Km ww wafuatilia baba Joan like apa stl team strong tuko pamoja 🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰 team 2024 mko wapi jmm
@AminaOnesmus10 ай бұрын
Tuko pamoja ❤
@Jbclaudey10 ай бұрын
Hello come inbox
@BintalyB10 ай бұрын
Tupo pmja 🙋♀️
@Marim-sj7oi10 ай бұрын
Tuko dada ❤
@marywairimu568210 ай бұрын
Add 1 more😂😂😂 contract juu ya contract
@magnibrondi315210 ай бұрын
Ninacho penda kwenye movie zako kwanza nidhaadabu pia zinaelimisha from Oman Arabia
@malkiamommy29310 ай бұрын
Nawapenda san ❤❤❤❤🎉 from kenya 🇰🇪 kam kawaid😊
@PeggyLugasi10 ай бұрын
Walimu vipara shuleni wataona mambo jamani wanafunzi daaaa!!!😅😅😅😅😅😅
@Official-Bee10 ай бұрын
Mwalimu Tadeo ndio mwalimu wa nidhamu, wangapi naamini hao wanafunzi watukutu watabandilika, tujuane kwa likes na comments guys 🎉❤
@dorcaskabura638010 ай бұрын
From iringa mmekamilika nawapenda sana 👍👍👍 n
@mutembojean978910 ай бұрын
Nani anabisha nani ambao ataki baba joan number one
@KhamisAsaa-b5i10 ай бұрын
Baba joan mbona leo ep mume inyima sauti ila muko vizuri sana mungu ainuwe vipaji venu
@Munaaa25510 ай бұрын
Congratulations babajoan more tz people ❤❤❤❤❤❤
@Winleizerabdy10 ай бұрын
Nimeona vibaya eti mwishow
@Jaydannychawaboy1.10 ай бұрын
Nishatokea jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂
@lulupeter-xf9gs10 ай бұрын
Fety matendo ya shulen yananifurahisha daaah😂😂😂 nimejikuta nacheka mwenyewe
@Sammyarasa37010 ай бұрын
Naipenda kazi yako baba joan
@kingnyorobi577510 ай бұрын
Inamaana Editor wa hii hajielewi na haoni kuwa SAUTI haisikiki. SAUTI haijawa Leveled kabisa
@IsackKidyala-s8u10 ай бұрын
Huyu jamaaa anafundisha vitu halisia kabisa vilivyomo ktk jamii
@SiayaFinest10 ай бұрын
kenya tunazidi kufurahia kazi yako Baba joan
@Ibrah_mwemela10 ай бұрын
1 wakwanza mim
@AyubuNgimba10 ай бұрын
Baba joan erty mwalimu mgeni inaanza lini????
@kingnyorobi577510 ай бұрын
SAUTI haijawa Leveled kabisa
@farajambaza10 ай бұрын
mi na like tu maana naona wengi wanaitaj
@williammwaisunga340710 ай бұрын
Kimeumana sasa usiempenda kamanda cheo
@MalkaNinik10 ай бұрын
Jamani leo move niya mabubu anglia saut.kwanza
@MosesMulindi10 ай бұрын
Patronize anamwangalia mwalimu mkuu n macho makali😂😅😅
@MushuRwega-qp4zm10 ай бұрын
Adhabu yoyote inaweza kumbadilisha mtoto au kumfanya awe sugu/nunda. Kusema ni viboko tu, huko ni kukariri na kukosa welewe wa mambo. Wasanii mnahitaji kufanya utafiti wa kina kwanza juu ya jambo ambalo mnataka kulieleza ili kupendekeza mafunzo/masuluhisho sahihi.
