Рет қаралды 63,245
#MwalimuMasemele
Baada ya kifo cha kaka yake kijana Philipo (Maufundi) ana kwenda kazini kama iliyo kawada, lakini baada ya kuchuswa na shida pamoja na heka heka za gereji anaaamua kutafuta ufumbuzi wa maisha bora kwake, Philipo ana amua kugushi nyaraka na vyeti vya Marehemu kaka yake na kwenda shuleni kujitambulisha kwamba yeye ndie masemele.Shuleni ambako kaka yake alipangiwa kazi.
Lakini kupokelewa ni jambo moja na kuwa na ufanisi wa kazi aliyo gushi ni jambo jingine, Fuatilia kisa cha kusisimua cha safari ya Philipo aka Mwalimu Masemele.
....................................................
After the death of his brother, young Philipo (nicknamed Maufundi) goes to work as usual. However, fed up with the struggles and hustle of working at a garage, he decides to seek a better life for himself. Philipo forges documents and certificates belonging to his late brother and heads to the school where his brother had been assigned a teaching job, introducing himself as Masemele.
But being accepted is one thing, and performing successfully in the job he has falsified his way into is another. Follow the thrilling story of Philipo’s journey as "Teacher Masemele."