Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Donta TV, nina Imani mpo salam nyinyi ote,ninamuomba Mungu atupe Riski nyingi za Halali n,Afya njema n,atupe Nguvu zakupambana na Kazi zetu,napia tunamuomba Mungu atukinge na Maradhi na Mabala na Vijicho na Husda za walimwengu,n,atupe Ulinzi mkali siku zoote za Uhai wetu,na mwisho uliokua mwema kwa Huruma zake Aaaaameeeen 🤲 🤲 .Ninawapenda saan vipenzi vyangu 😘 😘 😘 😘 😘 ,DONTA TV ongereni saaan mzidi kusonga mbele Aaaaaameeeeen 🤲 🤲 🎉🎉🎉🎉🎉.
@KiboxMediaАй бұрын
Wale wanaotaka Kumbatio la Loveness na Kelvin Picha yake iprintiwe tununue tuuze tupate Mahari ya Kumwoa Loveness agonge like hapa 😂✊
@VeronicahOtworiАй бұрын
Mimi apa nimebeba mikono adi miguu😂😂😂😂😂😂😂😂kwa niaba y wengine 😂😂😂
@willykijanaaАй бұрын
Kibox ukimaliza twende Kwa Masengenyo yaani prediction review 😂😂😂
@JamespandeiАй бұрын
Naomba kuwe na interview ya hawa waigizaji
@asiaasia1069Ай бұрын
🙋🙌
@NajmahnyangasiАй бұрын
😂😂😂😂😂😂acha nicheke kwanza
@BeckerJunior28Ай бұрын
Wakwanza leooo. Nimewahiii By mpemba mmoja ❤❤❤ from Pemba upembaní wamicheweni tujuane 🎉🎉🎉
@AmenaMm-r5tАй бұрын
Oooo ww michewen mm chamban jomon tutembelean bas hhhhhhh
@BeckerJunior28Ай бұрын
@AmenaMm-r5t nkubl kmndaaa shumba mjini iyoo babuu
@55goodmenАй бұрын
Nina imani kwamba Watz wana upendo na ustaarabu sana. Inapendeza sana mwanamke ambaye humbabaishi na pesa. Si wengi kama Loveness. Na Mwanaume ambaye anatambua mke Original sababu wengi huangalia Mwili na tamaa za mwili welldone Kev. Story nzuri sana na inafunza mengi. Big up to the writter and producer too.
@JanvierkabizoLebonАй бұрын
Asante sana kaka Kelvin unajikaza sana kenye sisi washabiki tulikuwa nachunga nikuona weye unamwambiya loveness ukweli, asante sana Kaka mungu akulinde kutufunja sisi vinjana wezako
@babynaashАй бұрын
DONTA TV Burudani kwa woteeeeee❤❤❤❤❤ Nyie hamuogopi kwani😂😂
@EvalineMollel-py7fcАй бұрын
Hakika ni burudani kwa wote😂❤
@JumaKavulaАй бұрын
Hongera sana kaka kelvin kwa kumwambia ukwel loveness, kitu ambacho ulikuwa nacho moyon kwa mda mrefu💞💪
@nomlouise8958Ай бұрын
Kabisa
@kennedymusonda-r4uАй бұрын
I was waiting for part 40 luckily I just found this thank you very much Kelvin we are always with you to support you ❤❤❤
@JoyceKiameАй бұрын
Kidogo imenitoa kweny reli jmn. Ungewek lati ambaye anafanania ya yule wa kwanza huy yuko tofauti sana kwakwel
@GrandePiquiGrandeАй бұрын
Yaleo Kali sana tena sana nimeipenda mno waliokuwa wakisubili kwa amu tujuwane kwenye like japo moja basi 🤣🤣🤣🤣🇲🇿🌹🌹🇲🇿🥀
@EstherJebu-t8uАй бұрын
I'm glad today niko among the first team.... keep going team donta
@@Faithkerubo-v4r ndio mwanzo series inaanza. Huyu lissa jameni. Atanitoa roho
@Frola-r9zАй бұрын
@@daudimasawa👌👌👌👌🌹🌹Mimi hapa
@Mishty-ri8brАй бұрын
Mm hapa
