MWALIMU YANGA atupa jiwe GIZANI ,Achafukwa vibaya mno/ Amtolea maneno ya shombo ARAJIGA/ATUMA ujumbe

  Рет қаралды 13,203

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Пікірлер: 132
@frankmajebele367
@frankmajebele367 Күн бұрын
Mnamulaum bure tu refa red card ilikuwa halali acheni maneno tumefungwa yaishe.
@JosephNgasa-j7l
@JosephNgasa-j7l Күн бұрын
Wana yanga tunajidhalilisha kulalamika sana juu ya matokeo au kumlalamikia refa kwani ndio mpira ulivyo na red card ilikuwa sahihi,sema tu bahati haikuwa upande wetu Wana yanga,ACHA ipite tujipange wakati ujao
@MagaunWilago
@MagaunWilago Күн бұрын
Acha uwongo ww mnapenda sana kubebwa mbona mlivyo bebwa na cost pamoja nakeni golidi hamsemi
@arnoldlwehela4372
@arnoldlwehela4372 Күн бұрын
Mnawapa airtime watu wasiojua mpira 😅
@badimruma6695
@badimruma6695 Күн бұрын
Mpira umeisha, Yanga sio timu ya malalamiko, tushukuru wenzetu wameahirisha kuhama ligi. Tuangalie mechi zinazofuata. Lengo ni ubingwa, sio kutokufungwa. Hongera wachezaji wetu, wamepambana sana hata walivyokuwa pungufu
@issaomari5297
@issaomari5297 Күн бұрын
Halijui mpira hili jamaa kumbe anaangaliwa mtu wa mwisho for Attacking position kuliangalia goli ndo maana baka kala red nihakali kabisa
@daudwilfredchubwa-v4p2017
@daudwilfredchubwa-v4p2017 Күн бұрын
Nabado dawa haijawaingia bado hamjasema
@RahmaShona
@RahmaShona Күн бұрын
Nyinyi ndo dawa iwaingiebwa nyie
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd Күн бұрын
Subr uwone km kunamechi tunapoteza tena
@SwaumuSaid-l2l
@SwaumuSaid-l2l Күн бұрын
Sasa jamn refa yupi mzima
@lourykibudu
@lourykibudu Күн бұрын
Hiyo inaitwa wachambuzi wapiga nyeto 😂😂😂😂😂😂
@paulcharles321
@paulcharles321 Күн бұрын
Huyu fala sana haelewi mpira Yanga Wana mechi tatu ambazo hawakustahili pointi ila hakuzungumza
@SelemaniMtepe
@SelemaniMtepe Күн бұрын
Akili unazo ila sema zimepungua kichwani kwako Rudi shule ukasime Yani unaohijawa lakini unachohojiwa haujibu kwa fact unauma uma ulimi, Mwizi kaibiwa analia kweli kweli uliona Raha 2 kuwadhurumu wenzako ma Bado mukiruka ukuta m12 mukipita kialali kwenye geti kuu kipigo kipo pale pale chagua1
@witnesskagirigiri3763
@witnesskagirigiri3763 Күн бұрын
Mwamnyeto hakufaa kuwa beki .uzee umemvuta shati hawezi kukimbia na ndio maana hawezi kumaliza mechi bila kadi.
@isaacbywell7081
@isaacbywell7081 Күн бұрын
Kaz imeanza malalamiko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Msemakweli058
@Msemakweli058 Күн бұрын
Wana yanga hacheni ujinga hile red cad halali
@Khalidniya380
@Khalidniya380 Күн бұрын
😂😂😂😂 leo kiko wapi
@obadiaedward1127
@obadiaedward1127 Күн бұрын
HUYU ANATEGEMEA KILA SIKU ABEBWE, SIKUTEGEMEA MLIELIE OVYO. MTENDA UTENDEWA
@nameiztv7870
@nameiztv7870 Күн бұрын
Ile kadi KAZINGUA , lakini Gamond anapanga kikosi kwa Mazoea.
