mwalimu WA kiislamu ashindwa kutetea uislamu

  Рет қаралды 21,823

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@jeroboammusyimi3230
@jeroboammusyimi3230 3 жыл бұрын
Mwalimu ndacha hongera sana..mtumishi mwanadamu hawezi kukulipa but God will pay of...still hastating the best moments ensuring that our intercession we do involve...
@AlexShamola-h3o
@AlexShamola-h3o Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi ndacha na walimu wengine
@erickbyamungu973
@erickbyamungu973 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwalim ndasha ni Erick 🇿🇦 nakusikiliza sana
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana team BND🙌🙌
@ruthvilinga7780
@ruthvilinga7780 3 жыл бұрын
Yes Yesu ndiye njia ya kutupeleka kwa baba.
@vincentlion7487
@vincentlion7487 Жыл бұрын
Mwalimu wangu mimi nawabenda Sana nawafatilia kwa video zote ubalikiwe Sana mwalimu onyango nawe mwalimu ndacha
@sarahyvonne4580
@sarahyvonne4580 3 жыл бұрын
Ndacha na hao ndugu zangu mbarikiwe sana
@casaica2993
@casaica2993 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana Mwalimu Ndacha
@elizabethsidi5574
@elizabethsidi5574 Жыл бұрын
Yan uislamu bila kubandika uongo si uislam msiba huu😢😢😢
@moseselinisafi6425
@moseselinisafi6425 3 жыл бұрын
Mwalimu ndacha ubarikiwe Mimi ni moses elinisafi kutoka tanga Tanzania nakusikiliza na pia nayaelew mafundisho yako vyema
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 Жыл бұрын
Nani kwañzà namkubali F,ndacha Ni mwalimu na asiyemuelewa sijui Ni mtu wà namna ipi,
@ItembeMatiko-nj2uq
@ItembeMatiko-nj2uq 7 ай бұрын
#kweli itabaki kweli ❤🎉
@sarahyvonne4580
@sarahyvonne4580 3 жыл бұрын
Nafurahia kumjua MUNGU,kupitia kwajina la mwanao YESU KRISTO,AMINA
@MichaelMuhoja-h6f
@MichaelMuhoja-h6f Жыл бұрын
🙏 amen
@catherinenyokabi5746
@catherinenyokabi5746 3 жыл бұрын
Pastor Ndacha tupe hiyo number ya mpesa tutafurahi
@paulkiariemwangi9603
@paulkiariemwangi9603 Жыл бұрын
Mafudisho ni mazuri Sana, Kwa ma jina Paul kiarie kutoka mjini wa Nairobi,Roysambo.karibu ndacha location marurui.
@sirsteve9131
@sirsteve9131 3 жыл бұрын
njoo na zanzibar
@antoniorjunior2113
@antoniorjunior2113 3 жыл бұрын
N antonio kutoka mwombasa kenyA nawatakia amani ya bwana wetu yesu kristo iwe pamoja na roho zenu dugu muwe na mioyo ya ushujaa katika Aya kufa na pia dacha unixaidie kwa maombi nxakia nmebarikiwa na kipawa Cha dhamani kubwa za ila Bado cjaamka katika uzingizi
@mjige9088
@mjige9088 3 жыл бұрын
Yesu ni mkikukuyu
@ibruzah001
@ibruzah001 11 ай бұрын
UKRISTO sio dini ya mungu, full stop. Ndacha ameshindwa kutoa "UKRISTO" kwa bibilia.
@gitargitar8332
@gitargitar8332 3 жыл бұрын
Amen
@gladysrael3396
@gladysrael3396 3 жыл бұрын
Hallelujah glory to God ln Jesus Christ Name AMEN
@suzanaagustinookelo4953
@suzanaagustinookelo4953 3 жыл бұрын
Mungu hatusaidiyeee sii watu wako tupate kukujuaa wooote
@ElderAbima
@ElderAbima 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa hakuna Jambo jipya chini ya jua
@mugongamawe
@mugongamawe 9 ай бұрын
Which bible and Koran were Africans reading 300 years ago. And in which language were they written in
@richardkiarie7445
@richardkiarie7445 Жыл бұрын
Psalms 119:142-151
@richardkiarie7445
@richardkiarie7445 Жыл бұрын
John 8:32 /2 corithians 13:8/
@alexandermulilison5844
@alexandermulilison5844 3 жыл бұрын
Sawa tumeskia wito
@saumuali5127
@saumuali5127 3 жыл бұрын
Huyu ni mtu wa kikafiri ambae kashapingwa muhuri wamoton ambae hajifaham anjifanya kinyago tu kama mfanya komed tu Wakiristo mnapotoshwa mnafurahia amkeni huyo hakutakiini mema ata akil zake zinamtihan Allah awaokooni amiin
@georgembegani9114
@georgembegani9114 3 жыл бұрын
Mpinge kwa hoja siyo kwa maneno ya matusi Ndacha amesoma maandiko Wewe umesoma wapi hayo unyosema? Acha kujifariji njoo kwa Yesu akuokoe
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Allh hawezi kuokoa Mtu wewe ndo unapotea yoyote anaemtumikia Allah lazima awe na Majini yakumlinda sasa toka lini Mungu akupokee kupitia Majini?
@sandewillymusic5615
@sandewillymusic5615 3 жыл бұрын
Injili isonge .........