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4uАй бұрын
Je Kelvin ametoka selo kweli mama Kelvin atamini kama ausiki na kifo cha baba ange weka alam ya sapoti 🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿
@UwitozeBenАй бұрын
Lovenesse nakupenda sana ❤❤ mam kelvin akuwowe Tuuuuuuu 🙏🙏
@Queenzepeto1Ай бұрын
Nawapenda sana loveness and Kelvin ila simuowane kiukweli lakini jamani yani unajuwa kuendana munaendana sana mpendane basiii ualisiya
@PromiseBanzaАй бұрын
Wahoooo jama yetu yaba Kelvin karibu mara tena Kelvin na lonvress mungu awatiye nguvu saaaaaana
@sospeterkinundaАй бұрын
Ulieboeka kuchelewa kwa hiii tamthilia tujuaneee 😊😊😊
@Farida-k5k4yАй бұрын
❤❤❤
@LizzGift-p3jАй бұрын
Walai wanaboo sana heri ata mission impossible
@HadijaTsuma-si8yxАй бұрын
True bwana infact walinikera ila wale waliotupea ya uongo
@arobelkoomeАй бұрын
Mii apa nmeboeka sana
@jumbahudson3859Ай бұрын
Mimi hapa,,,,,,Karibu nianze mikasiriko😅😅😅
@TheophilusMiyayiАй бұрын
Usipo leta episode, inayofwata kwa haraka kenya tunaandamana....imefikia pazuriiii❤❤❤❤
@raphaelwanyoike1377Ай бұрын
au from kenyan
@MichellarnkubituАй бұрын
Huyo lati ni mkubwa mno bana.....mngetafuta mdogo bana ...lati wa mbeleni alipendeza sana......😂😂😂😂ila kazi ni safi
@Faines-qj1ntАй бұрын
Kelvn kubadilisha badidisha wahusika utafukuza mafanis weng kufatilia hiii movie tamu wazo lang tu hilo wanaokubaliana nami like tusonge mbeleeeeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LewisHamiltonGLDАй бұрын
Kevin muoe tu loveness ili upate tulizo la moyo wako pia love anakupenda mno kelvin mungu awatangulie🎉🎉🎉❤❤❤
@JoyDavid254Ай бұрын
Asante sana Kelvin nlkwa nasubiri sana ufunguke na umwambie loveness kuwa unampenda❤❤❤❤
@dianahmogiti8299Ай бұрын
On time guys show me some love from kenya
@PauloLUCAS-qh3dwАй бұрын
Team kelvin hongereni sana aise hii movie yenu imenifunza vitu vingi jinsi yakuishi na binadam bila kulingia kile nilichonacho kujishusha kiwango kuongea vizuli nakila mtu pia nmejifunza kutokuwa msati
@MissOndigoLilly-j7rАй бұрын
Leo kevi umenifurahisha sna kumwambia love unampenda ❤❤😊😊
@nancyshikuku-vs9leАй бұрын
Wa Kwanza leo am watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@Deborahdepsy-qh4rjАй бұрын
Nimewai nipeeni like tatu jamani Kenya in the house 🎉🎉
@HildaRubenАй бұрын
Leo wa kwanza mimi naomba like hata kumi tumesubiri kwa hamu sana🥰🥰
@odethierpaschalАй бұрын
Moyo poleeeee,,, ile fumba fumbuaaa ,, move yetu imeisha, tunaomba muongeze dakika …❤❤❤
@خديجه-ه3ف8 күн бұрын
Kevni nakukubali sana yani usibanduki kabisa mama ajakuelewa ila atakuelewa tuu ninaimani kwakweli nawapenda sana wewe na team yako🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@ArcadeBikorimanaАй бұрын
