MwanaFA Ft AY Masta & Chidi Beenz - Nazeeka Sasa (Official Audio)

  Рет қаралды 37,609

MwanaFA

MwanaFA

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@mudiboy255
@mudiboy255 2 жыл бұрын
Wangapi mliokuwa mnasubiri vesi ya chid benz wakwanza mimi 😀😀
@georgemajani6600
@georgemajani6600 2 жыл бұрын
Benzino the king,love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 2 жыл бұрын
King kong
@georgemajani6600
@georgemajani6600 2 жыл бұрын
Tunaomba ngoma itaongoza kwa views muifanyie video please.....love from 🇰🇪🇰🇪
@charasiwaverse2140
@charasiwaverse2140 2 жыл бұрын
Ahahaha kweli aisee
@jumakhaji1620
@jumakhaji1620 2 жыл бұрын
Na me nimoo ☝️
@alexmwashibili3616
@alexmwashibili3616 2 жыл бұрын
Nimeisubili verse ya chid kinyama 🔥🔥🔥🔥🔥
@esmaelinhoharnandez4479
@esmaelinhoharnandez4479 2 жыл бұрын
Kama unamkubali Mwanafa gonga like🔥
@biana8998
@biana8998 2 жыл бұрын
Hili goma liwekewe lamination liwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo🙌
@msabahmsabah3282
@msabahmsabah3282 2 жыл бұрын
Mmetisha kua na ChidBenz🔥🔥ndan…👊🏽
@Heisgvoice
@Heisgvoice 2 жыл бұрын
Ebanaee nimepeleka mbele ili nipate verse ya #chidbenz ameimba hivi karibuni au muda kidogo kabla ya janga lake nauliza
@macaicaandre
@macaicaandre 2 жыл бұрын
Nazeeka sasa kama unakubali gonga like 🔥🇲🇿🇲🇿
@abduladinane
@abduladinane 2 жыл бұрын
Hiii killer
@allyumbara7840
@allyumbara7840 Жыл бұрын
Yaan anae mloga chidi benzi mungu anamuonaa Chidi ni mmoja hapa bongo mchana Hiphop mzuriiii❤❤
@aboubakarbizimana5036
@aboubakarbizimana5036 2 жыл бұрын
Chid mungu iko na wewe wala hakuna wakukuzima ndan ya myoyo yetu u stll there all times ❤
@khalidibero
@khalidibero 2 жыл бұрын
Tuliiskiza kabla ya mitandao haijaamua nani ni nani.Dah nazeeka sasa.
@ramsogoscop5191
@ramsogoscop5191 2 жыл бұрын
walituita Sana mbuzi sura...hahaha Hawa jamaa wamesimama vyema jaman.sasa ndo nazeekaaa uwiiiiii
@deniskabungo3617
@deniskabungo3617 Жыл бұрын
Enzi hizo ukifika sauti ya chid tu ujue balaaaaaaaa
@saidrajabu9403
@saidrajabu9403 2 жыл бұрын
Mmmh huyu chid hataree
@slimpirate6020
@slimpirate6020 2 жыл бұрын
Chiiiiiindiiii benzzzzzz.. mnyama ni collabo from Binamu mwenyewe na AaaaaYy 👏🔥🔥🔥
@gilbertblackfire2683
@gilbertblackfire2683 2 жыл бұрын
hii ndo hip hop sasa🔥🔥🙌🙌
@kibwanakhamisi5604
@kibwanakhamisi5604 2 жыл бұрын
Hii Ngoma haijafanywa juzi hii ndio Ile miziki ambayo saii haipatikani
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 2 жыл бұрын
Bado ile siendi Club umemshirikisha Jay Moe na Radhia wa Unique Sissters pliiiiiiiiz tunaomba uiweke
@Jabali_Media
@Jabali_Media 2 жыл бұрын
Haya ndo mambo nayoyapenda 😁😁😁😁🔥🔥🔥🔥🔥 Cheed benzi... Mpaka Leo wananiona Nigga Nami nawaona Beyonce...😂😂😂
@sanchostylist...9719
@sanchostylist...9719 2 жыл бұрын
Wananiona Jiga...🙌😂
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 2 жыл бұрын
King Koooooooong, chichichichichichiD Beeeenz
@cpaissachengo4705
@cpaissachengo4705 2 жыл бұрын
This is the music I have listening when I was in primary school,no wonder I didn't listen to thew new artists...... legends only...alafu angeekwa sugu hapa ndani si ingekua balaa
@sanchostylist...9719
@sanchostylist...9719 2 жыл бұрын
Ama Professor Jey...
