Steve unajua sana ndg yangu mshukuru Sana Mungu kwa kukupa kipaji hichi ama hakika Mimi ni shabiki yako sana✅ From Ukonga Dsm
@SumaiyahAlly5 ай бұрын
Steve kipenz mbn we unaweza sana kwann usiachane malubano yasiyokuwa kuwa na manufaa wala faida ❤yoyote ile ebu nikuombe ufokasi kwenye kazi yako mie shabiki yako sana nakupenda ndomaan nimekwambia ivyo
@Taito-brand5 ай бұрын
Fact
@HEAVENLIGHTJLAIZER5 ай бұрын
Huu msemo aaah unabamba Acha tyu Steve huyo brand fulani akuonee donge like zenu kama mnampenda steve
@emmanuelmudaheranwa22635 ай бұрын
wanapenda group hiii ya comedy munipe like kbsa
@ismailkasim79605 ай бұрын
Munipe ndio nini kaka
@SmilingCakeSlice-zg6im5 ай бұрын
L1@@ismailkasim7960
@mossowaweruofficial81215 ай бұрын
1st kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 254
@Gichdoc5 ай бұрын
Anguka nayo
@MikeliElen-rf5gn5 ай бұрын
AHSANTE JIRANI😅😊
@aishahahmeddy92885 ай бұрын
Huyu Steve ingekua Kenya saii angekua mbali
@erick-fc8zb5 ай бұрын
Npenda hii Steve..msalimie ndaro ..hongera ..❤❤kutoka kenya🎉🎉
@damagemweusi5 ай бұрын
Kama kwelii umelipendaa ya leo Angusha like yako hapa...
@AmergoBenit5 ай бұрын
❤ nakupenda Sana Steve natamani siku moja tuonane kaka nakupenda naishi zambia ila nyumbani kwetu ni Congo
@hollyboyMW5 ай бұрын
Hongera steve,❤️❤️❤️much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@RIGOVICONE-dy9bj5 ай бұрын
Courage mon pote bien joué 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@shafitglamandspa66035 ай бұрын
Safii steve ..natokea kenya napenda ubunifu wko kaka..❤❤+254 tupo ndanii kabisaa
@erastopascal5 ай бұрын
STEVE FANYA KAZI ACHA KUGOMBANA NA WATU JUZI UMENIKERA SANA....upo vzuri 🎉
@Salina.son_1235 ай бұрын
Kuangalia tuu kutia like ahhhh show love guys ❤❤
@ShottojumaNdakama5 ай бұрын
Nakubari sana Steve mweusi 🌷🌹🥀 mungu akuzidishie kipaji utikise Kila Kona za Dunia kusema ahsantee Ahaaa!!!🤪🤪
@RehemaSaid-r4h5 ай бұрын
Watazamaji wa hii movie like kwa stive🎉🎉 jaman
@magarikenzi73635 ай бұрын
Nzurii my G nakubalii kwa kazii zako achan na uyoo mwizi waa misemo....😂weeh ni legend bana 🎉