Aaaaameeeeeniiii barikiwa mtumishi wa Mungu.Tunausubiri kwa ham mkesha wa vuka na chako🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ Tar: 13 Tuna iman tutavuka kwa jina la Yesu Kristo.
@wakywenaky3674Ай бұрын
Kuna watu wanamsema vibaya sana huyo baba,lkn huyo baba ni mtu mmoja mwenye hekima sana ,tena ni humble man of God, Mungu amlinde sana
@NeemaIssahАй бұрын
Yes alisema wengi watakuja kwajna langu nao watapotosha wengi
@Mr.NdelwaАй бұрын
Hakika Mungu amlinde sana
@Bles-x1vАй бұрын
@@NeemaIssahkwahyo unasemaje
@Bles-x1vАй бұрын
@@Mr.Ndelwaameen
@hafsalucky1088Ай бұрын
Mungu Akubariki sn Apostle Mwamposa ❤
@pejesalum615Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Asante sana Mungu kwakumpa kibali mtumishi wako Baba Bonifac Mwamposa ❤👏🙏🙏🙏 . Ubarikiwe Baba Mungu azidi kukupa kibali kila siku uzidi kukomboa watu❤🙏🙏
@VenerandaKundi-ph4hgАй бұрын
Hapa napo Leo nimekuelewa mungu akutumie vizuri omba kabla mambo mabaya hayajatokea ktk nchi na watanzania wote ❤❤❤❤❤❤❤
@robertlary6007Ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati, Asante Mwamposa kwa ujumbe mzuri, Mungu aendelee kukulinda. 🙏🙏🙏
@mariamfaicalhassan2890Ай бұрын
Ameen mimi na Familia yangu yoote tutavuka kwa jina la Yesu na kwa maombi ya mtumishi wa Mungu Mwamposa
@AmenMushi-j2jАй бұрын
Mungu akutunze akupe maisha marefu
@NiceWatsonАй бұрын
Amen Baba Mungu atuvushe kiujumla na uzidi kuwa strong always Baba angu tunakupenda sanaaaaaaaa❤️♥️❤️♥️❤️❤️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪 🙏🏻 🙏
@magerthsilaaАй бұрын
tumshukuru mungu kwa kutupa mtumishi mwamposa
@kalagems6680Ай бұрын
Balikiwa mtumishi na uwe nuru kwa wengine ❤❤
@Salma-d8r6eАй бұрын
Amen na amini mungu ata ni vusha mimi wote waliyo wangu kwako à la yesu christo🙏🙏🙏
@nadhifakalugendo131Ай бұрын
Amen Mungu akubariki sana maana umetutoa mbali sana
@emmanueldonny6667Ай бұрын
Hongera sana muandaaji kwa kutuletea huyu mtu wa mungu mungu akubariki sana.
@ritapiusnicolaus7068Ай бұрын
Amen napokea na watoto wangu kwa jina la YESU 2025 niushindi juu ya ushindi🙏🙏
@ROZITHOMAS-y4qАй бұрын
GOD CHOOSE HIM
@ChandrikaVaraАй бұрын
Nikweli kufa ni muisho mugu Ana saidiya Zmm Amen 🙏 🙏 🙏
@annejacobilkiuyoni2971Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🙏
@bonifasiemanueli21Ай бұрын
Watakuja wengi kwa jina langu, hamna kitu hapo ewe mwana mpotevu😢😢😢
@KisaSilumbaАй бұрын
Amen mwaka uu uwemwakawangu
@MelissaMunezero-k1sАй бұрын
Nakutakia maisha malefu mutumishi wamungu tunasubili mukesha vuka kabula ya kuvuka Nachako ni chako Amen
@vickysteven1172Ай бұрын
Ameen ukawe mwaka wangu wa baraka
@kennymwanampinga3917Ай бұрын
Baba wangu wakiroho ever❤
@marthashimba46Ай бұрын
Namshukuru Mungu kutupa wewe hapa Tanzania.Mungu akulinde.
@Bles-x1vАй бұрын
natujue kuitumià nehema hii
@Grace_mnАй бұрын
WHY DO PEOPLE HATE SUCH A HUMBLE POWERFUL MAN OF GOD. HE IS A GOOD MAN.
@ananiamloweАй бұрын
Mungu akubariki Mtume nimesikiliza nimebarikiwa
@marikwilliam9886Ай бұрын
Amina barikiwa sanaa
@mikwilemyovela3382Ай бұрын
Sure 2021🙌 ilichukua vichwa vya familia
@GraceKimenangaАй бұрын
Tunakupenda sana mtume wa mungu❤❤❤
@AraAra-fs7tgАй бұрын
Nakupenda sana baba angu,Mungu akuweke na kukulinda daima. Wewe ni tunu ya Tanzania
@reytn2494Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💖
@NehemiaZakeo19 күн бұрын
amina
@ChandrikaVaraАй бұрын
It's true kwamii n amini sana yes Amen 🙏
@sospetermanyama8294Ай бұрын
Mtumishi wa Mungu usisikilize mambo ya manabii wanafiki wenye wivu wanao kosoa kila jambo jema linalotoka kwa Mungu mtumikie Mungu alie kuita
@RusakiKamatoraАй бұрын
Ahsant mtumishi hakika utakuwa mwaka wa mafanikio🙏🙏
@YesuninuruАй бұрын
Amen Sana Mtumishi wa Mungu,
@jonaspetro-if1hoАй бұрын
ubarikiwe m2mishi wa mungu
@SamsonChishimba-s2rАй бұрын
Nakupenda mwamposa adi sitaki kuona unahojiwa kwe media vile ni ayo tv imeku hoji ainaga ujinga ndomaana nimefunguwa ijumaa tarehe 13 nipo kawe mungu akulinde usiumwe ata unywele
@MonicaMkombweАй бұрын
Hata Mimi sipendi kabisa kumuona mtu akimuongerea
@Christiannyangi-u8vАй бұрын
Arise and shine 🥰🥰
@GodwinMwakibibiАй бұрын
Naombanitazame kwajichola huluma niombee mtumishi
@reytn2494Ай бұрын
Amen ❤
@SamsonSamsoni-q9sАй бұрын
Aamen mtumishi 🙏🙏
@SarahJoseph-u8gАй бұрын
Amina baba wa kiroho ubarokiee
@rambostalon2888Ай бұрын
Mungu akutunze
@florentinigawday1094Ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@JoyceLukasho-gi4wfАй бұрын
Mungu azidi kukutunza baba angu
@SaidBohaАй бұрын
Kwa mbali sana nasikia adhana Allahakbar
@VailetRohore-c4wАй бұрын
Nilinunua gari kupitia madhabahu hii(Subaru legacy)kirahisi Sana.Mungu akulinde mtume.
@reytn2494Ай бұрын
Haleluyah
@ChristineElias-bn4dwАй бұрын
Mim na family angu tutavuka salama na tutafanikiwa kwa damu ya yesu
@feliciankavishe6792Ай бұрын
Barikiwa Mtu waMungu
@norfenvgeraldo9493Ай бұрын
Amen jembe la bwana Bulldozer 🎉🎉🎉🎉
@amanmaleko3085Ай бұрын
Amin mtumishi 🙏
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
Amen 🙏
@reytn2494Ай бұрын
Ameeen
@GermanaMhakuАй бұрын
Ameni
@jacquelinemwakasala9563Ай бұрын
Ni kweli. Kuna mwaka unapita yaan huutamani hata kuusikia.tena hata kuumbuka true man of God .ni kweli pia wachawi wanabadilisha kalenda za mambo mbalimbali .
@reytn2494Ай бұрын
🙏🙏🙏
@AnordAlfred-t8cАй бұрын
Amen Amen
@TeddyMustaphaMustaphaАй бұрын
Amen 🙏🏽
@CathelineMagawaАй бұрын
Amen
@daudinkandiАй бұрын
😊
@InnocentSiprianАй бұрын
🙏 🙏 🙏
@masanjadigital8808Ай бұрын
Jamani ofisi ya mwamposa iko sehemu gani
@hemedbakari8997Ай бұрын
Ipo karibu na mskitini
@masanjadigital8808Ай бұрын
@@hemedbakari8997 msikiti upi sasa
@UPENDOMMAKASAАй бұрын
Sinza
@masanjadigital8808Ай бұрын
@@UPENDOMMAKASA sinza sehemu gan
@magrethmbuma3045Ай бұрын
Andika.kwa adabu Millard😢anza na cheo/nafasi/ aliyonayoooo wewe unaona hivyoo ulivyoanza ni sawa
@jacksonchigalika5081Ай бұрын
Amina
@SelinaKitigeleАй бұрын
Amina baba
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Very true sshv dec huoni roho za mauti km zamani sshvi shetani anawahi
@oscanyakungaАй бұрын
Nikweli kabisaa
@ThomasShindikwaАй бұрын
AMINA BARAKA ZA MUNGU ZIWE PAMOJA NASI.2024 HADI 2025
@TM-zs3rmАй бұрын
Kwa Makonda hapo si kweli. Mtu wa kisiasa hajisniki hadharani kivile. Ni mwigizaji moja pimbi mkuu wa Tanganyika. Hakuna kitu pale.
Kiukweli 2021 ulikuwa mwaka wa matukio ya maumivu sana
@augustinenjesi3215Ай бұрын
Sauti ya Mamlaka kabisa
@naangelamcharo8922Ай бұрын
Nikweli mtumishi wengi wamepata ajali miezi mitatu nyuma ombea na bodaboda jamani
@faudhiasalum7279Ай бұрын
Amen amen amen
@evawilliamchatila8211Ай бұрын
Mim n family yangu tutavuka Napokea baraka
@SamsonChishimba-s2rАй бұрын
Ndugu mwandish wa habari naomba usimuoji sana mchungaji wangu mi sipendi na sitaki umchoshe ana mamb mengi ya kufanya interview ni dk 2 tu
@japhethgeriad4519Ай бұрын
Unachekesha sana😂
@phinameya4198Ай бұрын
Mtumishi hapo umesema
@ashelikilele167Ай бұрын
Mataperi hawa ishiwi mbinu hiyonayo ni mbinu mpya
@MarryPiusАй бұрын
Na unaitwa Asheli kilele, sjui ni kilele.i , hii akili itumie vizur ili usije ukagongwa na gari Bure! Sawa Asheli,
@UPENDOMMAKASAАй бұрын
Amekutapeli nini??? Kwanza picha linaanzia hapa unacho cha kutapeliwa au unachonga chonga tuuuuuuuu,kaa kimyaaaa
@Salma-d8r6eАй бұрын
Amen 2025 mon année des bénédiction et réalisation,….
@MerryKashaija-jk9xhАй бұрын
AMEEN
@ShilangadiАй бұрын
Allah nijalie nife nikiwa muislam
@PaulinaLunyongaАй бұрын
Mfilisiti
@samwelmvandeАй бұрын
Yesu ni njia, kweli na uzima
@samwelmvandeАй бұрын
Mungu akusaidie ujue njia ya kweli
@PaulinaLunyongaАй бұрын
@@samwelmvande 👍👍👍
@solangesoso3100Ай бұрын
Ni bora Kufa ukiwa "umetubu" maana dini sio kibali cha kukufikisha mbinguni.😊
@BarakaMalekela-nf6gvАй бұрын
Kira. Mtu amuombe mungu kwaiman yake maana imeandikwa aniombaye ktk kweli ntampa uwezo mkubwa
@oscanyakungaАй бұрын
😅😅😅😅 mstari gani huo
@eveliusPhilibertАй бұрын
Eti??
@MonicaMkombweАй бұрын
@@oscanyakunga🤣🤣🤣
@mcback4384Ай бұрын
Hilo andiko kutoka gazeti la kasheshe
@MonicaMkombweАй бұрын
@@mcback4384 🥱🥱
@KulwaLudovickАй бұрын
Mtumishi wa mngu anautumishi gani acha masiara basi na mngu
@TeddyMasawe-t5dАй бұрын
MTUME NAMI NIPO PAMOJA NIOMBEE BB.
@KudraVenas-d4zАй бұрын
Meno yake yajue yananifurahisha
@naangelamcharo8922Ай бұрын
Nakuja kwenye mkesha mtumish
@emmymatigula4870Ай бұрын
Umenena kweli mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI Tumtegemee MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI
@dorcusnkwao5714Ай бұрын
Unaombaje
@jastinmkobaАй бұрын
Mtumishi wa Mungu yupo?🤷 Yeye abatizi watu awaambii watu waache dhambi tena huduma uitoa kwa fedha badala ya bule....wahovyo sana uyo wazaramo wa daresama wanakoma .....wanatembelea ndala Kila siku pesa wanapekeka kwa mwamposa
@grumetifund-nonprofitorgan9966Ай бұрын
Mwamposs ni mwizi ni mtumishi wa shetani
@twendetuishi2316Ай бұрын
MWAMPOSA HUJAZUNGUMZIA KABISA MAMBO YA UTEKAJI NA MAUAJI YA KIHOLELA YA AKINA MZEE KIBAO AISE WEWE NI MTU WA AJABU KABISA.SO MWINYI NI MUHIMU KULIKO WAKINA 1.MZEE KIBAO 2.AKINA SOKA NA WENGINE WENGI
@IreneMushi-d8lАй бұрын
Nitavuk na nitaish ndan ya kristo hakun kitakachonidhuru
@AmenMushi-j2jАй бұрын
Asiye Yesu ana shetani
@SamwelMollel-br9mdАй бұрын
Haifai nimakosa mtumishi kufanya hivyo
@meshackmarco152Ай бұрын
Ujuaji wako tu
@malamlaaj9852Ай бұрын
Ungesema bila kumhusisha rafiki yako na ndugu kwani ndugu wengi siyo wa karibu sana kama ninavydhani ulikuwa wa karibu sana naye.
@RemyDuma-db5fdАй бұрын
Unateseka ukiwa wapi?😳
@shaelshael2191Ай бұрын
Kakobe pia alikua anapendwa sana enzi hizo,,sijui kilitokeaga nn
@UPENDOMMAKASAАй бұрын
Hakuwah kufikia level ya Mwamposa,ila kila mmoja ana nafas yakeeee
@GeraldElias-s7jАй бұрын
OGOPA MATAPELI JIJINI 😂😂😂😂
@mohammedkhimji7505Ай бұрын
Katika biashara hakuna utapeli.. kuna mwenye akili na kuna mpumbavu 🤪
@GeraldElias-s7jАй бұрын
@@mohammedkhimji7505 hakika 😂😂😂
@msigaraemmanuelАй бұрын
kuna vitu vingi vimemiss kwenye maongezi yake
@UPENDOMMAKASAАй бұрын
Kama nini?? Taja
@msigaraemmanuelАй бұрын
@UPENDOMMAKASA kutokana na majanga hayo watu watubu dhambi waokoke kujiandaa na kesho Yao......Na Jina Yesu limekua adimu kinywani mwake.