@CoachHafidh
@CoachHafidh Жыл бұрын
Hii ngoma ina remix yake...Yupo Sugu Na Professor🔥🔥🔥
@jimymacha6985
@jimymacha6985 2 жыл бұрын
Hii ngoma si ashawai kuimba Sugu.
@alimkumba9459
@alimkumba9459 2 жыл бұрын
wakongwe kwa game gonga like kama umekubari
@pantash5995
@pantash5995 2 жыл бұрын
Nakubali kazi mzuri sana
@fficialjabu400
@fficialjabu400 2 жыл бұрын
MwanaFA 🔥
@xtravibe2547
@xtravibe2547 2 жыл бұрын
Chidbenz Chuma🔥🔥🔥
@Jabali_Media
@Jabali_Media 2 жыл бұрын
Zhiiiiiyaaaaa.....
@amanisoli874
@amanisoli874 2 жыл бұрын
Kheshima kwako kaka mkubwa
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 жыл бұрын
A'm very happy to listen Chid voice
@waziriwazirimkalipa8228
@waziriwazirimkalipa8228 2 жыл бұрын
Chd umeua mwanangu
@frankthegreat2427
@frankthegreat2427 2 жыл бұрын
Chumaaa let's gooooooo🔥🔥🔥🙌
@thierrynshimirimana6743
@thierrynshimirimana6743 2 жыл бұрын
Chid Chumaaa tuna miss🇧🇮 zako flow plz be back in the Game
@ericluda
@ericluda 2 жыл бұрын
Chid Benz 🔥
@davidcurtis175
@davidcurtis175 2 жыл бұрын
Haya sasa wenye mziki wao wamerudi kutujulisha wanazeeka sasa acha vijana watukanane kwenye nyimbo na mipasho kama taarabu wanaume wamewastua kidogo tu wanatakiwa waimbaje, ila Disaster mikono juu bob! Unajua mpaka unajua tena.
@hassansondi8403
@hassansondi8403 2 жыл бұрын
Ngoma kali sana like zang jamn
@jumampinga468
@jumampinga468 2 жыл бұрын
Hii Ngoma Kali sana
@samsonjoram133
@samsonjoram133 2 жыл бұрын
Chid hiii voko haipo tena sahiv anatweta tu jamni
@lameckmangwenje2664
@lameckmangwenje2664 2 жыл бұрын
Chidi Bado Benz
@shakursaleem4077
@shakursaleem4077 2 жыл бұрын
kali sana 💯💯
@charlesphiloteus7660
@charlesphiloteus7660 2 жыл бұрын
Haifui dafu kwa ile ya fa sugu na Jay
@izzihmokd1396
@izzihmokd1396 2 жыл бұрын
HAPA HA2JAPIGWAA...HAPA 2MEZABWAA😂😂😂
@sanchostylist...9719
@sanchostylist...9719 2 жыл бұрын
Beat Za Kikongwe Unyamwezi Mwingi🙌😂😂
@omarynyemba752
@omarynyemba752 2 жыл бұрын
Chid beeeeeenzino🔥
@robertjohn9375
@robertjohn9375 2 жыл бұрын
Verse ya chidi ilitakiwa iwe ya mwisho au ya kwanza maana huu mnyama unahatari 💪💪💪
@kelvinmwenda1013
@kelvinmwenda1013 2 жыл бұрын
Chid benz nyoko sana... Kanyonga kamaliza huyu jamaa hachujii na usimpe nafasi
@johnnyamawi3634
@johnnyamawi3634 2 жыл бұрын
BENZINOOOOO NOMA XANA
@danieljoseph7120
@danieljoseph7120 2 жыл бұрын
Ngoma mbaya sana
@asl6295
@asl6295 2 жыл бұрын
Hatari ngoma kali💯 Chid Benz noma sana
@DARAJANI_TV
@DARAJANI_TV 2 жыл бұрын
Hii ngoma hii ndio ilizaa habari ndio hyo
@gianamichaels5907
@gianamichaels5907 2 жыл бұрын
Daaaah Way back
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 2 жыл бұрын
Kipindicho chidi anachanaaa kinoma
@fredyprosper2190
@fredyprosper2190 2 жыл бұрын
Mwaka gan hii😄
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 2 жыл бұрын
Underground mkubwa
@emanuelyulomi7123
@emanuelyulomi7123 2 жыл бұрын
Chidi ni mnoma miaka yote yote.. Ngoma 🔥🙏🏾
@tastedigital
@tastedigital 2 жыл бұрын
Hawajamtendea haki Chid. Verse yake ilistahili iwe ya mwisho
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 2 жыл бұрын
ngoma ya zamani sana hii..
