No video

MWALIMU MGENI ❤️ /14/

  Рет қаралды 840,640

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

#babajoan #school #comedy

Пікірлер: 987
@user-ff4zw7oj8i
@user-ff4zw7oj8i 10 ай бұрын
Jamani selikali ya sanaa Tanzania hii series inahitajika apewe zawadi nzuri baba joana maana alichokifanya amefundisha vitu ambavyo wasanii wote wanaofanya online movie hawajawahi fanya mwaka 2023 Niombee muangalie kwa jicho la pili inshaalah tumejifunza mengi kupitia hii 😢😢
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 10 ай бұрын
Kabsa❤❤❤
@user-bw7ky5oe3y
@user-bw7ky5oe3y 10 ай бұрын
Kabisa
@AndersonKalimbo
@AndersonKalimbo 10 ай бұрын
Mr tusufile hongera sana hebu nimabie nimsanii Gani aliimba hiyo nyimbo❤❤❤❤
@alisabyozani9796
@alisabyozani9796 10 ай бұрын
Tupo hapa ❤
@aminaabdi-tb8bx
@aminaabdi-tb8bx 10 ай бұрын
Honger San kwako baba joan
@itikamwasimanga4202
@itikamwasimanga4202 10 ай бұрын
Mwalimu Mgeni we ni star sana kiukweli hongera unajua sana utafika mbali
@fatmahussein2146
@fatmahussein2146 10 ай бұрын
Hii movie ni nzuri sana ina mafunzo mazuri Sana baba Joan apewe tuzo
@AluleaAdrian-rm5qh
@AluleaAdrian-rm5qh 10 ай бұрын
Walio fatilia iyi serie mpaka mwisho gonga like hapa hongera sana kwa wote waliofanya ichi kitu
@Olebee
@Olebee 10 ай бұрын
🙏💪🔥🔥✌
@kilaboyjuma1430
@kilaboyjuma1430 10 ай бұрын
🎉🎉🎉
@fatmaalbahri1846
@fatmaalbahri1846 10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@beatricenagudi7623
@beatricenagudi7623 10 ай бұрын
❤❤❤
@christinekendi1719
@christinekendi1719 10 ай бұрын
Pia mim namupenda sana mwalimu mgeni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-hn3xt2us6u
@user-hn3xt2us6u 10 ай бұрын
Mwalim mgeni unakitu utafika mbali sana mungu akubariki inshallah
@timothytuluto
@timothytuluto 10 ай бұрын
Yaani kama kuna kipindi nimekipenda sana ni hii filamu ya "Mwalimu mgeni"kwa kweli nimekukubali sana Baba Joan!!!Season 2 ikuje kwa haraka basi tunaisubiria kwa hamu❤❤
@user-bj1yw5gn7n
@user-bj1yw5gn7n 10 ай бұрын
Ahsanteni sana KWA filam nzuriiii sana Allah awajalie maisha marefu na ubunifu mwingine ufanyike mtu toleee nyingine tena by moudy shirazy singida
@RehemaMerlin-hu4xw
@RehemaMerlin-hu4xw 10 ай бұрын
Mwalimu mkuu kaona aibu mana aliende kuchochea Kwa afisa elimu kaz nzur Baba Joan asant Kwa movie nzur ya mwalim mgeni nimejifunza mengi
@MakoriHazael
@MakoriHazael 10 ай бұрын
Infekuwa kwa uwezi wangu singekumbali iishee, mwalimu mgeni alikuwa ananipea moyo hata kama nko kwa machungu ,,naomba mkirydishe baada ya wiki Moja🙏🥰🥰,na imekuwa kielelezo kwa jamii kupitia mwalimu mgeni , kwa njisi au namna ya kuishi na watu katika jamii
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica 10 ай бұрын
Asanteni sana waigizaji wote kwa hii filamu ya mwalimu mgeni. Nimejifunza mengi sana. Ni nelcyafrica from kenya🎉🎉🎉
@KapingaYongonge
@KapingaYongonge 10 ай бұрын
Mahund
@user-qp7xk9nu2o
@user-qp7xk9nu2o 10 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪 tumekuwa pamoja tangia episode ya Kwanza Hadi Sasa....Nmepata funzo kuu. Hongera kwa mtunzi.
@lucypaulo9238
@lucypaulo9238 10 ай бұрын
Leo wa Kwanza naombeni like zenu hata kumi tu jaman 😢😢😢
@bishashatv944
@bishashatv944 10 ай бұрын
kwenye hii Chanel?
