Watu wengi hamna maarifa ya Mungu Mungu awasaidie sana heri ya wale wakaao kimya wakitafakari ukuu wa Mungu kuliko wale waliokaa na kubishana na mambo wasiyoyajua. Kama malaika wa ulinzi walivyo mbinguni ndivyo ilivyoduniani pia maana hakuna kilicho duniani ambacho hakijatoka kwa Mungu. Kwani Mungu ndiye muanzilishi wa vyote.
@katemachanda70356 ай бұрын
Mfano tu wanaokuchukia hata kwenye comment humu walivyo wengi, wengine Hadi matusi wanakutukana, na Ukiachilia mbali wale wanaojaribu kukuloga wapo ambao wangediriki kukutupia mawe, ngumi, visu, risasi n.k kama wangekua karibu nawe, halafu hao hao wanataka usilindwe 😂😅😆 people are very funny.. Na Bado usingelindwa angetokea mtu akafanikiwa kukudhuru Bado wangesema Walokole akili hakuna kabisa😂. MKUU WE FANYA KAZI YAKO TU KADIRI MUNGU ANAVYOKUONGOZA!
@geroldjohn46986 ай бұрын
🙏🙏
@HotNew3606 ай бұрын
Jamaica yupo sawa Sanaa namkubaliii hadi kesho
@bilid41286 ай бұрын
Apostle ! Tupe andiko linalosema Mungu analindwa na walinzi wenye macho nyuma na mbele
@fredrickmagele70656 ай бұрын
Hawez kuwa na kifungu Cha Biblia kinachotetea huu upuuzi
@robertchuwa97016 ай бұрын
Cherubim, in biblical tradition, are angelic beings associated with the presence and majesty of God. They appear in various books of the Bible, often depicted as guardians of sacred spaces and symbols of God's power and glory. Their primary roles include: 1. **Guardianship**: Cherubim are first mentioned in Genesis 3:24, where they guard the entrance to the Garden of Eden after Adam and Eve are expelled. 2. **Divine Presence**: They are depicted as part of the divine chariot in Ezekiel's vision (Ezekiel 1 and 10), symbolizing the presence and movement of God. 3. **Adorning the Ark of the Covenant**: In Exodus 25:18-22, two golden cherubim are described as covering the Ark of the Covenant with their wings, representing the throne of God. Cherubim are often described with multiple faces, wings, and eyes, reflecting their complex and powerful nature.
@robertchuwa97016 ай бұрын
Cherubim ni makerubi
@japhetbukuru53006 ай бұрын
Kuna tofauti kati ya walinzi na bodyguards. Yesu hakuwa na walinzi Bali alikuwa na bodyguards Kwa ajili ya kuwajibika kwanza kabla yake. Popote alipokuwepo Yesu, Petro, Luka n.k walikuwa karibu naye Ili kuguard
@gastongowi6726 ай бұрын
Hapa atafutwe mch. Hananja kusahihisha hili
@mathewdaniel43416 ай бұрын
Mungu hana walinzi bana ko unavoona hapa duniani maarufu wanalindwa mungu halindwi
@fredrickmagele70656 ай бұрын
Duh mbna ni hatari sema ndgu zangu hakuna tusome maneno ya Mungu haiwezkani anayetulinda na kutupatia mahitaji yetu leo Ana walinzi hapa ametudanganya
@PendoPeter-rr4jk6 ай бұрын
Manabii wa uongo ndo kama Hawa,mungu hajawai kuumbwa,iweje alindwe na kiumbe alicho kiumba
@AwardHakimu6 ай бұрын
@@PendoPeter-rr4jkunabisa soma maandiko
@nicaswaziri6 ай бұрын
Huelewi wala hautaelewa mpaka ufunuliwe pengine unatumia akili ya kawaida lkn haiko hvyo.