Wakwanza mimi kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 mnipe like zangu
@SimonJoseph-dv3dgАй бұрын
Tangu lini mulundi akapewa like
@edouarddj5267Ай бұрын
@@SimonJoseph-dv3dg kwani sio mtu ?? Au unafikili Kelvin anatengeneza kwajili yako tu ? Anayoa elimu ulimwengu mzima
@merissapati9630Ай бұрын
😂😂😂😂😂🤣🤣
@ميميالصيعريАй бұрын
Mwatuboesha. Sasa baba tina pia mulibadilisha
@EzechielNitunga-j8qАй бұрын
❤❤
@JullyEdwardАй бұрын
Najikuta namchukia mama kevi 😊😊 Ila yote kwa yote kazi nzuri but mauaji sitaki Tena hapo
@Sara-iz2nrАй бұрын
Nimefika from Burundi 🇧🇮 nawapenda ❤❤❤
@mariamsakora2818Ай бұрын
🇧🇮❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@MavereAbushiryАй бұрын
Mama kelvin,,anayarudia yaleyale yalowarudisha nyuma kimaendeleo,,, kuamini bila kusikiliza upande wa pili
@fatfat9093Ай бұрын
Kelvin mngetuletea 2 mumetuchelewesha cn hongera kwakumwambia loveness hisia zako nasubiri mm kelvine atakapo fefheheka km mwanzo hafikirii akiambiwa tu anakubali atajuta safari hii
@Esther01-g1hАй бұрын
Wanaosoma Comment hii MUNGU AWALINDE WAVUKE MWAKA SALAMA,,,,Nawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤
@Adelina.KaginaАй бұрын
Amina nawe pia Mungu akuvushe mwaka salama na akutimizie hitaji la moyo wako.
@Esther01-g1hАй бұрын
@Adelina.Kagina Ahsante dear.
@QueenIrakoze-o7jАй бұрын
Amen
@DiinjiIsmailАй бұрын
ameen na ww pia
@JeremiahChawandaumoyoАй бұрын
Amen na ww pia 💚💚💚
@MwanalimaMwalimu-c4mАй бұрын
Let coming tujuane 🤣🤣🤣 from 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪 loveness furaha yako umeona
@PhilisMusyokaАй бұрын
The first one from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SurprisedHangingGondola-jz5btАй бұрын
Happy happy nilichokua nakingoja kimeanza kutendeka sasa Kevin nakushkur pia kwa kua mvuta subira sio kama huk niko kwa wakenya mnapatana na mt leo hmjui hakujui kashakuambia anakuoenda hawez ish bila yawewe na anakukaribisha geto kweke kwa masaaa tu
@nyamdwiJeanboscoАй бұрын
Jam hata Mimi was mwaisho naombeni like zangu anodi issa kutoka Zambia lusaka
@BeckerJunior28Ай бұрын
Like zangu jamanii naomba msiningimee Kwa leooo donta tv. Nguvu Moja 🎉🎉🎉🎉
@dinnahmutanda9413Ай бұрын
Nimependa sana hiyo maneno ya mwisho 🤣hivo ndo nilikua nataka 🥰nimependa sana,loveness sema yes you do to kelvin 🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣
@KsjajjajajSnnssnnssnsnАй бұрын
Makofi kwa kaka Kelvin wa ngapi walikua wanasubiria hii kauli kwa Kelvin amwambie dada lovenees 👏❤❤❤❤🎉 wangapi wanakubaliana hapo napenda sana gonga like
@KatoMayanja-v4kАй бұрын
Jamani nimechelewa ila sio sana From Uganda 🇺🇬 tupe like zetu jaman
@MasauShidaАй бұрын
Kelvin hapo umeua kwan mwanaume kamili inakubidi ufanye Maamuzi magumu ili Kueleweka nn unafanya respect bro🪴🪴🪴🪴🪴👊
@Mustafamusa-i9hАй бұрын
