Рет қаралды 866,530
KARIAKOO DERBY: Yanga SC imeendeleza ubabe kwa kuichapa Simba mabao 2-1 kwa mara ya pili msimu huu, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Magoli ya Yanga yamefungwa kipindi cha kwanza na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika ya 38.