja yakukasilika kufikia uko kwakua mimi kama ndugu yako mkoa 1 achananae kama alitaka trending kwakumziaki mungu kumwita mwanamke ndugu yangu ata manabii walipigwa vita achananae
@EliasIbrahimAkonay
@EliasIbrahimAkonay 5 ай бұрын
Champions
@adelalupumbwe-yu5pg
@adelalupumbwe-yu5pg 4 ай бұрын
Mwakinyo weni bondia mwenye akili 2kopamoja brother
@giftgeza3662
@giftgeza3662 5 ай бұрын
Twaha kiduku je?
@PaulPeter-sl7rc
@PaulPeter-sl7rc 5 ай бұрын
Watch out part3😂bongomovie😂
@davismwape7500
@davismwape7500 5 ай бұрын
Huyu dogo mm namuelewa sana
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 5 ай бұрын
Nimeota Harmonize anang'oka meno ya mbele yote. Usicheze na bixing kuna kitu kinaitwa Jab na Upper Cut.
@PaulAloyce-iw9qg
@PaulAloyce-iw9qg 5 ай бұрын
😂😂😂 upper cut.
@mussaali-n6s
@mussaali-n6s 5 ай бұрын
mogadishu family💪🏾
@noelymwakasege2428
@noelymwakasege2428 5 ай бұрын
Shida ya amonaiz amebeba Jim ndio linalo mdanganya ngumi ni mchezo ambao ni hatali Santena San asichulie kubebajim ndio kujua ngumi ,Na mshauli ngumi inatakiwa uwe na punzi nyingi San ,Alfa amonaiz amewai pamban na nani hat mitaan tu ajalibisha kwanz mitaani ndio atajua ngumu ni Nini
@GabrielSky64
@GabrielSky64 5 ай бұрын
Team konde tujuane. Mpaka tumkarishe Huyu Mtanga
@allykayanda6930
@allykayanda6930 5 ай бұрын
Yule kondeni fala kama unashabikia fala na vuta bangi kama lile umepata khasara pimbi wewe,angalia watu wakushabikia
@officiallnobystar
@officiallnobystar 5 ай бұрын
@@allykayanda6930Tafuta Pesa Kk Acha Chuki Zako Za Kimasikini Kwani Usipokuwa Wewe Fans Yake Yeye Anakosa Nn Acha Kushobokea Watu Bro
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 11 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,3 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
DIAMOND ALIVYOM SUPRISE CHID BENZ NGOMA YAO / ATAKA KUMWAGA MACHOZI
6:02
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 11 МЛН