@kolokokoloko9276
@kolokokoloko9276 2 жыл бұрын
Hii sasa ndio Hip hop
@guccij6236
@guccij6236 2 жыл бұрын
Uzee ni wajibu wa Kila kiumbe hai
@geombaji
@geombaji 2 жыл бұрын
Chidi Benz✔️
@baraka2574
@baraka2574 2 жыл бұрын
Mziki wetu huu siyo yoyo
@02boysmusic12
@02boysmusic12 2 жыл бұрын
Chid ni mkili kwenye hip hop 🔥🔥🔥
@abubakaryduma5374
@abubakaryduma5374 2 жыл бұрын
Ngoma nilikuwa naisaka sana hii Thanks for sharing Binam....🤛👍
@ayoubually6766
@ayoubually6766 2 жыл бұрын
Goma la kwenda
@jumajsauly9216
@jumajsauly9216 2 жыл бұрын
Chid Benz saut ya mamlaka dadekiii
@Gaddafi-knight
@Gaddafi-knight 2 жыл бұрын
Legend🐐🇰🇪👊💥
@TheAcidRay
@TheAcidRay 2 жыл бұрын
Vibe la old school
@dullahsimbaulanga6472
@dullahsimbaulanga6472 2 жыл бұрын
>>>Chid Benziii 🔥🔥
@francismashalla6535
@francismashalla6535 2 жыл бұрын
This is a masterpiece..
@speaklifeafrica
@speaklifeafrica 2 жыл бұрын
Ukubwa haupimwi kwa kichwa
@nellylwitiko6377
@nellylwitiko6377 2 жыл бұрын
Bonge la nyimbo
@mastermbarak254
@mastermbarak254 2 жыл бұрын
Chidi beenz chumaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper 2 жыл бұрын
CHID BENZ KILLED THIS
@mane3935
@mane3935 2 жыл бұрын
Moto juya Moto🔥🕺🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿
@josephmatembo1938
@josephmatembo1938 2 жыл бұрын
Chiedo benz We miss you
@kingtega5943
@kingtega5943 2 жыл бұрын
jaman mmenikosha sana nyie fa na ay kuniletea chid mwana ilala mmeonyesha upendo kwake mmekumbuka mbal mmelipa fadhila maana kawasaidia sana kwenye video zenu mung awape ving
@gallodograpper
@gallodograpper 2 жыл бұрын
Mmh mi bado
@chainlamar861
@chainlamar861 2 жыл бұрын
Kingkoooong
@zanziboysaid952
@zanziboysaid952 2 жыл бұрын
Like kw legends
@nyakungukimakon1883
@nyakungukimakon1883 2 жыл бұрын
Hii ni ile combination ya 2005 ahsante kwa kutukumbusha nyuma
@mbesherejoh4219
@mbesherejoh4219 Жыл бұрын
Hapana 2009
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 2 жыл бұрын
benzinoooo
@oswardmkalawa9666
@oswardmkalawa9666 2 жыл бұрын
Chid ni moto
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 2 жыл бұрын
Chid Master
@lebonlbk2577
@lebonlbk2577 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@johnmathew4051
@johnmathew4051 2 жыл бұрын
💪🏾💪🏾💪🏾🔥🔥🔥
@timokada9812
@timokada9812 2 жыл бұрын
Chid kaua ninoma
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 2 жыл бұрын
Binamu
@saidollarchain2895
@saidollarchain2895 2 жыл бұрын
Like za Child benz🔥🔥
@vicentmayanda3935
@vicentmayanda3935 2 жыл бұрын
@angelbaraka7179
@angelbaraka7179 2 жыл бұрын
Chidi kaua
@patrickluyangi6571
@patrickluyangi6571 2 жыл бұрын
Video
@sajirunimsury6370
@sajirunimsury6370 2 жыл бұрын
🔥
@calvinmshanga9077
@calvinmshanga9077 2 жыл бұрын
Oi
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 2 жыл бұрын
Child benz
@gallodograpper
@gallodograpper 2 жыл бұрын
M
@mane3935
@mane3935 2 жыл бұрын
Moto juya Moto🔥🕺🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿
@IvanClassicke
@IvanClassicke 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@muhadhirunawema9952
@muhadhirunawema9952 2 жыл бұрын
Chid's verse 🔥🔥
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
MwanaFA - GWIJI ft Maua Sama & Nyoshi El Saadat (Official Video)
3:28
Stromae   Alors on danse(making of).mpg
6:00
Estudios25 Peru
Рет қаралды 53 МЛН
AY Feat RAY C,MWANA FA & BANANA - SAFI HIYO
4:21
AY Masta
Рет қаралды 12 М.
Darassa & Harmonize - Mazoea (Visualiser)
3:22
Darassa
Рет қаралды 8 МЛН
MwanaFA Feat Harmonize - Sio Kwa Ubaya (Official Music Video)
3:36