@ommary75
@ommary75 10 ай бұрын
Amekweli hiii nielemu tosha hapa duniani mwalimu mgeni upo vizur sana unaenda mbalii sana
@lydiahnyamokami5058
@lydiahnyamokami5058 10 ай бұрын
Mwalimu mgeni nimefurahiswa na wimbo wko wa msamaha ongera sana kwa mafundosho yenu ❤❤❤
@vellesticjames9064
@vellesticjames9064 10 ай бұрын
Vipaji😂
@VirgilioMohammedBacarSabinavir
@VirgilioMohammedBacarSabinavir 10 ай бұрын
Yanii ni mafundisho WA aliyajuu nimefurai Sanasa,nakuomba kazi yandalee,,,,Sasa mimi ninaswali,iii mimba ya fetyy itakuaje kwasababu mume ndyo tayali amikamatya...
@user-tj3zv7yg9f
@user-tj3zv7yg9f 10 ай бұрын
Wow movie ipo vizuriiiiii inafundisha sana. Kiukweli mwalimu mgeni umetoa fundisho lahali yajuu
@rashidsaidsleiman231
@rashidsaidsleiman231 10 ай бұрын
Daah, kwakweli hongera sana @BabaJoan nimekufatilia mwanzo mpaka sasa japo kuwa sijawah kucoment ila acha nisiwe mchoyo wa fadhila, namuomba mungu akubariki na azidi kukunyanyua ili ufike mbali zaidi ya hapo maana unakipaji sana kazi zako nzuri kwanza zinafunza na pia zinaelimisha hivyo bas muhimu jitihada zaidi uzidi kuonyesha kipaji chako zaidi na usikate tamaa mungu atakusaidia ........ pia nimesikia wimbo mwisho wa hii film naomba Jina la wimbo 😊😊😊
@SalumuMrimbo
@SalumuMrimbo 10 ай бұрын
Gongen like ataka kumi maan ii movie ya mwalim mgen nimeipenda San nazan wot 2meipenda
@maalimali5513
@maalimali5513 10 ай бұрын
Safi sana nimeipenda na Nadhani kila shabiki kaipenda. Kwa kweli mnatuelimisha sana katika maisha kupitia hizi tasnia za uigizaji. Hongeraaa.....😅😅😅❤❤❤
@NicodemusKithi-xe7mg
@NicodemusKithi-xe7mg 10 ай бұрын
Pongezi sana nyote mlio husika kwa hii movie imenifundisha mengi sana jinsi ya kukaa na jamii na pia mahadui
@SaumuRuwa
@SaumuRuwa 10 ай бұрын
Waiting for season two na mrembo nyoka pia mlete season two.mwalimu mkuu ametorka aibu mana pia alikua hampendi mwalimu mgeni 🎉🎉🎉🎉❤
@user-xb5du1zb3g
@user-xb5du1zb3g 10 ай бұрын
Hi baba Joan umenikumbusha mambo mengi sana enzi hizo nilipokuwa shule ubarikiwe sana ,❤❤❤ tuko pamoja🔥🔥🔥🔥
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf 10 ай бұрын
Ulipata mimba au
@ezekielmothoka727
@ezekielmothoka727 10 ай бұрын
Hii ni tamthilia nzuri sana. Hongera baba Joan. From Kenya.
@user-tm9vz4yj4n
@user-tm9vz4yj4n 10 ай бұрын
Congratulations, nafurahi kabisa kwa kazi kubua ya mashauri kabiyi. Congo DRC, tuko pamoja
@allymwinjuma4922
@allymwinjuma4922 10 ай бұрын
Nice work
@FrancisKimote-uf7te
@FrancisKimote-uf7te 10 ай бұрын
Much inspiring congratulations 👏👏👏; from kenya
@kaserekambafumoja5005
@kaserekambafumoja5005 10 ай бұрын
Brother unatokea DRcongo sehemu gani? Nami Niko congo
@godfreymbaka
@godfreymbaka 9 ай бұрын
kweli Mwalimu mgeni hongera kwa kazi nzuri yenye maalifa na mafunzo nakwombea Mwangaza huwe mbele yako.