Tangu nianze kuangalia donta tv sijawah pata like hata 1
@JulesMwerera-qm2kiАй бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JosephineOmari-o3jАй бұрын
We sema unataka like tu 😂😂😂😂
@PaulinaMasaliАй бұрын
Sa wataaka likes za aje na za nini andika messages ulizogeti Kwa hiii episode or episode zote waaaaa
@hulambueАй бұрын
Kazi mzur sana kiongoz ❤
@ValenciaMatiangiАй бұрын
Wakenya najua mko huku 😂😂 Pita na like Kevin na loveness natamani Sana kupatana na nyinyi ❤️❤️❤️🥰🫶
@MsanuajАй бұрын
Sio huyo tu hata tinna badilisha lkn sio loveness 😂😂
@SaumuCharo-r6rАй бұрын
😂
@FaithAtieno-er7eqАй бұрын
We're here asiiiie❤❤❤❤❤
@TitusKuria-i4cАй бұрын
Tuko wengi uku❤
@EdisaLaulАй бұрын
Huyu lati hanogi 😮wanaokubaliana na mm like hapa🎉🎉🎉
@SaidJuma-n5dАй бұрын
Jamani nimependa lati ambae anasema kampenda lati mpya gonga like apa
@LilianJuma-q6yАй бұрын
Mungu atawarejeshea mali zenu kelvin inshallah 🙏🙏 tuko sambamba
@JameesJumaАй бұрын
Jaman ukwer mme tucheleweshea hiki kipand mbak nili kuwa sin laha kabs ila Leo nime furai San kama na ww ume furah kama mm gong lik apo ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@HappyMtawaliАй бұрын
Ndoa tunayo n tunatamba nayo tukifunga mwaka tunafunga n ndoa ya Kelvin n love😂😂
@LoveOffialАй бұрын
lovee shoga angu leo mbon kam shavu limetokaaa jamon❤❤umenenepa
@MaryamKonaАй бұрын
Ata mm namuhis ivyo
@mohammedkidody56187 сағат бұрын
Ilikw nasubiri sana hii comment ata na mm nimeliona ilo
@Lili-z6s3vАй бұрын
Jamn mm hii nyimb ya taratib mueleze jins gan nampenda naihitaj kusem kwel wanao ungan na mm wawek like kam zot
@ramadhaninamachi3037Ай бұрын
Wanao sema amechelewa kutuma iki kipande jujuanee
@BrightonAlex-i2jАй бұрын
Kwerii cjui xhida nn jmn bc mtuwaixhie y 25
@Hellen-v7fАй бұрын
Mmi hapa kwani Denis ako nawake wangapi
@KhadijaNassor-f6mАй бұрын
Nikweli ila cjui Kwa nini😢
@dellislema7033Ай бұрын
😂😂
@AmosSaimon-z4jАй бұрын
Kwelii wawaixhagee
@SoziSozi2020Ай бұрын
yani family ya DONTA 📺 nikumba namuna hivi kuchelewa tu kindogo hivi utakaa nyuma amaukose kiti😂😂😂😂omy GOD NAWEPEND🙏
@MATEOJOSEPH-nc8gfАй бұрын
Mm kwenye Penzi la mtoto wa boss Sijawahi pewa like hata moja Leo nipeni 5 tu
@MarthaAlly-y7sАй бұрын
Umefanya kazi gn mwenzetu unaetaka like mnaacha kuwapa wanaowaburudisha mnataka mpewe nyie kaaa
@DM.2200Ай бұрын
Unataka ukamtolee love mahari au 😂😂
@AminaKavuo-gj3ocАй бұрын
Chukuwa tu🎉🎉🎉🎉
@MuhajiSaidi-i6cАй бұрын
Sasa wew laiki ya nn😅
@VictoriaShirima-q7hАй бұрын
😆😆😆😆
@daudjuma554Ай бұрын
Tunakoelekea mtatubadilishia na Loveness Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wenu ....unapobadili mhusika tegemea madhaifu kuyaona...huyu Latifa ni tofauti kabisa na yule wa mwanzo...Nadhani Kuna haja ya kuitatua changamoto hii,mwanzo alibadilika Mzee Gamba,Leo Latifa kesho ni Kelvin au Loveness,mnapunguza tension