@lourykibudu
@lourykibudu Күн бұрын
Anamfukuza Hadi waziri dahhhh na wale kina mwigulu wanaoongea bungeni 😂😂😂😂😂
@khalifamohd5992
@khalifamohd5992 Күн бұрын
Huyu ndo hafai kusikilizwa mana hajui chochote 😂😂😂
@RashidiAlly-et1sg
@RashidiAlly-et1sg Күн бұрын
Acha usenge ww Pole yako ww sio wa tanzania wote
@GeofreyJackob
@GeofreyJackob Күн бұрын
Yanga mumetepeta achen kelele mumezoea kubebwa
@IssaKhamis-v9y
@IssaKhamis-v9y Күн бұрын
ahhhh km tutachukua marefa nje ya tanzania au ulaya ,SIMBA,YANGA,AZAM.hawawezi kuchukua ubingwa miaka 50, sio km nje ya nchi hakuna marefa wabovu baasi tu usimba na uyanga mbele ndo mana sifatiliiiii mpira wa kibongo wala sina habar
@frosttgp1510
@frosttgp1510 Күн бұрын
Huyu jamaa anaongea nini huyu 😢
@obadiaedward1127
@obadiaedward1127 Күн бұрын
GSM KUDHAMINI TIMU NYINGI MBONA Hamuiambii serikali au TFF wawatoe tamko
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 Күн бұрын
Baka alikuwa mtu wa mwisho mana wengine wote walikuwa mmoja chini mbali na mwingine juu mbali na amemshikilia forward alikuwa anaenda kufunga goli,pia Azam amenyimwa penalty
@Peter-fy3gf
@Peter-fy3gf Күн бұрын
Tatizo Mlianza Kupenda Timu Kabla Ya Mpira
@josepahatmargwe6504
@josepahatmargwe6504 Күн бұрын
Kwenye game zenu ZOTE ,mnabebwa Leo mnamlaumu
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 Күн бұрын
Mwl Yanga acha kulalamika Wachezaji wetu wajitume tu tutashinda achana na hao wachambuzi uchwala na ni wanafiki tu
@MagumtataTz-og
@MagumtataTz-og Күн бұрын
Huyu jamaa ni mlevi au ,,, nakumbuka alisema simba droo ya confederation cup hatokuwepo lakn tarehe Saba nilishangaa simba yupo group A sasa hapo ameongea point gani
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Күн бұрын
Hujui mpira kwa sheriaza leo haijalishi ni mpira wa Mwisho au la ukizuwia mchezaji kufunga ni Totally red card
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c Күн бұрын
Ww ujui Mpira umekariri mtu wa mwisho yule kazuia mtu ambaye alikuwa na nafasi ya kufunga goli kasome kanuni Tena unajifanyaga mtu wa takwimu kumbe ujui Mpira.
@mussadunia-t7h
@mussadunia-t7h Күн бұрын
acheni mamneo nyie m,mechapupw 2u, hachapelee wew
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 Күн бұрын
Kubwa Zima linaongea matakataka😂
@adamnyange
@adamnyange Күн бұрын
😂😂😂😂punguzeni midomo ya sherehe.
@MUSARASHIDI-l5y
@MUSARASHIDI-l5y Күн бұрын
Mwalimu yanga mumepigwa urongo gori halali kadi nyekundu halali usilalamie arajiga ako sawa
@VanLight-q9n
@VanLight-q9n Күн бұрын
Jmaa anatumia nguv nying kutuamnisha ujinga
@SeifSady
@SeifSady Күн бұрын
Mwalim mm mwanayanga ila jana mwamnyeto kachoka sanaa mechi ile bek hakabi na anakaba hewa kanikela sanaaa jana mpuuuzi yule😅😅😅
@saidkhamismasai1204
@saidkhamismasai1204 Күн бұрын
HSANA BWAN LEO TUMEPIGWA ILE NI KADI NYEKUNGU LIVE TUACHE KULALAMIKA BANAA
@faaubwa4158
@faaubwa4158 Күн бұрын
Huhuhuuuuuuuuuu ata badooooo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@AlbertLambert-b4p
@AlbertLambert-b4p Күн бұрын
Povu Lina kutoka kama mgonjwa wa kifafa 😅😅. Iime ingia iyooo
@EvaristoAmbrose
@EvaristoAmbrose Күн бұрын
Huyu mzungumzaji ni mjinga sana Ile penalty ilikuwa halali au siyo halali?red card ilikuwa halali tuu Jana mlikuwa mmepigwa 2 bila.
@HemedIdrisa
@HemedIdrisa 22 сағат бұрын
Anavyionekana ananjaa sana. Nikimwangalia NAMFANANISHA NA ISA AZAM. PINDI KILE CHAWA WA MOND
@abubakarijuma5817
@abubakarijuma5817 Күн бұрын
Angalia mjinga uyu ukifugwa lefa mbovu ndomana mpila wa bongo aukui
@JaphetBetham-ib6xo
@JaphetBetham-ib6xo Күн бұрын
Haujielewi broo
@WistonKilindu
@WistonKilindu Күн бұрын
Inakuuma eti.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Күн бұрын
Mie ni shabiki wa yanga ile kadi nyekundu baka alipaswa
@msiiwaziri1159
@msiiwaziri1159 Күн бұрын
Mwalimu punguza kuongea kwa mihemuko mashabiki wa yanga tumekubali tumefanya kosa na tumeadhibiwa kwa makosa yetu
@MusaStephano-s9c
@MusaStephano-s9c Күн бұрын
Penat hakuna, mshambuliaji kajigongesha kwa mudathir.
