Ubarikiwe sana shujaa wa Bwana Yesu sema kweli mwenye masikio ata pona na bipofu ni shimonitu
@salimajosephine16738 күн бұрын
Aca tu Mungu akubrariki
@Geofrey-Martin-Kaputa8 күн бұрын
Hahaha mm sisherehekei hata kidogo
@GasparKyambala7 күн бұрын
Huuuu ni utoto paster usitafite umaarufu kwa mambo kama haya ww lete fundisho la Mungu sahihi tutakuelewa usitufundishe mapokeo yako na dini yako fundisha yesu achana na siku
@hamisilumona71637 күн бұрын
Jaribu kuongea mambo iliyo sawa ao unayo wakika wa kweli. Na kuhusu jambo la wa gay ao lesbien jambo ili ni kubwa pia mipango ya juu sana na serekali ina wa suppoty kwa garama zote.
@GasparKyambala7 күн бұрын
Huuuu ni utoto paster usitafite umaarufu kwa mambo kama haya ww lete fundisho la Mungu sahihi tutakuelewa usitufundishe mapokeo yako na dini yako fundisha yesu achana na siku
@papilumona18966 күн бұрын
Ni utoto kwako lakini kwa waliyo na neema ya Mungu tumeelewa ujumbe vizuri