@dhinero
@dhinero 10 ай бұрын
❤❤❤❤,Kiukwel umeua mwamba,ulituliza akili saan kwenye hii season lete ingne bc kam yawezekan nimependa saan ubunifu wako
@augustinemakoba5622
@augustinemakoba5622 10 ай бұрын
Hasa ya shule shule💪💪
@inanpolat5451
@inanpolat5451 5 ай бұрын
❤❤❤ jamanı honger kwa wot murıok kwany hıı move❤❤❤
@Mahfoudhakhamis-xl3sd
@Mahfoudhakhamis-xl3sd 10 ай бұрын
Asant❤ mwalimu mgeni 🥰tunaomba nyengn kuliko hii 🥰🥰
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 10 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI, naitaji sapoti yenu wapendwa munipatie ma likes jameni
@user-sw2pk8qg3r
@user-sw2pk8qg3r 10 ай бұрын
Safii
@fredyngumbi3610
@fredyngumbi3610 10 ай бұрын
Utapata tyuj boss
@IshakamachanoMakame
@IshakamachanoMakame 5 ай бұрын
Heloooooo mrembo
@abdullkombo3875
@abdullkombo3875 10 ай бұрын
Movie nzuri nazani wote tulofatilia tumeenjoi tatzo mwalim magesa kwenye kushtuka hayuko vizuri
@emmanueloinoth
@emmanueloinoth 10 ай бұрын
TUNAKUSHUKURU KWA KAZI NZURI NAAMINI UTAJIPANGA TENA IPASAVYO. NA UTARUDI UKIWA UMEJIPANGA ZAIDI YA HAPA MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI TULIANZA KWA HUZUNI NA TUMEMALIZA TUKICHEKA/TUKIFURAHI NAWAPA PIA HONGERA WATU WALIOKUZUNGUKA HAKIKA WANAJUA BILA KUMSAHAU DIRECTOR HAKIKA AMEWEZA GOD BLESS YOU MY BROTHER BABA JOAN ❤❤ PIA HUYO KIJANA ANAEIMBA ANAJUA SANA NA ANAJUA SANA SANA
@maxmiliankadawiibalaja2198
@maxmiliankadawiibalaja2198 10 ай бұрын
Tunaisubiri Season 2 Hakika Elimu ya Maisha Yetu Imeshikiriwa kwenye Mikono Salama Ya Wasanii Wetu Wakiamua Watatutoa kwenye Changamoto zetu tunazopitia kwenye shughuli zetu Mungu Awabariki Sana 🙏 wote tuliokuwa tukifuatiria season hii
@omaryyusuph2106
@omaryyusuph2106 9 ай бұрын
Walipenda season 2 itoke ata kesho tujuane kwa like
@MunawwarHassan-yg8kr
@MunawwarHassan-yg8kr 10 ай бұрын
Hongera sana mwalim mgeni mungu akuzidishie kipaji cha kazi nyengine tuzid kufurah
@futuremilionnaire3136
@futuremilionnaire3136 10 ай бұрын
Kabisa namimi nime penda iyi tamsiriya baba joar mimi nimekuwa shabiki wako number moja toka DRC Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@karisaneema7399
@karisaneema7399 10 ай бұрын
Aki nko sawa may God bless u all❤️🙏much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@collinskimtai4432
@collinskimtai4432 10 ай бұрын
Congratulations 👏👏,, iko na mafunzo mazuri sana tena zaidi,, tunawapenda sana na tunaendelea kuwatazama tukiwa kenya,,
@FideleIshara
@FideleIshara Ай бұрын
Ni filamu nzuri sana na ina mafunzo mengi sana yaku funza wengine,ni ishara kutoka Congo DRC
@kimstarkingmwanawamfalme228
@kimstarkingmwanawamfalme228 10 ай бұрын
Wow kumbe papa Joan pia ni muimbaji Napenda waimbaji sana Kwa sababu talanta Mungu ametupa tuitumiee vizuri
@ngaovevo2278