@PhostineWaswaАй бұрын
Exactly,
@ScholaticatoyiАй бұрын
Exactly 😢
@AshulaAmadyАй бұрын
👏
@catherinejm8625Ай бұрын
Hii comment nmeitafuta sanaa
@annekimeu9107Ай бұрын
😂
@abdulmutwiАй бұрын
Those of you who love kelvin and loveness let's recognize them with your likes @DONTA all of Them🙏
@MutindiMueni-f6uАй бұрын
Wa kwanza leo from kenya
@AnnEton-f2bАй бұрын
Kazi nzuri wanadonta nawapenda sana❤🥰🌹
@MwaJuma-x3tАй бұрын
Leo nimewahi wakwaza kutoka kenya ❤❤❤
@omanbid7794Ай бұрын
Mambo yako vyema kabisa msicheleweshe jamani🎉🎉🎉❤❤❤
@SamsonMvumbaАй бұрын
Smith unajua sanaaa kiongozi,,, respect to you broh
@BenjaminPaul-dk8qyАй бұрын
Jaman like za loveness anajua haki tena❤❤❤🎉
@FrancisYohana-ij1thАй бұрын
Wakwanza leo naombeni like zangu hongera kaka kev na lovness kwa Kaz nzur
@linoxx_raveАй бұрын
Oyah unatuchelewesha Hadi tumeboeka😂
@VioletNyaboke-te5sfАй бұрын
So beautiful 😍 ❤❤❤ nafurahi sana kelvin kuweka wasi anapenda loveness🎉❤❤ watching from saudia nipe like zangu guys😊😊😊
@eldamassanja2789Ай бұрын
Naipenda na ninaifatilia Sana Tamthilia hii lakini tupunguzieni usiri jamani! Candy alivyoondoka na John hatujui alirudi vip au ilikuaje akarudi, hatujui Denis kawapeleka wapi wazazi wa Tina, na hatujui Tina alirudi vip kutoka south na kwanini kafichwa, hatujui sababu ya Lati kumwekea zamana Calvin, jamani mtupinguzie kujiuliza maswali na kujijibu wenyewe looh🙌😂
@ummuzuleykha7502Ай бұрын
Kwakwelii jmn 😅
@FatumaAdinani-o1gАй бұрын
Hapo umesema kabisa Mimi mwenyewe nashangaa mke wa deniss mpya katoka wapi tena na si yule ninae mjua
@EmmyMohd-l4pАй бұрын
Nalo neno
@ZaidanMussaАй бұрын
Na hatujui ya jems na Amina😂😂
@rosesimon1793Ай бұрын
😂😂😂aki nyieee 🙌
@EstherOsita-y9nАй бұрын
Pia Mimi nipewe likes jamani from 🇰🇪
@M3tr.n3Ай бұрын
N❤❤❤
@IgnatiusEmadauАй бұрын
Wa kwanza kutoka kenya mnipeeeni likes zangu 😂
@SmilingBreakfast-hb5gsАй бұрын
Samahan like zinawaongezea nn jamn tjulishane
@JulianaCharles-g6uАй бұрын
Mnaweza kuwabadilisha wote ila msije kumbadilisha love ness wangu,
@OnesmoEmmanuel-xr2rfАй бұрын
𝐇𝐚𝐰𝐚𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐤𝐮𝐦𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐝𝐨 𝐬𝐭𝐞𝐥𝐢𝐧𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐨𝐯𝐞
@rehemalusongeАй бұрын
Wakimbadilisha loveness wamuweke elizabeth michael(lulu)
@mohammedkidody56187 сағат бұрын
Hawawezi kumbadilisha
@ShazChemАй бұрын
Amin sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂❤❤❤❤ After a Long Waiting.... Kelvin kafunguka...maua yako kwa kumpenda Loveness 🎉🎉😂❤❤
@TeyzzyJúniorАй бұрын
Até por em fim lançaram gosto muito dessa história a partir de Moçambique distrito de Mueda ❤❤❤
@RenaldaKirwayАй бұрын
Nimewahiii🎉🎉🎉