@GeofreyJackob
@GeofreyJackob Күн бұрын
Ata uyo. Dogo. Anae lalamika hajui mpira huyo mpiga kelele Hana lolote mwambie akale magimbi
@Adamu-s1s
@Adamu-s1s Күн бұрын
Huyu anaitwa mwalimu kwanini maana anaongea usenge mtupuchizi nini
@AngelileMvella
@AngelileMvella Күн бұрын
Hujielewi unachoongea hizo Ni mbinu za ushindi Leo yamewakuta mbona na Simba mlipoteza muda
@OmarHamis-p9l
@OmarHamis-p9l Күн бұрын
Sikulijua hili kumbe wew ni chizi
@MariamuAdamu-r6r
@MariamuAdamu-r6r Күн бұрын
Ukizoea kula kwenye shughuli ya wenzako nawewe zamu Yako itafika
@dannymkenga606
@dannymkenga606 Күн бұрын
Hujui mpira we n mbangaaa
@WistonKilindu
@WistonKilindu Күн бұрын
Imeingia hiyo acha kulopoka mwalimu yanga wamchongo,mbona mlibebwa kwenye daby yasimba,wewe bwege tu huna jimpya tena huna akili tu.
@IbrahnationIbrahim
@IbrahnationIbrahim Күн бұрын
Huyu jamaa hajielewi
@khadijajumanne3324
@khadijajumanne3324 23 сағат бұрын
Kaelekezwa kukumbatia nakuwavuta watu
@gibrilmongi5646
@gibrilmongi5646 Күн бұрын
UKIWA NA UCHUNGU MOUONI, KAA KIMYA, MDOMO ULIPONZA KICHWA
@suedmohamed1701
@suedmohamed1701 Күн бұрын
Ungezungumzia card ya diara sawa
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 Күн бұрын
Azam imenyimwa penati.refa mbona katubeba
@suzanasimonqwarsan
@suzanasimonqwarsan Күн бұрын
Unavuka mipaka mpuuzi we wazr anachez
@BeatriceZakaria
@BeatriceZakaria Күн бұрын
Kama kayoko alivyopewa maelekezo na wakubwa kuiua simba dhuluma zinawaludia na bado
@GeorgeKyaruzi-or7ql
@GeorgeKyaruzi-or7ql Күн бұрын
Ili dogo lisenge Huwa linaongea pumba nalijua mno maana nimesoma nalo pumbavuuuuu
@SebastianMvomela
@SebastianMvomela Күн бұрын
Huyo anaitwa mwalimu mwalimu wa nn huyo MBNA ajui atakujieleza
@calvinmazaginza5422
@calvinmazaginza5422 Күн бұрын
Huyu jamaa huwa nimpiga domo tu! Red card huwa ni mchezaji wa mwisho au nimakosa? Alimshika akazuia asifunge ndo maana
@AlbertLambert-b4p
@AlbertLambert-b4p Күн бұрын
Hahahah. Mkuki Kwa nguruwe. Kwa binadamu mchungu
@HassanMkwenda
@HassanMkwenda Күн бұрын
Bado hamjasema
@khadijajumanne3324
@khadijajumanne3324 23 сағат бұрын
We mjinga usiwaseme watu we mseme baka kakosea kufanya faulo
@welsonleonad1743
@welsonleonad1743 Күн бұрын
😂😂😂 kavulugwa
@daudwilfredchubwa-v4p2017
@daudwilfredchubwa-v4p2017 Күн бұрын
Huyo siye kayoko huyo ndo alajiga
@halimamnyati9311
@halimamnyati9311 Күн бұрын
Bado hujasema mpk usemeeeeeeee
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 Күн бұрын
HUYU NAYE NI. MNAFIKI ANAPENDA SANA KUUONGE
@lourykibudu
@lourykibudu Күн бұрын
Simba hapo kacheza wapi? 😂😂😂😂😂😂😂
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko Күн бұрын
Nasosi tunashukuru kayoko tufany kila mtu awe na lefa wake kama alivyotuma kayoko
@ShukuruSeiph
@ShukuruSeiph Күн бұрын
Wewe chizi sana
@MPOYOLAFILMS
@MPOYOLAFILMS Күн бұрын
Nanii la nanii yako wew
@WilliamChambi-ug4mp
@WilliamChambi-ug4mp Күн бұрын
Kweli wewe no zezeta hujui mpira sijui umetoka wapi
@frankkulwa
@frankkulwa Күн бұрын
We mpumbavu tuu SEMA hivi michezaji yenu imechoka
@saidmwinyimvua9741
@saidmwinyimvua9741 Күн бұрын
Acha ulopolopo na uccm wako unaleta utafungwa sana
@SalumuChilumba
@SalumuChilumba Күн бұрын
Tuendelee kumshukuru refa kwa kuwanyima azam penalty, mpuuzi wewe TU ndo unaona hivyo
@hashimmandari8919
@hashimmandari8919 Күн бұрын
Mbona penalti ya Azam husemi ww bwegee
@LucasOscar-n8q
@LucasOscar-n8q Күн бұрын
Yanga na simba wapuuzi tu amtaki kufugwa mkifugwa makelele tu
@HoseaKigembe
@HoseaKigembe Күн бұрын
Makubwa! mahakamani tena?