@nicaswaziri6 ай бұрын
@@PendoPeter-rr4jkumejua vp? Hata maelezo yake hujayaelewa hata bible hausomi pengine unatumia akili ya shule ya msingi pole sana ila sikumoja utaelewa
@bushbabytz6 ай бұрын
HAPA KAZINGUA, MUNGU HANA ULINZI, WALA YESU HAKUWA NA ULINZI...WALE NI WANAFUNZI WAKE 12 HAKUNA SEHEMU BIBLIA INASEMA WALE WALIKUA WALINZI 12...KICHWA TOFALI WEWE
@LaurentMpilu-qe6lq6 ай бұрын
Soma biblia, maraika wa vita mbinguni wanakazi gani? Shetani alipoasi kichapo alichopata kilitoka wapi?
@nyandutozy_16 ай бұрын
wew una wazimu mungu mwenyew ana lindwa na malaika na wapo walio beba alshi yaani ni kama kiti cha ufaulme amabao malaika hao wako wa nane mkuu lazima ulinz uwepo kwa watu maalufu wa aina yoyot ile
@bushbabytz6 ай бұрын
@@LaurentMpilu-qe6lq wewe acha ujinga wewe, biblia gani unifundishe wewe, malaika walioasi ilikua ni shetani na wenzake, malaika mkuu mikaeli alipigana vita ile kama majeshi ya Mungu, lakini sio walinzi wa Mungu per say!
@bushbabytz6 ай бұрын
@@nyandutozy_1 shida sio kuwa na ulinzi mimi sikatai yeye kulindwa nakaa anaposema Yesu alilindwa na Mungu analindwa acheni ufala
@nyandutozy_16 ай бұрын
@@bushbabytz kama haujui kuw yesu kalindwa kasome tena mtume muhamadi kalindwa wakata akiwa kwenye vita uhudi kwahyo yeye yesu alikjwa anafikiwa tu kilahisi mtu akimuitaji
@ZilipaMbae27 күн бұрын
Ameeni🙏🙏
@msabilapaul40132 ай бұрын
Zab 34:7 malaika wa Bwana hufanya kituo kwa hao wamchao na kuwaokoa. Nabii wa uongo sifa mojawapo lazima awe na mabodygurd kwa kuwa roho ya Mungu haipo ndan yake
@shaddybmc83426 ай бұрын
Ulinzi muhimu sana👏
@Africasafarichannel6 ай бұрын
Huyu jamaa anajua kuchukua hela zetu kirahisi sana
@MbeziAmos6 ай бұрын
Kama ni rahis na wewe kafanye
@nicaswaziri6 ай бұрын
Umetoa sh ngap ww? au unaongea tu sisi tunaotoa tunajua nn tunapata kwake ni tumetendewa nn ww wapelekee waganga ss tunawapelekea watumish wa Mungu aliye juu.
@Leeeeeeee-966 ай бұрын
na wewe kachikue kama rahisi 😂
@GeraldElias-s7j5 ай бұрын
Nyakati zamwisho manabii wauwongo wengi sana
@IBRAHIMUGABUSU-i6x6 ай бұрын
Nyie acheni vineno mbona YESU alipo vamiwa na maaskali mbona Petro alimkata skio Yule askali acheni unafiki wenu
@COMPASSIONMEDIA6 ай бұрын
MUNGU HALINDWI. YEYE ANAJITOSHELEZA
@nicaswaziri6 ай бұрын
Na malaika wanafanya kazi gan mbinguni? Je shetani alishusha na malaika gan? Someni biblia sio kubishana na kitu msichokijua.
