#clamvevo KIJANA WAHOVYO ENJOY GOOD DAY INSTAGRAM: 👉🏽 clamcris_?igshi... TIKTOK: 👉🏽 www.tiktok.com/@clam_cris?_t=... FACEBOOK : 👉🏽 profile.php?... 🧑🏽💻BUSINESS = utopolovevo@gmail.com
Пікірлер: 521
@EagleEzra Жыл бұрын
Wa Kwanza KUTOKA Kenya 🇰🇪 si mnipee likes kama mnapenda kipaji cha CLAM..... Huyu Ni muigizaji hodari Barani Africa........clam kamtunga mwanafunzi mimba😀😀
@naumi2302 Жыл бұрын
Ww simkenya wakenya hawakuangi wajinga ivo badala yakutoa maoni unaomba likes za kitu gn
@EagleEzra Жыл бұрын
@@naumi2302 🤣🤣🤣🤣
@AnthonyNdinah Жыл бұрын
@@naumi2302 kweli anaomba like utafikiri kucheza yye 😂😂😂
@HusseinGabu-wr3xh Жыл бұрын
Pamoja sana
@mwogeramwimeti9902 Жыл бұрын
Wewe n mbwa pumbavu zako,like n za nn wataka kwn zinakulipa ???
@gudfreygudfrey9080 Жыл бұрын
Wa kwanza kutoka 🇲🇿 sijawai kufikisha ata like 10 tujuane jamane au kwasababu sio Tanzania Au mkenha
@rmond7231 Жыл бұрын
Huyu mtoto mtamu kweli ebu ❤ kama unakubali nipe like zangu mwanzo paja
@yasinhussen-2881 Жыл бұрын
kumamae like mnazipika nyie viazi kweli badala mpongeze kazi nzuri nyie mnakimbilia like😏😏
@joyyjoyy5474 Жыл бұрын
@@yasinhussen-2881 waambieni ukweli hao, ama waoe ama waolewe na huyo like mwenye wanamtaka
@sitikhamis6233 Жыл бұрын
Ww pumbavu tuu wa kwanza duniani ni Allah hebu zinduka
@user-bd5ti9xs7m Жыл бұрын
@@yasinhussen-2881 mi
@user-bd5ti9xs7m Жыл бұрын
@@yasinhussen-2881 mi
@jonathanmanirakiza6356 Жыл бұрын
😂😂😂clam nakubali unache vizuri from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@Ngwatheofficial Жыл бұрын
Clam ndiye Mwigizaji mbunifu Kwa sasa Africa hao wengine wanajaribu tu wapi likes zake
@yohanatulito1182 Жыл бұрын
Nawapenda Sana Na Bado Nawapenda tu. ❤️❤️❤️. Ila Huyu ticher Ni wahovyo Sana 😂😂😂
@shujaad-melody5799 Жыл бұрын
Wakwanza from Burundi 🇧🇮
@Gatuso1234 Жыл бұрын
Mwanangu clam kweli dunia nzima akuna comedian kama wew umeuwa Sana kaka niko Madagascar tunakukubali San naomba like 👍
@allysungura3302 Жыл бұрын
Aaaah uko vizuri katika kazi yako rakini punguza iyo kucheka cheka pabira sababu inaharibu radhaa
@joyyjoyy5474 Жыл бұрын
Clam umeingia Cha kike umempa mtoto wa shule mimba, nakuhurumia sana
@asuhabihussein1105 Жыл бұрын
Mbayaa iyooo 🔥 msemo mwengine mtaanii
@user-ks5om4pz3e Жыл бұрын
Naijua iyo
@rmond7231 Жыл бұрын
Clam vevo nipeni like kumi kutoka kenya mimi ndio kwa kwanza kabisa leo 😂😂
@sadaismail Жыл бұрын
Congratulations bwana Clam nakikubali kipaji chako from Kenya 🇰🇪🥰🥰🔥💯
@ashirafnuru5140 Жыл бұрын
"mbaya iyo" msemo mzuri sana
@enocksilungwepondajr9707 Жыл бұрын
Sijapenda
@antabashir7625 Жыл бұрын
Olaaa nakubali wakwanza nipeni like 💗 ndungu wapenzi🙏🙏🙏
@michaelwafula455 Жыл бұрын
Clam tunakupenda bure. Tuweke part 2 haraka. Tunaomba utuandalile movie moja kali sana. Natazama nikiwa Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@ashirafnuru5140 Жыл бұрын
Like ya kwanza ni yangu clam
@josephsimba3007 Жыл бұрын