@KingMswati-i8e
@KingMswati-i8e Күн бұрын
We hujui mpira kalale
@ChaseGabagambi
@ChaseGabagambi Күн бұрын
Pumbafu watanzania wote wp acha ushenzi
@fredrickndossi1078
@fredrickndossi1078 Күн бұрын
Acha maneno refa naye ni binadamu hukuona penaliti waliyonyimwa Azam pole watanzania wote unafikiri watanzania wote wanaishangilia yanga acha mambo yako
@maximilianikatani2602
@maximilianikatani2602 Күн бұрын
Kunya kwa Bata munafurahi ee kwa wewe engine uchungu
@bavonichristopha1693
@bavonichristopha1693 Күн бұрын
Huyu mwamba kavurugwa nini? eti pole wa watanzania wote kufungwa wafungwe utoooo alafu unasema hii pole kwa watanzani wote kwani uto imekuwa taifa stars mpaka usema pole kwa watanzania wote
@fadhilihussein3963
@fadhilihussein3963 Күн бұрын
Hivi huyu nani alimpa jina la Mwalimu?Yaani haijawahi kutokea jitu jinga kama hili katika historia ya mpira.
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
😂😂😂😂
@hashimmandari8919
@hashimmandari8919 Күн бұрын
Wewe Fala tuu
@jacomomuyinga
@jacomomuyinga Күн бұрын
Hakuna kadi halali pale kakosea
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Күн бұрын
Zuzu kweli huyu jamaaa
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
Kwa kayoko hakuongea😂😂😂😂😂malipo ya dhuruma
@halimamnyati9311
@halimamnyati9311 Күн бұрын
Unatumalizia mb 2 ckuelewi
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
@halimamnyati9311 kamamako ww punguza shobo na comment za watu
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
@halimamnyati9311 kamamako ww punguza shobo na comment za watu
@simonzelote5998
@simonzelote5998 Күн бұрын
Mwalimu wewe mpira haujui Sheria ya mpira ya red card imebadilishwa.
@richardbuchwa-te2tl
@richardbuchwa-te2tl Күн бұрын
Acheni lawama nyie nan msifungwe alaf fatilieni Sheria za mpira zinabadilika kila kukicha bwege nyie
@JuliusWandwi
@JuliusWandwi Күн бұрын
ww hata babaako utamuita mdogo wako.
@GoodluckLucas-o6u
@GoodluckLucas-o6u Күн бұрын
Nenda Kanywe supu jangwan mbwa ww
@JuliusWandwi
@JuliusWandwi Күн бұрын
ivi Kweli huyu ni mwalimu au ni mwalimu feki?
@OnaiGodwin
@OnaiGodwin Күн бұрын
Walitak kayoko akachezesh
@hildapenina9390
@hildapenina9390 Күн бұрын
katika wasenge ww kaka ni mmoja wapo Fala ww kuna mwamuzi.aliye chezesha mechi.mbaya kam ya simba na yanga matako ww
@SelemaniMtepe
@SelemaniMtepe Күн бұрын
Kwani wewe na Caf nani Wana akili, ebu acha zako wanga wakubwa nyie
Motorbike Smashes Into Porsche! 😱
00:15
Caters Clips
Рет қаралды 12 МЛН
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 37 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 18 МЛН
amazing#devil #lilith #funny #shorts
00:15
Devil Lilith
Рет қаралды 17 МЛН
Who's spending her birthday with Harley Quinn on halloween?#Harley Quinn #joker
1:00
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 9 МЛН
Не зря в лес сходил, получается
0:12
Новостной Гусь
Рет қаралды 2,5 МЛН
СВАРИЛ САМЫЙ ШИРОКИЙ ШОВ😎💥
0:27
lolgenerate | Top Shorts
Рет қаралды 1,2 МЛН