@damaspmtz10186 ай бұрын
Ulimuona Mungu anawalinzi gani!! Acha Uongo
@majaliwabwitonde69006 ай бұрын
Sikiliza ndugu
@jumannemalungo50186 ай бұрын
Watumishi hawa acha tu
@dicklenny19576 ай бұрын
We nawe soma ufunuo wa Yohana soma Ezekiel utaelewa usibishane tu
@IBRAHIMUGABUSU-i6x6 ай бұрын
MUNGU anaulinzi wa😂malaika tena mkubwa tu kila upande
@japhetbukuru53006 ай бұрын
Kama haumuamini Yesu basi amini kazi zake na mamlaka aliyowaachia wale waliomwanini!. Yesu ni mwana wa Mungu aka Mungu na mamlaka yote duniani na mbinguni Iko kwake ndiyo maana wagonjwa wanapona au changamoto yeyote Ile ngumu dawa yake ni jina la Yesu. Kataa au usikatae Yesu atahubiriwa watu na dini zao wataokoka
@PeterTweve-t1c6 ай бұрын
Kwaiyo wewe ni Yesu
@washingtonngullo19886 ай бұрын
Yuko sahihi kabisa kuwa na ulinzi yeye Yuko kiroho na kimwili
@Stellastella-yi5vu6 ай бұрын
Tangia wafe watu 23 Kilimanjaro eti wanagombania kukkanyaga mafuta nilishajua wew Freemason. Mrudie Mungu ni mwing wa rehema
@FelistaMsuyaАй бұрын
❤
@colletatesha52656 ай бұрын
Wai ngachoka acha nimwombe mungu mmi mwenyewe bana
@mariusmashelle45286 ай бұрын
😂 leka tiki
@mmassyferguson49596 ай бұрын
Bora tungeendelea kutambika kwa mila zetu tuu
@japhetbukuru53006 ай бұрын
Ukishakuwa m2 mkubwa ktk mamlaka yeyote Ile lazima uwe na bodyguards sio mlinzi. Kiswahili hakijakamilika Kwani mlinzi anakilinda lakn bodyguards anaangalia Kwa karibu jambo lolote likitokea yeye awajibike kwanza
@fredrickmagele70656 ай бұрын
Bwana huwazungukia na kuwalinda wamchao leo ana walinzi toka huko pastor Yesu yuko karibu kuja
@daudiazizi84956 ай бұрын
Swali langu kwenu wote,,mungu mwenyeweAna maadui ama hana,pata majibu kwenye gitabu Cha zaburi,huu sio mchungaj Bali no mwokozi,,lazima apate ulinzi wakimwil.paulo mtume alikosa ulinzi akaburutwa
@MakukaOmary-e2b27 күн бұрын
Mungu hana maadui maana hana wakushindana nae
@enezermwafrica74436 ай бұрын
Yesu hakuwa na walinzi! na hata alipoambiwa wayahudi wa Jerusalem wanakutafuta ili wakuue wala hakukimbia, bali alisema tutashika njia kuelekea Jerusalem, ambapo yote yalioandikwa na Mitume na Manabii yatatimia huko, sasa wewe Mwamposa msafara wote wa ulinzi unaogopa nini? Biblia imeandika waoga hawataurithi ufalme wa Mungu😂😂😂
@nicaswaziri6 ай бұрын
Wewe kweli ndo wale wale kama unasema Yesu hakuwa na ulinzi je wakati wanakuja kumkamata wakamsurubishe kwann mwanafunz wake alimkata sikio yule moja ya askari waliokuja kumkamata? Huwezi kuielewa biblia mpaka umuombe Mungu akupe hekima zaidi na neno la Mungu ni pana huwez soma bible huku unawaza mchepuko na ugumu wa maisha.
@daudiazizi84956 ай бұрын
Nyie ambao munabisha hamna neno la mungu ndani,Bali mna maneno.namtu asipo kuwa n'a neno Kila kitu anabisha Mana ni mnyama
@sportsmantv83976 ай бұрын
Yesu ana uwezo wa kujua unachowaza hao walinzi walikuwa wa nini?
@edgarmtekele67106 ай бұрын
tunaomba interview fulll
@BhaiMwadidu6 ай бұрын
Point alyoipatia ni kusema watumishi/walokole wanaweka milango kwenye nyumba zao ilihali wana mungu,,ila hayo mengine kaongea pumba au ushubwada mtupu.