@ngaovevo2278 10 ай бұрын
This series deserves an award🔥🔥🔥Maua yangu kwenu from Kenya🇰🇪
@johnrichard5482
@johnrichard5482 10 ай бұрын
HONGERENI SANA TEAM NZIMA YA MWALIMU MGENI Mmefanya Kazi NZURI SANA Kwanzia Sehemu ya Kwanza Mpaka ya Mwisho... BIG UP TO YOURSELVES 👏👏👏👏👏
@AbdillahMngoya-zj5or
@AbdillahMngoya-zj5or 10 ай бұрын
safi sana hii move imenilkumbusha mbali sana haswa ina uharisia wa shule kabisa haswa huyo mwl mgeni anae fundisha bila kitabu haswa masomo ya science amenikumbuka walimu wangu 1 Patrick madiwa now yupo mara natumain wanafunz wa huko wana enjoy sana namba mbili mwl mayewa mzigua wa handeni tanga mazingara (mkata) nawakumbuka sana walimu wangu pamoja na mwalimu wenu enginear Rama maarufu rama matawi
@Zaharamohamed-xr1rn
@Zaharamohamed-xr1rn 10 ай бұрын
Napenda sana jinsi ulivyoigiza naimani walimu wanaofwatilia hii watajufunza mengi sana kutoka kwako ili kukuza sekta ya elimu Mungu Akubariki sana mwalimu ufanye utulete movie nyingine ❤❤🎉🎉🎉🎉
@masudymnonge4983
@masudymnonge4983 10 ай бұрын
Hakikaka imefana Sana mungu akusimamie Katka KAZI zako🙏🙏
@MaryamJumwa-ez3xl
@MaryamJumwa-ez3xl 10 ай бұрын
Woow.... Congratulations babajoaa.... Watching from 🇰🇪.... Eagerly waiting for season 2....❤❤❤
@youngmum3115
@youngmum3115 10 ай бұрын
❤❤❤
@Andrewnchenge-il7ij
@Andrewnchenge-il7ij 10 ай бұрын
Baba Joan uko vizur Na very creative unetumia Sanaa yako kuakisi makunjubho yaliyotamalaki katika jamii
@vellesticjames9064
@vellesticjames9064 10 ай бұрын
Nilidondokwa machozi nikimhurumia mwalimu mgeni Kwa mengi mawi aliyosingiziwa. Ama kweli stahamala kitu azizi hatimaye ukweli ulidhihirika uongo ukajitenga nayo Sheria ikachukua mkondo wake. Heko Kwa ploti nzuri. Twaisubiria Season 2👍
@user-uv2gy1ni2e
@user-uv2gy1ni2e 10 ай бұрын
Mnaacha kuview mnakimbilia tu mm wakwanza mm wa kwanza
@lewischerus1313
@lewischerus1313 10 ай бұрын
At least there's season 2, applause to the whole crew
@issagasana6633
@issagasana6633 7 ай бұрын
Nafurahi sana kwa mchezo wenunawafata nikiwa Rwanda Gisenyi hongera
@aminaabdalla8636
@aminaabdalla8636 10 ай бұрын
Mwalimu mgeni hongera kw uwajibikaji wako n Nia safi kw wenzng nakupa hey kutoka Kenya mwisho mzuri kbbisaahhh
@user-kf1yr3kx2o
@user-kf1yr3kx2o 10 ай бұрын
Mbn me huwa sipati like jamani
@AnstitchVEVO
@AnstitchVEVO 10 ай бұрын
I'm follow from USA, Tanzania l appreciate for funny 👍👍👍
@ayshaaysha3489
@ayshaaysha3489 10 ай бұрын
Djamani najikuta Na lia kwa.nyimbo ya mwalimu mgeni.
@judithpendo9985
@judithpendo9985 10 ай бұрын
Km umekua n mm kwa mwalimu mgeni kwanzo adi mwsho like apa mm ndio wa kwanza Leo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@C_odongo
@C_odongo 10 ай бұрын
The Truth will always set us free and separate us from evil intention. Pongezi kwa kazi safi bomba!