Naipenda sana kutoka congo 🔥 Clam Vevo 🔥💪 uko vizuri sana endelea ivo Kaka wa Congo tuko nawe pamoja
@franciscassian Жыл бұрын
Huyo demu anaitwa Sarah mzuri kishenzi
@Directorpanka Жыл бұрын
Clam wa hovyo sana... Ata kama umekaa pekeako watu wanaeza dhani ume wehuka😅😅
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Talented good job watu wangu
@josephrutherford3292 Жыл бұрын
Leo mimi ni wa kwanza ku like naijuwa iyo
@ismailkaroBlack0257 Жыл бұрын
Number one from 🇧🇮
@hopeonlinetv741 Жыл бұрын
Kaka clam unajua cn mzee
@issasanga8509 Жыл бұрын
Lewo wakwanza Kama unamukubali nayenda nyumba Nipeni like zangu love from Germany 🥰🥰🥰
@amaizinggracious8876 Жыл бұрын
Nice
@papaamasauti1973 Жыл бұрын
Jamani to tanzania
@TinaZawadi-dr9kp Жыл бұрын
Mashallah ❤
@jitulacamera2405 Жыл бұрын
Always kulishinda Paja Ikp kazi sana #Clam
@Mweupe1234 Жыл бұрын
Ramadhan kareem baba ama Aufungi😂😂😂
@kibasamohamedi8029 Жыл бұрын
Watu mpo fasta sanaaaaaaaaaaa aiseweeeeeeee
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Teacher Konde banaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣
@felistawakoni6713 Жыл бұрын
Tunaye mupenda clam kutoka 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 gonga like apo tujuwane🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@jamesonwiz9612 Жыл бұрын
Hahaaa naijua iyoo namba 1 to comment from Kenya
@samueledward109 Жыл бұрын
Clam unaupiga mwingi kicheche hakufikii hapa wee ni kiboko
@abdallahamad855 Жыл бұрын
Kazi nzr clam
@agathaandrew1374 Жыл бұрын
Nakukubali sana
@MiriamWanjiru-ft4uu22 күн бұрын
Unapendeza vivo hongera njoo Kenya tuigize nawe❤❤
@enockkheedah6193 Жыл бұрын
So funny i really rank you clam am your fun from 🇰🇪
@tarimocolmani2662 Жыл бұрын
Clam ushampa mimba mwanafunz huyo
@breezysaspect6172 Жыл бұрын
Kali sana hii😂😂🔥🔥🔥💯
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
😂😂😂😂wanafunzi wavuta mihadarati ss 😂😂😂
@pauldybala5905 Жыл бұрын
Leo wa kwanza mm❤❤❤
@weye07 Жыл бұрын
great one, wapi likes zangu mimi ndo wa kwanza kutoka kenya🥰🥰🥰
If all teachers were like this one, school would be fun
@EuniceMueni-le8zf Жыл бұрын
Mnaona kiatu cha mwalimu Clam 😂😂😂❤
@rmond7231 Жыл бұрын
😂😂😂 Mimi ndio wa kwanza ubwa clemo nipe like zangu
@herbertking1 Жыл бұрын
Clam babalaoo 💖💖 Kenya imewakilishwa kisawasawa 🎉
@benedethamapunda718 ай бұрын
Huyu mwanafunzi huyo yu vizuri sana CLAM VEVO fanya mapango nipo nyanda za juu kusini mwa Tanzania -Ruvuma
@user-se1ud1fk2u Жыл бұрын
❤❤ hope 2 ina come
@nasoropori6892 Жыл бұрын
punguzeni comedy za hovyo watu wapo kwenye swaumu 😢😢😢
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Kama upo kwenye swaumu uku unafanya nini na kichwa cha habari kinakueleza pia nimuhimu kufatilia mambo ya dini zaidi kuliko uku ni mawazo yangu sikiliza kaswida , na mawaiza 🙏
@efronaaron6772 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@richvannyrichie Жыл бұрын
Bado ni yule Richvanny wadau clam mwigizagi kwelii....