@IBRAHIMUGABUSU-i6x6 ай бұрын
MUNGU anaulinzi wa😂malaika tena mkubwa tu kila upande acheni unafiki na ana lindwa kama mungu kina Mikael 4:18 4:18 wanafanya nini kwa MUNGU
@mustaphahassan5896 ай бұрын
nani wamdhuru huyo MuNGU anaelindwa
@josephatjoseph17556 ай бұрын
Naamin ipo siku atatokea mtu kama Eliyah ambae atawaaibisha sana.
Hata Bwana Yesu hakuna andiko linasema alikuwa na walinzi na kama wangekuwepo mwanamke aliyetokwa damu myaka 12 angeshikaje pindo la vazi la Yesu?
@rashowshine78496 ай бұрын
Kwaiyo yesu ni mungu ama kuna mungu mwingine huko mbinguni mbona hamueleweki😂😂😂
@FURAHAKICHEKO-n3e6 ай бұрын
YESU NDIYE MUNGU MWENYEWE.
@rashowshine78496 ай бұрын
@@FURAHAKICHEKO-n3e 🤣🤣🤣🤣hujielewi
@nicaswaziri6 ай бұрын
Kuna ulinzi wa kiroho na kimwili. Kama uko kimwili ya rohoni hautayajua wala hutaelewa. Usibishane na kitu usichokijua Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu.
@rashowshine78496 ай бұрын
@@nicaswaziri nyie mko nashida sasa wewe umesema ni mwana mungu huyo naye kasema ndie mungu mwenyewe 😂😂😂😂
@nicaswaziri6 ай бұрын
@@rashowshine7849 kwani mtoto wa mtu huitwa nani? Maana Mungu mwenyewe alisema huyu ni mwanangu mpendwa niliyependezwa naye msikilizeni yeye. Unaweza kunipa tafsiri? Kaka mambo ya kiroho yanahitajiutulivu wa kupambanua sio kukurupuka.
@uwembatvonline6 ай бұрын
Kwa mantiki hiyo na yeye anajikuta Yesu 😂Au
@nicaswaziri6 ай бұрын
Kwani anamtumikia nani na ametumwa kufanya kazi ya nani? Kwani wakuu wamikoa wanamuwakilisha nani? Wivu mwingi sana. Anaponya kwa jina la Yesu tunafanikiwa kwa jina la Yesu hivyo lazima tufanane na Yesu.
@Mosesswalehe6 ай бұрын
Wale walikuwa wana funzi wake sio walinzi wayesu mungu hana ulinzi acha kuwapotosha watu wewe
@sarahgaula22206 ай бұрын
Yesu alikuwa na walinzi ama wanafunzi 12? Nielewwsheni.
@YustoMlay-cv4zb6 ай бұрын
Yesu alikuwa na wanafunzi sio walinzi
@LaurentMpilu-qe6lq6 ай бұрын
@@YustoMlay-cv4zbPetro alikata mtu sikio yesu alipokamatwa, sasa panga alitembea nalo la Nini?
@dicksoncyprian95116 ай бұрын
@@LaurentMpilu-qe6lq kwani wamasai wanatembea na visu vya nini
@LaurentMpilu-qe6lq6 ай бұрын
@@dicksoncyprian9511 kwa hiyo Petro alikuwa Masai?
@dicksoncyprian95116 ай бұрын
@@LaurentMpilu-qe6lq atakuwa mmasai
@thobiasanthony-ep6lb6 ай бұрын
Hawa jamaa wanatumia hofu zetu kama mtaji na wanafanikiwa sana.