@jairuswangila1846
@jairuswangila1846 10 ай бұрын
Natokea Kenya , mwalimu mgeni napenda kazi zako ,nakuombea mungu uzidi kuinuka zaidi,unatoa mafunzonmengi katika uhalisia wa maisha,uwe na moyo wa unyenyekevu mungu anakupeleka mbali❤❤
@WilkisterOgolla
@WilkisterOgolla 10 ай бұрын
Nmejifunza mengi kutokana na video hii..Nimewafwatilia kutoka mwanzo hadi mwisho..Huku kenya tunawapenda sana na tungependa mwachilie serie ingine kama hii sababu kazi yenu nzuri kiukweli
@user-cn2pl5mp5k
@user-cn2pl5mp5k 10 ай бұрын
Kwawote mlio shiriki kwenye ihii sinemaa mmefanya vizuri yangu kwenu ni ayo2❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sarasara187
@sarasara187 10 ай бұрын
Very good job honestly & touching good job @baba joan all the best ahead more successful
@user-yg7co2ql1f
@user-yg7co2ql1f 10 ай бұрын
Congratulations 👏👏 nimefuatilia ady mwisho💖this is impressive 💖💖
@esthercharles6118
@esthercharles6118 10 ай бұрын
Me nimefatilia mwanzo mwisho na bado nangoja hiyo sizon 2 ya mwalim mgeni ..nimeipenda sanaaaaaaa
@user-px3rl8bp1g
@user-px3rl8bp1g 10 ай бұрын
Naipenda sana hii series yaani inafrahisha na inafundisha hongereni
@felicianfrancis9895
@felicianfrancis9895 10 ай бұрын
Season one imekuwa nzuri sana.waitong for Season two. Naamini itakuwa ya moto zaidi kwa kuonesha vipaji na uwajibikaji
@user-yp5wz3wy9m
@user-yp5wz3wy9m 10 ай бұрын
Naipongeza sana timu ya mwalimu mgeni kwa kazi mliyoifanya kwenye movi hii kutoka ep 1 hadi 14..Mungu awabariki sana inafurahisha sana hii season..pia nipo sambamba nanyi kwenye kivumbi kingine..NEVER GIVE UP
@user-fh5ko7he2z
@user-fh5ko7he2z 10 ай бұрын
Hongera sana mwalimu mgeni nimefatilia kipindi kutoka mwanzo hadi mwisho, kumbe pia ww unakipaji ndio maana ulikuwa unapenda kusikia vipaji vwa wanafunzi. Nasubiria season 2 nikiwa saudi
@elsanane8721
@elsanane8721 10 ай бұрын
Parabens pelo trabalho, continue assim chegará longe❤❤❤❤
@joshuanyandega2360
@joshuanyandega2360 10 ай бұрын
Keep it up brother, sky is the limit, hav4 watched from episode 1 up to episode 14. Joshua nyandega ftom kenya🇰🇪
@patrickbanyifo4064
@patrickbanyifo4064 10 ай бұрын
Nakubali kabisa kwamba hatawewe mwalimu mgeni unakipaji kweli. Courage sana kabisa
@kambandefusaidi6966
@kambandefusaidi6966 10 ай бұрын
Bonge Moja la kazi nimefuatilia mwanzo mwisho 🤝🔥🔥🔥
@AminaHamissi
@AminaHamissi 10 ай бұрын
Nimekua wa kwaza naomba like zangu wapenz wangu 💋💋💋
@ronnybthebigboy
@ronnybthebigboy 10 ай бұрын
Kwani inafikaje mwisho haraka hvi??? I thought itafika episode 30.. waau kumbe Kuna season 2 😅😅😅am happy now
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 10 ай бұрын
Mimi kama mimi naona kama huyu jamaa anajitahidi na bila shaka atafahamika mbali mbali sana 😢😢😢😢. Na hiki alichokifanya kiukweli wengine wanashindwa kukikamilisha❤❤😢😢😢 hongera sana mtusivile😢😢❤❤
@user-lz5rz8yo7y
@user-lz5rz8yo7y 10 ай бұрын
Ni movie mzuri sana ina mafunzo mazuri sana kazi nzuri waliyo ifanya ❤❤
@maxmiliankadawiibalaja2198
@maxmiliankadawiibalaja2198 10 ай бұрын
Mungu Awabariki Sana Awape Wepesi Wa Kutengeneza content za kuelimisha Jamii 🙏
@denniebwoyy18
@denniebwoyy18 10 ай бұрын
Heeeeey! I just love the ending❤🔥🇰🇪
@mercysialo1406
@mercysialo1406 7 ай бұрын
Mwalimu mgeni nakupenda....kazi nzuri
@rolenyjames8917
@rolenyjames8917 10 ай бұрын
Kazi nzuri hongera sana uko vizuri sana hongera yani nimetumia kama vile kweli.
@RAJJOHNSONS
@RAJJOHNSONS 10 ай бұрын
baba Joan u're talented 😢😢😢😢😢
@cassimorachidealirachideali
@cassimorachidealirachideali 10 ай бұрын
Colega Joan você tem coração de deus!
@dominickipkirong3988
@dominickipkirong3988 10 ай бұрын
Sasa hapo pa msamaha jamani imeniguza mbaka nikatoa machozi.Nawaombeni session two ianze mapema.❤❤❤❤❤❤nawapenda sana
@exaverymakoye6026
@exaverymakoye6026 9 ай бұрын
😢
@robertokari3736
@robertokari3736 10 ай бұрын
Congratulations baba Joan kwa funzo nmepata kwa hii filamu
@odworwilliam3631
@odworwilliam3631 10 ай бұрын
It has been so wonderful thank you beyond my limits. You people, your s incredibly exceptional.