@josephrutherford3292 Жыл бұрын
From DRCongo
@talamc00 Жыл бұрын
clam hakuna kama ww hap tz na njee ww ni 🔥 🔥 🔥🔥 🔥🔥🔥
@erdeen5213 Жыл бұрын
Wa kwanza kuangliaa vdeo hii @clam
@norinbinngelelo967kviews2 Жыл бұрын
Fvrt comedian🇧🇮
@amonygeofrey3201 Жыл бұрын
Nomaaaaaaa🖐️🖐️🖐️🖐️👊👊👊
@HaririJoshua-sc2yc Жыл бұрын
Wakwanza mm from Tz
@Ngarambeboy Жыл бұрын
This guy never disappoint 😂😂😂😂😂
@freddywizzyTz255 Жыл бұрын
Clam uko poaw sana
@krispapa8550 Жыл бұрын
From Kenya
@jacksonhaggai6771 Жыл бұрын
Hhhhhhhh 😁 fanya mti anii kwautulivuuuu kikiki
@dicksonmwelekete5713 Жыл бұрын
Ukweli unajuasana. Teacher pongezikwako.👍👍👍
@abdallabasta686 Жыл бұрын
Jamani kama unapenda clam gonga like apa
@kenwakuduck0290 Жыл бұрын
kumbe alipachikwa ya mapema...wueh!😂 .... ukimaliza kuogopa wanawake, anza pia kuogopa wanaume 🙌🙌🙌
@bashirimussa2154 Жыл бұрын
Gonga like tunaemkubali sonia❤❤❤❤❤
@fatumamohammed15 Жыл бұрын
Etiii mbayaaaa iyooooo
@arunaalbashiryusufu3235 Жыл бұрын
Nakukubali jamaa
@farboy_tz. Жыл бұрын
Namba moja hapa
@muthonizvibes2324 Жыл бұрын
Clam umekubalika
@Nortenam201 Жыл бұрын
Kimeumana shulen 😂😂 jmn wazazi au walezi wetu tunaomba muwe makini na walimu wanao fundisha mashuleni coz watoto wenu hawaweze kuja kusema chochote kwenu Kama kili kuwa 1, 2 au na 3 😢
@MarkoMeliyo-sf6gg Жыл бұрын
Ni kweli walimu wa ovyo
@kassimdadi5406 Жыл бұрын
Wa kwanza
@bensondaktari Жыл бұрын
Wakwanza kucomment leo wapi likes jamani😊
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Dogo umeuwa na uyo binti mwanafunzi, mmeuwa mbaya
@abdulikadirnarrel2751 Жыл бұрын
Naenda nyumban
@josephsimba3007 Жыл бұрын
Clam Vevo ni mweuuuu kweli kabisa unaitwa Na mwana funzi kama mbwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gidenprotz Жыл бұрын
Big up clam vevo
@NickName-yk1tp Жыл бұрын
Saw mwanetu VEVO 🏃🏃
@Kevinboyzmz Жыл бұрын
Niiiii nooooommma Kweli 👐🏼🔥💯
@LUCYLAMECK-yb1zp7 ай бұрын
Ninomasana
@LUCYLAMECK-yb1zp7 ай бұрын
L
@jkschapa7601 Жыл бұрын
Cool sana naipenda muchezo jks Chapa kutoka Congo RDC
@@khimfaraway6033 sasa ww unavyojua kwa Tanzania aliyechukua tunzo ya uchekeshaji bora ni nani na ni joti nd alitangazwa ushind hao wote wengne bado wakanyonye
@Crister_palas Жыл бұрын
@@wizmantiger8110 mmeisha Anza kulete story zenu za kikum KO ivi wew huwez tofautish wakati et