Ni miaka 20 sasa ya kifo cha mpendwa wangu Mama yangu kipenzi JANETH 😢kifo chake kimekuwa fumbo katika maisha yangu 😢lakini wimbo huu mara nyingi unanipa moyo na kuniaminisha mavumbuni ni njia yetu sote💔🙌🙏😭pumzika kwa amani Kipenzi changu ...
@hancepopessau25272 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu Mwenyez Mungu azidi kukutia nguvu
@albinapanga33322 жыл бұрын
JPM tumekukumbuka sana Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi🙏🙏🙏
@ThadeiAndrea5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awalaze malehemu wote mwanga wamilele uwangazie uwaondolee azabu ya kabuli na moto wa jehanamu. Ninaomba hayo kwa njia ya yesukristu amina.
@helenamtunge20782 жыл бұрын
IMANI ULIILINDA. PUMZIKA KWA AMANI BABA MZALENDO KIPENZI CHA WENGI. UMEJUA KUTU😭😭😭
@abdallahsaid7309 Жыл бұрын
T
@alfredswenya Жыл бұрын
Nafarijika sana na huu wimbo,unanigeuza,na kuniweka na upendo mkuu na kujua kuwa mimi ni mavumbi tuu,lakini bado mungu ananipigania na bado ananpenda na kinipa baraka zake zaidi.
@JohnMaja Жыл бұрын
Amina
@alfredswenya Жыл бұрын
Amina
@jamesmacharia4489 Жыл бұрын
afrika ilimpoteza kiongozi mashuhuri .mungu na aiweke roho take mahala pema peponi.
@ezekielmsemwa81942 жыл бұрын
Kila ninapousikiliza wimbo huu unanikumbusha Julie kipindi kigumu kwa Wa TZ cha kuondokewa na Mwamba Wetu Rais Wetu Kpenzi cha watz wote R. I. P JPM😭
@HannahWairimu-y5hАй бұрын
Baba yangu miaka nne sasa apumzike kwa amani
@godfreymaximillian2769 Жыл бұрын
😥😥 xixi ni mavumbi na mavumbini tutarudi .tunapaswa tubadilike kutokana na nakoxea yetu amen🙏🏻
@jenyyusuph49732 жыл бұрын
DAAH sijawahi kushangazwa hivi MAUMIVU ninayo sikia kupoteza baba huyu nimwsmzoea kuyaona vitabuni sasa yamenikuta
@davidwafula5360 Жыл бұрын
Am a Kenyan from Nairobi this song reminds the burial ceremony of our African hero Hon Magufuli. lala palipo na wema.😭
@JohnMaja Жыл бұрын
Amina
@jenyyusuph49732 жыл бұрын
In shalhala MUNGU WETU MFANYE DADDY WETU AWE MAREHEMU WA TOFAUTI KWA WEMA WAKE KWA UKARIBU WAKE KWA KUJITOA ZAIDI KWA SISI TUSIYEWEZA KUMLIPA AMINA
@eligiusmuganyizi1992 жыл бұрын
0
@fraviansweetberty88192 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@christianmenas95282 жыл бұрын
Ahsante sana Bro. John Maja hujawahi niangusha hata kidogo, kazi zako ni nzuri sana. Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi katika utumishi wako. Kazi unazofanya hazipotei Bure amini zinawarudisja watu mbele za Mungu wetu.🙏🙏🙏🙏
@JohnMaja2 жыл бұрын
Amina ndugu yangu tumrudishie Mungu sifa na heshima kwa nguvu zake nami nasimama imara
@JohnMaja Жыл бұрын
Amina
@DenisKinyua-tr7hw Жыл бұрын
Let's preserve and keep what God has entrusted us with so that when we shall die we will rise our soul shall be white us snow
@TufikeLugome10 ай бұрын
Nimemu kumbuka sana jembelet 2:47
@gracedennis314810 ай бұрын
Ilikuwa tarehe 17/3/ nakumbuka Baba tulianza safari wote ya kipindi hiki cha KWARESIMA Na majivu ulipaka Baba yetu lakini Mungu alikupenda zaidi. Pumzika kwa amani Kipenzi cha wengi JPM
@batholomeokyando98411 ай бұрын
Kaka Maja kazi nzuri na unatutafakarisha sana…voice + hizo flut sasaaaa hakika zimekaa mahala pake
@JohnMaja11 ай бұрын
Amina ndugu yangu
@maganyarobert7008 Жыл бұрын
Ee bwana umrehemu mdogo angu George kilanga Maganya na uwalinde na kuwabariki watoto wake
@JohnMaja Жыл бұрын
Amina
@AminaRamadhani-t4x10 ай бұрын
Mungu mlanze pema mama yangu maria tutaonana baaedae😢😢😢❤👏
@SajnerTyger-wd6im11 ай бұрын
Hakika utaendelea kubaki ndani ya mioyo yetu daima Rest in peace Baba yetu Magufuli.the hero of Africans
@ronaldodit5082 жыл бұрын
I am a Ugandan. I really loved this solemn song. It reminds me of Dr John Pombe Magufuli May His soul rest in peace
@mjkinuthia3862 жыл бұрын
Shukran John for this solemn song that reminds us to prepare our hearts in earnest for the coming season of Lent. A time for increased prayer, penance and almsgiving. Baraka za kwaresma kwetu sote 🙏🙏🙏
@JohnMaja2 жыл бұрын
Amina
@orestpaul42732 жыл бұрын
Amina
@stephentossi2626 Жыл бұрын
African Hero hongera pia Mwl John Maja
@JohnMaja Жыл бұрын
Amina ndugu yangu sifa kwa Mungu
@basilianasylvester85842 жыл бұрын
Mungu uturehemu kwa maana tumetenda dhambi
@HannahWairimu-y5hАй бұрын
Good performance
@valeriasimon37242 жыл бұрын
Apumnzike kwa amani Magu wetu!!
@anethsylivester-we3om Жыл бұрын
Hakika hapa dunian tuwapitaji Ee mungu turehemu sisi wenye dhambi
@pathlabspolyclinic11382 жыл бұрын
Rip jpm mungu akupumzishe kwa amani
@WmessyJames-gr5sr Жыл бұрын
Rest in peace baba anguu kpnz😭😭
@josephatmwema5612 жыл бұрын
nakumbuka siku niliolia sana JPM rest in peace
@franciscogervas3149 Жыл бұрын
👏🤲 aamina.
@brigidmuasa5015 Жыл бұрын
From dust we came and to dust we shall return
@acklerakafuka79122 жыл бұрын
RIP Mwamba Wetu lala Salama Baba
@alexandermgala87982 жыл бұрын
Shukrani Mr John Mwenyezi akuzidishie nguvu na wepesi katika kazi zako