feitoto mshukuru Mwenyezi ndiye afanyaye yote ,,ukiwa Zanzibar unaonyesha ukija kusugua mdomo hata eti
@haidarysalehe90568 ай бұрын
BINGWA WA BARAAAAAA SIO WALE WA MECHI MBILI ETI BINGWA😂😂😂😂😂😂😂
@WilliamGama-zt3pj8 ай бұрын
yanga inatisha
@hamzanangameta62438 ай бұрын
Alivyofunga midomo watu niliwaambia ubigwa YANGA anachukua! Wakanibishia
@hawamasanje95898 ай бұрын
Tena mwl huyo siyo Feitoto ni lijitu lizima halijitambui akafie huko Azam ni mjinga tu hawezi kuonyesha uwanja mzima na kuwafunga midomo mpaka akazira medali huyo kachanganyikiwa
@JumaMkumba-dm1rq8 ай бұрын
Leo tena na mama wazir
@muhammadmuhammad50438 ай бұрын
Kiukweli Nilaana Ilikuwa Asifanye Kile Kitendo Kwakweli Niutavu Waadabu Hata Alizomewa Yaye Engenyenyekea Kuonnesha Ungwa Kama Kuwaonesha Msamaha Sio..Kufumbusha Mdomo
@IsmailJuma-zb5ni8 ай бұрын
Toka zako
@augustinemainde8 ай бұрын
Simba Wana kombe la Muungano😂😂😂😂😂
@ShabaniMussa-f3k8 ай бұрын
Wape za uso hao shenz
@ramadhanimrungu58068 ай бұрын
Mwambie ukweli uyo mtt ni kenge ana nidhamu
@thadeusmarkiminja22828 ай бұрын
Kapata pesa kajisahau achana nae mwalimu
@YusuphJilala-r4e8 ай бұрын
Fei ni zwazwaaaa
@albertvalentino1308 ай бұрын
Hizo timu nyingine,eti wanatamba na kombe walilochukua kwa kucheza mechi mbili " big Shem to them " -- yule mtoto ni zwazwa tu,kwanza anagundu --- ameondoka,sisi tunaendelea kubeba mandooo tu --- yeye anamedali gani ? Uzwazwa tu unamsumbua tu "
@thadeusmarkiminja22828 ай бұрын
Daa huyu Yahe nampenda mnoo.na niliwahi kumpambania akatafute maisha mbele nikitegemea angeenda nje ya nchi kumbe alikuwa na ushawishi wa hapo bongo namsikitikia.amekosea kitendo alichofanya hata mi nimeumia.mbona Ali kamwe kasma hongera kwa Azam huo ni uzalendo.kweli nimeumia hana rispect.amesahau alikotoka
@WILLIAMCHILOSA8 ай бұрын
Fei toto ni bwege tu.
@TwalibKwelii8 ай бұрын
Na wewe ndio bwege mwenziwe
@Saidimussa-1238 ай бұрын
unatish
@lucaskasonde45588 ай бұрын
Bado hamjasema fei toto ngoja awanyooshee.....😂😂😂😂😂 ninyi mnazomea 😅😅😅😅
@jumamakonya26658 ай бұрын
Hii.....!
@careemdulla16298 ай бұрын
Jamani Fei Toto ni mjinga msipoteze muda wenu kumfatilia ametangaza vita na sisi Yanga Africa sasa ameyatimba na bado hajazomewa asubiri ligi ianze ndio atatutambua..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@danielmkumbo7838 ай бұрын
😊😊
@YusuphJilala-r4e8 ай бұрын
Hahaaaaa kisugu chiziiiiii😂😂
@ghulamhaji78568 ай бұрын
Wewe unanuka mavi
@nassorseif4048 ай бұрын
Naenda zako uko mafanikio ya fei yanawaumiza
@Nabiilkhamis8 ай бұрын
Hato fanikiwa ww kama nan
@kassidpandu8668 ай бұрын
Fei anawaumiza sana utoporo poleni sana na baaadooo
@daudimichael73388 ай бұрын
Anawaumiza Yanga kwa lipi wewe kolo?
@AliUsi-ms4bm8 ай бұрын
Hulijui? Wanga tu nyinyi
@AlexThobias-wn6tw8 ай бұрын
Hakuna mchambuzi ni mcha tumbo nimecheka kisport
@janifajani88758 ай бұрын
Kwani hawa watu wanalipwa mishipa yashingo inavo watoka😅😅😅😅
@kayandaabwe29768 ай бұрын
Ww kila mtu mdogo yako???
@sylivestermwasile42038 ай бұрын
Mkubwa hayoo mwalimu ni mwili umekataa
@Mamcute-ec7rg8 ай бұрын
Nambar zinaongea aliwaomba radhi kimya ndio mlivyo wapenzi wa yanga na cmba mungu amjalie Kila laheri kijana wetu
@matiankomola23918 ай бұрын
Mtengenezeni kijana wenu kuwa nq unyenyekevu utamfikisha mahali pa zuri, asiingie kwenye mapambano na Umati wa Watu. Kuwafumba midomo umma wa watu ni kiburi siyo malezi mema.
@IsmailJuma-zb5ni8 ай бұрын
Huyu ni mwalimu wa ujinga au
@JohnMsaga8 ай бұрын
Mwl wewe kumbe nimwalimu vidudu Huji hata msemo unaposema mti wenye matunda hupigwa mawe Huyo Feisal ni nzuri sana kuliko wengine hapo yanga, Wacha ujinga
@nurdinmfamau34938 ай бұрын
Tusije Tukasahau Mjinga Mwenyewe. Kwa Taarifa Zako Miti Mingine Inapigwa Mawe kwasababu Juu Yake Kuna Nyoka.
@aminasalim87088 ай бұрын
😅🎉😂@@nurdinmfamau3493
@IsmailJuma-zb5ni8 ай бұрын
Mbona hamuongei kama kaipeleka Azam club bingwa?
@matrida.lunyilija51968 ай бұрын
Kolo mmoja
@RashidiHassani-in9rb8 ай бұрын
Wataka furaha ipi ww mkwanja were anaoingiza kulipo alipo kuwepo huk
@RashidiHassani-in9rb8 ай бұрын
Halafu unasemaj fei anatukana ww na yeye anetukana nani unamwambia mtoto hajamaliz kunyonya mamaake
@matrida.lunyilija51968 ай бұрын
Huyo ni shabiki ana haki ya kuzomea lkn sio mchezaji
@kassidpandu8668 ай бұрын
weee Mwehu sana pale kawanyamazisha utoporo mbona nyie Mkimzomea sana mmesahau? Tunajua mnamchukia lakini anawajibu kwa vitendo tu