@maureen-um9ux
@maureen-um9ux 10 ай бұрын
Congratulations all team baba Joan to your good work........ watching from Kenya I love you so much
@dwalwa
@dwalwa 6 ай бұрын
Huyu Mwalimu Mgeni ana talent kubwa sana na atafika mbali, yani akipambana tutampata Kanumba mwingine
@Kingjoashwelding
@Kingjoashwelding 10 ай бұрын
Nimependa sna hii series kwakwel imenigusa Moyo pindi ninapo ona mnaelimisha jamii Nina penda sna hii namna Tunsuvile na timu yako nakuombea Mungu awape utungo Mwingine ili mumuwakilishe Mungu ktka jamii kwanamna ya mnavyo igiza nimewapenda Sana🙏
@mustamomustamusta9788
@mustamomustamusta9788 10 ай бұрын
We are waiting season 2 from kenya actually we have learnt alot..... may Allah be your director and protector to whenever and whatever you may be doing InshaAllah
@RichardKiama
@RichardKiama 10 ай бұрын
Tujifuze na mwalimu mugeni nimweje subira hakasiriki upesi Hana mripuko ya hasira na nimuvumilifu somu muzuri kwetu
@kituiamos3857
@kituiamos3857 10 ай бұрын
Waiting new episodes again guys ❤❤❤ your videos have best lessons
@nasibumayoka2335
@nasibumayoka2335 10 ай бұрын
Kaka kazi nzuri mnoo umeweza brother tunaomba tuletee kazi nyingine fasta sanaaa iwezekanavyoo
@metrinemakokha6254
@metrinemakokha6254 10 ай бұрын
❤❤❤
@wesakaruku2216
@wesakaruku2216 10 ай бұрын
kongole kwenu kweli mlijiandaa vizuri sana mwisho wake uko sawa na upo vizuri sana kwa uigizaji wenu nawapa asilimia💯
@AminaHamissi
@AminaHamissi 10 ай бұрын
Mwalimu mgeni sijui kwaap watot kitu gani
@sheny4120
@sheny4120 10 ай бұрын
Good Friday with good things ❤❤❤🎉🎉
@leecy016
@leecy016 10 ай бұрын
Congratulations 🎉❤
@user-rp5vt2gk6z
@user-rp5vt2gk6z 10 ай бұрын
Nawapenda sana nyote kazi nzuri sana maa shaa 🎉🎉🎉
@willymuunda7000
@willymuunda7000 10 ай бұрын
Hongera baba joani tamthilia nzuri sana
@kimvevo255
@kimvevo255 10 ай бұрын
killed it my brother 🎉🎉🎉
@user-mo9yw7kk6q
@user-mo9yw7kk6q 10 ай бұрын
Watched from EP 1 to the last ep Soo nice movie
@user-vc6lz8eb4r
@user-vc6lz8eb4r 10 ай бұрын
Hongera Kwnu,, Piah Hongera Magesa , Kuna kitu unacho Jitahd, Kaza Buti, Jiamini, Usikate Tamaa
@Ushindieliabdi-qe1en
@Ushindieliabdi-qe1en 10 ай бұрын
Cool ❤❤❤
@taucjumanne1953
@taucjumanne1953 10 ай бұрын
Congratulations to all the organizers
@kelvinrichard2240
@kelvinrichard2240 10 ай бұрын
We jamaa si umesomea mpwapwa ttc? Hongera sana umepga hatua kubwa 👍👍👍
@user-ws8hv6no2d
@user-ws8hv6no2d 10 ай бұрын
Naipenda kwanin inaisha
@mikakiprotich5154
@mikakiprotich5154 10 ай бұрын
Hilo wimbo la msamaha 🙏🙏
@nancynasambu997
@nancynasambu997 10 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉
@amarnam5016
@amarnam5016 10 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@user-mx9er6xq4t
@user-mx9er6xq4t 10 ай бұрын
Japo nilikuwa nafwatilia huku machozi yanabujijika nimeipenda kazi nzuriiii sanaaa❤
MWALIMU MGENI ❤️ /15/ muendelezo
12:54
BabaJoan
Рет қаралды 411 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 89 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
MWALIMU MGENI ❤️/13/
28:20
BabaJoan
Рет қаралды 736 М.
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,8 МЛН
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
IMPOSSIBLE! Giant SNAKE Lay Eggs Hunters Saving Girl | MIKE FISHING
11:32
MWALIMU MGENI ❤️ /25/
21:08
BabaJoan
Рет қаралды 565 М.
HUYU DADA MCHAWI
8:01
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,4 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16