@issackabdi7001
@issackabdi7001 3 жыл бұрын
Ndacha sadaka itapunguwa
@richardkiarie7445
@richardkiarie7445 Жыл бұрын
Pasim 85:11
@onemulipocelia476
@onemulipocelia476 3 жыл бұрын
Good news
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 3 жыл бұрын
Mi naona Ndacha kazi unafanya ninzuri unazidi mamia elfu ya wachungaji
@mjige9088
@mjige9088 3 жыл бұрын
Unasema somali ngoja moto itakayo waka kenya utajuta na ufisadi wenu na uislaam huijui na mungu hawezi kuwa binadamu ati yesu ni mungu nenda ukamwambie myahudi Kama hawajakushanga sasa kaa na hiyo dine ya wa Roma wazungu
@issackabdi7001
@issackabdi7001 3 жыл бұрын
Neno ukisrito hakuna bibilia maybe ni new bibile in kericho
@francismhilu2936
@francismhilu2936 3 жыл бұрын
Yani pamoja na kusikiliza imerudiwa mara kwa mara hicho unachosema huelewi inaashiria vipo vitu vingi bado hutaweza kuelewa MUNGU AZIDI KUKUSAIDIA NA AKUFUNGUE AKILI usikae kishabiki kujifanya hauwezi kuelewa unayejiumiza ni wewe mwenyewe..NAAMINI KAMA UMEUSIKILIZA HUU MKUTANO MUNGU ANA MPANGO MKUBWA JUU YAKO NA ATAKUSAIDIA UTAMJUA
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 3 жыл бұрын
Hakuna ukristo kwa Biblia ila kuna Kristo, kwa hivyo sisi wafuasi tuanaomfuata kristo tu watu wa Kristo(wakristo) Kristo ndiye dini yetu(njia) John 14:6
@danielernest8588
@danielernest8588 3 жыл бұрын
SIKU ZOTE NA KILA SAA YESU ASHINDA DAIMA
@issackabdi7001
@issackabdi7001 3 жыл бұрын
Anwar simba
@gladysrael3396
@gladysrael3396 3 жыл бұрын
Dini ya haki mbele ya shetani ni waislamu
@JenniferMatiku
@JenniferMatiku Жыл бұрын
Shetani alisilimushwa na mwahamad
@Douglasthuranira-e1k
@Douglasthuranira-e1k Жыл бұрын
Kumbe dacha anavaa suti!
@rashidmaina2166
@rashidmaina2166 3 жыл бұрын
Ndio mritadi anafa kuwawa bt Kenya tunaozozwa c na Sheria za kislamu
@georgembegani9114
@georgembegani9114 3 жыл бұрын
Asante wewe ndiye umethibitisha yale amesema Ndacha kuwa hakuna Amani ktk Uislamu. Dini ya kuua watu
@alindurya2852
@alindurya2852 3 жыл бұрын
Ndacha wacha kuandika kichwa cha habari kirongo rongo, eti (waislam washindwa) huo ni urongo mkubwa sana
@issackabdi7001
@issackabdi7001 3 жыл бұрын
Mjadala ni ngumu
@ronaldasiago
@ronaldasiago 3 жыл бұрын
Ndacha asome maelezo ya hiyo Quran 10:102 hapo chini
@mugongamawe
@mugongamawe 9 ай бұрын
You challenge non Islam and Christian scholars
@mjige9088
@mjige9088 3 жыл бұрын
Una hubiria hewa hata hamna watu wanayo kusikiliza ujinga wako
@mauriceojuki9676
@mauriceojuki9676 3 жыл бұрын
Wewe ndo unaonyesha ujinja wako ndugu yangu
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Ww utakua ni mganga wa kienyeji au unategemea majini yakulinde ndio maana hupendi kusikia neno Yesu Kristo ndio kiboko ya Majini na Mashetani
@mjige9088
@mjige9088 3 жыл бұрын
Kwani wabantu mlivyokuwa munachija wenzenu Rwanda mlikuwa ni waislamu? Kenya tuna wanjinga wengi kweli
@mugongamawe
@mugongamawe 9 ай бұрын
Ndacha you are very confusing sometimes. When you are not fighting Islam you are fighting other Christians denominations. Which leaves learned person confused with you
@mjige9088
@mjige9088 3 жыл бұрын
Uzima wa milele mbona mnakufa na mnazikwa kwanini msikae na familia zenu milele msife FAKE
@jameskogo6345
@jameskogo6345 3 жыл бұрын
Ni kwa sababu hauelewi bibilia, Yesu ametukomboa kutokana na mauti ya pili.
@KisakyeDan-x8z
@KisakyeDan-x8z 6 ай бұрын
Amen
DEBATE KUU GITHURAI 45 ROUND ABOUT. (MADA NI IPI DINI YA MANABII ) BAINA YA TEAM TAWHID NA NDACHA
1:42:56
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 28 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
EASTLEGH ST.TERESA DAY 1
1:41:42
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 6 М.
BIBLIA NURU YA DUNIA | LIVE 14/2021
2:04:51
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 5 М.
NIMEWACHA KUWEKA MAANDIKO VIRAKA - NASAHA YA UPOLE KWA MWINJILISTI NDACHA
1:47:33
DINI YA KWELI YA  MANABII  NA MITUME NI IPI?
1:50:40
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 39 М.
PASTOR NDACHA AKUTANA NA KIVUMBI KATIKA MJADALA KUHUSU IBADA YA MITUME NA MANABII COUNTY NI ISIOLO
1:38:43
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 12 М.
MKUTANO WA MAI MAHIU DAY 1
2:09:57
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 8 М.
Eastlegh KARIBU NA ROYAL MALL DAY 1
2:01:36
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 13 М.
MASWALI NA MAJIBU KWA MADA YA UTATU
3:57:16
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 815
Islam Tak Boleh Disembunyikan l Ustaz Ahmad Dusuki
1:25:55
Kalam Ilmu Studio
Рет қаралды 51 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН