Mungu amlinde mtu wangu mwana fa , ndio maana mungu anambaruki af kwa wema wake.
@Tino_Official_tz2 жыл бұрын
Waow!! what a story!! Nafikiri inabidi uandae movie kabisa
@fatmasalim82932 жыл бұрын
Nakupenda sana sister salama mashallah ❤❤❤❤🥰🇴🇲🌹
@SaidSaid-ef8md2 жыл бұрын
Salama unaheshimika sana kwa ajili umejiheshim kwenye safari yako big up sana. Pamoja na kua ulinizingua sku moja na kofia yangu pale maeneo flani ila nakukubali sana kenge ww. Fanya tu kama nimejilipa kukwita kenge ila sio kwa ubaya ✌
Mahojiano hujenga mazingira ya aina fulani. Na mazingira hayo yana vigezo vyake: washiriki, kusudi / lengo, mipaka, lugha ikiwa ni pamoja na mengineyo ya mbwembwe za mwili, nk. Runinga haiitaji mbwembwe nyingi za mwili; la sivyo, mzungumzaji ataonekana kama dude tu. Hakuna kinachochafua mazingira ya mazungumzo kuliko kuchanganya lugha, yaani, mseto wa lugha. Ushauri: Endapo kweli Tanzania yetu inataka kutoa mchango wake kwa Afrika na nje, yafaa sana lugha hii itumike ipasavyo bila kuichanganya na Kiingereza. Mwisho, Kiingereza neno *ask* au *asked* si *aks* au *aksed*, kama 'linavyovurundwa' na baadhi ya Wamarekani wengi.
@hendrycomonsiwenga11282 жыл бұрын
Sawa kabisa, hakika umesema kilicho bora sana!
@hussennshimirimana57362 жыл бұрын
Mauwa sana msani wangu mpendwa..... Good interview watching from Burundi 🇧🇮
@vevo31302 жыл бұрын
best interview....yaani Maua anajua kufunguka hana wasiwasi amerelaaaaaaaax....
@asiaashraph42272 жыл бұрын
The best interview
@floramlowe70782 жыл бұрын
Maisha sio raisi kweli watu wanatoka mbali sana hongera hiyo ni fundisho kwa wasichana wengine.