@mohamedkisenga66546 ай бұрын
Kwan mungu yupo mbinguni acheni kudanganya watuu waongo nyie
@HASSANBAKARI-q9c6 ай бұрын
KAMA MZIGO UNAO WEKA ATA 10 WAKULINDE...SI PESA YAKO AU
@JohnFrancis-h7q6 ай бұрын
Kbsa ulinzi ni muhimu
@enezermwafrica74436 ай бұрын
Yesu alijua Jersalem wanamtafuta ili wamuue, lakini alisema tunakwenda Jerusalem bila woga, haya huo ulinzi kwa hawa mitume na manabii wanaogopa nini
@MonaMaiko6 ай бұрын
Ukiuliza Kwan Yesu ni Mungu? Uje wewe upo dunian lakin haupo
@pasiensiabel72786 ай бұрын
Yuko sahihi
@salehegiza33056 ай бұрын
Kama yesu alikuwa na body gadi mbona alikamatwa na wayaudi 😅😅
@epicart33516 ай бұрын
Kuna jambo hapo halijaa kaa sawa. Kulingana na maelezo yako. Kama Mungu nimuweza wa yote. Naanajua hili kabla halijatokea kwanini? Awe na ulizi? Wakati anaweza akawageuza maadui zake wawevipofu wasimuone. Hii ni story pia unatutengenezea kama story nyingine. Lengo lenu nyie nikuwafanya watu wasiwaelewe nini? Mnachokifanya kwa kutekeleza mahitaji yenu...!
@gilbertbidimbuka91046 ай бұрын
Huyu ni muongo mkubwa kweli kweli. Kunautofauti kati ya Mlinzi na Mwanafunzi
@samuelmakara6 ай бұрын
Yesu alikuwa na walinzi 12?
@abeidmayanga8096 ай бұрын
MUNGU ANAWALINZI
@designdesign44266 ай бұрын
Mungu anawalinzi!!!? ndo maana nasemaga uyo lunguwenu ni kenge kama kenge zingine mungu anawalinzi wanamlinda dhidi ya adui gani? pili nyie mnajilinda sisi mnatuambia tujilinde namafuta yaupako chumvi keki no sens
@21himself-6 ай бұрын
Huna lolote mwizi tu huyo
@aboudasilver65416 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@barrynzeyimana62706 ай бұрын
Miliabudishwa viumbe mkaambiwa kua ni Mungu. Mungu awe na walinzi Ili asiuawe?
@augustinofifi6 ай бұрын
Kitu kama hujui ni bora unyamaze tu ndugu yangu
@augustinofifi6 ай бұрын
Na huyo haijui dini anamjua Mungu ww endelea na kuijua dini itakupeleka kwa Mungu
@avitusmichael56 ай бұрын
We mbwa umekomenti ujinga
@augustinofifi6 ай бұрын
@@avitusmichael5 mzee matusi ya nini? Kila mtu abaki na imani yake. Mana kila mtu alikuja duniani kivyake
Mungu mbinguni ana walinzi ? Du anamwogopa Nani? Jamani Mungu sio mwamposa yeye ndiye anatutunza na kurinda viumbe wake.
@faridmohamed2036 ай бұрын
hawa matapeli hawajui hata dini eti mungu analindwa
@augustinofifi6 ай бұрын
Kitu kama hujui ni bora unyamaze tu ndugu yangu
@augustinofifi6 ай бұрын
Na huyo haijui dini anamjua Mungu ww endelea na kuijua dini itakupeleka kwa Mungu
@augustinofifi6 ай бұрын
Wewe unaeijua dini ushawaombea wangapi wamepona?? 😅
@GilgariMinistryTanzania6 ай бұрын
Ww dini imekusaidia nn mshamba ww wa dini
@wemaMichael-fr4th6 ай бұрын
acha kutufanya wajinga yesu hakuwa na walinzi bali alikuwa na wanafunzi 12
@GilgariMinistryTanzania6 ай бұрын
Ww ndio mshamba hujielewe na mchanga wa biblia mjinga wa injiri ww
@katemachanda70356 ай бұрын
Hao hao ndio waliomlinda.... Kama unafikiri Mwamposa anachukiwa ambapo mmojawapo wenye chuki naye ni ww, basi tambua kwamba Yesu alichukiwa maradufu na watu wengi zaidi ya Mwamposa. Usiku wa hukumu askari walivyokuja kumkamata Yesu Biblia inasema Petro akachomoa Upanga wake na kumkata askari sikio. So hawakuwa wakimfuata tu Yesu, walikua wakimlinda pia kikamilifu na kila mmoja alikua na Upanga wake, sio kwajili yakukatia nyanya .... KWAJILI YA ULINZI.