@hadijachauya6937Ай бұрын
Waaaah👍 wale tuliosubir hii scene piga like 🎉
@CarolyneMalala-o6xАй бұрын
Umechelewesha ila Asante kwa kueka wazi upendo wako kwa Loveness 🎉🎉🎉🎉
@BlessingSarifaАй бұрын
Wow kelvin Asante kwa kumwambia loveness vile una_feel❤ Napenda sana dada loveness . watching from Kenya
@ElizabethKastilaАй бұрын
Loveness kabla hujaingia kwenye mahusiano mwambie Kelvin ampe Tina taraka yake la sivyo Italian kilio Cha mbwa mdomo juu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@glorymungure7740Ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza jamani leo
@WistoniSiliveriАй бұрын
Mbona watu mnakimbilia like sana😂😂unakuta mtu anasema kabisa ety tangu nianze kuangalia sjapewa hata like1😂😂😂au mna pata comishion mtuambie nasisi tuanze kudai like🤷♂️🤷♂️🤷♂️
@PhostineWaswaАй бұрын
Imagine hakuna ushauri n likes twatu wanataka
@MiishHassan-qm1etАй бұрын
😂😂😂
@salomemuturi9005Ай бұрын
Ushagonga ndipo waulixe na watueleze tupate fahamu😅
@WistoniSiliveriАй бұрын
@salomemuturi9005 ee
@EvethaSimba-i1cАй бұрын
Wanapeleka kikoba
@nshimiyimanaalex6467Ай бұрын
Karibuni Tena tuko pamoja Kigali 🇷🇼 turabakunda cyaneee pe
@QwerQwer-p8xАй бұрын
😂😂😂😂😂😂aha turi mugiswahili umechanganya ruga hawatokuelewa
@ChannyQueenofficialАй бұрын
😂🤣😅🤣🤣@@QwerQwer-p8x
@albertkassian1495Ай бұрын
Quality production , excellent team work , the first growing podcast in Tanzania🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@AliceCukiАй бұрын
Team loveness hoyeeee 🎉🎉🎉hangera sana kaka Kevin kwambia loveness unampenda 🎉🎉🎉 team yote nawatakia kira laheri❤❤❤❤
@UtHd-q8hАй бұрын
mie wakwanza Leo jamani❤❤❤
@aishaaisha1485Ай бұрын
Jaman leo mm wamwisho msininyime like pliz, na luv ukimkataa kelvin usiongee na mm❤ tumeisubiri sana iih siku ya uyu mwamba kukwambia ukwel kusu kukupenda likua ❤❤❤tunao subiri jibu la luvnes gonga like apa ❤
@CollinsKamoneАй бұрын
Wakwanza nimefka toka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EsnahofficialАй бұрын
Nipitie pia
@NyakuarNyosese-l7hАй бұрын
Wanyenya mpo🎉
@NyakuarNyosese-l7hАй бұрын
Wake ya mpoo🎉
@CollinsKamoneАй бұрын
@NyakuarNyosese-l7h tumejaa tele
@fetuserama2973Ай бұрын
Kevin ongera Sana kwakumufungikia lovennes nataka nishike gauni yalovennes ya arusi nawapenda wote ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SiyajariEvangelineАй бұрын
Kevin yaanii reo ndo umekuwa kabisa nirikuwa ninahamu ya kuona kivin anamwambia rav kuwa anampenda reo nimefirahi saaanaa❤❤❤❤❤
@PascalInocentАй бұрын
Pumbavu zenu Leo nimewahi😂😂😂😂😂😂😂
@InvyolataIndasiАй бұрын
Nimewai jamani wapi likes zangu kutoka kenya
@PromiseBanzaАй бұрын
Niko wa kwanza RDC mungu awatiye nguvu zaidi
@GIDEONKIPKIRUI-s3zАй бұрын
Wow I can't wait for the next episode It's enjoyable kwanza suspense 🎉