@williammwaisunga340710 ай бұрын
Toka mwanzo wamezoea fimbo mpaka wamekuwa nunda haziwakilei ila wanaogopa azabu za tadeo ni kama mjeda hapo watanyooka tu hakuna nunda jeshini lazima iwe ndio mkuu
@delickmarco394510 ай бұрын
Safi Sana unawahi kutoa movie mapema
@ASIAHAJI-j4u10 ай бұрын
Jamaniiiiiii leo vp mbn hamna sauti 😢😢😢😢😢
@joelnyaga198510 ай бұрын
shule zimefunguliwa Mwalimu mgeni naomba iendelee
@SamuelAloo-qv3kg10 ай бұрын
Natazama huku Kenyan 🇰🇪
@FelistusKimanzi-f2g10 ай бұрын
Kazi njema baba joan
@BahatiKadenge-n5r10 ай бұрын
😂😂😂 dahhhhhh haki napenda sana kazi zenu
@abrahamemokol10 ай бұрын
Kazi safi bro ❤❤❤
@FadhilFussy10 ай бұрын
Sauti Leo Amna duuh
@jamesmutali435610 ай бұрын
Kama familia tumefika
@evanciaernest447010 ай бұрын
Enock umeanza kulewa lini🤣🤣🤣🤣🤣
@KetryConcilliah-tj8zi10 ай бұрын
Hamna sauti tafadhali hamskiki mkiongea
@rehemaruwa766310 ай бұрын
Mbona sielewi ni simu yangu haina sauti ama vipi jamani 😢😢😢
@IreneBulinda-s6d10 ай бұрын
Pia yangu haina sauti😢
@youngmum311510 ай бұрын
Sauti Leo hawana
@BintalyB10 ай бұрын
Pia yangu Haina sauti 😂😂😂kumbe 2ko wengi
@AliKhamis-nd1wf10 ай бұрын
Mbona haitow saut hapa mwanzo
@ChristianKihindamuko-ke3lv10 ай бұрын
Baba Joan haukaguwe movie zako kabla ya kuweka hewani ? Mbona akuna sauti
@Maureen-j8l10 ай бұрын
I thought ni kwangu tu
@SabrinaAliy-x9w10 ай бұрын
Mbona sauti hamuna jamany 😢😢
@Sam_xam0110 ай бұрын
Angalia sauti ya hii video
@ZenaMustapha-tj8yn10 ай бұрын
Nawapenda wote ❤❤❤❤❤♥️
@omanbahla151110 ай бұрын
Nawapenda tu❤❤😂
@Nyaboke5810 ай бұрын
Sauti hamna amh ni simu yangu iko na shida
@halimaSuleyman-e8t10 ай бұрын
Jamn mama yangu ndo imeishia njian baba joan
@jumabujiji347510 ай бұрын
Jamaa hata sikuelew yan, 😂😂😂😂
@kondebouy130810 ай бұрын
Mlisema mapema ndo best na likes😅
@nkilatv630710 ай бұрын
Mbn mwanzoni haina saut pia jitahidi kuweka saund vizuri
@JuliusSiame-r1b8 ай бұрын
Mwalimu mkuu lispect
@kingnyorobi577510 ай бұрын
Ishushe Chini hii Mpandishe upya muilevel
@hafsahmassemoh359810 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mm mniache ni comment kabla cjaimaliza 😂😂😂😂 ety MWALIM KIPARA HATUKUOGOP FIMB ZK HAZIUMZ😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 NIMECHEKA KWA SAUT NYIE😂😂😂😂
@FrolaDavid-h2i10 ай бұрын
Mbona akuna sauti
@husseinkarisa939210 ай бұрын
oe baba joani vipi, mbona aiongei bana nn mbaya
@rubenimajura10 ай бұрын
Mbn sauti hamn jamn eee
@ZyadaAll10 ай бұрын
Sauti hkn
@alphablondponera236710 ай бұрын
Mbona kama hii imepooza sana
@abdalahaby365810 ай бұрын
Mbona mwanzo hamna sauti.. ni mavinanda tuu
@Sofiashabani78010 ай бұрын
Sai sasa ndio naskia sauti
@KhalidiNgwende10 ай бұрын
Mbona sauti akuna au ubunifu mpya😅😅
@PiusNyambulapi10 ай бұрын
M naamin watabadilika tu
@st.gregorythegreatyouthsch30910 ай бұрын
Hamna sauti dakika za mwanzo
@jayonlinetv425810 ай бұрын
nakubaliii baba joan
@SumuuKijoka10 ай бұрын
sauti au mchezo bubu
@PAULBULENYA10 ай бұрын
Tadeo ndio mwalim mzuri wa nidham
@lucasmachibya655110 ай бұрын
Wanafunz Hawa wamezed
@halimamohammed786310 ай бұрын
Iwe ukitupa mwendelezo
@TatuSelemani-b7c10 ай бұрын
Sauti mmeweka Chini san😢
@Zizuuh10 ай бұрын
Nice work
@fahadsalim161510 ай бұрын
Good job
@fandbproduction455110 ай бұрын
Viboko haviruhusiwi shuleni
@mutembojean978910 ай бұрын
Iam the one leo nipeni likes jamani
@Sofiashabani78010 ай бұрын
Hakuna sauti kabisa ni pii pii hata siagali mm
@SubiraJonathan10 ай бұрын
Wa kwanza
@AbdulatifGoha8 ай бұрын
nouma
@Munaaa25510 ай бұрын
Sauti hakuna plzzz
@saumodzumbo967110 ай бұрын
Tuko pamoja ❤❤❤❤❤
@mwendemutua306310 ай бұрын
Kwani sound mlipeleka wapi??jameni
@gracekayumba-z9l10 ай бұрын
Tunsuvile uwe unaendelea ulipoishia
@ASIAHAJI-j4u10 ай бұрын
Mbn hamna sauti
@sonofpurposeeugene916110 ай бұрын
Sauti Iko chini sana
@Winleizerabdy10 ай бұрын
Mimi acha nicheke kiasi😂😂 kuwa na nidhamu ukiwa shule😂😂