Nyie wenyewe hamjui kuzungumza mwalimu wasemeee wenyewe mambumbumbu Kama alivyosema kiongozi wao RAGE
@JohnKulwa-c9v24 күн бұрын
Huyu mwalimu wenu hana hakili kabisa
@daudimichael733825 күн бұрын
Kweli Simba ni under 20 😂😂😂
@DonatLwabanya25 күн бұрын
Senkyu🤣🤣🤣 Mwalimu yanga🤣
@user-ky8gz9qr2r25 күн бұрын
Mimi Ni Yanga SC damu damu lakni huyu jamaa Akili Hana kabisa anapiga Makelele tu, Hana mchango wowote na anachokiongea APO! Anaongelea ushabiki tu,
@fatmaally725225 күн бұрын
Mmmmh sio kweli 😂😂😂
@SebaProcess25 күн бұрын
Tokaaa😂😂
@MzeewaYanga-hm8jq25 күн бұрын
Kolokwinyo hilooo😂😂😂oo
@AlexiaMilao25 күн бұрын
Post kadi yako ya uanachama tuone kama ww yanga damu nyie ndio wale washabiki visheti mnajifanya yanga kumbe simba
@EsterKindoli25 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@MzeewaYanga-hm8jq
@AlfredRutaguza25 күн бұрын
Huyu jamaa sio mshabiki wa yanga,sisi mashabiki wa yanga tunafurahiya Simba ikichemka yeye amekasilika
@LamikLijaa25 күн бұрын
Anamwambia ukweli
@rebmannminja367125 күн бұрын
Mbona hakuna anayemuuliza mo! "Ni lini alinunua club ya simba na aliinunua toka kwa nani?" Wote wamefyata 😂😂😂😂😂😂
@linusrohomoja885625 күн бұрын
takataka ni vitu ambavyo havifai kwa matumizi na hupaswa kutupwa, .
@ThePlants-zc3rp25 күн бұрын
uyu jamaa akil zero 🤣🤣🤣🤣
@sebastiansalamba31325 күн бұрын
Simba wamejipanga bwana ,sisi hatumuoni Aziz na pacome hata sielewi
@user-fe8gq8dy1g25 күн бұрын
Ww tulia Aziz Ki na Pacome utawaona wanajiunga na kambi ya Yanga muda si mrefu!
@JuhudiKasanga-yq5ks25 күн бұрын
Yanga hoyeeee wachambuzi michongo watakula nini bila uchambuzi wa yanga sasa dirisha Bado refu
@Sanjey-vp1fm25 күн бұрын
Huyu jamaa alompa uwalimu mungu amlani, akili zero
@sosomacharles992025 күн бұрын
Imeniuma sana kusikia Guede kaenda Singida black star.
@user-qo6qv6mc5p25 күн бұрын
M.city kashafanya mkusanyo na ubingwa na mpka leo mabongwa boya ww
@majashotwotimes502625 күн бұрын
Mapimbi...😂
@user-wv4cz4yk8r25 күн бұрын
Uwaoni x walkua likizo mwananch
@MiramboMbiana25 күн бұрын
Ujui kitu mbwa wee
@Philbert-te3me25 күн бұрын
mwalim acha usenge
@majashotwotimes502625 күн бұрын
😂
@ildephoncemajaliwa787225 күн бұрын
Wewe kelele nyingi akili huna
@Carolina-sm5zt25 күн бұрын
Yanga bado ina watu japo wengine bado hawajarudi Nina Imani tu tutafika tutakako
@RashidAbdalla-wv2du25 күн бұрын
Huyu jamaa bwabwa kweli yani
@mathayomatembo-gm2ge24 күн бұрын
Apimwe Akili huyo hajielewi sahz wachezaji wanao achwa Simba wao wanaokota alafu mnapiga kelele mtapona tu kuku nyie
@mathayomatembo-gm2ge24 күн бұрын
Mlisha ambiwa Yanga wenye Akili Ni wawili tu
@ildephoncemajaliwa787225 күн бұрын
Wewe tulia wewe sio kiongoz wa Simba ACHA ushabik unawaongelea wote walishamalizana nao uache kuropoka
@pinomjata67825 күн бұрын
Kavurugwa dirisha la usajili bado halijaisha. Simba kasajiliwa wachezaji sio timu usifananishe Simba na Mazembe, Kuwa na project sio lazima iwe miaka 5, project ina maana sasa na baadaye. Pacome na Yao kabla ya kwenda Yanga walikuwa na exposure gani ya michezo ya kimataifa?MVP sio lazima atokee Asec, Pole
Kwani chama timu aliyotoka imekuwa ya ngapi msimu uliyopita? Na kasajiliwa na nani sasa? Tena c kwamba mmevunja mkataba hapana ni mchezaji huru. HUYU WAANDISHI MSIMTAFUTE KUMPA MIKEY ATAKUHARIBIENI MAANA HAJUI MPIRA KELELE NYINGI.